🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 13 - JUNE 26
Вставка
- Опубліковано 25 чер 2024
- 🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 13 - JUNE 26
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
❤❤ naipenda San report y leo
Eeee yesu wangu tulinde sisi waja wako hapa duniani ni jehanam kabisa
Da Vero we ni msupuuu❤
Da vero leo b'day yako nini🎉
Naipenda simba
Edge nampa pole sana kwa mapito aliyopitia
Pole sanaaa Edger
Dada Vero unaremba sana, matangazo mengi
Yes tupo pamoja
Story nying mwshoe tufike ijumaa useme haijaisha tutaimalizia jtatu ninaamn angesimulia edga mwenyew ingeshaisha
Weee nae khaa kimia
umelazimishwa kusikiliza ifike tu hata mwezi
@@Fatima1234-wl1nu kwenda uko maskio km vitunguu swaumu
@@fora2009 kwenda uko ndo ukwel bichwa kubwa
@@Deedylr4767 Asante ila uzuri ujumbe umekufikia na wewe unaipenda ripoti ya leo ndo maana unaifatilia na una enjoy eeeh?
Mambo ni mengi mnooo kwenye hii dunia😢😢😢
Vero huku Tabora ikifika muda wa simulizi hausikiki redio inakoroma tu kwa kweli tunamiss simulizi
Ili tuisikilize story nyingine hii mwisho wake umeanza kujulikana ni Dua au maombi tu hapo
Mwambie tu edga aende kwenye maombi au Dua tu
Kweli tembea uone,dunia ina mambo hii😢
Duh
Namna ya kucheza vuna dayl
❤