Mimi ni muumini mkubwa wa muziki wa zilipendwa kulingana na umri wangu wa miaka 62.Lakini kwa huyu kijana na wimbo wake huu nimegonga mwamba.sauti nzuri,mtulivu jukwaani,melody yenye kuleta hisia kali kwenye ubongo.Hata maneno yanafundisha.Hongera sana kijana una kitu kwenye ubongo wako.Keep it up🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻👍🏻👍🏻.
Spanna imekazanisha bolts kw nats zake wakubali wakatae ila kings chuo kama unabisha bisha kw hoja na Sion kama kuna hoja ya mtu kubisha ,,,vanilla over over bro❤❤🔥🔥🔥💥
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic ❤️🎧
Mnyama sana!
He is talented bigup my brother Vanilla from 👑👑 kings music 🎵🎵🎵
Spana 💥🎧
@@MnankaMunanka 👍
@@adammwabule1779 👍
Duh! Nimechelewa kidogo lakini sio mbaya kama unamkubali uyu mwana weka like yako apa
Kama unaamini mapaka kesho mzgo unaingia top 5 gonga like ya nguvu
Bora nishibe sumu kuliko kushinda njaa😭😭....real feel that......
Kweli Kuna kipaji na Kuna mwimbaji ila wewe noma umekamata vyote kipaji na uhimbaji kama nawew umeona kama Mimi weka like hapo Kisha pita nakwangu
Anaemsikia baraka the prince piga like apa
Vannilah all the way +254❤❤❤
Baraka the prince kwa mbaali
Sio Utan fundi ❤❤❤🎉🎉
Wenzangu muliokumbuka mapenzi yetu ya nyuma tuliopitia kwa jinsi vanilla alivotugusa na kututonesha moyo gonga like twende.
😭😭😭😭😭
Kitu kizur hupata upizan mkubwa Sana lakn yote kwa yote hii kaz ni kal sana kutoka kwa king melody 💥 kama unamkubal acha like yako hapa ✊💥
Yan utalike ad ugundue like huw moja Tu afu comments utajaza ad ugundue apa sio kw daftari maana kawimbo kana floo
Nani anamkubali spaaaana kama mimi basi gonga like
Dah kings Kuna vipaji nyie huyu naona anakuja mfunika kiba kabisa
Big Ngoma Kali❤❤
Kwel kiboko ya baraka daprice imekuja🎉🏴🔥🔥🔥
King wa making kasha shusha ngoma sio poa nipeni like zangu 50 tu jamn kwa Vanillah
Akuna msaani anaye andika mziki nzuri Kama huyu king
My fv artist in Kings Music record label 🔥🔥🔥
The song is 🔥🔥🔥 watching from kenya
Kama unajua huyu jamaa ni mkari wa kutunga na kuimba like zitembee
Hits song 2024
Tuliorudia hii Ngoma zaidi ya mara moja tujuane❤❤🎉
Hiingoma ni kwi kwi
Un jour tu va choquer le monde
Nice song bro from Mozambique 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mimi ni muumini mkubwa wa muziki wa zilipendwa kulingana na umri wangu wa miaka 62.Lakini kwa huyu kijana na wimbo wake huu nimegonga mwamba.sauti nzuri,mtulivu jukwaani,melody yenye kuleta hisia kali kwenye ubongo.Hata maneno yanafundisha.Hongera sana kijana una kitu kwenye ubongo wako.Keep it up🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻👍🏻👍🏻.
Kabisa
Ili jamaaa linasifa apo kings music 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉Nakukubal sana kak Vanillah
Hapa alikiba alipata mtu haswaa🙌🙌👏👏 sisi Wana mziki mzuri kwetu hyu ni zawadi toka Kwa mungu 🙏
Tatizo anapita njia za baraka the prince,ajaribu kujitodautisha
Tatizo anapita njia za baraka the prince,ajaribu kujitodautisha
@@2FlevaJinsio tatizo mana baraka hayupo Tena kwenye game
Brother keep going.. good song
Anaekubaliana na mm kua huyu ni top2 kings gonga like kwa upendo
Vanilla unastahiri tuzo mwamba unaandika na kuimba
Aaaalllaaahhh huyu jamaa anaimba sana kama unamkubali gonga like tukisongaa🎉🎉
King's Music Ndo Shule Ya Muziki Tanzania, Hongera sana Vanilla The for Best Song
Uyu ndio msanii wangu ❤❤❤ namkubali sana @vannila music #spana
Wale tulipenda kweli na tukauumizwa 😢😢😢😢😢piga like
Real deal 🤝
Nime kuja Ku isikiliza tokea Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kali sana kaka
Nimekumbuka kauli ya Ali kamwe kwamba kwa bongo jamaa hakuna anaekushinda kwenye kuandika 🔥🔥
one only in tz
Wa TZ kwanini nyimbo nzuri amuzifikishi mbali amuzitendei haki nyimbo nzuri kamai sehemu ambayo inasimamia sio
Much ❤️❤️,it's my favorite song.
GONGA like kama unamkubali Vanilla
😲😲😲😲 Kumewaka kweli mwaka umechangamka🔥🔥🔥Hogera sana Kaka vanilla #mi sijazoea
Me wapili Leo naombeni like zangu
Vanilla 🙌🙌🙌🙌🎶🎶🎶🎶🎶🌹
Talent boy...
