AHMED ALLY ATANGAZA VITA NA YANGA KISA MAYELE/AFICHUA MAZITO TUSIYOYAJUA YANAYOENDELEA.

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 975

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 7 місяців тому +26

    mungu akubariki sana semaji 😂😂😂😂

    • @BrysonMjungu
      @BrysonMjungu 2 місяці тому +1

      Uko vizuri waambie has hawajui

    • @BrysonMjungu
      @BrysonMjungu 2 місяці тому

      Tusife moyo wala tusikate tamaaa jeshi la wachezaji tulio nao ni kubwa .

  • @hawarashidi
    @hawarashidi 7 місяців тому +8

    Ni kweli kabisa semaji langu umeongea ukweli mtupu nyuma mwiko washamba sana 💪⚽

  • @SalmaKeya-n2z
    @SalmaKeya-n2z 7 місяців тому +5

    Huwez kumng'ang'ania mtu kam umemtolea posa❤❤❤

  • @givenessmligo8622
    @givenessmligo8622 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤ sema sema semaaa semaji la CAF

  • @LUCASCHOBIKEKA
    @LUCASCHOBIKEKA 7 місяців тому +7

    Ahemed Aly inashangaza kama unamtamani shawishi uongozi wako wamsajili usijifanye unampenda sana kuliko wanayanga sisi hatutoki kwenye njia na mpango huo wa kutaka kuidhofisha Yanga basi wewe na waliohusika katika hilo mmefeli sisi tunadonga mbele na mayele ataendelea kupata mafanikio aongeze bidii tu aache kujishirikisha na akina Ahemed washirikina.

    • @samweli7985
      @samweli7985 7 місяців тому

      Mayele analalamika anatumiwa majini nayanga alafu wewe unasema atiye bidii, mshamba kweli wewe

    • @samweli7985
      @samweli7985 7 місяців тому

      Nawewe nikati ya wachawi tu

    • @JohnAlubeya
      @JohnAlubeya 2 місяці тому

      😊

  • @TEOBALDSHIRIMA
    @TEOBALDSHIRIMA 5 місяців тому +2

    Umejaza ujinga tu makelele Ndo maana tunafungwa badala upige Kelele kwa viongoz Ww mjinga

  • @pastormartinshija374
    @pastormartinshija374 6 місяців тому +4

    Kaka hekima ya Mungu iko ndani yako!
    Uko vizuri sana semaji langu!

  • @WilbroadKyaijunga
    @WilbroadKyaijunga 2 місяці тому +1

    Kubwa jinga kweli kweli. Ata ahibu hana magori 7 yamepelekea kuwa mropokaji.

  • @HOSEAKAMALI
    @HOSEAKAMALI 7 місяців тому +4

    Huyu msemaji wa simba hana taaluma ya usemaji ni bora akabadilishwa ,katafutwe mwenye uwezo wa kuisemea simba na wala siyo yanga

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    ❤❤❤Msemaji wetu mleteni mayele . Hvi ndio maana Utoplo wanafunga kila muda. Kumbe wachai.

  • @johnsonmichael945
    @johnsonmichael945 7 місяців тому +6

    Asante mjomba medi up vizur saan

  • @BenjaminMaking-k3u
    @BenjaminMaking-k3u 5 місяців тому +2

    Huyu jamaa mpuuz anajikomba atapigwa nyuma na mayelee

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s 7 місяців тому +4

    Chama alishindwa uarabuni kwani mulimutupia majini,twisila alishindwa uarabuni kwani alitupiwa majini?

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 7 місяців тому +1

      Miksoni nae si alienda na akarudi

  • @annakatowo
    @annakatowo 2 місяці тому

    Nikweli fei yupo simba na mayele au naota naipenda simba inje na ndani❤❤❤

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 7 місяців тому +3

    Uko sahihi sanaaa semaji rakafu ❤❤❤❤ utoporo wanaroho ya kichawi Sanaa wanaroho yakwanini kila mchezaji akiondoka utoporo razima kuwe nashida hawapendi wengine wapate washamba sanaaaa wanaroho mbaya nena washamba kweli

