Yaani hii movie ina mapunzo mengi sana mungu ana uwezo mkumbwa sana karobo ametoka kuzimu sababu ya maombi via babake atapata kuona kwa nguvu za mwenyezi mungu amen
Na hili limfikie Baba karobo na zuu tafadhali nagojea kuona kwa hamu mkifunga ndoa nimefuatilia kutoka episode 1 mpaka episode 45 harakisheni tafadhali nagojea
Amen mungu n mueza wa yote acha tumuabudu katika roho na kweli, baba karobo na wenzako wote mungu awabariki na ainue kipaji chenu maana mafundisho n mema kwa Dunia hii
Jaman tunatakiwa Kila tunacho kifanya juu yetu sisis binadamu ni muhimu kumtanguliza mungunna Wala tusizarauriyane kisa din au kubaguwana kisa mazehebu naomba San ushilikiano wenu na Kama mmekubali naomba like zenu
@@byicazad-lee-pierro2986 pia Mimi nampenda sijui ni moyo tu wa kipindi au hats mle ako hivyo,,kuna kaka wazuri jameni nawatazama nikiwa Kenya hongera sana
baba joan apana kweli mwazi masiku uko unatubaniya sana kweli jitaidi uwongeze dakika kabisa sa vile mwazo tudashukuru tena sana tuwapenda sana watu wokwo kwenye iyi movie kutokeya burundi ❤❤❤
Yaani hii movie iko na mafundisho mengi, hila kwa wanao tafuta like juu naona kila mtu anaomba like,,mnaona haya mafundisho kweli,,team strong najua mko 2 hapa,
My first comment kutoka Burundi mnipeni likes jamn tujuane nawapenda saana wadau zangu tumuonyeshe upendo baba kalobo msimubanie mwandishi mzuli kama yeye❤❤❤
May ALLAH protect you all dad j 's team more love u all God bless kazi zenyu awape nguvu mzidi kunawiri na kutia fora katika kuigiza kwenu kuliko na mafunzo Sana MOLA awalinde nyotee❤❤❤❤❤❤
Nimewahi wa kwanza YOYOTE AKISOMA HII IN SHAA ALLAH MUNGU AMJALIE UMRI MREFU KWA SIKU YA LEO IJUMA AMFUNGULIE MILANGO YA KHERI KAMA MUME MUNGU AMJALIE MWANAMKE BORA KATIKA MAISHA NA KMA MWANAMKE MUNGU AMJALIE MUME BORA KATIKA MAISHA KWA IJUMAA HII ALLAH NAOMBA WAJALIE WAJA WAKO NA KUCOMEENT KUSEMA AMEEN 🤲🤲🤲
Mama karobo umegonga mwamba sasa😢😢😢mungu n wa ajabu awezi shidwq n jambo lolote mjungaji mungu akubariki sana pamoja n familia yako muhushi maisha marefu nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤mungu awalinde nyote,nipe like zangu jameni kutoka Saudia 😢😢waja uchoyo
Jamani kila ukitaka Jambo lako litimie first mutangulize Mungu maana bila yeye Ni bure tu anyways congratulations 👏 pastor Na team yako karobo kalejea tena Mungu awabariki🎉🎉❤
Yaani unyu mchugaji natamani nimnunulie shuti smart haigarie kwa nest episode Walai .mungu ukimtagulisha jambo lako ata likue gumu hajee alitenda kwa wakati . Asante sana baba yetu kwa kumuokoa karobo yaani movie enye mafunzo .inatuelemisha mengi. Sana miungu na vinginevio .mungu kwa weli ni alie njuuu bonguni Amina .milele🙏🙏
Nilikua ninaongojea hii episode ya kumurudisha karobo sanaaa Kwa mungu akuna lilosindikana mungu n mwema kila wakati watumishi wa mungu Asanteni sanaaa Kwa kazi nzuri 🎉🎉❤❤
Asante sana pastor chiko kwa maombi ya kumrudisha karobo wapi like za mchungaji
Yaani hii movie ina mapunzo mengi sana mungu ana uwezo mkumbwa sana karobo ametoka kuzimu sababu ya maombi via babake atapata kuona kwa nguvu za mwenyezi mungu amen
Baba korobo pole chiko umeyigiza rorenzuli inakupendeza fanya mumusaidiye baba3 korobo ❤❤❤❤
Matendo ya MUNGU ni ya aajabu mon. MUNGU awabaliki sana all team mnatufundisha kuwa na Imani zaidi Na kuzidi kutafta usoni pa MUNGU 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Na hili limfikie Baba karobo na zuu tafadhali nagojea kuona kwa hamu mkifunga ndoa nimefuatilia kutoka episode 1 mpaka episode 45 harakisheni tafadhali nagojea
