Diamond uli mkataa hamisa kwasababu ya mama dangote..Leo ukiangalia lile jambio lake unatamani kurudi lakini ndio hivyo hamisa hakubali tena.. tatizo n mama dangote Ali mnanga sana😅😅😅
Mama akiwa mwanga huwezi kuishi na mwanae wa kiume. Mama Dangote afe ndio Dimond atakuwa na mke kama hajafa mama Dangote akifa tuuuu, Dangote anaowa akirudi makaburini tu. Huyo Mama ana elements zote za uchawi.
Hakuna mama asomjua baba mtoto wake .. sema hamisa damu yake kali watoto wake wote Wamefanana na yeye na dylan amefanana na hamisa ❤ atakua atakufaa mwanao hamisa achana na dai agh
Mtoto au watoto unaweza ukakuta mzazi mmoja kafanana na wawili hata wanne ,mmoja akawa na sura tofauti aidha akafanana na Mama yake au ndugu yoyote. Hivyo basi Diamond kwa maisha aliyotunukiwa wala hakupaswa kufanya hichi anachokifanya,labda tuu kuwe kuna maswala mengine binafsi na sio swala la kumkana mtoto kwa kudai DNA aliyoipatia majibu kwa kufanya taratibu zote mwenyewe. Nadhani hasira kubwa ni pale Hamisa alipoamua kutoitoa mimba na kuzaa ikiwa Diamond bado alikua na Zari.
Uyu malaya eti ana work hard 😅😅😅 unalipiwa ticket zandege na hotels alafu eti una working hard 😅😅😅 nenda gongo lamboto na vingunguti uwawone hard working woman
Mbona hata watoto wa zari sijaiona kufanana na mondi Yani mtoto wa zari wa kiume kufanana na kaka yake Sasa sema zari alikua na pesa kabra ya hamisa Ivyo hamisa Lea watoto wako
Nimesikia interview ya malaika nimegundua hawa familia ya nasibu wanapingiwa sana maisha yaani waswahili sina hawaezi kumuacha vijana wao wakae na wake zaooo…!wifi ndg wote🥹🥹
Kiukweli kama kweli mondi utowi uduma kwa mtoto utalaniwa kwama mungu kama walivyo raniwa Mzee abdulu mondi mondi mondi rejea kwa mungu wako nakushauri
Kisheria ya dini ya yenu nyote wawili huyo mtoto sio wa Diamond. Amshuhulikie kwa ubinaadamu tu kidini lakini hama hataki hana dhambi ana dhambi za kuzini tu. Na huyo mtoto anatakiwa apewe jina la baba kutoka kwa mama yake.
Jmn yuko kaka mmoja kazaa na dada mmoja pacha kila siku anasema huyu mtoto mmoja kama hakuzaliwa pacha na mwenzake anadai asingekubali kama ni wakwake maana hafanani nae hata huyo mmoja ndio kafanana mno na babaake wakat ni wakike huyo wa kiume piga ua hata tone
Hamisa wewe sio wa kwanza kuachiwa mtoto, pesa unayo,lea mwanao, ila kusema mtoto akifa hapo sio paxuri, unajuaje nani atatangulia kati yake na baba yake au wewe? Usimtakie mtoto kifo,ila muombee maisha marefu wakutane ukubwani mtoto na uzeeni baba.
Hiyo ndio tatizo la wadada wapumbavu wanajimimbisha makusudi ili wamkamate mtu mwenye hela 😂😂😂 mbona sisi malofa hatuwapi mimba. Na ndio maana mastaa wengi siku hizi wamekuwa ma P Diddy ili wasisingiziwe au kupewa mimba ambazo hujapanga. Kwanza mbwa wewe unataka kutuharibia star wetu Aziz Ki
Kwan n lzma mtoto kufanana n baba ake hyu mtoto kafanana n mama ake n kama yule Nilani wa zari alivyofanana n kaka zake watu wanataka kufoc tu mama ndio anaemjua baba wa mtoto period!
kamange na kingungumuzi shake ubeya sana sasa umefika kukipi sasa diamond hoooomutoto sikiya sasa hauna na namba ya nani weeeeee hamisa wakuite ukataye
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke na ukiona hivyo basi ujuwe shetani yupo katikati yao na ushawishi wa kutakana utakuwepo, Hamisa atabadilisha wanaume kila mara kwa tamaa yake ya pesa hadi ``K`` yake itapiga filimbi.