    • @MariaJames-p9s
      @MariaJames-p9s 7 місяців тому

      Mnateseka sana aiseeee polen

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 7 місяців тому

      @@MariaJames-p9s sawa mdogo wa nabii Tito🤣🤣🤣

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 7 місяців тому

      Na bado ww tukutupia majini dadeq,jipendekeze tu naww

    • @WhiteYusto-bu9ym
      @WhiteYusto-bu9ym 7 місяців тому

      Shida yenu mnajikuna na kucheka wenyewe, harusi sio yenu lkn wewe na hilo la kuropoka lenu hilo na mtakula Tano zaidi tena

    • @WhiteYusto-bu9ym
      @WhiteYusto-bu9ym 7 місяців тому

      Shida yenu mnajikuna na kucheka wenyewe, harusi sio yenu lkn wewe na hilo la kuropoka lenu hilo na mtakula Tano zaidi tena

  • @KajunaBuhari
    @KajunaBuhari 3 місяці тому +1

    Kijana yajuzi yaache yalivyo maana ukija kuteleza tu simba unaondoka kwa sasa huna jipya tulia muunde timu ifanye kazi siyo porojo tu

  • @emanuelgrevazi3483
    @emanuelgrevazi3483 7 місяців тому +8

    Hv Tano tulizowabinua mayele alikuwemo😅😮😢🎉😂❤

    • @augustshirima9726
      @augustshirima9726 7 місяців тому +2

      Tunasimama bega Kwa bega hii imeenda

    • @mwinjilistiaristidesmeja1834
      @mwinjilistiaristidesmeja1834 7 місяців тому +3

      Ndio tumegundua kuwa simba mlipotufunga tano tulikuwa tunacheza na majini, hatkukujua sisi

    • @aamarsuleymain2932
      @aamarsuleymain2932 7 місяців тому +1

      Na 6 na 5 na 4 vip

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 7 місяців тому

      ​@@mwinjilistiaristidesmeja1834, majini FC 😂😂😂

    • @Saditrap-zt1nl
      @Saditrap-zt1nl 7 місяців тому

      uyu jamaa akili za pombe hivi ajawahi kuonja moshi uyuuu yaaan anaongea utumbo zama hizi anaacha ongelea utaalam wa soka anasaport giza bila aibu

  • @CHAKUAHAMISI
    @CHAKUAHAMISI Місяць тому

    MANENO. YA. KUFELI. HAYO NDIO MAANA UNAWEWESEKA. KAMA UPO USINGIZINI UMECHEMSHA AHMED ALLY

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 7 місяців тому +4

    Huyu jamaa akili zake ujinga mwingi lkn Tuishi nae tu😂😂😂

  • @machanokkhamis5407
    @machanokkhamis5407 2 місяці тому

    Ahmed uko powa endelea

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 7 місяців тому +5

    Haya mambo una ushahidi nayo siyo unaropoka tu yasije yakakukuta ya haji manara shauri yako mdogo wangu ahmed ally

  • @matiti_chacha
    @matiti_chacha 2 місяці тому

    uko vizuri msemaji wetu ❤

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 7 місяців тому +9

    Mkubwa jinga 😂😂😂😂😂

  • @Davidmayala-mh9ow
    @Davidmayala-mh9ow 3 місяці тому +1

    Huyo ni maneno tu anawadanganya hakuna Cha mayele Wala mwezake na mayele ikitokea mayele kaja Simba mjue washabiki wa Simba mumepinga

  • @bkrjma5285
    @bkrjma5285 7 місяців тому +3

    Huyu jamaa hajielewi hata kidogo.
    Napia jambo lengine anajitengenezea nafasi ili jamaa akifeli huko alipo asiende yanga aende simba.

    • @BilishangaZegeli
      @BilishangaZegeli 7 місяців тому

      Semaji la kimataifa muheshimiwa somaaaa iyoooo

  • @ipyanaandilile894
    @ipyanaandilile894 7 місяців тому +2

    Kwanza hii ni uchonganishi mkubwa. Kumbe mchezaji akishindwa kupaform alikouzwa Ni kutupiwa majini, kumbe wao ndiyo wa Kwanza. Kama anamsifia chama kua alikua wa motoo walipo muuza pamoja na Luis mikison. Lakini walishindwa kufanya vizuri, Kumbe ndiyo kazi yao kuwatumia mashetani wachezaji wao ili warudi tena, na siyo kuendelea mbele. Viongozi wa Simba Muwe making na huyo msemaji wenu, hapo mmepigwa na chuma kizito Sana.

