Naomba maombi ya kufunguliwa kwa watoto wangu. Naomba mitego ya shetani iondoke nyumani kwangu. Naomba kwangusha kila kitu cha giza kilichoinuka kwa maisha yangu
Amina pastor zidi kutukumbuka Kwa maombi wengine hatufikii live but tunafuata nyuma nasikia kufarijika Sana moyoni mwangu nnaamini Mungu🙏🙏 anaenda kufanya mapenzi yake katika Maisha yangu
Ahsante sana pastor David Mmbaga,Hakika kupitia wewe nimejifunza vitu vingi sana maishani mwangu ambavyo nilikua sivijui. Yaani huwa siwezi kulala bila kusikiliza mafundisho yako natamani siku moja Nikuone live na ninaamini tutakuja kuonana.
PASTER : MBAGA, UMENIJENGA KIROHO SANA, DAKATINE UMETUFUNDISHA, JUUYANAMNA Y'A KUZIBOMOA GNOME ZA KIFIKRA. MUNGU, AK UONGEZE SANA KIROHO, NA KIMWILI. A SANTE.
Amina mtumishi kunangome ya wanaweke sda kusuka na kuvaa nywele bandia tuombeni i
Naomba maombi ya kufunguliwa kwa watoto wangu. Naomba mitego ya shetani iondoke nyumani kwangu. Naomba kwangusha kila kitu cha giza kilichoinuka kwa maisha yangu
Mungu akutendee muujiza
Naomba maombi yakufunguliwa maumivu katika mgongo ,begani na kifuani Mwenyezi Mungu anifanyie wepesi nikapone
Mungu akutendee makuu
Pastor bwana asipiwi naomba maombi ya family yangu Niko Saudi nikipata pesa asifanyi kazi past niombe
pastor naomba unitamkia neno ili Mungu aweke ulinzi wakekwangu na mwanangu nimzae salama akiwa na afya njema na kibali Cha kuishi
Mungu akupe haja ya moyo wako
Nimebarikiwa na hili funzo MCHUNAJI GOD bless you 🙏❤️
Asantee kwa somo kila ninaposikiliza naona nimeongeza nguvu kiroho
Amina pastor zidi kutukumbuka Kwa maombi wengine hatufikii live but tunafuata nyuma nasikia kufarijika Sana moyoni mwangu nnaamini Mungu🙏🙏 anaenda kufanya mapenzi yake katika Maisha yangu
Ubarikiwe
am blessed make the lesson downloadable i like sharing its so enriching
Amen paster .mungu akubariki huu ujumbe kwa kuinua na kufunza mtu kiimani❤🎉
Mafundisho yako yananikuisha sana katika imani. Mungu na aendelee kukupa nguvu ya kuongoa mioyo
Nashukuru mungu Kwa maana yeye ni mkubwa kuliko shetani aliye pande ingine,mungu endelea kunifunguliwa milango ya baraka Kwa maisha na familia yangu
Amen
Asante pastor kwa SoMo la kubomoa ngome nimejifunza kitu
Nimebarikawa sanaa na somo hili sasa ni nafahamu namna nitambamba na ,vita langu👏👏
Asante mchungaji unatubariki mimi na familia yangu tuombee tupokee uongozi wa roho mtakatifu.
mtumishi wa Mungu
unaonaje kiunabidii kuhusu River Euphrates
Mungu akubariki sana pastor nimetazama hope channel somo nimelikuta linakaribia kuisha ila nimebarikiwa sana Mungu awe nawe daima
Yangu nashukuru Mungu sana kwa somo la leo na Mungu anishindanie kuondoa Ngome zote za kishetani ...Barikiwa sana Pastor
Amina
Amen pastor mungu akubariki. 🇸🇦From
Amen,Mungu akubariki Pastor kwa masomo haya ya kututia moyo.
Good bless you
Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa neno hili la uzima, Bwana azidi kukutumia ahsante.
Amen 🙏
Somo zuri sana linatujenga . Ubarikiwe pastor Mbaga
Amen
Amina sana , Nimebarikiwa Kwa kipindi hiki Cha maombi.
Mungu wangu niondolee ngome ya kishetani ndani yangu
Aminaa
Thank you Pastor. I'm ever blessed with the word of the LORD and I always learn something new. Let our LORD uplift you higher and higher, AMEN..
Ahsante sana pastor David Mmbaga,Hakika kupitia wewe nimejifunza vitu vingi sana maishani mwangu ambavyo nilikua sivijui. Yaani huwa siwezi kulala bila kusikiliza mafundisho yako natamani siku moja Nikuone live na ninaamini tutakuja kuonana.
Naomba mniombee Mimi na mume wangu na watoto wangu tuokolewe
Nawezaje kupata kitabu cha maombi yanayojibiwa
Bwana yesu asinine ,una tubariki sana
PASTER : MBAGA, UMENIJENGA KIROHO SANA, DAKATINE UMETUFUNDISHA, JUUYANAMNA Y'A KUZIBOMOA GNOME ZA KIFIKRA. MUNGU, AK UONGEZE SANA KIROHO, NA KIMWILI. A SANTE.
Amen
Asante sana, nimetoka mahali
Nimebarikiwa🙏🙏
Emeeeen
Amina
amen
Amen 🙏🏼
Amen
Amina