Hello pastor naitwa irine from Kenya but currently in iraq mahubiri Yako imenitoa mbali sana I want to say thank you for your good job may bless you more and more
Amen,Mungu akubariki sana mchungaji kwa kazi ambayo unayoifanya pamoja na wale mnaosaidiana nao ilitupate neno hapa mtandaoni ,nimejifunza mengi,Mungu awajaze nguvu na neema yake itoshe
Amen pastor unarusaidia Sana kutulisha chakula Cha kiroho.MUNGU wa mbinguni asifiwe na akuongezee miaka mingi maana wengine wetu Kama Mimi umenitoa mbali
Asanteni Mchungaji kuendelea kutufunukia Siri ya maisha ya ushindi, Kwa kuwa mbaraka Kwa watu wengine Bwana azidi kutujaza Roho Mtakatifu ili atuogoze katika kanuni HII ya mbinuni ya upendo
Ushukuriwe MUNGU muuba mbingu na nchi kwajiri ya mtumishi wako mbaga nilipo sikiliza kwenye you tube mahubiri ya ushuhuda wako nikaamini nikabatizwa 2020 nikakata tamaaa leo ameniinua tena baba yangu uliye juu nikutumikie sasa maana hili somo limenigusa mimi
Niombee mchungaj niweze kupona matenzi yalio kuwa yananiuma kupitia neno lako llkuwa lnasema usihofu majibu ya daktar yanasema nn ww mtumainie mungu pasta nimepona namba uniombee yasirud tena Amina
Ushuhuda wangu siku 1 niliingia katika jaribu la Kwenda kwa Mganga baada ya kutapeliwa gari yanguu lakini rafiki Mmoja akanambia twende Kusini kuna Mtaalam anaweza kukufanyia na mali zako zikarudi nilikubali!!! Ila nilipotoka hapo Roho yangu iliumaa sana nilipiga magoti nikaomba Msamahaa mbele zangu nikiamini Mungu atanitendea japo mpka leo sijalipata gari langu lakini naamini ipo siku litarudi
Ni kweli mtumishi am from Mombasa kila jumapil family nying huenda apo mahali ( kwa Pere) wanapewa chakula karibia mikoa mitano huilisha na kma mko wengi kw family waeza maliza week nzima hamnunui chakula dukani😂 Ukienda upande wa barabara ni yey upande wa museum ni yey, mahospitali ni yeye... Mungu aendlee kumtunza baba huyu🙏
Jambo Pastor. Naomba maombi kwa ajili ya kaka yangu mdogo ambaye amekumbwa na uvutaji wa bangi na madawa ya kulevya huko Congo na hata amebatizwa kanisani lakini hajabadilika.
Pastor..siku moja nilikusikiliza ulikua unahubiri kuhushu Imani ukasema ulikua unasema Ile gari ni yangu, kwa kweli Hilo neno nilifanyia zoezi mwishowe mungu alinibariki nikapata gari..KDB
pr bwana hasifiwe pastor naomba uniombeye niwe mshindi wazambi na nisimame vizuri kiroho kwajina la yesu Amen
Hello pastor naitwa irine from Kenya but currently in iraq mahubiri Yako imenitoa mbali sana I want to say thank you for your good job may bless you more and more
May God bless you 🙏🙏
Amen Mungu wetu akubariki sana kwa mafundisho mazuri nimebarikiwa sana kila unapohubiri
Nimejifunza mengi sana tangu nianze kukuskiza pr be blessed 😊
Bariki watoto wangu wote wape uponyaji
Baba Mungu akubariki pastor , nimejifunza mengi sana 🙏
Nazidi kubarikiwa kwa Kila neno la mungu
Watching from Nakuru Kenya. Thanks a lot Pastor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuinue ktkt viwango vya juu nasi tupate kufunuliwa neno la Mungu
Mchungaji ubarikiwe na Mungu atukuzwe
Amen
usemayo ni kweli kabisa,,namuomba mungu anisaidie nisimsahau,,asante kwa mafundisho yako,,mungu akulinde David
Nakupa ya sana pastor BWANA akubariki
Naomba uiombee familia yangu isimame katika utoaji wa mpango na kusimama ktk Imani kikamilifu..
Mungu skubariki
Mombasa cement Mungu amubariki amekuwa kioo cha msikin kenya
Amen hallelujah
Amen nimbarikwa Na somo hili mungu akubariki mtumshi hakika mungu akuzidishiee hekima Na kibali
Amina
Pastor naomba uwaombee watotot wangu wanakuwa wanaugua kila wakati Yesu kristo akatende juu yao,,, amina
Amen 🙏🇰🇪
Amen,Mungu akubariki sana mchungaji kwa kazi ambayo unayoifanya pamoja na wale mnaosaidiana nao ilitupate neno hapa mtandaoni ,nimejifunza mengi,Mungu awajaze nguvu na neema yake itoshe
Nabarikiwa sana na hili somo nakuombea mema mchungaji ww ni mwalimu sahihi
Namtukuza Mungu kwa ajili ya neno hili ambalo limepenya ndani ya nafsi yangu. Mungu akubariki pastor Mmbaga
🙌🙌🙏
Amen pastor unarusaidia Sana kutulisha chakula Cha kiroho.MUNGU wa mbinguni asifiwe na akuongezee miaka mingi maana wengine wetu Kama Mimi umenitoa mbali
Asanteni Mchungaji kuendelea kutufunukia Siri ya maisha ya ushindi, Kwa kuwa mbaraka Kwa watu wengine Bwana azidi kutujaza Roho Mtakatifu ili atuogoze katika kanuni HII ya mbinuni ya upendo
Ushukuriwe MUNGU muuba mbingu na nchi kwajiri ya mtumishi wako mbaga nilipo sikiliza kwenye you tube mahubiri ya ushuhuda wako nikaamini nikabatizwa 2020 nikakata tamaaa leo ameniinua tena baba yangu uliye juu nikutumikie sasa maana hili somo limenigusa mimi
Nabarikiwa nibariki na nyumba yangu yote ktk maombi
Amina, Mungu atusaidie kusimama.
