Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 тра 2020
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camSalamaNa
    Thabit Shariff Ramadhan my guy, siku zote mkimya, yupo kama hayupo, anayeona lakini humkuti anaangalia na mwenye kuyabeba yanayobebeka na kuyaacha ambayo hayapaswi kuchukuliwa, huyo ndo yeye na leo ukimuona mpe tu heshima zake, pengina si kwasababu kakuzidi umri, ila kwasababu aliyechelewa lakini KAFIKA.
    Tena, sikumbuki lini ilikua mara ya kwanza mi naye kukutana ila nakumbuka nilipomuona 2016 mwezi wa 12 kwenye mazoezi ya show ya usiku ya Tuzo za Muziki za EATV, alikua wa mootoh, ukiachana na watu waliokua ndani ya game, hakuna aliyejua alitokea wapi, ila boom!! Kwenye sikio na kila mdomo wa wana Afrika ya Mashariki dunia kwa ujumla, kiiila mtu alikua anaimba MUZIKI wa (ya) Darassa.
    Hapa atatuambia kwamba alikua kwenye game muda mbona? Ila muda wake tu ulikua haujafika (pengine ushaisikia hiyo story) ila ni kweli, muda wako kama Mwenyezi Mungu hajasema ndo huu basi inakua hata ufanyeje haufiki mjini. Imagine kuwepo toka enzi za ECT, Dully wakati wamooto, wakati Complex bado yuhai na Q Chief ana nywele zake zote kichwani na rasta juu lakini 2016 ndo akapata break yake kubwa ya kwanza sio mchezo. Kwa hilo pekee tunafaa tumpe salute zake.
    Muziki haikua single yake ya kwanza, haukua wimbo wake wa kwanza kurekodi, haikua video yake ya kwanza aidha, ila kwa baadhi ya watu Darassa alikua ‘msanii mpya’. Hapa, tuliongea juu ya maisha baada ya MUZIKI, na kabla. Baada ni kwasababu lilikua ndo swali la kila mtu, kipi kilikosewa, nini kilitokea? Hakua na uwezo wa kutengeneza hit tena? Ilikua bahati tu ile? Na kabla ya hapo alitokea wapi haswa? Ali struggle kabla ya kupata mwanya? Shuleni ni vipi? Changamoto za kazi? Ana mtoto? Mke? Mwenza? Nani ni rafiki yake kwenye muziki? Subira haswa anayo? Alijifunzia wapi?
    Majibu yako humu, tafadhali enjoy.
    Love,
    Salama,
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 292

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 роки тому +59

    Nani Kaelewa Hii Point....Siwezi Kujifunza Hesabu Kwenye Biashara Ni Bora Nifunge Nikajifunze Kisha Nafungua Nawaambia Njooni Niwauzie 🔥🔥🔥🔥🔥What The Amazing Quote 👍👍🙏👊👊

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 роки тому +22

    Duh Nimerudia kama Mara tatu hii interview sikuridhika nikaona bora no download hii kitu ili mwanangu asome kiatu cha mama yako kinanitosha Darasa Asante kwa Darasa naomba Allah akupe kila la kheri class

  • @leonardcharles3169
    @leonardcharles3169 4 роки тому +63

    Wimbo wa darasa sikati tamaa ulinifariji sana katika safari ya maisha yangu,

    • @leonardcharles3169
      @leonardcharles3169 4 роки тому +15

      Nimekuja kusoma degree ya pili, na ninamwaka mmoja tu nimeoa na nina mtoto wa miezi mitano, mshahara ukasimamishwa kwamba ruhusa ya Mimi kwenda masomoni ilitolewa kimakosa. Ikanibidi nitoke nyumba niliyopanga kijitonyama na kupanga chumba mburahati, jirani na madoto bar, siku moja hali mbaya sana kifedha, wakati nashuka daradara tiptop ili nitembee mpaka mburahati, suruali ikachinika kwenye maungio, nikachomolea shati. Sasa nafika home, mtoto anaumwa sana, pesa sina alafu kwenye TV ndio sikati tamaa ya darasa inachezwa EATV,

    • @shaphyvuai6805
      @shaphyvuai6805 4 роки тому

      Aiseeeeee Ngoma Kali sana ileeee

    • @CheupeEceJay
      @CheupeEceJay 4 роки тому

      @@leonardcharles3169 Keep Going!
      ♥️

    • @jayratumaulid582
      @jayratumaulid582 4 роки тому

      @@leonardcharles3169 big up sana

    • @kiernanforbes4590
      @kiernanforbes4590 4 роки тому +1

      Usikate tamaa bro

  • @abousamirfakhii7757
    @abousamirfakhii7757 3 роки тому +7

    hyu jamaa anaishi kweny Sanaa na mziki wake Hana skendo respect Sana huyu

  • @davinagodfrey6240
    @davinagodfrey6240 4 роки тому +52

    "I Know What I Want And I Know How To Get It.." - Darassa
    This Is Powerful, May God Bless You Bro...Am Your Number One Fan...

