SIONGEI NA ZAMARADI KABISA / WIVU / SITAKI TENA - IRENE PAUL

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 65

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 2 роки тому +27

    Fahar wawil hawaishi zizi moja yeye na zamarad wote nimageniuos lazima wapite njia mbili tofaut big up

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 2 роки тому +3

    Hata wamseme vipi Zamaradi but kwangu ni the best on I appreciate her

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +6

    Am Tz 🇹🇿💋dunia ni mapito samehe usamehewe ❤🍭

  • @rabielfadhili994
    @rabielfadhili994 2 роки тому +6

    Huyu Diva sio journalist...ethics za journalism hana....

  • @husainsmith3103
    @husainsmith3103 2 роки тому +23

    Irene Paul she's like angelina jollie I like her

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому +5

    Irene❤️❤️❤️

  • @iddymangwela9049
    @iddymangwela9049 2 роки тому +8

    Irene unanivutia sana

  • @Storyzatown
    @Storyzatown 2 роки тому +13

    Do you miss her? “No” duh hapo tatizo ni Zamaradi au tatizo ni hao marafiki zake,

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 роки тому +3

      Zama alivyokuwa clouds alikosana na wengi ata Dina marios

  • @mabinajackson5356
    @mabinajackson5356 2 роки тому +7

    Umeongea vzr sana

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 2 роки тому

    Beautiful Irene....uko Real

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 роки тому +4

    Nampenda Sana huyu Irene

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719
    @jescalutegonsombnambyakoda6719 2 роки тому +12

    Zamarad atakuwa anamatatizo haiwezakan kila mtu anamkataa Irene sio mtu Wa media

    • @lovemusicnoreen9185
      @lovemusicnoreen9185 2 роки тому +3

      Ata mimi nimewaza zama ana shida itakua Maana kila kati ya watu 5 wa 3 haongei nao kuna shida sehemu

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 роки тому +20

    Hapa ukichunguza sana zamaradi hapendagi azidiwe anapenda yeye ndio awe kinara watu anaokuwa nao wawe nyuma kama mkia ndicho anachotaka.

    • @restitutalucian78
      @restitutalucian78 2 роки тому +1

      Unauhakika

    • @lovemusicnoreen9185
      @lovemusicnoreen9185 2 роки тому

      Ewaaaaa kuna shidaa Kwa zama na inaonekana anapenda kunyenyekewa na kua juu ya wenzake

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 Місяць тому

      Hii inawezekana kabisa kwasababu kila mtu akimzidi kidg lazima wagombane 😢😢

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 роки тому +3

    Kwenye group lenu mmoja akuwa na mafanikio lazima aonewe wivu hao ni wivu unann ww muongo

  • @nasrafazal6564
    @nasrafazal6564 2 роки тому +1

    Tunaomba na zama aje siku moja aongee sabbu wote wanaongea ila yeye hata siku moja hajawahi kuongea halafu wale marafiki zako wote wanaunda time wanakuwa wao marafiki pamoja katika haya maisha usihitaji marafiki sabbu hutusaliti

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 роки тому +1

      Wewe ndio muelewa 🥰🥰🥰💗 wengine kazi kufuata mkumbo na wote hakuna hata mmoja aliyewahi kusema wanachogombea

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 2 роки тому +21

    Ila Zamaradi ana tatizo mahali maana ukiangalia faiza nae hawaongei shamsaford nae pia hawaongei haya na Iline nae sasa na hawaongei kuna sehem zamarad anashid na hata Dina morios wa EFM nao wanaugomvi wa toka enzi za Ruge yupo hadi leo yule Dina aliamua kuaa nae mbali Zama kuna sehem anataz kwa wenzie hawa

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 2 роки тому +4

      Hata wema na ant ezekiel nae hawana urafiki naye ana jiskia sana zamaradi

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 роки тому

      Alivyokuwa Clouds si unajua alikuwa mke wa boss ,watu wengi alikosana nao kipindi hicho,Dina Mario's pia walikosana

    • @vickychialo5054
      @vickychialo5054 2 роки тому +1

      Anasifa sana anajifanya kila kitu anajua na wanae kila kitu wanajua na wanaakili sana ndio shida

    • @totobigi274
      @totobigi274 2 роки тому

      Lamdha ana kiburi,ama majibu

    • @rehemaothman2200
      @rehemaothman2200 2 роки тому +1

      kuna shida kwa zama sio bure tu zaidi ya watu 5 hawaongei nae

  • @OmmyVingata
    @OmmyVingata 22 дні тому

    Wivu una wasumbua

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 роки тому +3

    Munywere kama kichaa ujapendeza pia wabongo bwana mnajifanya wangeleza mnazidiwa na bongo zozo anapenda kiswahili

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 2 роки тому +2

      Zako zikoje ?
      Zionyeshe basi tuzione,
      May be utaonekana kama mwenzawazimu kabisaaa !

    • @cherylcheryl7694
      @cherylcheryl7694 2 роки тому

      Kinge raha bana sema tu sikijui

  • @evankya1955
    @evankya1955 2 роки тому +1

    Do u miss her? No

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 роки тому +3

    Huyo anayo onewa wivu mumemuona 🤨

  • @minnahmsangi6117
    @minnahmsangi6117 2 роки тому +1

    Tumtu twembamba tunashida sana

  • @harissmithtz4994
    @harissmithtz4994 2 роки тому

    Do you miss her?.

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 роки тому

    💓👌

  • @irenemzirai5890
    @irenemzirai5890 2 роки тому +1

    Zama atakuwa na tatizo sehemu

    • @thebosslady9001
      @thebosslady9001 2 роки тому +1

      Hata mi nimewaza hivyo atakuwa anamatatizo sana haiwezekani Kila mtu agombane nae kapewa sura mbaya mpk roho mtihan

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому +1

    Hata wema na ant ezekiel nae hawana urafiki naye ana jiskia sana zamaradi

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 роки тому +2

    Ila zamaradi ajichunguze haiwezekani hawa wote awe na ugomvi nao, kwanini?

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 2 роки тому +4

    Huyu zamaradi naye anamatatizo yaan yeye kila mtu anaugomvi naye

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Mh

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 роки тому

    💓👌

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 роки тому +3

    Utajiri haujifichi wivu wenu tuu Kwa Zama

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 роки тому +2

      Zama anautajiri gani wanamuonea wivu

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 роки тому

      @@jackyluns8224 wewe haujauwona

    • @cherylcheryl7694
      @cherylcheryl7694 2 роки тому

      Mh utajili? Mbona haonewi wivu mo na baresa ama yeye anautajili wa kipekee

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 роки тому

      @@cherylcheryl7694 unauwakika mo haonewi wivu?mtu anaweza kukuonea wivu kwakitu cha kijinga tu ije kuwa Zama🤣mbona Yuko vizuri tu kipesa utamlinganisha na wanuka mikojo😅😅mm ndio nimeona wivu sijui kwaupande wako naukumbuke kila mtu namaono yake upo