🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 8 - JULY 10

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • 🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 8 - JULY 10
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    Efmtanzania:
    TWITTER:
    Efmtanzania
    FACEBOOK:
    Efmtanzania:

КОМЕНТАРІ •

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 місяці тому +14

    Jamani mtu anapoleta story kwa vero kusudi ni sisi tujifunze kwa namna moja au nyingine sasa baadhi yenu mnapomahambulia kwa maneno mabaya mnakosea

  • @Deedlr4767
    @Deedlr4767 2 місяці тому +14

    Shida ya elibariki sio mshamba shida ujuaji na ubishi ulipata nafasi ya kupata mtu wa kukuongoza baya na zuri ukapuuza wakati wengn hua hawapati ata nafas ya kuambiwa usifanye ivi sio vzr hao ndo tunawaonea huruma sio ww shwaiin simbilisi kabs

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 2 місяці тому

      Yes. Ujuaji na mbishi

    • @HaniffaOmary-v5r
      @HaniffaOmary-v5r 2 місяці тому

      Mkaka mjuaji sana 😂😂

    • @mariamufadhili9245
      @mariamufadhili9245 2 місяці тому

      watoto wengi wanaolelewa katika familia za kitajiri ndivyo walivyo wanajiona wao ndo wajuzi kuliko wengine na hii huwa inawacost sana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому +1

    dah jmni Elibariki wa watu. Pole sana na mambo yote..yaani mie mpaka chozi likanitoka ulivolia..najua moyo wako umeuma mnoo baada ya kumuona mzee akiwa mgonjwa na maneneo alokuambiwa. thanks again Elly for sharing your story God bless u so much

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 2 місяці тому +6

    UJUWAJI AUJAWAHI MWACHA MTU SALAMA📌

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 2 місяці тому +2

    Vero sio urahabu ni uraibu

  • @estershilla1560
    @estershilla1560 2 місяці тому +5

    Watu wanashaur utadhan wanaangalia tamthilia this is past jaman😂😂😂😂

  • @Lucyidrisa
    @Lucyidrisa 2 місяці тому +2

    Watu weny akil nzito wasilet simulz zao hapa wanatutia hasira😢

  • @ZuleykhaIsmail-rc5ly
    @ZuleykhaIsmail-rc5ly 2 місяці тому +1

    Pole Elly kwa hayo mapito….sio wakati mzuri wa kukulaumu ila kila hatua ina mafunzo

  • @monicacharles3411
    @monicacharles3411 2 місяці тому

    Mi namuelewa elly ..... tusimjudge sana

  • @Teresiamwagange
    @Teresiamwagange 2 місяці тому +2

    Akome mim kanikwanza sn

  • @EstherEdson-o3v
    @EstherEdson-o3v 2 місяці тому +1

    Huyo naye siumwambie baba ake na eribariki maan Kila sku nitamwambia nitamwambia eee

  • @PeterJames-yy6wm
    @PeterJames-yy6wm 2 місяці тому +1

    Afadhar Elbarik ameleta simuliz yake watu tujifunze maana kiukwel vijana wengi wa Tanzania wakienda nje %kubwa awatimiz lililowapeleka huko labda wapelekwe uganda au kesha ndo wanarud salama😂😂😂😂😂

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂 37:46 37:50

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Ulifanya unajua kumbe unaungua jua

  • @benadetharange9899
    @benadetharange9899 2 місяці тому

    Ilikuwa nilazima upite uko ili sisi tujifunze

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 2 місяці тому

    Komaaaaaa

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂

  • @PendoMacha-ib6oc
    @PendoMacha-ib6oc 2 місяці тому

    😏😏eli ulikuwa unajuskia sana na kujiona ww ni mjuaji 😏

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂 37:46 37:50

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂 37:46 37:50

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂 37:46 37:50

  • @MwantumuHamis-g6e
    @MwantumuHamis-g6e 2 місяці тому

    Dogo umepotea sana😂😂😂😂😂 37:46 37:50