🔴# LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZUBEDA SEHEMU YA 1 - FEB 26/2024
Вставка
- Опубліковано 25 лют 2024
- 🔴# LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZUBEDA SEHEMU YA 1 - FEB 26/2024
#Jioniyaleo #Live #Efmtanzania #Highlights
/ @efmtanzania
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania
Sema hizi ripoti muwe mnazipunguza matangazo au mnaziweka mfumo wa volume ili kupunguza muda wa kuzisikiza pamoja ma bando
Mimi nilikuwa nasikiliza kipindi zilipokuwa zinawekwa volume kwasasa zimenishinda
Natabiri chanzo itakuwa ni mama mkwe 😂nipo hapa nasubiri .........!!!
Umeona eeeeh
Da Vero kumbe ww ni karembo Kama sauti yako jaman nakupenda Sana namwenyezi mungu akupe umri mrefu Sana 1000000000000❤❤❤❤❤❤❤
Stori mupya tupopamoja
Mmmmh! Ukiwa na wasichana wawili ni balaa yashanikuta mie
Wanakusema wanakuona kama adui
@@tayanajade9962 unaona eeeh na yule WA mwanzo anamtia ujinga huyu mpya kibao.......
Jaman pole Sana baada yapo machoz
Tupo pamoja ktk SIMULIZI mpyaa!❤❤❤
Aiseee mmenikumbusha mbali hiv yupo wapi jamani yule Ef to the A .. na kuna mdada iv na story yake y ithan ..
Neng'eneka tu mwixho wa cku upate mke mwenzio" niko pale👉
Unaona eeeeeh hata Mimi hilo nimelihisi 😂
Kwakwel 😂
Kwani rose imeishia wapi
Kweli ata Mimi nilikua naitafuta dada velonika😢😢
New maid,mmmh ninawasiwasi nae🙄
😂😂😂😂😂😂Yani laha iliyoje gafra tu ukawa km waarabu kila kituu unafanyiwa wakitoka kazini mkoba baibuhi vyotee vinatupwa hapo bint ndoaondoshe "ila ilo jembe litakuja likupige nakitu kinzito😢ila nimekupenda unamoyo wakukumbuka japo kumnunulia vitu achana na mshaara wake nae anazidi kupata moyo wakupambana❤❤❤
😂
Umepigajee hapooooo
Mambo zenu wazima
Au mumeo ni tatizo?
Hapa mume anakula wadada na watakuwa wanaondoka wajawazito
Kuna kitu umo ndan sio bure
Au kuna uchawi umo?
Nahisi kutakuwa na uchawi humo ndani.
Yaan hata mm c elew
Dada Vero naomba uturudishie ule mfumo wa volume.Hii live ina matangazo mengi sisi wengine bando la shida 🙏
Sema hizi ripoti muwe mnazipunguza matangazo au mnaziweka mfumo wa volume ili kupunguza muda wa kuzisikiza pamoja ma bando
Tune kwa radio tu mkuu, hii ni biashara na matangazo ndo faida yenyewe kwao
Sema hizi ripoti muwe mnazipunguza matangazo au mnaziweka mfumo wa volume ili kupunguza muda wa kuzisikiza pamoja ma bando
Sema hizi ripoti muwe mnazipunguza matangazo au mnaziweka mfumo wa volume ili kupunguza muda wa kuzisikiza pamoja ma bando