Fahamu MAAJABU ya MELI na Manowari za URUSI zilizotia nanga CUBA na kuitisha MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 60

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 3 місяці тому +9

    Ila mwanang una material...ivi huwa unatoa wap material yote haya ...solute kk🤙

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 3 місяці тому +18

    Ukweli umeanza kujulikana baada ya propaganda za us kuwa na nguvu kwa miaka mingi.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 місяці тому +6

    🇹🇿❣️🇷🇺👏

  • @salimwanga
    @salimwanga 3 місяці тому

    Habari njema.🎉

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 3 місяці тому +5

    Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 3 місяці тому

    Keeping up putin with excellent innovative of the high technology of war ships .

  • @ALLYLUKONGE-ve2ci
    @ALLYLUKONGE-ve2ci 3 місяці тому +5

    Mt Putin huraaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 3 місяці тому

    Umesahau jambo muhimu Inauwezo wa kujificha kwenye Rada...yaani inaweza kupita sehemu na isionekane kwenye Radaa..

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 3 місяці тому

      Nini bosi kama ni submarines zinatumia mfumo wa sonar.

  • @hunstonjuliusmkonyionlinetv
    @hunstonjuliusmkonyionlinetv 3 місяці тому +4

    meli zaifu na za kizamani

  • @goodluckdamian9521
    @goodluckdamian9521 3 місяці тому

    Nevi sio Navi (Navy)

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 3 місяці тому

    Ulisemaga au ulizungumzia?

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 3 місяці тому

    Hawa warusi ni hatari

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 місяці тому +1

    Ukraine anazilipua

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 місяці тому +1

    Ukraine mbabe

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 3 місяці тому

    Muongo ww mara 5 mara 6 muongo

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 3 місяці тому +3

    Nipo Russia hap kwenye kumbukizi ya Yevgen prigozin na nakupata kinoma

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 3 місяці тому +20

    Mwakahuu mungu pamoja nasi ushoga ni chukizo kwa mungu

  • @caesargrams
    @caesargrams 3 місяці тому +7

    Whoever reading this, I prayy that whatever you’re going through gets better and whatever you’re struggling with or worrying about is going to be fine I wish you the best of what life has to offer.💯

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 3 місяці тому +10

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
    Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 3 місяці тому +2

    Ally una chambua vizuri sn inaeleweka ila. Hauzami Kwa uundani zaid kuelisha mtu mweusi. Mwafrika dj smaa anafanya ivyo. Ila Kila mtu analza yake

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 місяці тому +5

    Hatari sana

  • @WisleyDaniel-xk7xf
    @WisleyDaniel-xk7xf 3 місяці тому +4

    I'm number one plz i need likes

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 місяці тому +4

    Wakwanza leo

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 3 місяці тому +1

    Wazungu wote ndio wale wale tu. Africa tushtuke tuache umavi ulio tujaa kichwani

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 місяці тому +2

    Huyu bwana hachambui Ally masubi, amekuw kama anasom kitabu sasa hatupati uhondo mzuri km Dj sma

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 3 місяці тому

      kwasababu hana hushabik

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 3 місяці тому +1

      ​@@ShawnBeatzUSHABIKI GANI ANKO ??? UNATAKA ULETE HISIA ZAKO ZA KIDINI KWENYE FUSE?? HUKU NI FACTS AND LOGIC'S HUTAKI NENDA BBC KULE

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 3 місяці тому

      @@niffonlinetz7214 dini tena mm mpagan anko! hana facts wala logic apo

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 3 місяці тому

      @@ShawnBeatz KWANI UMELAZIMISHWA ANKO KUMSIKILIZA USIWE KINGANGANIZI KAMA LOKOLE

  • @erastosanga1694
    @erastosanga1694 3 місяці тому

    Heko putin propaganda kwisha

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau 3 місяці тому

    Hapo smaa naye amekaa anajifunza kwa Ally🤣🤣 maana huku pamoto🧐 kuvichambua vifaa kazi yake tena kwa uhalisia ? Hapana wazee wangonjera msubirieni taalifa inayofata anakuja 🤣

  • @african_channel
    @african_channel 3 місяці тому +1

    Kuna tofauti gani kati ya navy na marine soulders

    • @daprince7545
      @daprince7545 3 місяці тому

      Lote ni jeshi moja, linalokua kua na uwezo wa kupigana ndani ya maji na ardhini.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 3 місяці тому

      Marine ni jinamaalum la wanajeshi wa maji wa marekani ambao ni sehemu ya jeshi la navy.

  • @jamessiame5169
    @jamessiame5169 3 місяці тому +2

    Amuna kitu apo

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 3 місяці тому

      Kuandika tu hujui,utaelewa kinachoendelea duniani

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 3 місяці тому

      Kuandika tu hujui,utaelewa kinachoendelea duniani

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 3 місяці тому

    Corona ilianza kimasiahara hivihivi . Tujipange na Sisi 😂😂

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 місяці тому

    Wacha mfusi awape kampani wa quba wameteseka sana

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 місяці тому

    Sasa mlisema meli tatu... Sasa hivi meli moja

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 місяці тому

    Putin kaza baba

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 3 місяці тому

    Daah ni zaidi zama za vita baridi lkn nauliza si rahisi saba kwa waamerika kuzishambulia na kuzizamisha na kuwapa urusi hasara kubwa?

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 3 місяці тому

      Wanaziogopa kama sumu ndio maana hawajazigusa

  • @steavmcper7322
    @steavmcper7322 3 місяці тому

    Tyson Vs Paul

  • @GorbyWilliam
    @GorbyWilliam 3 місяці тому +4

    Tunarudi kuleee kwenye Cuba missiles crisis.

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 3 місяці тому

    Msulimoto 🇷🇺

  • @PaulEbby-n4r
    @PaulEbby-n4r 3 місяці тому

    Uuraaaaaaa

  • @elinathanbanka5485
    @elinathanbanka5485 3 місяці тому

    Inaonekana hujaanda mpango Kaz wako vzr mzee yaan Bora mkurugenzi bundala awe anatuwekea tu yeye maana Ile mashine ikiongea hata kama unasinzia utaamka

    • @AmosFocus-jd9qo
      @AmosFocus-jd9qo 3 місяці тому

      Vita visikie kwa jirani acheni uchochez kiki nuka dunia itakuwa kama kitongoji