BBI Report: Tanzanian minister, Palamagamba Kabudi, lectures Kenyans on unity

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 165

  • @michaelegondi6162
    @michaelegondi6162 5 років тому +23

    This are the leaders we want in Kenya not leaders who bring negativity amongst Kenyans thanks 🙏🏽 for the powerful speech.

  • @davidnyambuche352
    @davidnyambuche352 5 років тому +7

    I'm a Tanzanian, for sure we love our minister prof Palamagamba Kabudi, we also love Kenya and Tanzania. Tanzanians and Kenyans are brothers and sisters.. We love each other

  • @chrisogonas
    @chrisogonas 5 років тому +13

    Great speech, brother and minister from Tanzania... amazing.... amazing... amazing!!!

  • @dottobussagwe5264
    @dottobussagwe5264 5 років тому +3

    Hongera sana mh prof paramagamba kabudi kwa uwazi juu ya ndgu zetu wajifunze na watafika mbali

  • @f.a6043
    @f.a6043 5 років тому +2

    Mh.Kabudi👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤔🤔🤔Mh.kabu 👏🏼👏🏼👏🏼👍🏽👍🏽👍🏽🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️😁😁😁 sasa Baba tunakuelewa vizuri👏🏼👏🏼👏🏼🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 What a historical speech!! Mh. Prof. Kabudi

  • @lamechomariba8034
    @lamechomariba8034 5 років тому +13

    I love the words of this great leader

  • @BigDkevo
    @BigDkevo 5 років тому +18

    After 10yrs of President JP Magufuli leadership! TZ washajua President wao, God Bless East Africa God Bless Kenya.

    • @travelwaka770
      @travelwaka770 5 років тому

      Next President is PM Kasim Majaliwa

    • @tegezdomin8363
      @tegezdomin8363 5 років тому +1

      Between paramagamba kabundi and Kasimu Majaliwa,all of them we need

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 5 років тому +7

    Hongera sana Mh Palamaganda Kabudi natumaini viongozi Wetu hawa watajifunza kutoka kwako kwa nyioyo zao umejaa ruswa ufisadi na ukabila,tunampenda sana Raisi Mangufuli hacheki na mafisadi yeye kazi ni kutumbua hapa kazi tu

  • @patrickk.n953
    @patrickk.n953 5 років тому +4

    If the roots be troubled how can the tree stands.... What legacy did our founding father left for his people... Great lessons from Tanzania Mr. Kabudi

  • @shiundumeshack4186
    @shiundumeshack4186 5 років тому +10

    Speech full of wisdom!!!

  • @tafari988
    @tafari988 5 років тому +11

    That was a much needed and, a well deserved lecture! 🙌

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 5 років тому +16

    We need humble leaders like this man

    • @musa2843
      @musa2843 5 років тому +4

      I can assure you he will be rejected by majority of Kenyans. Tanzanian leaders never tell tribes to fight each other.

    • @allysaleh3005
      @allysaleh3005 5 років тому

      he is not humble....

    • @form34bees47
      @form34bees47 5 років тому

      What shows he's humble?

  • @charleswachira3951
    @charleswachira3951 5 років тому +4

    Wow wow....what a speech. full of wisdom, love for Kenya, brotherly rebuke and passion to see Kenya maintain its God given position in EA & African at large. Let us heed to these words of wisdom and eliminate tribalism and corruption. God bless Kenya God bless TZ!

    • @samasob8233
      @samasob8233 5 років тому

      but its not a god given position.

    • @charleswachira3951
      @charleswachira3951 5 років тому

      @@samasob8233 why sama?

    • @samasob8233
      @samasob8233 5 років тому

      @@charleswachira3951 really? OK, it is God's given :) enjoy

  • @tonnykishau4514
    @tonnykishau4514 5 років тому +17

    Hongera mheshimiwa kwa uelekesi huo na jumbe wa heri uliotupa sisi wakenya na jumuia ya afrika kwa jumla,kongole mwenyesi Maulana akubariki na akupe maisha marefu

  • @feisalali6078
    @feisalali6078 5 років тому +7

    Touching speech..Love u

  • @mariamutu5642
    @mariamutu5642 5 років тому +3

    Standing ovation for this guy Gold help Kenyans to heed what he has been sent to say

  • @pascalbahati4563
    @pascalbahati4563 5 років тому +14

    "Jambo adhimu na azizi"kuzungumza na kaumu hili Lilo na bashasha"Kiswahili kitamu Cha Hon Palamagamba Kibudi

  • @husseinomari5972
    @husseinomari5972 5 років тому +6

    Congratulations Mheshimiwa Kabudi

  • @weldoncheruiyot5852
    @weldoncheruiyot5852 5 років тому +7

    William Ruto God has given you a chance to save Kenya save them well.

