Vanillah - Unanisitiri (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @swaibahamidu1891
    @swaibahamidu1891 2 роки тому +210

    Kwenye hii ngoma napata utulivu wa akili kwa muda🙏🔥🔥👑 Kama kuna mtu anakusitiri like nizione hapa please

  • @abelsamwel4490
    @abelsamwel4490 2 роки тому +61

    Anayemkubali huyu jamaa usipite bila kugonga like.

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 2 роки тому +282

    Kama umeangalia Zaid ya mara moja like twende pamoja 💪💪❤️

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 2 роки тому +9

    Ni wimbo wangu pendwa 👍🏼👍🏼👍🏼🇨🇩🇨🇩👇🏼

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 роки тому +811

    HII VOCAL VIDEO SWAGGER KUMBE NDOMANA BARAKA DA PRINCE ANAMCHUKIA KING KIBA MANA AMEZALISHA BARAKA DA PRINCE PROMAX MWENYE SWAGER MELODY KALI KULIKO YULE HAKIKA VANILLA IS ANOTHER LEVEL LIKE HAPA KAMA UMEELEWA NILICHOZUNGUMZA BONGE MOJA LA GOMA🔥🔥🔥HUYU NI BARAKA DA PRINCE ALIECHANGAMKA😂😂😂

    • @youngbnine1249
      @youngbnine1249 2 роки тому +25

      Aseeee huyu karith ile nafas ya da prince kila kituuu

    • @official_kingnabiryOg
      @official_kingnabiryOg 2 роки тому +24

      My friend vanillah katisha Sana 🔥 Ni unyama mwingi Sana 🔥

    • @shiru_choppa7654
      @shiru_choppa7654 2 роки тому +21

      Huyu anaenda kuwa tisho kwa wengi👍and watch it 💯🇰🇪🇰🇪

    • @lanezboy7016
      @lanezboy7016 2 роки тому

      @@shiru_choppa7654 huyu n mnyama sana

    • @zebedemirambi3067
      @zebedemirambi3067 2 роки тому +16

      Achabongo apo , Ako ka prince nikakuleta mbele ya Alikiba, mbona kalitoka king music Kako wapi sasa? Nice video sema tu hujuwi , na Alikiba anahusika Nini kwenye clip hii, uliza director aliye film🤣 apana Alikiba #Attention

  • @SoudyBrown
    @SoudyBrown 2 роки тому +2

    Huyu Vanilla huyu, hatari sana, hapa hakuna janja janja Kings Music mmefanya uchaguzi sahihi

  • @idayamataifakey7813
    @idayamataifakey7813 2 роки тому +26

    Yeebaba kings music for yani hadi raha tunajivunia kua team kings 🇲🇿

  • @goodmapmusicbaby
    @goodmapmusicbaby 2 роки тому +6

    King wa ajabu yaani upcoming zaidi ya baraka de prince shame on u baraka

  • @yohanampigasupi4994
    @yohanampigasupi4994 2 роки тому +19

    Vanillah vanilla vanilla ,alikiba alikiba alikiba kings music woteeee ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💪

  • @Noelma
    @Noelma 2 роки тому +1

    Tumekupokea Vanillah ... Unanisutiri, chizi izi ngoma haziitaji promo, zenyewe ni promo tosha

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 2 роки тому +40

    Kama umengali mara nyingi kama mm weka like apa 🔥🔥👏👏💯💯

  • @Nyautv1
    @Nyautv1 2 роки тому +4

    Nikama views zimepunguaa

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 2 роки тому +82

    Unanipendaa nana (unanisitiri)
    Silipi chochote mi (unanisitiri)
    Naishi bure ndani ya moyo wako (unanisitiri) Vanillah kings music 👑