    • @MisifaNelly
      @MisifaNelly 6 місяців тому

      Uyu jamaa ajui ni mshamba achana naye aongee

  • @muddymbwana5679
    @muddymbwana5679 7 місяців тому +6

    Msemaji wa clab ingine kaacha kuzungumzia tim yake kahamia kwampinzan

  • @jafariMakunga
    @jafariMakunga 2 місяці тому

    semaj la caf ni unyama sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 7 місяців тому +6

    Yani msemaji official kabisa wa Simba ndio anayaongea haya duuh aisee 😂😂

    • @casbertsosten
      @casbertsosten 5 місяців тому

      huyo anakarir history tuuuu hajui kitu kasimliwa tuuu ndo maan analopoka

  • @Omarymwesongo227
    @Omarymwesongo227 3 місяці тому

    asante ahmedi watambue hao hawajui

  • @Martinhyera
    @Martinhyera 7 місяців тому +5

    Chizi karogwa tena, Kwa taarifa Yako hatutoki mchezoni

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 2 місяці тому

    Una jipya kuhusu Mayele? Mambo ya uchawi kwamba alilogwa, kapigwa majini ni upuuzi usio na salio wala gawio. Ahmed Ally unashusha viwango vyako na heshima za mic hizo

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga 7 місяців тому +3

    Mnajishushia hadhi yenu kwa mambo ya ajabu😢

  • @IbbuTZ
    @IbbuTZ 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Asanteee semaji letuuu languvuuuu umeongea ukweli kabisaaaa

  • @MustafaFella
    @MustafaFella 3 місяці тому

    Yanga washamba sanaaaaa awajitambi

  • @mussachifu3894
    @mussachifu3894 7 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂xemaji kama xemaji💪💪💪

  • @ListonNyamoga
    @ListonNyamoga 7 місяців тому +2

    🎉Huyu ana uthibitisho wa hayo majini kutoka Yanga au anaropokwa!.

  • @JoshuajrIron
    @JoshuajrIron 7 місяців тому +3

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 huyu jamaaaa bwana

  • @Daudfesto-w9g
    @Daudfesto-w9g 5 місяців тому +1

    Simba kwa kosa la huyu mbwa ximba mkipigwa 10 tena mxilaumu anaroboka sana

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 7 місяців тому +4

    Mimi najuwa Yanga wana unyama mwingi kumfunga Simba 5.

    • @NeemaRajabu-ux6bl
      @NeemaRajabu-ux6bl 7 місяців тому

      Kamawewe msengee mhshamba baba akosisi atujakusajiliwewe

    • @NeemaRajabu-ux6bl
      @NeemaRajabu-ux6bl 7 місяців тому

      Unaongea ujingatuu msengewewe

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 місяців тому

      Yanga kafungea sita

    • @imrankweka4752
      @imrankweka4752 7 місяців тому

      Umeonaee!!!?

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 7 місяців тому

      ​@@NeemaRajabu-ux6blwe si mdada kabisa ww,,mdada gani uko hivyo hata kanisani au msikitin unaendaga kweli mbn unatoa matuc kwny jambo la utani ,kwan unahisi hata msemaji wenu yuko serious hapo ,wenzio wakikutana wanacheka tu nyie ndo mmekazana kutukana tu huku na ubongo wenu wa panzi

  • @HassanMohamed-zy1nq
    @HassanMohamed-zy1nq 2 місяці тому +1

    Ooyaa udanganywe nin mukiambiwa ukweli huwa hamutaki cku zote nyinyi ayo ni ya kweli hata iwe wewe Mamelody Sandown,Yanga,Simba jamaa anachambua ukweli huyo

  • @donathakimaro5276
    @donathakimaro5276 7 місяців тому +3

    We mgawa tako kaa kimya

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee 7 місяців тому

      mbona matusi tena ndiyo tabia yako nini kutoa tako

  • @madarakaiddi
    @madarakaiddi 3 місяці тому

    We ahmed kama mambo mengine huyawezi usijilazimishe nenda kwenu kalime ming'oko SWINE

  • @hassanrashid9436
    @hassanrashid9436 7 місяців тому +3

    😂😂😂 pasua jipu semaji majini fc wanazid kuumia soon majini wa yanga watakasirika😂😂😂😂