Ameeen
Wow karobo amepatikana pia baba karobo ataona insha'Allah nawapenda kundi ya kina kibanio muendelee ivo Congrat 🎉❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
4:57
Mimi tu ndio sijapata like hata moja jamani hebu leo naomba like zenu tafaadhali
Iyooo
Usjal kipenz iyo ap ya kwangu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mungu atabaki kua mungu nimefurahi sana karobo kurudi bwana yesu asifiwe milele amina🙏🙏🙏
Amen mungu n mueza wa yote acha tumuabudu katika roho na kweli, baba karobo na wenzako wote mungu awabariki na ainue kipaji chenu maana mafundisho n mema kwa Dunia hii
Jaman tunatakiwa Kila tunacho kifanya juu yetu sisis binadamu ni muhimu kumtanguliza mungunna Wala tusizarauriyane kisa din au kubaguwana kisa mazehebu naomba San ushilikiano wenu na Kama mmekubali naomba like zenu
Nimefurahi sana kumuona kalobo
Leo naomba kuna wale wana roho safi tu like za rahasan na mkewe kujitolea kwao bila kuchoka❤❤❤ nawapenda sana
Tunataka muendelezo 46 natamani mama kalobo amuone kalobo kama atafanyaje
N'a mpenda sana rahasa ❤❤❤❤❤❤❤
@@AzizaHasan-m7h hapo sasa kwa maana wanajitahindi kwenda kwa mganga amhamishe ziwani nae mungu ninani miujiza tu akaokolewa kweli shetani hana nguvu
@@byicazad-lee-pierro2986 pia Mimi nampenda sijui ni moyo tu wa kipindi au hats mle ako hivyo,,kuna kaka wazuri jameni nawatazama nikiwa Kenya hongera sana
Nimelike 🎉🎉❤❤
Kiukwel hii movie ina mafunzo makubwa sana hongerni sana ujumbe umetufikia wakujifunza tutajifunza wa kupuuza watapuuza ❤❤❤❤❤
Kenyans from gulf am the first one can i get like watu wangu
How is life out there?
Kutoka Burundi Bujumbura nawafuata kila Mara .nipe like zangu❤
Toka nianze kutazama hii tamthili sijai pata ata like moja jambo sijui ka zapelekwa wap
😢
Naipenda hii series ya baba karobo🥰🥰🥰🥰.... Chris kutoka kenya nrb
Jaman kipande kidog kwel leo ninetaman karobo aonane na baba ake ❤❤❤
Baba Joan Leo umejaribu xana pongezi mm natoka Kenya wapi like za baba joan
Waoooooh karobo jamaniiiiiiiii nimefurahi ❤❤❤
Épisode zina kuwa fupi fupi sana Sisi watazamaji munatuponza
Kama unaijuwa baba kalobo mungu amempa kipaji weka like apa ata kama 5 Ivo.❤❤❤
baba joan apana kweli mwazi masiku uko unatubaniya sana kweli jitaidi uwongeze dakika kabisa sa vile mwazo tudashukuru tena sana tuwapenda sana watu wokwo kwenye iyi movie kutokeya burundi ❤❤❤
Saiz dakika za kisenge natamani kukiresto tu
Jamani karobo twakumiss sana nakupenda sana karobo na babako
From kilifi, Kenya 🇰🇪...likes za kilifi basi ❤
❤😂❤🎉🎉🎉
𝕌𝕟𝕒𝕜𝕒𝕫𝕚 𝕦𝕨𝕖 𝕟𝕒𝕨𝕖😂😂😂😂😂
❤❤❤
Kilifi hoyee
Hoyeee🎉🎉🎉😂😂
Amen Asanteni saana Kwa kutuletea move ya kumtukuza yesu Christo palipo yesu yote huwezakana🙏🙏🙏
Yaani hii movie iko na mafundisho mengi, hila kwa wanao tafuta like juu naona kila mtu anaomba like,,mnaona haya mafundisho kweli,,team strong najua mko 2 hapa,
Sana tena❤❤❤
Tuko uku ma'am
@@susanmitchell5641 hope umeona maombi ndio kila kitu,,tunapitia mengi huku so inapaswa tumuamini mwenyezi Mungu,,
@@ValentineNdunge-q7y very true na mwamini Mungu na kila kitu yangu in everything I trust him 🙏
Team strong ndani mama
Kutoka Kenya hapa Nairobi niombeni like zenu
Na mimi leo nimewahi 🎉🎉🎉anaetamani Baba Karobo aone like hapa❤❤
Ntunatamani aone ❤❤❤❤❤❤❤
Ataona Kwa jina la YESU
@@elizabethmutisya7504 amen 🙏 🙌
Hello cutie
@@PeterWambua-bn9zi hi
Yoyote atakae soma comment hii Mungu ampe maisha marefu na amfungulie milango ya ridhiki na amfanyie wepes kwa kila jambo amiin inshallah 🤲🙏