  • @emilegentil9538
    @emilegentil9538 2 роки тому +2

    King's music forever mungu mbele

  • @Salimsaidzongo9410
    @Salimsaidzongo9410 2 роки тому +4

    Yeeehbaba fundi kweli kingmusic kiwanda cha muziki

  • @ngubimbangusi3665
    @ngubimbangusi3665 2 роки тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🇲🇼🇲🇼Tupo nyuma ya kings nzima kwa haya magoma sijui nisemeje

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie 2 роки тому +62

    Mziki mnene vanillah ....salute you kwa sana Alikiba ...king of kings music ...vanillah is another prince wapi likes za vanillah na kings music kwa mpigo from kenya ,tanzania Rwanda na dar one love mazee going far #vanillah

  • @zaynaramadhani8129
    @zaynaramadhani8129 2 роки тому +1

    Ikiwa kupata chumba cha kupanga ni ngumu sa nitawezaje kupata moyo Wakuishi nidumu 💕💕

  • @taturajabu1806
    @taturajabu1806 2 роки тому +16

    Kazi nzur sana ww ninoma Mungu akuongoze uzid kuwajuu zaidi ufike pale unapo hitaji🙏🙌🔥🔥🔥🔥😍

  • @ezyberastokiyago
    @ezyberastokiyago 2 роки тому +2

    aisee nlimtabiri vanilla kuja kuwa bonge la super 🌟 East africa kwenye ngoma yake ya unibambe akiwa na kijo boy from rocky city na xaxa nahc ndo mda wako wa kutoka God bless you my big bro van

  • @bmaproduction6329
    @bmaproduction6329 2 роки тому +23

    ngoma moja matata Vanillah Full package

  • @hassanmtalika4016
    @hassanmtalika4016 2 роки тому +3

    Jamaa anasound kama baraka de prince☺️

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 2 роки тому +20

    Vanillah upo 🔥🔥🔥🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @devisekadesh6764
    @devisekadesh6764 2 роки тому +17

    Vanilla kwa hakika ameanza kutisha 👍💯✅🇰🇪❤️🎶🙏 Kenya wacheni kunihaibisha

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie 2 роки тому +16

    Naisikiliza again and again na pia kulicheki hili bonge la video mwanza classic,great and international shine far #vanillah wapi likes zake wadau from 254 (001) ndani,255...dar tumpeni likes zake @vanillah 🎆

  • @edgarmjanja4318
    @edgarmjanja4318 2 роки тому +1

    Xina cha kuxema zaid ya king music forever

  • @ommyleeofficial
    @ommyleeofficial 2 роки тому +42

    Love From Mombasa,Naikubali Sana hii Ngoma,@Vanillah Unafanya Kazi nzuri Sana Ndani ya @king'sMusicRecords Be blessed Kaka🌟🌟🌟

  • @wanzokiwanene7931
    @wanzokiwanene7931 11 місяців тому +5

    Tulio angalia zaidi ya mara moja gonga like hapa twende sawa pomoja sna

  • @mezkidhimself6857
    @mezkidhimself6857 2 роки тому +23

    Wimbo wangu Bora Kila wakati ndani ya huu mwezi na mpaka mwakan #unanisitiri

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 2 роки тому +8

    Mashine mpya ya king's music yan anafanya madogo mtaan wajambe sana yan vijana kiukwer vichwa vitawabana sana s mwingine bali n VANILLAH MUSIC TOKA KING'S MUSIC gonga like za kutosha

  • @bondjannkuriyingoma9097
    @bondjannkuriyingoma9097 2 роки тому +1

    Hit xan 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @lucienmusimbira7418
    @lucienmusimbira7418 2 роки тому +6

    Big up bro na uku kwetu imefika🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @IsmailkboY
    @IsmailkboY 2 роки тому +2

    Kings Music

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 2 роки тому +5

    Oya wee , Sio poa kudadeki🔥 Nipo na kisungura kimelalia kidali hapa anani sitiri😅

