VALENTIN NOUMA SKILLS AND GOALS USAJILI SIMBA 2024 2025 NAMBA TATU WA MPIRA
Вставка
- Опубліковано 28 чер 2024
- VALENTIN NOUMA SKILLS AND GOALS USAJILI SIMBA 2024 2025 NAMBA TATU WA MPIRA , TETESI ZA USAJILI SIMBA 2024-2025, TETESI ZA USAJILI SIMBA VALENTIN NOUMA, VALENTIN NOUMA SKILLS, VALENTIN NOUMA, VALENTIN NOUMA SIMBA, VALENTIN NOUMA CV , CV YA VALENTIN NOUMA, VALENTIN NOUMA GOALS, UWEZO WA VALENTIN NOUMA, VALENTIN NOUMA RIVERS UNITED, VIDEO VALENTIN NOUMA, VIDEO YA UWEZO WA VALENTIN NOUMA
- Спорт
Mungu ibariki simba
Nibonge la player anzeni kufuta machoz mashabik Zang
🤣
Jamaa faulo Yuko vizur Sana sema ajipange kwa misumari
hahhaha
kwenye faulo ana mashut hatar
Sure
welcome
Huyu labda alogwe lakini yuko vizur
Hawa wachezaji inabidi wafanyiwe kisomo ili atakayejaribu kuwachezea aende na maji
Duuh huyu jamaaa kwa shoot hata Azizi hamuwez huyuu😅😅
hahaha eti eeeh
Mwamba anapiga faulo,sijawahi ona
Utopolo ndio wazee wa misumar
Huyu atatusaidia HATA kwenye mipira ya kutenga
Anafaa huyu
Mzuri sana
Tatizo simba mauchawi wanaweza kumuroga
Hahaha
ni Roberto Carlos mtupu
Ni Hatari sana
Shida upande wa Kapombe hana replacement nzur
Yupo isra mwenda
Mwenda si yupo
Ni chuma
hakika
kapombe jaman
Nini tena?
Shida ipo moja tu wachezaji wazawa wanawaroga wakigeni. , kibu
Una ushahidi?
Zimbwe mchawi atamroganae kama kramo
Kwani Kramo walikuwa wanacheza namba Moja?
Usinge mjibu tahira huyo @@KlikHapaTV