  • @JoyceSamwel-d2o
    @JoyceSamwel-d2o 6 місяців тому +2

    Sema babaa

    • @karupothulaakhil4481
      @karupothulaakhil4481 2 місяці тому

      kwa kweli unatisha pokea mauu zako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Davidmayala-mh9ow
    @Davidmayala-mh9ow 3 місяці тому

    Amedi Ally tatizo unongea Sana punguza maneno bas

  • @halimayusuph8864
    @halimayusuph8864 2 місяці тому

    Het

  • @joshualutengamasomwakilawa1025
    @joshualutengamasomwakilawa1025 7 місяців тому +1

    Unajikomba tu kwahiyo akina chama na mickson mliwatupia majini ndiyo maana wakashindwa kwa waarabu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    Semejii wetu:mimi nasema hivi mwachen chama aende yangu ridthiki ya simba imeisha anawapisha wengine. Makocha wa nje hatuna haja nao:msimpoteze muda. MGUNDA ANATOSHA KABISA. Tunaka damu mbichi ya wachezaji. Akiwepo Mayele:Feitoto na wengine mbona fresh tu.

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w 2 місяці тому +1

    Huyo Jamaa Ni Mnafik Muongo Anapenda Kuzusha Maneno Ya Uwongo Niwambie Ahmed Alli Ana Wivu Ana choyo Anaitamani Yanga Ila Kusema Hawezi Nafsi Yk IPO Yanga

  • @JohnAlubeya
    @JohnAlubeya 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 5 місяців тому

    Kumbuka na ww ni MTANZANIA,kasema anajuta kuja kucheza TANZANIA,unaongea pumba aisee,KWAHIYO ULITAKA TUWAIGE NYIE??!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huna jipya pambana na Hali yako.kwahiyo ww ndio umemjaza UJINGA MAYELE??!!! tumekuelewa msemaji wetu usiepata posho💚💛💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏

  • @RamadKasim-t2x
    @RamadKasim-t2x 2 місяці тому

    Sema mzee baba

  • @MtotoDangote
    @MtotoDangote 2 місяці тому

    Funguka kaka Ahmedy

  • @DorcasAkyoo-mp6bj
    @DorcasAkyoo-mp6bj 6 місяців тому

    Kwa heshima ulizonazo hukupaswa kuongea hvy bro pole sana majini utakuwa ww mganga wao unaowapatiaga✅✅ yukwap sasa mbna hajaja kwako

  • @ShekhIddi
    @ShekhIddi 5 місяців тому

    Hao majini kwao ndo nyumbani ndomana wanapambana kuishusha simba kwa uchawi lkn watashindwa kwa uwezo wa mungu

  • @BarakaSanga-x4i
    @BarakaSanga-x4i 2 місяці тому

    Chama aende hatuna noma name ndo Maisha ya soka

  • @LoirukoNgekee
    @LoirukoNgekee 5 місяців тому

    Ok kaka uko vizuri

  • @MichaelDeogratius-g2p
    @MichaelDeogratius-g2p 2 місяці тому

    Huyo mayele kiwango kimeshuka tusidanganyane punguzen propaganda za bila singi wowote.

  • @UlediShabani-g2v
    @UlediShabani-g2v 2 місяці тому

    Acha ushamba mayele ameshaoa ucjipendekeze kwake.

  • @buhaingi5477
    @buhaingi5477 2 місяці тому

    Semaji uko juu

  • @JACKSONCHOGO
    @JACKSONCHOGO Місяць тому

    😊wewe ndiyo mashamba maana unalulia kisichokuhusu mshaferi apo

  • @IvanGerald-tp4hu
    @IvanGerald-tp4hu 3 місяці тому

    Umetisha semaji la caf

  • @SalmaJohnRwezaura
    @SalmaJohnRwezaura 2 місяці тому

  • @AllenKangwa
    @AllenKangwa 3 місяці тому

    Usajiliwayanga

  • @Hasssa-uu4nx
    @Hasssa-uu4nx 7 місяців тому

    Ongea na. Simba. Yako ,Achana na yanga, mayele hakuwa. Simba,. Anakuhusu. Nini?