  • @hoseadante5658
    @hoseadante5658 2 роки тому +3

    msione nanenepa hapo mwanzo nilipungua Chaguo la moyo Kuumiza mwili kumjali Alienibagua Sasa napewa Amani Mapenzi Yasio na Mipaka Ananikanda Huku mabegani Ananishika Na Hapa

  • @bravotzee218
    @bravotzee218 2 роки тому +6

    Naishi bure ndan ya moyo wako❤️❤️❤️

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 2 роки тому +4

    Kwa Mbaaali Namsikia BARAKA DE PRINCE🔥🙌

  • @mugishajeffhyman7165
    @mugishajeffhyman7165 2 роки тому +23

    Mi naisubili kama nataka kwenda binguni
    Moyoo uko unani guna guna
    Like kama unamkuvali.vista🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥✌👌

  • @abdulkarimabdallah1634
    @abdulkarimabdallah1634 2 роки тому +1

    Vanilla ametisha sana ni zaidi ya kipaji sema nini nenda sana jimu unaboddy frani ukiitengeneza utakaaa kibiashara sana mziki unajuw

  • @nathanmurithi01
    @nathanmurithi01 2 роки тому +42

    Muziki mzuri na mtamu kweli. Mungu akubariki King Kiba kwa kutupa uyu kijana💯🙏

  • @lightheaventemba3760
    @lightheaventemba3760 Рік тому +1

    Kaka unajuwa sana kweli ngoma nikali sana broo yani 🔥🙌 umetisha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mayajuma3636
    @mayajuma3636 2 роки тому +5

    Wimbo wangu pendwaaaa

  • @princeali8584
    @princeali8584 2 роки тому +6

    Good music with vanilla taste

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 2 роки тому +4

    UNAJUA UNAJUAA UNAJUAA TENA❤❤💋💋💋ALLAH AKUZDSHIE KIPAJI CHAKO 🙏🙏🙏ALLAH AKUJLIE UJASIRI 🙏🙏🙏🙏GOOOOOOOO BOY 💃💃💃💃💃

  • @benreaction96
    @benreaction96 11 місяців тому +1

    Konde Boy wa king music record 💪🏾🔥

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 2 роки тому +14

    Maana halisi ya muziki mzuri❤️❤️❤️❤️

  • @mwanahamisibakari8201
    @mwanahamisibakari8201 2 роки тому +1

    Kaka unajua usikate tamaa muombe mungu utafanikiwa achana namziki was biti fanyakazi tunataka Ngoma atutaki matus kama wale wasiojielewa

  • @victorbwasama4793
    @victorbwasama4793 2 роки тому +15

    Kings music for everybad🔥🔥🔥🔥

  • @vkmalove1307
    @vkmalove1307 2 роки тому +1

    Pacha hiii yamoto Sana❤️❤️❤️❤️💯💯💯💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @masudmohhamed3146
    @masudmohhamed3146 2 роки тому +15