diamond hana baya hp hawa ni waislam walichokifanya wanakijua km hakifai na ikiwa mwanammke atapata mimba nje ya ndoa mtoto ni wa mama sio baba na hawez kurith mali yyt ya baba zk tumuone zuchu akiipat ndoa leo anamzalia mondi watu wanacheza kwa akili mlijifacha chuon mumekimbia
Piga kazi mama wawili bhana maneno yapo tuuuuuu mm nakuaminia ❤❤❤ forever Mungu akutetee
Nakupenda hamisa endelea kupambana kujiamini ndo maisha❤❤❤❤❤
Kila lenye mwanzo linamwishoo Hamisa zidi kupambana mungu atakuwiya mbele
Daa hakuna kitu kibaya duniani kama kumkataa mtoto…
Uyo mtoto sio kabisa mpeleke kwa baba yake.
Wachana na yule mjinga .Mungu ni waote ipo siku atamhitaji mtoto
Hapo ndiyo ninacho kupendea siyo yule hamisa wa zaman kaza buti mpaka amtangaze mtoto wake watu wamtoe midomoni
Huyo mtoto ni wa diamond
Mungu akulinde Misa❤
Diamond uli mkataa hamisa kwasababu ya mama dangote..Leo ukiangalia lile jambio lake unatamani kurudi lakini ndio hivyo hamisa hakubali tena.. tatizo n mama dangote Ali mnanga sana😅😅😅
Mama akiwa mwanga huwezi kuishi na mwanae wa kiume. Mama Dangote afe ndio Dimond atakuwa na mke kama hajafa mama Dangote akifa tuuuu, Dangote anaowa akirudi makaburini tu. Huyo Mama ana elements zote za uchawi.
Hakuna mama asomjua baba mtoto wake .. sema hamisa damu yake kali watoto wake wote Wamefanana na yeye na dylan amefanana na hamisa ❤ atakua atakufaa mwanao hamisa achana na dai agh
Ni kweli
Kabisa mtunze kwa bidii mwanao
Yule mtoto SASA hivi mwangalie na ESMA. Atakuja kuwaumbua.
Atamtafuta 2 baba yake hata ukae nae miaka 100
Da Hamisa nakupenda sana
Kama mtu amekuruhusu chukua mtoto mkafanye DNA nchi yoyote utakayo dah! Diamond mtoto niwake jamani sema misa ana damu kali mtoto kafanana nae
Mtoto au watoto unaweza ukakuta mzazi mmoja kafanana na wawili hata wanne ,mmoja akawa na sura tofauti aidha akafanana na Mama yake au ndugu yoyote.
Hivyo basi Diamond kwa maisha aliyotunukiwa wala hakupaswa kufanya hichi anachokifanya,labda tuu kuwe kuna maswala mengine binafsi na sio swala la kumkana mtoto kwa kudai DNA aliyoipatia majibu kwa kufanya taratibu zote mwenyewe. Nadhani hasira kubwa ni pale Hamisa alipoamua kutoitoa mimba na kuzaa ikiwa Diamond bado alikua na Zari.
Hamusa ACHANA na Pindua-diddy dundikaaa malipo hapahapa😅
Niliachiwa mtoto kutoka anatambaa hadi sahii yuko grade 6 na bado napambana ❤❤❤
Uyu malaya eti ana work hard 😅😅😅 unalipiwa ticket zandege na hotels alafu eti una working hard 😅😅😅 nenda gongo lamboto na vingunguti uwawone hard working woman
Wivu m baya saaaaana wewe ushalipiwa ngapi?
Hard working yake ndo inamsababishia alipiwe hizo tickets,, pole kapambanie wivu wako ndo uje ukoment chukii.
@@salomedaniel979 upambanaji wakutowa mkundu tu😱😱😱😭😭😱
@@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 wivu wakutowa mkundu?🤣🤣🤣
@@rukundorwiza5223 katoe na wewe kama unaona mwenzio anafaidi.
