Vanillah - Nilimpenda Sana (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @swaibahamidu1891
    @swaibahamidu1891 2 роки тому +27

    Aliyemuona vanillah kapiga demu busu la kwenye pua agonge like twende sawa 🔥🔥👑

  • @kelvinkissanga4075
    @kelvinkissanga4075 2 роки тому +8

    Sauti ya baraka da prince kabisa yan. Bigup vanilla

  • @chakupewafazili4074
    @chakupewafazili4074 2 роки тому +312

    Kama weye ni team Kiba basi tiya like yako apa

    • @saidokenya8745
      @saidokenya8745 2 роки тому

      ua-cam.com/video/-g3GDKHX6uE/v-deo.html

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 2 роки тому +3

      Twendeni na huku jamani 🤗🤗🤗🤗🤗
      ua-cam.com/video/WLa97naM9JM/v-deo.html

    • @liy254
      @liy254 2 роки тому

      ua-cam.com/video/fEnaYcQPqL8/v-deo.html

    • @mwajusifa972
      @mwajusifa972 Рік тому +2

      J'aime ça

    • @londatz5407
      @londatz5407 Рік тому +1

      sema mimi sin team wowt ndugu yangu ata adui kasoro shetan tu

  • @sanimetz1704
    @sanimetz1704 2 роки тому +9

    Nakubali sana huo wimbo upo vizuri sana

  • @allanizoo1678
    @allanizoo1678 2 роки тому +19

    Ninamasikii MBONA sisikiii upendo uwenda n marudiooo sio wa kwanza mm nilikufany kimbilio labda tutatimiza malengo n nichukulie kideo nitumie WhatsApp nimuone Kam n yy alieninyima usingiz nisilalee
    Daaaaah vanny Mzee wa spana umejua kunigusa sana kwa hii hit song 🔥 🔥🔥

  • @kalziidazamba2862
    @kalziidazamba2862 2 роки тому +3

    Daah bonge la video mkuu hakika uku Moz, 🇲🇿 imepenya iyo big up my brother vanilla music 😄😄

  • @worldstartz
    @worldstartz 2 роки тому +47

    Wimbo mkali sana na Mwanzo wa verse ya pili ni 🔥🔥🔥 mziki mzuri

  • @Kaelicious221
    @Kaelicious221 2 роки тому +13

    Congratulations my friend, the best video much love and keep up the good work, see you in TZ God bless you 🔥❤️🔥

  • @Ngindo_Junior
    @Ngindo_Junior 2 роки тому +38

    Mungu akuongoze kwenye maisha yako ya mziki na usaidie family inshaallah mungu atakufanyia wepesi

  • @shabankadiria7476
    @shabankadiria7476 2 роки тому +4

    Gud song, gud video congrats ma boy vanillah endelea kuuwasha moto msanii wangu pendwa mwaka 2022-2023

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 2 роки тому +5

    Team king music record tujuane hapa kwanza halfu tende sawa nipeni like

  • @lamarbalvin7510
    @lamarbalvin7510 2 роки тому +13

    Keep up bro video kali🔥🔥

  • @baysadam235
    @baysadam235 2 роки тому +70

    Nakubali sanaa wanangu wa Kings Music mnatuletea Madude Mazuri sanaa Allah awafanyie upessi katika harakati zenu Mashallah 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kingousmankarubi9244
    @kingousmankarubi9244 2 роки тому +20

    Bonge la video nyimbo kali thanks bro king music forever❤

  • @gaspermkula7877
    @gaspermkula7877 2 роки тому +7

    Vanilla uyu jamaa anaimba sanaa big up sanaa bro 🙌 💥💥

  • @muksinjuma4685
    @muksinjuma4685 2 місяці тому +1

    Mimi ni wa 350 naomba likes zenu😂😂😂

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 2 роки тому +6

    Bonge raa video umetishaa sana tuna wanamuziki Bora 💯🔥🔥❤️❤️💪💪💪💪💪

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 2 роки тому +8

    Good song vidéo 🔥🔥🔥

  • @MayamimusiclabelMML
    @MayamimusiclabelMML 2 роки тому +28

    Never disappoint for your my favorite artist from kings Music sempre nos somos rei da música de bongo fleva im boy from 🇲🇿🇲🇿 Mozambique