    Hii ngoma kalii 🇰🇪 🇰🇪

  • @kenethmichael5427
    @kenethmichael5427 2 роки тому +2

    Kweli kiba hakosei, vanilla jujakosea kujiita hivyo umetisha sana kiba mmetisha

  • @swaibahamidu1891
    @swaibahamidu1891 2 роки тому +26

    Unyama mwingi sana 🔥🔥🔥🔥🔥👑 king's music forever 🤝

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 Рік тому +1

    Aise kuna people wanajua kuimba sana, kaza buti budaah❤

  • @ludotz3413
    @ludotz3413 2 роки тому +8

    Fundi sana 🔥🔥🔥🙌

  • @gazaomar677
    @gazaomar677 2 роки тому +3

    Congratulations brother naona Kama unajuwa Sana

  • @shaibufadhili1192
    @shaibufadhili1192 2 роки тому +5

    kama unaamn vanillah ataifikisha king's music nchi ya ahadi gonga like hapa

  • @fetychina3359
    @fetychina3359 2 роки тому +1

    Niliomaba sana kila kukicha uwe rasmi kings misic🥳🙏🙏

  • @leonardoambrosio8743
    @leonardoambrosio8743 2 роки тому +20

    Good song 🔥🔥🇲🇿🇲🇿

  • @mrlyricsstar7881
    @mrlyricsstar7881 2 роки тому +7

    Kama unafurahia ujio wa new King basi gonga like zangu wana mziki mtamu

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 роки тому +15

    Good music good videos made in Kings music 🎶💯🇰🇪

  • @jamesprincealiass
    @jamesprincealiass 2 роки тому +14

    Vocals, Beat, that Flow, Kings Music is Really and alive,
    #Baraka-da-Prince lazima achukie hiki kizazi maana ule upendo wa King umehamia kwa #Vanillah, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialkindondondo9384
    @officialkindondondo9384 2 роки тому +38

    Kings music for every body 🔥🔥🔥

  • @ibraimomaulana3087
    @ibraimomaulana3087 2 роки тому +6

    Nilitafuta muonekano mimi muonekanoo
    Kumbe mapenzi yanadumu kwa watu wenye tabia mufanano
    Da 😢😢😢❤❤❤

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 роки тому +15

    King music mumekuwa wachoyo was like Kama wengine acheni ivyoo

  • @mariapaul8914
    @mariapaul8914 2 роки тому +1

    Alikiba anajua Sana kusaidia na kutoa wenzake Ila sasa mkishawishika mkikubari ndio mnaenda kufeli huko maana Mungu kama alikupangia utoke kwingine ungetoka huko Ila kakupangia Kwa kiba Kaka tulia usishawishike wala kushikwa na Tamaa wapo ambao awatapenda unavyozonga na wapo ambao awampendi kiba sasa akiri kichwani mwako

  • @jenniferinnocent94
    @jenniferinnocent94 2 роки тому +12

    Sina sababu ya kutok kings music 🔥🔥

  • @BinRabbah-t5g
    @BinRabbah-t5g Рік тому +1

    Natokea wcb but huku kings kumbe nako kuna melody nazipenda,vanillah you have the potential,go,go,go man❤❤❤

  • @STAVOO_WIZZIE
    @STAVOO_WIZZIE 2 роки тому +17

    Toka nilipomjua huyu mchizi 2019 mpaka leo he is my role model, gusa picha ya profile kunisikiliza mwenyewe, sikiliza ngoma zangu pia SUBSCRIBE

  • @alikhamis7756
    @alikhamis7756 2 роки тому +4

    Duuuh hatar hii ngoma

  • @mongaBtv
    @mongaBtv 2 роки тому +15

    Team kings music we are very proud of you bro

  • @hashimukasimu2716
    @hashimukasimu2716 Рік тому +1

    ikiwa kupata chumba cha kupanga ni ngumu nitawezaje kupata moyo wa kuishi nidumu mungu alijibu kwa kunipa wewe unanisitili

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 2 роки тому +9

    Daah!! Popote ulipo alikiba Mungu akuzidishie

    • @pizzaz4333
      @pizzaz4333 2 роки тому +1

      Blessings kwa King 🙏

  • @ngubimbangusi3665
    @ngubimbangusi3665 2 роки тому +1

    Nataka huyu queen Video awee mke wangu ana roh nzuli kwakweli kamkosha vanillah

  • @EyazMusic
    @EyazMusic 2 роки тому +15

    Talented this is a really good music sweet vocals bro.