Amina
Amiiin
🎉🎉🎉kenya wapi likes
AMIIIN thumma amin
Amina sana
My first comment kutoka Burundi mnipeni likes jamn tujuane nawapenda saana wadau zangu tumuonyeshe upendo baba kalobo msimubanie mwandishi mzuli kama yeye❤❤❤
Kabisa bro ❤❤❤
May ALLAH protect you all dad j 's team more love u all God bless kazi zenyu awape nguvu mzidi kunawiri na kutia fora katika kuigiza kwenu kuliko na mafunzo Sana MOLA awalinde nyotee❤❤❤❤❤❤
Inshallah 💕🙏
Leo imekuwa nzuri Asante sana mchungaji kwa kumregesha karobo nukti leo amenifurahisha amekuwa mwema
Mapema ndio best Niko hapa
Chico chico b mchungaji mashallah wallah unapendeza San kweny uchungaji karobo kapatina masikin mungu wangu
Asante mungu wachungaji nawakubali chapeni faya na baba karobo aone😂😂😂😂😂😂
Waooooooh karobo amerudi Sasa ni zam ya baba karobo kuona na shetani kuaibika mbele ya watt wa MUNGU
Jamani tangu niangalie hii movie sijapata ata like Tano from 🇧🇮
@@KoarsKoars0-uz9mb umeshapata tena zakutosha😂🇧🇮
🇧🇮
Utapat inxhallh bby😢
Hzo like n za nini mrembo ama mnalipwa😂
Kwani ww unataka like aliyakuwa ww ndio wakuzitowa kwa baba karobo Yani watu 😂😂
Kazi safi sana baba joan nakubali sana kasi nzuri mko safi sana mafunzo juu yangu kujifunza ndo kukonga 😂😂 like mnipe jaman 😂😂nawapenda bure
Huu mchezo inafuzo kubwa sana na kumtegemea mungu pekeakee Amina sanaa wabalikiwe kina bakalobo
kama unaamini Mungu ndiye muweza yote naombeni likes jamani kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
💯💯💯💯
Amina Amina mungu ni yeye kila jambo lote
Waoooo Karobo wangu jamani umerudi. Mungu hana mpinzani
Nimewahi wa kwanza YOYOTE AKISOMA HII IN SHAA ALLAH MUNGU AMJALIE UMRI MREFU KWA SIKU YA LEO IJUMA AMFUNGULIE MILANGO YA KHERI KAMA MUME MUNGU AMJALIE MWANAMKE BORA KATIKA MAISHA NA KMA MWANAMKE MUNGU AMJALIE MUME BORA KATIKA MAISHA KWA IJUMAA HII ALLAH NAOMBA WAJALIE WAJA WAKO NA KUCOMEENT KUSEMA AMEEN 🤲🤲🤲
😂😂😂😂😂😂😂 eh nafurah kumuon chiko akiw mchungaj ktk move hiì
What a MIGHTY GOD WE SERVE. MUNGU awatie nguvu zaidi ili ulimwengu ujue kwamba yupo MUNGU mkuu mfalme wa dunia yote hakuna limshindalo ❤
Yote 9 ,,,,10. Usisahahu kumwomba mungu akuepushe namabaya
Chiko safari ya uchungaji hiooo inakuja mtumikieMUNGU
Ameen
Mama karobo umegonga mwamba sasa😢😢😢mungu n wa ajabu awezi shidwq n jambo lolote mjungaji mungu akubariki sana pamoja n familia yako muhushi maisha marefu nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤mungu awalinde nyote,nipe like zangu jameni kutoka Saudia 😢😢waja uchoyo
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿
🎉waw karobo amerundi maombi ,,, Sasa Baba karobo atakuwa Sawa kabisa
toka kenyaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes
Nimechelewa kutoka kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe
Kazi zuri team bba karobo mungu ni mwema wakati wote karobo karundi🙏🙏🙏
🎉🎉🎉na angalia nikiwa saudia naenda sana kipindi chenu nyote mnafanya vizuri.mkenya
Number 1 nipo apa naomba ata like 10
Baba joani kazi unachelewesha😊😅
Mutugaji shukuwa mauwayako🎉🎉🎉 tunakuaminisana utaweza
Mimi ndio nafika hapa sasa,,kazi nzuri sana baba karobo,,wenye wako hapa na mimi inua mikono juu,from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wa kwanza leo kutoka kenya wapi likes za baba karobo❤❤❤🤗
Episode ni fupi sana jmn hata hainogi kwakwel
Jamani kila ukitaka Jambo lako litimie first mutangulize Mungu maana bila yeye Ni bure tu anyways congratulations 👏 pastor Na team yako karobo kalejea tena Mungu awabariki🎉🎉❤
nmechelewa kias jamani baba karobo mungu akusaidie