  • @amidajackson1413
    @amidajackson1413 2 роки тому +17

    Sauti yako nzurriii 🔥🔥🔥🔥# beautiful song # ❤️❤️❤️🔥🔥

    • @laxmajor
      @laxmajor 2 роки тому

      Whoooi 😍🇹🇿

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 2 роки тому +31

    Wimbo niliokuwa nausubiri kwa hamu final is out🔥🔥🔥🔥

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 2 роки тому +4

    huyu jamaa anajua Sana akizingatiwa ni msanii mkali sana

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 2 роки тому +124

    Kama Unaamin Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 🔥 Muda Sio Mrefu Gonga Like please 🙏

    • @lightnesschiwinga325
      @lightnesschiwinga325 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @youngpozze
      @youngpozze 2 роки тому +2

      Tukazane😄

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 2 роки тому +1

      Twendeni na huku jamani 🤗🤗🤗🤗🤗
      ua-cam.com/video/WLa97naM9JM/v-deo.html

    • @bboy2554
      @bboy2554 2 роки тому

      MWANANGU WW UNAJUA SEMA NJIA ZA BARAKA MJEURI UNAKITU KAKA UTAFIKA MBALI

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 2 роки тому +15

    Nilimpenda sana kaniacha kimyakimya inauma sana😢😢zaidi anaolewa mwezi June 😢😢😢usiombe yakukute😢😢
    Vanillah na Fans wake like kushow love angalau nifarijike🙏🎶🔥
    #NilimpendaSana
    #VanillahTz

  • @gazaomar1414
    @gazaomar1414 2 роки тому +13

    Big up brother vanillah

  • @issakhan3802
    @issakhan3802 2 роки тому +2

    Video kali saana aisee sijui kama nimeona pekeangu ila ubunifu ni mwingi
    Unyama saana 🔥🔥🔥🔥💪♥️🇹🇿

  • @mbarakislam161
    @mbarakislam161 2 роки тому +13

    Nice music 🎶 never dead bro uko juu Kaka

  • @husseinjumahusseinjuma8698
    @husseinjumahusseinjuma8698 2 роки тому +2

    Nakubali ngoma kali san vanilla music

  • @dhgraphix_
    @dhgraphix_ 2 роки тому +6

    Asante Kaka kuleta video

  • @mtopelamussa7783
    @mtopelamussa7783 2 роки тому +15

    Beautiful voice mziki mzuri🔥🔥🔥

  • @teixierachudi6080
    @teixierachudi6080 2 роки тому +4

    Kuanzia Leo me nakuita Mr Good music

  • @vitrecsoilmill5107
    @vitrecsoilmill5107 Рік тому +2

    Dah Nilla anaimba kwa hisia Sana aixeee, jaman naomba likes na mimi

  • @barakalimbali2396
    @barakalimbali2396 2 роки тому +16

    Best songe 🎤 bravo 🔥

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 роки тому +12

    Go ahead good boy alikiba's fans are behind you🙌🇨🇩🇨🇩

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 роки тому +36

    Hii ndio bongo freva sio mapiano yao gonga like kama unaungana na mimi dogo anaweza na atafika mabali inshallah.

    • @denisamungai3539
      @denisamungai3539 11 місяців тому

      Kabisa huyu diye amerudisha dhamana ssa ya bongo flavour

  • @makarokingi3144
    @makarokingi3144 2 роки тому +2

    Ngoma Kali Sana
    Mellody Kali
    Kideo kikali
    Unyama sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 роки тому +78

    KAMA UNAJIJUA HUNA MASWALA YA UTIMU FRANI NI SHABIKI WA MZIKI MZURI TU KAMA MIMI LIKE HAPA NIKUONE GENIUS MWENZANGU🔥🔥🔥✅🙏🙏🙏

    • @arleneilunga9202
      @arleneilunga9202 2 роки тому

      Mimi nina team nani kings music, si sapoti ujinga wa ao wengine.