  • @HANDOLOH
    @HANDOLOH 5 років тому +13

    Amazing speech, for sure Tanzania's economy will overtake Kenya's, it's a matter of time. Unless we drop tribal politics!

  • @gooddeeds162
    @gooddeeds162 5 років тому +10

    Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi 🇹🇿, 😊.

  • @penanauae316
    @penanauae316 5 років тому +14

    KISHWAHILI ya Tanzania hoyeeeeeedd welcam Kenya awa hero

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 5 років тому +2

      Haha sie kiswahili ndo lugha tunaongea muda wote Na ndo lugha tunayoijua we almost don't speak tribal languages so ndo mana twaongea tunavyotaka

    • @penanauae316
      @penanauae316 5 років тому +2

      @@fahadfaraj1263 sante

    • @swahiliwithdavid5910
      @swahiliwithdavid5910 5 років тому +1

      @@fahadfaraj1263 There's nothing wrong with tribal languages...and tribal languages doesn't equate tribalism!

    • @penanauae316
      @penanauae316 4 роки тому

      @@fahadfaraj1263 KISHWAHILI ni lugha poa sana bro

  • @faboge
    @faboge 5 років тому +3

    wow what powerful speech!

  • @alphaneemashila1187
    @alphaneemashila1187 5 років тому +3

    Asante YESU kwa mbegu ya AMANI na UMOJA kwa Wakenya...imwagilie,ikuze kwa utukufu wako..Thank you JESUS..Thank you for a new KENYA!!!!

  • @harrismuiruri4982
    @harrismuiruri4982 5 років тому +13

    Africa is raising and we might live to see a United States of Africa in our lifetime oh how we pray, our economic growth depends on it we need to work together as one, starting with Eastern Africa

    • @rubysailor9186
      @rubysailor9186 5 років тому

      Africans you need to stop putting yourselves down and comparing countries. Kenya is very different in so many ways from TZ. You should thank God kenya is not like congo or Somali. Kenya is not where it should be but we need to complete the journey and peace stability will get Kenya there.

    • @musa2843
      @musa2843 5 років тому

      We had a very strong East African Union which was envied by the architects of European Union. What happened? Kenyans were thieves, stealing everything. Nyerere did not like it. Amin wanted to grab everything.

  • @lordbyron4242
    @lordbyron4242 5 років тому +7

    Kumbukizi - !!!! Rememberance

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому +2

    Kongole kwako Prof. Kabudi kwa hotuba makini na mujarabu. Hakika ulitia chumvi na nakshi nakshi za kutosha zilizokonga nyoyo za wakenya vilivyo. Watanzania tunawapenda sn. We wish you well. Maendeleo hayana vyama,dini wala ukabila.Kenya oyeeee!!!!!

  • @georgevincental9444
    @georgevincental9444 5 років тому +1

    A speech full of truth that Kenyans deserve

  • @patrickk.n953
    @patrickk.n953 5 років тому +3

    Chant them.. More powerful speech Kenya '' The Easts Africa's Engine ''

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd 5 років тому +3

    11.20-23 I just saw one member of Kamati ya roho chafu,,,,,
    I wish could stop kutukuza makabila,,,,Much Love for Tanzania. This country is Phenomenal

  • @AllyMchume
    @AllyMchume 5 років тому +3

    very inspiring speech

  • @msemakweli7643
    @msemakweli7643 5 років тому +22

    Jamani nani ameficha kamusi yangu. Nimetafuta hata huku bedroom sipati.

  • @rubysailor9186
    @rubysailor9186 5 років тому +11

    Kongole,who else is hearing that word for the first time. Watu wa Nairobi mko wapi ? Kujeni na kamusi. I need to demand refund from my Swahili teacher. But Swahili is so soothing.

    • @pascalbahati4563
      @pascalbahati4563 5 років тому +1

      Wengine wasio makini watatumia neno kongole Kama la Matusi"Kongole wewe"!!😋

    • @alikomatola6535
      @alikomatola6535 4 роки тому

      hongera kwa mwanamke, kongore ni kwa mwanamme na pongezi ni kwa wote

  • @maulidhussein667
    @maulidhussein667 5 років тому +8

    Namkubali sana huyu wazili

  • @osmendez475
    @osmendez475 5 років тому +27

    Msio elewa kiswahili ni nyinyi watu wa highlands.wa coast twapatana vizuri kabisa hapa na waziri huyu na lugha ya kiswahili.