Tayari kusikia neno la Mungu
KARIBU
Walioanzisha vipindi vya dini shuleni na vyuoni wabarikiwe
Naihitaj nipate kuhama ofisi ninayo fanya kazi kwa jina la yesu
Muombe Mungu akupe office sahihi
Pr utusaidie kuomba tuna case kaka yetu mkubwa alichukua loan n shamba letu tulijua lilipo wekwa gasetini kupigwa mnada,Mungu atujalie iishe sbb atakulipa wakili imekuwa ngumu kw sasa
Poleni sana
Oh maskin. Mungu atawasaidia
Mungu awasaidie
Good morning 🌄 pastor, maisha yangu Iko hapo Kwa miiba nijitoe aje 😭😭😭😭
I'm Richard mutisya from Nairobi Kenya pipeline area
Be blessed pr
Amen 🙏
🙏
Namba havionekani vizuri madishi ni kidogo sana siono
Niombee mchungaj niweze kupona matenzi yalio kuwa yananiuma kupitia neno lako llkuwa lnasema usihofu majibu ya daktar yanasema nn ww mtumainie mungu pasta nimepona namba uniombee yasirud tena Amina
Still waiting
Pst Bwana asifiwe, mm nko na swali, je mkristo anafaa kutoa rushwa wakati anatafuta kazi
Ushuhuda wangu siku 1 niliingia katika jaribu la Kwenda kwa Mganga baada ya kutapeliwa gari yanguu lakini rafiki Mmoja akanambia twende Kusini kuna Mtaalam anaweza kukufanyia na mali zako zikarudi nilikubali!!!
Ila nilipotoka hapo Roho yangu iliumaa sana nilipiga magoti nikaomba Msamahaa mbele zangu nikiamini Mungu atanitendea japo mpka leo sijalipata gari langu lakini naamini ipo siku litarudi
Natuma Ombi langu tena pastor, Mungu anibariki na kazi tangu mwaka jana nilipoteza kazi hadi sahii bado sifahulu,niombe Pastor milango yangu ifunguke.
MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO
Bwana YESU naomba umponye mdogo wangu bawasiri kama ulivyo mponya majipu mtumushi wako Ayubu
Mungu akutendee muujiza
Amena
Ni kweli mtumishi am from Mombasa kila jumapil family nying huenda apo mahali ( kwa Pere) wanapewa chakula karibia mikoa mitano huilisha na kma mko wengi kw family waeza maliza week nzima hamnunui chakula dukani😂
Ukienda upande wa barabara ni yey upande wa museum ni yey, mahospitali ni yeye... Mungu aendlee kumtunza baba huyu🙏
Mchungaji naomba uponyaji katika Familia yangu
Jambo Pastor.
Naomba maombi kwa ajili ya kaka yangu mdogo ambaye amekumbwa na uvutaji wa bangi na madawa ya kulevya huko Congo na hata amebatizwa kanisani lakini hajabadilika.
Amina amina
Waiting for
Barikiwa
Nasubiri
Emeeen
🙏 🙏 🙏 🙏
Emeeeeni
Pr pia naomba masomo ya.kufanya.kazi kwa bidii iliyaendelee kututia nguvu vijana
Naomba pastor no ya whatsapp, be blessed
Hakika MUNGU anasema na mimi Yesu anisaidie kupata kumfanya kuwa wa kwanza
Pastor..siku moja nilikusikiliza ulikua unahubiri kuhushu Imani ukasema ulikua unasema Ile gari ni yangu, kwa kweli Hilo neno nilifanyia zoezi mwishowe mungu alinibariki nikapata gari..KDB
I say thank you may the God continue bless you abundantly..kupitia wewe mungu amenitoa mbali..na ninaamini ananipeleka mbali zaidi
Aminaaa
Ombea.alice.apate.kazi
Aimen
Pastor.nahitaji.maombi.juu.ya.dadazangu.wako.saudi.wanafanya.kazi.lakini.walipwe.pesa.wako.na.miezi.sita.miaka.mbili.na.wengine.miaka.taut.na.nine.nisaidie.kuomba.
Pr naomba namba yako
Mchungaji nimeshindwa kununua kitabu chako mtandaoni sijui tatizo nini
AMEN
Maombi.kwa.dadazangu.wako.saudi.wanafanya.kazi.na.wengi.wao.awalipwell.pesa.na.wame.kaa.wengine.miezi.sita
Amen
Amina na barikiwa sana na mafudisho yako MUNGU akubariki sana pastor
🙏
Still waiting
Pester mu ngu m Elijah from Kenya sana pester mm fundi Nitoke kwa Mandeen y a biashara n.a. ret emeeeni
Amen
Amen