  • @KapamiSugwa
    @KapamiSugwa 5 місяців тому

    Nyie yanga munamatatizo sana mutu akitoka si mumuache mwanamuke amekuacha anaorewa na mwingine sembuse wachezaji

  • @NicholousBudodi
    @NicholousBudodi 7 місяців тому +1

    Katika wasemaji ambao hana hakir Tanzania hii msemaji wa simba

    • @richardromano6592
      @richardromano6592 7 місяців тому

      Mhaho wa nyuma mwiko 😂😂😂wazeee wa my muna😊

  • @MedyHamisi
    @MedyHamisi 3 місяці тому

    Haaaaaa hivi huyu Ahmed ally kaishiwa na yakusema pole sana broo 😂

  • @yusuphonesmo1791
    @yusuphonesmo1791 7 місяців тому +2

    Yani sikutegemea Kama msemaji wa simba unangelea Mambo ya majini, hujamaa ni mjinga Sana,kwa wazifa wake huo hapaswi kuongea hivyo, mjinga Sana,

  • @ExaveryMalege
    @ExaveryMalege 3 місяці тому

    Mayele aende wapii

  • @EdgerMsapila
    @EdgerMsapila 6 місяців тому

    Mumekosa vya kusema yakwenu yanawashinda yanga yanga na samata anavyouzwa simba ilikuwa haikujui wewe...😅😅

  • @swebeyongo8030
    @swebeyongo8030 5 місяців тому

    Huyu jamaa uchizi unamsumbua mlimleta manzoki Yuko wapi hafai kwanye Brandi ya Simba wamtumue tuu toka zako

  • @GaudentusWillium
    @GaudentusWillium 3 місяці тому +1

    Hahaha heheheheeee sima kaka penda sana

  • @EvodiusErnest-ol2wg
    @EvodiusErnest-ol2wg 3 місяці тому

    Amed Aly yupo vzl kama mchezaji ameondoka muachen atafte maisha mengine

  • @PiasonGreston
    @PiasonGreston 4 місяці тому

    Huyu jamaa hajui usemaji simba bora wamuache tu wakiendelea nae watafer sana

  • @MisifaNelly
    @MisifaNelly 6 місяців тому

    Umesimama kwenye chata la yanga bado unataka kuwa chambua

  • @DoroselaAudax
    @DoroselaAudax 2 місяці тому

    Ukisema cha nn wenzako wanawaza watakipata lini bababababa upon full house 🏠

  • @VitalisMoshi-m4v
    @VitalisMoshi-m4v 6 місяців тому

    Hujielewi wewe ni msemaji wangu wa Simba lakin sasa huna inshu

  • @DianaAbdalah-d8z
    @DianaAbdalah-d8z 4 місяці тому

    Ushindi wao n majini akuna team isofungwa wao nani wenyewe wanajiona wababe kwa mijini yao.

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 7 місяців тому +1

    Swala la morison yupo avict ,acha ushaiki na umbea na kaja kwa kocha wa viungo anaendelea mpk atakapikuwa sawa,unaongea mwisho wa siku utaambiwa utoe ushahidi,sisi ni washabiki wa simba kiwango chetu sio kizuri kama mechi ya geita tupo ovyo,tujadili ya kwetu haya hayatuhusu

  • @suhimanmahamud5620
    @suhimanmahamud5620 5 місяців тому

    Hamjitambui wanasimba badala ya kujadili ya kwenu mnajadili ya jilan

  • @dishonmachimo7496
    @dishonmachimo7496 7 місяців тому

    Majin fc a.k.a utopolo jamani😅😅😅😅😅😅😅mbona aibu km nikweli mmejiharibia

  • @JilbertDanifordMathayo-sn2gy
    @JilbertDanifordMathayo-sn2gy 7 місяців тому +2

    HILI SI SWALA LA YANGA NA MAYELE TU.
    THIS IS NATIONAL & INTERNATIONAL SECURE ENTERGRATION ON FOOTBALL.
    NI AIBU KUBWA HII!!!!!!!!!
    WASIFU MBAYA KWA TAIFA LETU.
    VITA CHAFU DHIDI YA MAISHA YA WACHEZAJI.