  • @almasially6509
    @almasially6509 4 роки тому +37

    "No complaints, Mungu ananpenda sana"

  • @salmaluhombero9809
    @salmaluhombero9809 4 роки тому +10

    Hodari sana nimempenda sana Huyu kaka Ana akili kupita kiasi wow tunahitaji watu kama hawa kumbe Alisoma madrasa God bless you bro Darasa

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 роки тому +24

    Ukisikiliza jingle ya Salama kabla kipindi utaelewa nn maana ya kipindi . Hizi ni interview tunataka kusikiliza na kuona kwa ajili ga kujifunza #Darasa👊

  • @nicholascharles5547
    @nicholascharles5547 4 роки тому +35

    Watu wa Hip Hop wengi wanajielewa

  • @oscarmponzi1597
    @oscarmponzi1597 2 роки тому +3

    he is my exceptional rapa in this country-----he is the best since day one--kila nikisikilizaga nyimbo zake sijawahi kutana na mstari mbovu----keep it up darassa

  • @josephshirima6985
    @josephshirima6985 4 роки тому +32

    The best interview ever tokea kwenye hii show! Jamaa anajua sana kuongea

  • @dottokuhanga
    @dottokuhanga 4 роки тому +25

    Napata darasa kutoka kwa darassa ...Thanks Salama ...!!

  • @jumarajabu1479
    @jumarajabu1479 2 роки тому +5

    Mafunzo,ujasili,kujitambua na kupambana usikatetamaa ndani ya hii interview CMG ✊✊✊ PAMOJAA nakubali

  • @mimikazani8511
    @mimikazani8511 4 роки тому +19

    +254 tunaipenda darassa yuko real sana ...epic

  • @therealmsopa
    @therealmsopa 4 роки тому +17

    Darasa taught me something as a young artist!
    Nakubali sana

  • @josephapolinary5269
    @josephapolinary5269 4 роки тому +23

    The guy has brain #respect

  • @kevinhussein5229
    @kevinhussein5229 3 роки тому +3

    Darasa anakuaga mgumu sana kufunguka nashangaa leo anafunguka kiasi hiki
    Big up salama

  • @hassanjuma01
    @hassanjuma01 6 місяців тому +1

    What i live about him is that he doesn’t talk ill about his father ✊🏾

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 4 роки тому +6

    salama leo umenifuhisa san kumleta darasaa bado king 👑

  • @mariammwiso
    @mariammwiso 4 роки тому +9

    He is so talented, he doesn't know. I hope he gets better publicist especially for Kenyan market, his music is easily accepted

  • @daprince7545
    @daprince7545 4 роки тому +3

    Alafu mzee baba darasa umeiva kishenz naona jicho damu . Alafu salama Hana time ya maswali magumu kwako 😄😄😄. I can see salama the way she is rolling her eyes, mouth , white teeths , and beautiful face. Salama your so good fantastic interview more love Allah bless you 🙏🙏🙏

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 роки тому +3

    Hii interview bado sijafika mwisho kiangalia lkn imebidi niweke comment kwanza sijawah kufikilia darasa yupo hivi kumbe ni mtu ambae anaweza kufikilia khs kubadilisha mtoto permpers duh big up kwake

  • @robertandrea9257
    @robertandrea9257 4 роки тому +8

    darasa natamani ma superstar wetu wawe hivi hata kama umeongea uongoo ila man uko calm saaana aiseee, salama hikik ipindi ningekua na pesa ningedhamini kwa chochote ila one of the best shows........big up

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 роки тому +1

    Salama miehuku Oman sijajitunika Bana joto lililoko zaid ya hiyo kitu ya kujifunika, ila ni hivi Asante sana Salama nafurahia mno vipindi vyako hukuwai kuniangushia tokea mkasi mpaka saiz sijui nisemeje sijui hili ni panga ama jembe kama Jina la mkuu wa nchi neno moja likutoshe nakupenda sana mdogo wangu nakukaribisha Oman sikumoja njoo ututembelee jaman😭😭😭

  • @kassimkinonono1466
    @kassimkinonono1466 4 роки тому +10

    I always appreciate all Darassa's interviews u guy is very tallented...u never let me down...