    • @osmendez475
      @osmendez475 5 років тому

      @Azam Didier wachache wenye Kuki sturdy naeza sema but majority some words zinapita na Maji hawaunganishi maana ya maneno.

    • @MJ-ye7dd
      @MJ-ye7dd 5 років тому +1

      @Azam Didier hahahaha acha hizo

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 2 місяці тому

      Ni kweli nikiwa Mombasa najisikia Kama Niko Tanzania tuu.

  • @albertnshunju4172
    @albertnshunju4172 5 років тому +5

    Good work professor!!

  • @ananiasangwa7761
    @ananiasangwa7761 5 років тому +7

    Siasa za Maandeleo zinajenga Taifa kuliko siasa za Ukabila. Heri wapatanishi!

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 5 років тому +14

    Speech ambayo hata muanzilishi wa urahisi Kenyatta hakuwahi toa maongezi yenye busara na hekima nyingi

  • @waxwanjauwax
    @waxwanjauwax 5 років тому +10

    Next TZ president!

  • @lukangujistephano3029
    @lukangujistephano3029 5 років тому +8

    Udsm wamemiss lecture zako.

  • @bosirekenyatta1248
    @bosirekenyatta1248 5 років тому +9

    Next level leadership loading for Tz while we are busy with tribalism and twa🤣🤣🤣4 once we need 2 be crious

  • @MarlonMuthiani
    @MarlonMuthiani 5 років тому +6

    Kiswahili is Africa's language

  • @namukana1
    @namukana1 5 років тому +14

    Hi kiswahili jameni

  • @melchzedekibencho9159
    @melchzedekibencho9159 5 років тому +2

    Mheshimiwa ansante kwa kutacha wakuria tumesahaulika sana hapa kenya. Thank you very much

  • @bokimmwamba2322
    @bokimmwamba2322 5 років тому +11

    Upele umempata mkunaji mwenye kucha ndefu 🤪🤪🤪mtanzania unampa nafasi ya kuongea utafurahi na rohoo yako Kama ndo kwa mahakama analipwa na fidia na kesi anafutiwaaa

  • @sydneyleyian2732
    @sydneyleyian2732 5 років тому +5

    Wahenga where are you mnisaidie bana

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 5 років тому +2

    Ongea kiswahili Wakenya na ukabila utaharibu ! Nchi moja lugha moja !

  • @manans254
    @manans254 5 років тому +12

    Julius Nyerere alijenga nchi compared to Kenyatta who entised tribalism.

    • @saididavis7697
      @saididavis7697 5 років тому

      Exactly that's where the problem started in this country but thank God we trying to correct all that mess

    • @allymngwaya6219
      @allymngwaya6219 5 років тому +4

      That's it mimi ni Mtanzania but sijui huyo waziri wetu ni kabila gani. And it's normal to most of Tanzanians.

    • @saididavis7697
      @saididavis7697 5 років тому

      @@allymngwaya6219 that's not the case here we first dig out which tribe is someone coming from b4 we support him or her and this thing was installed in us by our first president..... Aki angelkuwa kama Nyerere East Africa at large tungelkuwa mbali sana lakin all the same hatujachelewa let's keep on working hard tutafika tuu

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 років тому +4

      Saidi Davis Nyerere alikua na ndoto EAs tuungane, alisema mwenyewe he tried too much to convince Mzee Kenyatta awe rais wa EAcommunity , Sema ndo hivo haikuwezekana
      Ikabidi studiekeuze kumshawishi rais wa Zanzibar and we ended up with Tanganyika +Zanzibar union

    • @richardsoka2400
      @richardsoka2400 5 років тому

      @Ally Mngwaya I am a Tanzanian, astonishingly I don’t know the tribe of my Minister for foreign affairs Prof Palamagamba. That is Tanzania and Tanzanians.

  • @irenemaina7197
    @irenemaina7197 5 років тому +16

    What kiswahili did I learn in school?

    • @mrvin9371
      @mrvin9371 5 років тому +4

      hahaaaaaaaaaa... I am not the only one floating hehehe..

    • @musa2843
      @musa2843 5 років тому +1

      Sheng. I was learning Kiswahili in High School taught by a graduate from Diploma College until a Masters Graduate from KU came and started teaching Swahili in English

    • @cmsa1r
      @cmsa1r 5 років тому +1

      I am Tanzanian, this Swahili is still above my pay grade

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 5 років тому +1

      Beto Beto really?, mtanzania wa wapi wewe humuelewi Waziri Kabudi?