    • @liy254
      @liy254 2 роки тому

      ua-cam.com/video/fEnaYcQPqL8/v-deo.html

    • @MuzrahimSolicitor
      @MuzrahimSolicitor 8 місяців тому

      Mziki mzr unaongea hisia zinajieleza

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 11 місяців тому +1

    Congratulations Bro🎉🎉🎉

  • @godson_official_7449
    @godson_official_7449 2 роки тому +13

    U deserve to be a star brother unajua sana🔧

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 роки тому +5

    Tanzania 🇹🇿 vanilla 💯💫

  • @ismailissa4935
    @ismailissa4935 2 роки тому +8

    Vanilla tumia nguvu zote kujipa promo good work

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 2 роки тому +3

    Bonge la wimbo huyu jamaa noma sana tumpelekeni trending

  • @osamamahmouds9827
    @osamamahmouds9827 2 роки тому +15

    Hatimaye Ooohhh Ma'favourite song 😘😘🥰

  • @hajjiboyclassic
    @hajjiboyclassic 2 роки тому +19

    Hii Ndio Baadhi ya Ngoma Zake vanilla ilio niliza Siku Zote Kwenye EP ya listen to me ❤️❤️👑👑🔥🔥

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 2 роки тому +6

    Bonge 🇹🇿moja 💚 la 👑kichupa 💯💯✔️✔️

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 2 роки тому +10

    Wow nice one good job good music and good sound kavideo akachoshi kings music 🔊🎶🎼🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 2 роки тому +14

    Vanillah,napenda mziki wako 🔥

  • @checheblessum8343
    @checheblessum8343 2 роки тому +7

    King sijui anatoaga wapi vijana hatari kwa mahandishi hivi... Huu wimbo Kali mbaya anyone who knows and love good music will fall in love with this, all the Best vanillah album nzima nili download bro 💪

  • @princejustin3456
    @princejustin3456 2 роки тому +10

    Fireworks my brother❤❤

  • @shabaniddy
    @shabaniddy 2 роки тому +12

    Nice 👍 music 🎶

  • @gabrielkimbagibrilgabriel3869
    @gabrielkimbagibrilgabriel3869 2 роки тому +6

    King's musique inaweza saaana

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 роки тому +5

    Jamani me nimechelew kidogo

  • @hemedshughuli7145
    @hemedshughuli7145 2 роки тому +9

    Like Kama wapenda ladha ya vanilla 💯🔥💪🏻

  • @low-key7516
    @low-key7516 2 роки тому +37

    ♡I can't wait to dance this song... relaxing on valentines day! Beautiful heartbreak song!♡♡!

  • @walterChande4478
    @walterChande4478 2 роки тому +60

    King's music forever 👑

  • @jumahamoud2300
    @jumahamoud2300 2 роки тому +3

    Team kiba mpo wapi naombeni like zenu

  • @Boazselemani1
    @Boazselemani1 2 роки тому +43

    Vanilla 🔥🔥🔥 much love from Malawi 🇲🇼
    Kings music for life

  • @chakupewafazili4074
    @chakupewafazili4074 2 роки тому +16

    Nilipeda sana ex wangu ila alicho nifanya auto hamini Vanillin this is a hit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mbaleylwanga8077
    @mbaleylwanga8077 2 роки тому +14

    King's music 🇨🇩✌️

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 2 роки тому +14

    Nanilimpenda sana mbona amenikana
    Sio mbaya siumeamua kuchaguaa
    Moyo wako kumpa yule
    Ila kaa ukitambua kwamba mi bila wewe ni sawa na bure Vanillah kings music 👑

  • @braymusictz
    @braymusictz 2 роки тому +5

    Fundi ww 💥🔥🔥

  • @ngubimbangusi3665
    @ngubimbangusi3665 2 роки тому +3

    King's music record 4life inajuwa kila aina ya mziki

  • @robertmwakyusa984
    @robertmwakyusa984 2 роки тому +37

    J'adore la musique de Tanzanie et je suis Tanzanie 🇹🇿❤️🙏

  • @nasibujanga3071
    @nasibujanga3071 2 роки тому +3

    Bonge la ngoma

  • @mwanashoogobo1785
    @mwanashoogobo1785 2 роки тому +14

    Mashemegi tunawasapoti kinomanoma gonga like team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌹🔥

  • @Dennybwoy4072
    @Dennybwoy4072 2 роки тому +1

    Unajuw kama jini babu ✔️✔️✔️💯anaepinga afe

  • @Chida
    @Chida 2 роки тому +7

    Kama hujareplay wimbo huu basi we ni mchawi. #Vanillah

  • @real_dandy
    @real_dandy 2 роки тому +17

    Wimbo wa moyo... Uhalisia 🔥🔥🔥

  • @nangololoalli8479
    @nangololoalli8479 2 роки тому +1

    Kazi kubwa xn broo,,Mzee wa spana💯💯💯

  • @allanizoo1678
    @allanizoo1678 2 роки тому +13

    My favorite song🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @djcashwanakidiry9158
    @djcashwanakidiry9158 2 роки тому +6