  • @irenealex729
    @irenealex729 7 місяців тому +1

    Ngoma kali sana hii, Unanisitiri

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 2 роки тому +13

    Am waiting this song from King music 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @Chida
    @Chida 2 роки тому +1

    Tafadhalini jamani YOGO BEATz awekewe ulinzi wakutosha. Yogo unatusitiri sana

  • @chantalsalumu2766
    @chantalsalumu2766 2 роки тому +36

    King's music for lire♥️

  • @dullahkamnge6343
    @dullahkamnge6343 2 роки тому +2

    Jamaaa anajua kinoma , karibu Kwa mfalme wa mziki mzur

  • @baysadam235
    @baysadam235 2 роки тому +21

    🇲🇿Hi ngoma kali sana Mwanangu🇲🇿 mais Força

  • @IddyNgessa-oz3xy
    @IddyNgessa-oz3xy Рік тому +1

    Keep it up vanillah unajua mzee

  • @Swahili14
    @Swahili14 2 роки тому +47

    WCB fans who genuinely support this talent ❤️
    Lemme see y'all down here 👇

  • @mohammedhamiss3289
    @mohammedhamiss3289 2 роки тому +1

    Sanaaa umeua mbayaaaa👊👊👊

  • @rabbik5668
    @rabbik5668 2 роки тому +5

    Umetisha saaana
    Mimi nakuita MWANAMAPINDUZI
    Bongo mujiandae ila ngoma nayo I subiri kwa hamu ni
    AYE

  • @hoseadante5658
    @hoseadante5658 2 роки тому +1

    kweli Mungu akipanga hakuna wakupangua ni neema tele kupata kivuli chini ya Jua

  • @youngpozze
    @youngpozze 2 роки тому +6

    Audio and video vyote ni moto 🔥🔥

  • @Chida
    @Chida 2 роки тому +1

    Vanillah awekewe ulinzi wakitosha he's on 🔥 🔥 🔥

  • @franklinmwalungo2310
    @franklinmwalungo2310 2 роки тому +4

    Video kali sana oya we vanilla n mwamba

  • @ElephantBBoy
    @ElephantBBoy 2 роки тому +5

    Kama wewe ni mwana wa MWANZA MKOLANI like
    👇

  • @bravotzee218
    @bravotzee218 2 роки тому +5

    Go go 🔥

  • @checheblessum8343
    @checheblessum8343 2 роки тому +54

    Kings wote kwa maandishi hatari sana, sauti zao Kama ya baba yao the king mwenyewe Respect to Sana.

    • @jonesiha6919
      @jonesiha6919 2 роки тому +4

      Very true bro....#King's Music Family 🔥🔥🔥🔥

  • @lilianemmanuel9158
    @lilianemmanuel9158 2 роки тому +7

    Good music and good video kingmusic for life vanillah 🙌🙌🙌

  • @dohaqatr8461
    @dohaqatr8461 2 роки тому +18

    Nikiwa 🇧🇭 from 🇰🇪Kings music for life

  • @khalfaniyusuph1811
    @khalfaniyusuph1811 2 роки тому +24

    Hii ngoma imenigusa for 💯% 🔥 keep up Broo💪🇹🇿

  • @officialshebyranco2720
    @officialshebyranco2720 2 роки тому +27

    The good music the good talent

  • @mohammedbakari1364
    @mohammedbakari1364 11 місяців тому +2

    🎶Yao🎶

  • @K25795
    @K25795 2 роки тому +7

    KINGS TUME PATA KIJANA MUOKOZI NASI MBELENI TUTAANZA KUJIGAMBA KIBA TUU AMPE TU PROMOTION LENYEWEEE NAMPE MUDA WA KUACHIA ACHIA ATAFIKA MBALI NA KINGS ITABAKI KWENYE MASIKIO YA WATU

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 роки тому +2

    Huyu hapa Sasa 🔥🔥🔥🔥kiba komaa na huyu mwamba anajua

  • @alideassomanecassimo6511
    @alideassomanecassimo6511 2 роки тому +16

    Mas força💪🏿 vanillah 🇲🇿 ermao você saber cantar 100% wewe ndo namba moja kutoka tem kiba #kings music you my nambra one artes,🔥power🔥✊🏻

  • @saudaamohammed8743
    @saudaamohammed8743 Рік тому +1

    ❤❤❤hongera ngoma kali