  • @JohnChacha-c9o
    @JohnChacha-c9o 7 місяців тому

    Msemaji wetu huenda amemlisha maneno y kuchafua Yanga kwa. Wivu kufurahisha wachawi kwa faida yake wacha hayo wote ni nchi moja

  • @AnnaPaschal-e4p
    @AnnaPaschal-e4p 4 місяці тому

    Wew eb acheni sajiri za mtandaoni maneno mengi vitendo ziro

  • @NeemiaLotti-wl7hu
    @NeemiaLotti-wl7hu 6 місяців тому

    Wewe Ahamed ally unajitambua kweli. Unaacha kuzungumzia simba unahangaika na yanga nakudhauri uache kupotosha umma kuhusu mayele.hakuna MTU anamlioga mayele anajiloga mwenyewe.mayele hawezi rudi simba akitaka kurudi Tanzania aje acheze yanga na wala cyo simba.simba inauwa vipaji vya wachezaji. Pumbavu sana mwache mayele acheze mpira.

  • @elinadaniel5990
    @elinadaniel5990 7 місяців тому

    Msemaji wa Yanga... Semaji la Fiston Kalala Mayele, The King😂😂😂😂
    Kama unakumbukumbu vizuri kabla ya Mayele kuondoka yanga Alisema mwenyewe siondoki Yanga kwasababu ndiopo penye bahati yangu... mwishoni akasema "naondoka kwasababu timu imeamua kuniuza, hakuna mkubwa kuliko timu"

  • @lenardgidiba9385
    @lenardgidiba9385 2 місяці тому

    Big up

  • @wizardmobile5493
    @wizardmobile5493 3 місяці тому

    Yani simba unyamwa mwingi ahmedi Ally ni bala yani ni semaji la kweli kweli😊

  • @DicksonAlex-w1r
    @DicksonAlex-w1r 7 місяців тому

    Yan hata muundetimgan yarohombaya kuichafua yanga 😂😂😂 amnauwezohuo yanganikubwakuliko ninyi😂😂

  • @PauloMlumbi
    @PauloMlumbi 2 місяці тому

    Waambie ishi na taaluma yako semaji leetu unaijua Tim yako❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤sana

  • @HamzaNampemedi
    @HamzaNampemedi 6 місяців тому +1

    SeMaji unatisha kaka pambana sana

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 7 місяців тому

    MBONA NYINYI HAMKUBALIANI NA MATOKEO KUHUSU CHAMA!!
    WEE CHIZI NINI!!
    MAYELE HATA UNGEJIPENDEKEZAJE KWAKE
    HAWEZI KUJA SIMBA NG'OOO
    WEE UTABWEKA HADI UTAPASUKA MDOMO.

    • @DizzoMwanankana
      @DizzoMwanankana 7 місяців тому

      Wefara nini mayere baba yako maacheni

  • @ishowawesomeSpeed-mg3bz
    @ishowawesomeSpeed-mg3bz 3 місяці тому

    😂😂😂washamba kweli kweli Yani wanangang'ania mtu asifunge

  • @rashidally656
    @rashidally656 5 місяців тому

    huyu jamaa ache kuizungumzia yanga azungumzie simba jee ubingwa watachukua anawadangaya watu wa simba tu uongozi umewashinda washie ngazi ache ngojera

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 7 місяців тому

    Wewe mpuuzi ! Jisikilize mwenyewe unavyobwabwaja pumba ! semaji la makokolo brand kubwa !Semaji hovyooo ! Kama unapenda kuisemea Yanga sema kama unavyoonekana kiasi unakumbuka wachezaji woote wa yanga waliobugi ! Tutakupeleka ukajifunze usemaji kwa Ali Kamwe.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 5 місяців тому

    USITUFUNDISHE KAZI FALA WEWEEEE💚💛💪💪💪🙏🙏🙏KWAHIYO WAKATI ANATUPIWA MAJINI ULISHIKA NJIWA?AU KITU GANI??!!;

  • @dannyismael2613
    @dannyismael2613 7 місяців тому +2

    Mm napenda kumuita mr nonstop jamaa anabonga bila kukatishwa

  • @AminaAmimu-gp9po
    @AminaAmimu-gp9po 4 місяці тому

    Usiwe msemaji mnafiki ww ulikuwepo wakati mayele anatupiwa majini ww ni mfa maji tu uwachi kutapatapa unashindwa kuongea Cha maana unaongea pumba sema tu kama unamtaka ndio
    Maana unajisemesha ujinga tu Mimi naona simba hawana msemaji Wana pumba huyu anatakiwa kuwa msemaji wa timu za kuku na mbwa