    • @musa2843
      @musa2843 5 років тому +2

      @@SimbaM2kufu , anaelewa, bali anasema Mheshimiwa ana kiswahili kiwango cha juu

  • @chachaveli6511
    @chachaveli6511 5 років тому +2

    mungu asiwache nikufe kabla nione mkamba mtanzania

    • @kinjeketilengwale1141
      @kinjeketilengwale1141 5 років тому

      Chachaveli 😂😂😂

    • @mcorama
      @mcorama 5 років тому

      I AM DEAD HAHAHAHHAHAHA

    • @kinjeketilengwale1141
      @kinjeketilengwale1141 5 років тому

      Chachaveli wakamba wa tanzania sio wachawi😂

    • @chachaveli6511
      @chachaveli6511 5 років тому

      @@kinjeketilengwale1141wa huko ni ma kurutu bado, tanzania kuna wale walimu wao wenye imebidi hadi watengenezewe movies😂

    • @keanesou4339
      @keanesou4339 5 років тому

      Njoo Maswa district wapo wengi sana brother

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 4 роки тому +3

    Huyu mzee anasema jina gumu sana hili 😂😂

  • @peteromwoyo3376
    @peteromwoyo3376 5 років тому +5

    kabudi anafaa hawe raisa wa TZ after Magufuli anaongea kama kiongozi amekomaa

  • @EnosNgelela
    @EnosNgelela 2 місяці тому

    Kuna mzee Kiswahili kinampita anabakia kucheka tu😃💚🇹🇿

  • @shikanyota
    @shikanyota 5 років тому +2

    Kikosi kazi yani task force.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 років тому +11

    Kiswahili yenye tunajua ni twa twa twa pekejeg pekejeg

    • @MWAMALUMBILI
      @MWAMALUMBILI 5 років тому +2

      James Gathaiya , Pamoja tutafika. Safari is hatua kwa hatua.

  • @mashaurifoundation
    @mashaurifoundation 5 років тому +3

    Kiswahili chenyewe kimenawili na kimekomaa ipasavyo na cha stadi. Watu wengi hawakijui Kiswahili bali asilimia 10.

  • @lordbyron4242
    @lordbyron4242 5 років тому +4

    This guy is teaching us Kenyans Swahili eish Salala

    • @MWAMALUMBILI
      @MWAMALUMBILI 5 років тому +1

      Lord Byron ''elimu haina mwisho.''

  • @jmandelax
    @jmandelax 5 років тому +3

    Welcome to Kiswahili class.

  • @peterpallangyo7454
    @peterpallangyo7454 5 місяців тому

    Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi

  • @weldoncheruiyot5852
    @weldoncheruiyot5852 5 років тому +1

    Can Janet Mohamed listen to this

  • @jmandelax
    @jmandelax 5 років тому +3

    Jomo Kenyatta made sure that Tribalism > Nationalism

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 Рік тому

      Foolish.Jomo Kenyatta was not a tribal leader.You're the tribal one.

  • @sqwale7
    @sqwale7 5 років тому +3

    I'm going to stop saying i speak Kiswahili on all these forms i fill

    • @erickmarcus2321
      @erickmarcus2321 5 років тому

      😂😂😂😂😂

    • @sqwale7
      @sqwale7 5 років тому

      @@erickmarcus2321 I literally speak to my fellow Kenyans in what I thought was swa and they understand me and respond.
      But how did this guy give a speech and I got nothing he said.

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 роки тому

    JINA KUBWA SANA KWELI!!,,

  • @denverkunte
    @denverkunte 5 років тому +4

    Tutavumiliana

  • @alikocha9830
    @alikocha9830 5 років тому +1

    Wakenya mko na masikio Mume sikia na msliache Yale mumeambiwa na waziri Wa tz hapo bomas pls tuzingatie na kutekeleza

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 Рік тому +1

    Viongozi wa Kenya mjifunze kuongea lugha fasihi Na yenye kuonganisha wananchi,viongozi wetu wamefuzu kuiba Na kuhubiri ukabila,watanzania wako wametuzidi,Kenya kizungu nyingi Na uizi nyingi,Waziri wafunze wajinga jinsi ya kuongee Na wananchi

  • @mariamutu5642
    @mariamutu5642 5 років тому

    God help

  • @aliimwasiri2764
    @aliimwasiri2764 5 років тому +8

    Ntv mnaboa na sauti bana

  • @georgevincental9444
    @georgevincental9444 5 років тому +1

    A speech that made Dp too appear as though the bbi unveiling was used are podium to criticise his motive of power at the expense of power ,corruption,tribalism,and cheap politicts of lies

  • @musa2843
    @musa2843 5 років тому +2

    Shida Mheshimiwa Palamagamba, Kiswahili ulichotumia hakieleweki hapa kwetu Kenya.
    Pili, kuambia wakenya wa ache ukabila ni sawa na kutangatanga ovyo. Wakenya, hasa wanojidai kuwa viongozi, ni wezi rasmi, na wezi wa kuu hujificha ndani ya makabila .