Nikweli kings music wanakuza vijana kuimba mziki mzuri na wamafundisho mazuri big up @official vanilla music
Tumpeni vanillah maua yake kings music🎥🎥❤❤🔥🔥
Ama huyu mkaka ndiye uandikia wasanii wote wa Tanzania mziki! Juu level yae ni ya kipekee❤😊💯
Bado haijafika psle inapotakia kufika
😭😭🥺vanilla 🕓🙌🙌🙌🔥🔥🔥 Bongo music 🎶 is Back Officially .
🙌🙌🙌 duuuh ukisikiliza sana waeza Lia akih
Love from Drc 🇨🇩
Wa Congo acheni like zenu apa
Umetisha kama umeludia zaidi ya mala mbili gonga like tujuane😂😂
Nakupenda sana
Nimependa sana huu uandishi❤
Huu unachoma kumoyoo kabisa...real life story in our society 👌👌👌
Good music King's music Record
kweli hapa Alikiba alipata mtu kweli toka aanze kutoa nyimbo zote ni nzuri sana kuliko mwingine nyimbo moja wanapotea
Mziki mzr ❤❤
Nakubali sana huyu mwamba😂😂😂😂 2:07
Nyimbo kali sana kaka
Love from Kigali Rwanda
Hii ngoma ungempa alikiba verse ya pili ungekuw unyama sanaa. Unajua mpk unakera big congrats
Sio kila ngoma ya kings ali awepo muda mwngne inatakiwa km hv ili madogo wajipate na wao itaonkn wanabebwa n ali kila sku
Listening deeply from #Czechoslovakia this song is hot 💥💥
Daah yani hii ndo nyimbo yangu ya January❤ Yani sichoki kuskiliza, yani kama nimeimbiwa me aseee😪, thanks vanilla love u❤❤❤
This gentleman is really talented ❤❤❤❤❤...
Good work vanillah🎉🎉thumb up bro😊
Hujawahi kutuangusha SPANA🎉🎉🎉🎉 HAKIKA WEWE NI MOTO🔥🔥
''....Najieleza kwa uchungu, unanijibu nikajifungue...'' this line is too emetional.
Hapa baraka da prince akasome maana sio Kwa Moto juu 🔥 🔥
R. I. P 😭😭😭🙏 Vanillah 😭😭🙏you will forever be in our hearts❤💞 😭😭🙏🙏
Me fans wako kuanzia leo❤❤❤Wimbo mdhuriiiiiii sana 🎉🎉
Spanna imekazanisha bolts kw nats zake wakubali wakatae ila kings chuo kama unabisha bisha kw hoja na Sion kama kuna hoja ya mtu kubisha ,,,vanilla over over bro❤❤🔥🔥🔥💥
Mziki mtamu ni kwa mfalme na wanae motoo saana vanilla we unajua na kujua na kujua zaidi umetisha saana
Good music 🎶 showing love from +254 🇰🇪
Bro uko juu miaka Mia nane askwambie mtu,,, much love from Mombasa Kenya.... Big love to KINGS MUSIC
Number one songwriter..my favorite singer 🔥🔥
Daaah Huyu mwamba anajua bhana
🔥
Bro achana na hii number Yani imekosa tu promotion kubwa kama anazo toa mond
Sa mnataka promo gan mzi mzuri unajipromo sio kelele acha tufaidi mzk mnene
Vanilla ni mmoja tu!..🎉🎉🎉❤✍️
❤❤❤❤ anajuwa sana
Keep up ther good work.
Dah nilikua natamani nipate wimbo unao endana na mahusiano yangu ila huu sijui nilikuadisia 😢😢
Kali sana
Wakwanza mimi apa niliisubiri kwa hamu hii ngoma
Yani kiukweli Vanila ni mkali balaa ana melody kali sana yan daaah kiba embu kuwa serious na huyu jamaa utanishukuru
Naipenda xana❤❤🇨🔥🔥🇩🇨🇩🇨🇩
🔥🔥💪🏾🇰🇪
Vanilla nisamehe sikukufolow mapema ningepata wapi mzikk mzurii kama huuu real umenipoza moyo big up king music
Utakuja kuniuwa kak unapenda kuniliza mungu akurinde nataman at sku moja nkushik mukono❤❤❤❤❤❤
#team_kiba_tujuane_kwa_like
Mziki umeenda shule bana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️kaka mr.good music 🎵 vanillah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ume uwa sana brow Vanillah music chukua maua Yako🌹🌹🌹 ktoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤❤kama kawa from Kenya you get a Kenyan Star like here ❤❤Mziki mtamu sana 🎉🎉🎉kenyan love wapi likes
Daaah bonge la ngoma mshikaji anajua sana mungu amsaidie sana sender kufanya vizuli
Kaka unajua sna yannaoenda nyimbo kama hiz
Wewe ni wangu
Kings music balaaaa lingine mjini new year new brand song
kwaleo ngoja ni comment man sijazoea kukuona ukiimba ivyoo... bravo🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉deep love to kings music
Let all support this guy because he is the way to many people. Congrats
Fundi sna jamaa ishaallah kaza mungu atakupa zaidi mafanikio