Mbona hata watoto wa zari sijaiona kufanana na mondi Yani mtoto wa zari wa kiume kufanana na kaka yake Sasa sema zari alikua na pesa kabra ya hamisa Ivyo hamisa Lea watoto wako
Kwanini ety mtoto akifa?? Kwani unataka mtoto afe ili ukomoe baba ake umezika mwenyew ? Mpumzisheni huyo mtoto kwa kweli..
Mtoto gani mnamuongelea asietambulika na Dini Rudin kwa Allah kabla hamjachelewa
Huyu ndio mnyamwezi sasa,ukichefukwa umechefukwaaa hakunaga kugeuka
Kabisaaaaaaaa akuna kutetelekaaa dadeki
Anatak apime DNA hosptial nje y nchi ndy ataamini mtt wake ni wake bs apime ktk hospitali ya dunia nzima 😅😅
Nimesikia interview ya malaika nimegundua hawa familia ya nasibu wanapingiwa sana maisha yaani waswahili sina hawaezi kumuacha vijana wao wakae na wake zaooo…!wifi ndg wote🥹🥹
Kila likuepukalo Lina kheri nawe! Fanya maisha yako ndio maisha🙏
❤misa
Daaah nmeumia sana
Mwanamke ni kujiamini daadeq
Hahahahahahha mange akisikiliza hadithi anakua anakusaidia kumalizia sentensi ya mwisho ka mimi😂😂
😂😂😂😂😂yaaan nmejikuta nacheka tuu
Inawezekana siyo wake. Asingemkataa jamani anavyopenda watoto hivo?
Nimependa
Siu nataka kuzaa na matajiri ayo ndo matunda Pamanda ulee mtoto wako acha kulalamika vijijini tunalea wenye we uliingia kwa mbwembwe umedoda
Mtoto ni wa diamond uyo mkatae mkubali
Mtoto wa Neng
❤❤❤hamisa wangu
Kiukweli kama kweli mondi utowi uduma kwa mtoto utalaniwa kwama mungu kama walivyo raniwa Mzee abdulu mondi mondi mondi rejea kwa mungu wako nakushauri
Sikalili izo laana
Lea Mwanao
Nipitieni tafadhali🙏🏼
Kisheria ya dini ya yenu nyote wawili huyo mtoto sio wa Diamond. Amshuhulikie kwa ubinaadamu tu kidini lakini hama hataki hana dhambi ana dhambi za kuzini tu. Na huyo mtoto anatakiwa apewe jina la baba kutoka kwa mama yake.
Jmn yuko kaka mmoja kazaa na dada mmoja pacha kila siku anasema huyu mtoto mmoja kama hakuzaliwa pacha na mwenzake anadai asingekubali kama ni wakwake maana hafanani nae hata huyo mmoja ndio kafanana mno na babaake wakat ni wakike huyo wa kiume piga ua hata tone
Hamisa❤
Huyu ndio Hamisa wangu usikubali kufanywa mjinga
Hamisa wewe sio wa kwanza kuachiwa mtoto, pesa unayo,lea mwanao, ila kusema mtoto akifa hapo sio paxuri, unajuaje nani atatangulia kati yake na baba yake au wewe? Usimtakie mtoto kifo,ila muombee maisha marefu wakutane ukubwani mtoto na uzeeni baba.
LA super women ❤❤❤❤
DNA haifanywi na nywele sikuhizi ni mate tu
Mange kuoji ajui kabisaa
Dai kamkataa babaake wa damu itakua mtoto hio ndio vile mganga wake kataka Akatae mtoto wake wadamu na babaake wadamu nayote kafanya
D watoto wake wote anafanana nao kasoro huyo wa hamasa tu kiasi amkatae
Me nalia tyu😢😢😢
Endelea kupambana
Hiyo ndio tatizo la wadada wapumbavu wanajimimbisha makusudi ili wamkamate mtu mwenye hela 😂😂😂 mbona sisi malofa hatuwapi mimba. Na ndio maana mastaa wengi siku hizi wamekuwa ma P Diddy ili wasisingiziwe au kupewa mimba ambazo hujapanga. Kwanza mbwa wewe unataka kutuharibia star wetu Aziz Ki
Maskin hamisa😢
Mtangazaji acha unafki misa sie mtu wa marafiki
Gisueu
Mtoto sio wa diamond msitupigie kelele😊
Mtoto wake kamuona😏😏😏😏
Wakitombana ulikuepo
Mama ndio anaye jua baba wa mtoto ww kaa kwa kutulia
Labda wako wewe mwenyewe roho mbaya
Kwan n lzma mtoto kufanana n baba ake hyu mtoto kafanana n mama ake n kama yule Nilani wa zari alivyofanana n kaka zake watu wanataka kufoc tu mama ndio anaemjua baba wa mtoto period!