Jamani chakufiya nini mimi nime Like kabla yakuona hiyi Movie❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mmwambie kibanio aniazime wigi lake pendwa❤❤😂😂
Yaani unyu mchugaji natamani nimnunulie shuti smart haigarie kwa nest episode Walai .mungu ukimtagulisha jambo lako ata likue gumu hajee alitenda kwa wakati . Asante sana baba yetu kwa kumuokoa karobo yaani movie enye mafunzo .inatuelemisha mengi. Sana miungu na vinginevio .mungu kwa weli ni alie njuuu bonguni Amina .milele🙏🙏
Ahsante Mungu kupitia kwa maombi kufanya wepesi karobo kupatikana 🙏🙏🙏muchungaji barikiwa sana 🎉🎉🎉🎉
Kiukweli baba kalobo unaweza,hongera kwa kazi nzuri,kutoka Kenya nawapenda
Kazii nzuri baba karobo😍😍😍😍😍😍
Nawapenda saana kasi nzuri uwaminifu kwa mungu ni mwema sana ❤❤❤🎉🎉
Hi
❤❤❤❤❤❤❤Kuna sehem sijaelewa baba karobo ulikuwa unaota ? au vp mpaka unafikia hatua ya kula ndala😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Alikuwa anawqza😂😂
@@juliethmathew559 Kumbe dah
Kazi nzuri Baba Joan with your team,
Umetupunguzia jamani dakika si utuongezee dakia❤
baba joan, mna tangaza utukufu wa Bwana na Muokozi wetu Yesu kirsto, MUNGU wa MBINGUNI abariki kazi za mikono yako kaka
Wanatangaza shirki ujinga mtupu
Mungu.hujlbu.maoambi,Kwak,wakati,,,wake🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu n mkuu zaidi y vyote baba karobo atapona Sasa 🤗🤗🙏
Jmn toka nianze kuangalia baba yangu kipofu sijawahi pewa likes ata. 10
Inshallah mungu n mwema karobo katoka qwa jiwe nawapenda xna 🎉🎉🎉🎉
Mchungaji mungu akujidishie upako
Hii Tamthilia naipenda mpaka naipenda tena coz inasimulia mambo tunayoishi nayo kwa jamii.
Naipenda sana hii movie, @BabaJoan you are gifted my brother.
Nimempenda sana huyo mchungaji
Waooo niukweli ukiwa Na uamini utaona miujiza ya Mungu ikikutokea❤❤❤
Haki nimefurahi sana karobo kupatikana ❤ next plz musikawiye kuleta next 46 plz
Nyi mnakuta watu Tuko mwishoni kuangalia alafu munasema wakwaza,❤❤❤ Mimi wa Kwanza na sitaki Laki zenu.
Hatimaye karobo amerudi,asante Mungu, amebakia baba naye aweze kuona sasa❤❤
Nilikua ninaongojea hii episode ya kumurudisha karobo sanaaa Kwa mungu akuna lilosindikana mungu n mwema kila wakati watumishi wa mungu Asanteni sanaaa Kwa kazi nzuri 🎉🎉❤❤
mungu baba mponye baba kalobo
mungubasifie 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Na barikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki
Wa kwanza from UK wapi like ya zu.......
Palipo na mungu akuna kinachoshindukana, atukuzwe sana mungu muumba mbingu na dunia🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante mungu kwa kutundea kurudisha karobo 🙏🏽🙏🏽❤❤
Mupate Tanu Juu ya Tanu . Ni wenu kutoka DR Congo.
Astaghafilullha pole sana baba karobo 😢😢😢
Tangu mwanzo hadi hapo tumefikia mmejifunza nini kazi c kuomba likes tu 😂
First one to comment from Kenya nipeeni likes. First to view
From Rwanda ❤❤❤❤❤
Warayikunze
❤🇧🇮
Hi
Number one from Congo Kinshasa 🇨🇩
Mungu hujibu maombi kwa wakati wake🙏🙏
Wakwanza kutoka 🇧🇮 🇧🇮🇧🇮 like zangu hapa wanayo mupenda baba kalobo🎉🎉🎉🎉
Wantanze
Unatoka bulundi semu gan
@@ErickMathiasErickmathias Rumonge wewe je??
Turahari kbs😂
@@AXELLAassia hehe kaka
Tumechoka kumuona baba karobo akiteseka na mwanawe Kwan zamu ya mama karobo haifiki..
Mafunzo mazuri sana. Mutangulize MUNGU kwakila jambo
Kazi nzr🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kumi n tatu Leo nimejitaidi plz baba karobo npeni ata like kumi 🙏🙏🙏🙏♥️♥️ nawapenda sana
Asante mchungaji kwa kazi ya kumrudisha karobo