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 5 років тому +3

      Nyie majirani mbona kiswahili cha kawaida tu icho jamani nyie mnapenda English sana najua watu wa Mombasa wanamuelewa chote sema nini sie watz twawapenda nyie ndugu zetu wa kenya

  • @nyerere0056
    @nyerere0056 5 років тому +1

    Kenya laana ya ukabila ilianzishwa na kenyata na odinga haitaisha as long hizo familia zipo madarakani

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 2 місяці тому

    🙏💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌷🌷🏝️

  • @geophreyponera4254
    @geophreyponera4254 3 місяці тому

    Kabudi Ni mwamba sijajua sababu za yeye kutokuwa mkuu wa NCHI hii

  • @mushken65
    @mushken65 5 років тому +1

    Kwani MZEE Yusuf Haji ameshakuwa mjinga. Kwa anabehave aje?

    • @gamalsankara1388
      @gamalsankara1388 5 років тому

      Watu wakizeeka hurudi kuwa watoto.
      Mzee hajji amekula chumvi.

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 5 років тому

    Ongea kiswahili

  • @erickmarcus2321
    @erickmarcus2321 5 років тому +5

    Sacamlacutory vbh, this vocabulary lol

  • @esthernyabuto3845
    @esthernyabuto3845 5 років тому +1

    Wambie wapumbavu sana hao wanataka mifuko yao ijae huku sisi wanyonge twaishia umasikinini

  • @denverkunte
    @denverkunte 5 років тому

    Hapo Kwa mathila umetuwacha pending

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 місяців тому

    Tanzania hakuna UKABILA bali kunakujuana . hilo vip mr kabudi ?

  • @fiddofandedu4142
    @fiddofandedu4142 3 роки тому

    wamvumi daa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому +1

    PROBLEM OF KENYA NI WABARA, WANA UKABILA SANA

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 5 років тому +1

    Prof Kabudi is smart upstairs, he is a good speaker too but he use these intellect to deceive many. He is not good in keeping his words and his promises. Anything he advised the Kenyan to which we always like them, he is pursuing another worse trajectory under one of the worse tyrant of our times

    • @allymngwaya1369
      @allymngwaya1369 5 років тому +1

      Not true, why hating him for no reason

    • @josephmoses5406
      @josephmoses5406 5 років тому

      Ally Mngwaya there is no reasons whatsoever to hate him, this is the fact. That he is smart, yes, that he is a sellout, indeed yes

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 місяців тому

    Paramagamba.akiwabatiza wakenya hahahahahahaha

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 5 років тому +1

    Killers...

  • @PauloLoota
    @PauloLoota 6 місяців тому

    😂

  • @eng.makolal1367
    @eng.makolal1367 5 років тому +1

    Kenyans are funny. How did you invite this shameless hooligan called Kabudi?

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 років тому +3

    It is a Shame Bringing a Tanzanian the country which is dictatorial to talk about building bridges while at Home they are setting every bridge on fire. Shenzi Sana.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 5 років тому +1

      I am a Tanzanian let me tell you that theirs no Dictatorship in Tanzania if u break the raw u will be displined immediately

    • @isaacsinienga2041
      @isaacsinienga2041 5 років тому

      Hamkosekani, tulia dawa iingie ni kweli moto unawawakia madhulumati, wezi na wahuni wa nchi hii nawewe pengine umo, pole sana this time is not yours.

    • @allymngwaya1369
      @allymngwaya1369 5 років тому

      The name itself shows which side you come from. You will then never praise him by any means.

    • @iskitogo
      @iskitogo 5 років тому

      Professor Kabudi delivered one of the best speeches of all times. The contents and the delivery methods were exactly perfect for the very auspicious day and gathering. Kenyans are amid of regain its part of its gone glory, it's the duty of her close and blood relative like Tanzania to come in and tell the truth. Kenya is great nation with great people, innovators, talents, etc...it is supposed to be one the best economy in Africa if not the world. Kenya resources aren't equally reasonable distributed for the benefit of the country. Ufisadi, rushwa na ukabila dragged Kenya to where it is today.

    • @luganomwambulukutu5311
      @luganomwambulukutu5311 5 років тому

      Ile bustani ya amani iliyo tajwa kwenye biblia ni tanzania