Nyodo zako ndio zinafanya Diamond akupe chini, mwanamke mwenye maneno mengi it’s a disaster for a man.
Kigugumizie cha mangi
Mmmhhhhhh
❤❤❤
Ya vunjabei umedanganya kwa jokate ulienda mpaka msiba wa baba yake hata moshi ulikuja nae
Daimond anapenda sana watoto uyo wa amisa sio wake
Wakwake. Anamuendejeza mana yake. Atakuha juta huko.mbele. Anampenda mtoto wa mume wa Zari anarchy damu yake.
Walivotiana mimba wewe ulikuepo?? Acha ufisadi
Ni WA kwako sasa
@fridafrida2124 chunga mdomo wako
Yatqkurudia wewe au jamaa yako tuone utakavyoumia usiropoke
Interview imejaa keleleee. Watu wanaongea wote. Host hapatii guest nafasi ya kujieleza. Guest naye akiongea kizungu anajirudiarudia kimaelezo.
lakini point umepata si ndio
kamange na kingungumuzi shake ubeya sana sasa umefika kukipi sasa diamond hoooomutoto sikiya sasa hauna na namba ya nani weeeeee hamisa wakuite ukataye
Na wew izo typing errors...! Uende CCBRT juu ya hayo macho acha kigugumuzi cha watu 😂
Dimond hana watoto kulingana na dini yake ya kiislam sababu hajawahi kuoa
Hiyo ni dini lakini tayari kasha otesha mbegu na mavuno yashaonekana
Jidanganyeni""zaeni hivyo kwa kisingizio cha kutoowana kwa hiyo Dini itasema huna mtoto
Iyo dini kuna mda inawatia ujinga kwaiyo mtu akatae damu yake kisa hajaoa?? Sio sawa
@@Orenj-l8dkbisa
Iyoo ni shombo za dini😂😂😂😂
Basi sio urafi ni undugu maana mtoto kafanana sana na nenga
Mtoto sio mond sisi mashabiki tunapinga hamisa hajatulia
Mtulize ww shenz
Ndio sio wake ila niwako au unataka mondi nn😅
Wa kwako
Kwani Hamisa amg'ang'anie mond kwa shida gani aliyonayo
yatawashinda ulikuwepo?
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke na ukiona hivyo basi ujuwe shetani yupo katikati yao na ushawishi wa kutakana utakuwepo, Hamisa atabadilisha wanaume kila mara kwa tamaa yake ya pesa hadi ``K`` yake itapiga filimbi.
Akibadirisha hata dunia nzima we inakuuma nini? Si yakwake!
badilisha na wakufire had mkund km unaona wivu
Mtu mzima ovyooo!!
Kaomba ya kwako
Hata iki piga kelele Kwani ni yako au ya mamako? Mbona mdada wa watu anajituma tu wamuona akiwa na Shida ya pesa Hamisa acha ufala
diamond hana baya hp hawa ni waislam walichokifanya wanakijua km hakifai na ikiwa mwanammke atapata mimba nje ya ndoa mtoto ni wa mama sio baba na hawez kurith mali yyt ya baba zk tumuone zuchu akiipat ndoa leo anamzalia mondi watu wanacheza kwa akili mlijifacha chuon mumekimbia
Watoto wake wote wametoka nje ya ndoa... kwahiyo usiseme mwanae katoka kwa Hamisa tu...kama watoto wake pia wa Zari hawatarithi chochote.😂😂😂😂
Kwani Kuna mtoto gani alozaa kwenye ndoa? Wote nje ya ndoa sio wa hamisa tu 😂😂😂😂
@@taliyagogo1481 mueleweshe asijitoe faham
Mshangae 😮@@AminiMsellem-gk3yy
Haifai lakini ana support wengine watoto nikama vile ametengwa huyo moja