    Sisi ndo Wana king's Music 🎶 Hii Nyimbo inanikumbusha mbali Sana ❤️💯🔥 💯 Dj Cash wanakidorry boy from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @abditech14
    @abditech14 2 роки тому +14

    Nice song nice video🔥🔥💪

  • @bosszube2795
    @bosszube2795 2 роки тому +6

    Kwa wale tunaotambua mziki mzur...huwa hatupati shida pakuchaguwa pakupemda...kKING MUSIC for life...thanks new boy from king musics

  • @cure4real75
    @cure4real75 2 роки тому +89

    Kings Music, this is what the industry needs, vanilla you have become my favourite .🇰🇪 🇰🇪

  • @pacha9848
    @pacha9848 2 роки тому +2

    Mziki mtam unadikilizika na hauchosh big up sana Vanilla🔥

  • @musasamson6750
    @musasamson6750 2 роки тому +2

    hili ni bonge moja la ngoma 🔥

  • @lovenessabdi7646
    @lovenessabdi7646 2 роки тому +26

    Hii nyimbo ni kalii nyie nillah anajua sana makofi kwakwee
    Anakwambia moyo nichungulie kideo ni mwone kama ni yeyey aiseeeee 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 unastahili makofi mengi meng 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🥰

  • @cleopamalcom3338
    @cleopamalcom3338 2 роки тому +2

    Nilimpenda kunizidi ampendae aloooh......🔥🔥🔥💯

  • @Nations254
    @Nations254 2 роки тому +15

    Gud job,keep it up

  • @kessymasiku45
    @kessymasiku45 2 роки тому +2

    Ni mziki mzur. Wawatu waliotulia 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Queenlatifah-pc8ii
    @Queenlatifah-pc8ii 2 роки тому +47

    Amazing song do not miss this ♥️♥️🕊️🙏💪💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🌎🌎

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 2 роки тому +4

    Good 🔥🎼🎼🎼🎼🎼🎼💥💥💥💥💞💞💞💞💃🏽❤️🔥

  • @emmanuelsanga1318
    @emmanuelsanga1318 2 роки тому +5

    mwanangu sanaaaaa💯💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 2 роки тому +2

    King's music Kuna watu wabad Sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @athumankiatu2610
    @athumankiatu2610 2 роки тому +14

    Kings 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔧🔧🔧🔧🔧

  • @zitto3485
    @zitto3485 2 роки тому +2

    M n team Konde boy lakin vanilla we no hatar kaka bonge LA nyimbooo kaliiii BIG UP😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 2 роки тому +21

    Another king from king's 🎶🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵

  • @jusabakari5278
    @jusabakari5278 2 роки тому +23

    Good music, this is what we need in music Industry.Keep up and work best all the way lad.

  • @ktmediatv
    @ktmediatv 2 роки тому +8

    Vanillah 🔥👍

  • @yassinerasmus7400
    @yassinerasmus7400 Рік тому +1

    Mwamba unatisha sana big up👊

  • @victorbwasama4793
    @victorbwasama4793 2 роки тому +8

    Music mzur sana Big up sana kwa Nillah

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 2 роки тому +1

    Vanillah unajuwa Sana big up king kiba kutuletea ladha mpya👍🍧

  • @enockbarongo1439
    @enockbarongo1439 2 роки тому +11

    Good music

  • @ibrahimmtinangi8443
    @ibrahimmtinangi8443 Рік тому +1

    🎉🎉🎉🎉nyimbo yangu pendwa muda wote

  • @bjbenjaboy3617
    @bjbenjaboy3617 2 роки тому +14

    Let enjoy good music

  • @rajaipelly557
    @rajaipelly557 2 роки тому +1

    Nyimbo nzuri na video kali good job broo

  • @officialmalekelly4289
    @officialmalekelly4289 2 роки тому +19

    Vanilla, my brother, ooonh you are so talented

  • @justneromano1247
    @justneromano1247 2 роки тому +2

    Mambo ni moto bro Nillah

  • @gchisunga
    @gchisunga 2 роки тому +3

    Good music 💯💯💯💯

  • @b2bstarstvtchikoselemani634
    @b2bstarstvtchikoselemani634 2 роки тому +11

    hangera Sana mze baba , toutes mes félicitations à vous , KING 's of Africa