HIKI APA KIKOSI KIPYA CHA SIMBA SC 2024/2025 NI MOTO WA KUOTEA MBALI
Вставка
- Опубліковано 3 лип 2024
- clabu ya soka ya simba imefanya usajili wa KUFURU msimu huu ikisajili kikosi KUZIMA wachezaji wapya kuanzia kipa mpaka mshambuliaji
#football #yanga #simba #soccer #youngafricans #tanzania #usajili #usajilisimbasc #cafinal
@Jaykibuga @Tarakeamedia21
wasafi, wasafi media, wasafi fm, wasafi tv, wasafi digital, good morning, sports arena, mashamsham, the switch, jana na leo, sports court, lavidavi, good morning on saturday, fresh weekend, mswahili, hivi ni kweli, banda la video, pata potea, realtalk, diamond platnumz, zuchu, mbosso, d voice, lavalava, maulid kitenge, zembwela, dida, diva, lil ommy, gerald hando, salma dacotha, juma lokole, ammy gal, idris kitaa, baba levo, edo kumwembe, oscar oscar, ambangile, mchaga og
Jamani hii noma
🔥🔥🔥
Nakupenda simba kinoma
😍😍😍
Simba ni kubwa africa
🔥🔥🔥
I like club
Ni 🔥🔥🔥
Kazi nzuri
Shukran
Hatari sana
🔥🔥🔥
I like it❤❤❤❤❤
🔥🔥😍
Ya kweli hayoo au tamboo tuu hizoo
Kazi ipo MSIMU UJAO
Kati ya wachezaji ambao bado ni wawili tu
Yani kuijenga kinda fc itachukua miaka kumi na magoli 2000 yakufungwa yakufunga 6😢😢
🤣🤣🤣
Nice
Thank you
mnguawasaidie San wanyama haoooo😢😮
🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂Labda
🔥🔥🔥
Assalamu alaykum smba imeuwa
Ni 🔥🔥🔥
Acha zako kaka
🤣🤣🤣
Kikos Kaz kimekamilika
Maji wataita mma safar hii
Jamani, jamani, jamani,simba hatutaki tena malalamiko juu la sajili zenu, tunawasubiria, tukutane uwanjani tarehe 8 mwenyezi ujao, hatutaki tena kusikia oo yanga wachawi wanaturoga, mumesena mumesajili sajili kamili,
Tukutane uwanjani 🔥🔥🔥
kibuuu ayupo??
Kibu yuko sabu
Kibu denisiwapi jaman?
Yupo sub
Wachezaji wengi wapya. Wengine wanaweza waka fit na wengine wasi fit
🔥🔥🔥
huyo mpanzu umemleta wewe
🔥🔥🔥
Kama kibu hayupo tutakosana
Kibu anaanzia sabu kikosi kijacho