Huyu au Hawa watangazaji wote wa WASAFI wote ni Utopolo na wapo kwa ajili ya kuijenga Utopolo na sio SIMBA. Haitotokea never on earth wakaitakia mema SSC. Hivyo ku-comment hapa ni kama kujichoresha. Bora kusikiliza Clouds ambao wanatafuta balance na sio bias.
Huyu msimu ulopita akiwa wasafi baada ya usajili alisema YEYE HAWADAI SIMBA WAMESAJILI KWELI na hatawalaumu...ila kuelekea mwisho wa msimu akawa anasema SIMBA WANAFELI KUANGALIA WACHEZAJI WAZURI WA KUWASAJILI,akajisahaulisha maneno yake...haya maneno yake yatunzeni halafu ikitokea wachezaji wamefeli tumsikie anachosema
Am from Mombasa but huyu jamaa anajua sana anachozungumza congratulations 👏
Hans Rafael ni mwamba kweli kweli for me ni mchambuzi wangu bora kwa sasa.
Hans rafaeli nimchambuz wangu Bora kwa sasa
Nawakubari sana kazi njema.
Hans unajua
Kwan Geoff Lea wa EFM/TVE naye amekuja huku Crown? mbona nmesikia sauti yake
UONGOZI UKIWA WA KIJANJAJANJA WACHEZAJI HUKATA TAMAA.
Namuelewa hansi
Ww ni bora kwa sasa
Kocha na viongozi sikilizeni France Rafaeli anavyoonea yupo sahihi sana fuateni anavyopanga timu
@anitha kuuchambua ni jambo lingine ila kuucheza kwake sasa
Mpira ungekua unachezwa mdomoni wangemsikiliza
Na mpira unapangwa mdomoni ndio maan kocha hachez ila ndie anaetengenez timu
Jemedar jau
Nyie pangeni kikosi kwakufuata huyu jamaamkaka
😂😂😂😂😂et watazuiaje juma ayo bna
Rafael ni konki
Huyu au Hawa watangazaji wote wa WASAFI wote ni Utopolo na wapo kwa ajili ya kuijenga Utopolo na sio SIMBA. Haitotokea never on earth wakaitakia mema SSC. Hivyo ku-comment hapa ni kama kujichoresha.
Bora kusikiliza Clouds ambao wanatafuta balance na sio bias.
Hii ni CROWN. Sio wasafi
Huyu msimu ulopita akiwa wasafi baada ya usajili alisema YEYE HAWADAI SIMBA WAMESAJILI KWELI na hatawalaumu...ila kuelekea mwisho wa msimu akawa anasema SIMBA WANAFELI KUANGALIA WACHEZAJI WAZURI WA KUWASAJILI,akajisahaulisha maneno yake...haya maneno yake yatunzeni halafu ikitokea wachezaji wamefeli tumsikie anachosema
Tm yote wancheza viungo tu au?😂 uchambuz bana
Uhai wwt wa timu ni viungo