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 4 роки тому +4

    Nimeipenda sana hii iterview Darasa anaonekeana ni mtu honest sana...
    Salama mie nakukubali swaga zako mama na tabasam lako...pia unavohoji ni kiprofesional🤗

  • @babakokushuby1707
    @babakokushuby1707 4 роки тому +14

    MLETE 20% KWENYE SALAMA NA.......

  • @isamiloprezdent6807
    @isamiloprezdent6807 4 роки тому +2

    Mwanangu darassa since day one kwenye sikati tamaaa nakuelewaaa mpka wa leooo

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial 3 роки тому +3

    Watoto wakalale kuna lugha za kikubwa humu,,, Hio title ni noma,, ,,Dopest introduction lines I have ever seen!!

  • @bomarobota152
    @bomarobota152 4 роки тому +2

    This guy is genius.....ahsante kwa darasa shareef🙏🙌😘😘😘

  • @all_things_lifestyle
    @all_things_lifestyle 4 роки тому +2

    Big up Salama! huwa najifunza mengi kupitia hiki kipindi chako na maisha ya hawa celebrities Wetu. Umetusaidia kuwajua hawa celebrities wetu ni watu wa aina gani kwa jinsi wanavyojibu maswali. Ila huyu darasa nimempenda zaidi na kujifunza vitu vingi Sana. It's the best interview so far!

  • @imasigaro2968
    @imasigaro2968 4 роки тому +11

    Jamaaa anaakili sanaa!afu Hizi interview zinanipa pcha wasani wengi wamelelewa namama zao

  • @malakimisana8956
    @malakimisana8956 4 роки тому +2

    Maisha yako Ni sawa na yangu tofauti Ni umaarufu tu

  • @kakag5940
    @kakag5940 4 роки тому +3

    huyu kijana ana akili nyingi sana bless up Salama, bless up Darassa

  • @joycembata2238
    @joycembata2238 4 роки тому +6

    the best interview huchoki kumsikiliza 😍😍

  • @mubarakkanyika7820
    @mubarakkanyika7820 4 роки тому +11

    Ila hiyo beats kwenye background ni nyoso🙏🏽♥️

  • @bahatimwankemwa7736
    @bahatimwankemwa7736 4 роки тому +1

    Sikuwahi kuwaza this guy is this much brave. Am inspired. Nimekuwa fan wako mpya...

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 роки тому +3

    Akili kubwa sana aisee, yani hujamlaumu mshuwa kwakusepa and everything,,big up bro 👊👊

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial 3 роки тому +2

    Darasa kando na mziki umejaaliwa na akili nyingi sana ,,

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 4 роки тому +3

    Nice Salama Mlete Juma Nature Wanamambo Sana..Aunty Umefanya poa Kumatukia Mr Burudan🎶❤️👐🏻💖🇰🇪

  • @beatriceben8611
    @beatriceben8611 4 роки тому +4

    What a humble en smart man! GOD bless u Darasa!🙏

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 роки тому +16

    Darasa thank you for sharing your life with us. You are such a humble man and thank you Salama J for sharing his story with us. 🤗🤗🤗🤗🇹🇿🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 4 роки тому +2

    Amen yaan mim penda sana darasa Nakupenda sana yaan I believe Na wewe akili sana Hata mim sipendi kumlaumu mtu

  • @abdulrahimahmed4545
    @abdulrahimahmed4545 4 роки тому +4

    Bonge ya intervw big up darasa...umeongea point kinomaa

  • @TheAm21st
    @TheAm21st 4 роки тому +5

    Thank you Ant , Darassa is very smart One.... Other Rappers /Artists, Need to watch and learn from him... from this interview.

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 роки тому +7

    Yes the best interview love you salama

  • @kingkili8838
    @kingkili8838 4 роки тому +1

    Smart business man,Mungu akujalie ufike mbali zaidi na zaidi,to me ya always the Best in East Africa

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 4 роки тому +1

    Baba bora mungu akubariki na uendelee kutupa burudani

  • @sameeribnephraim1862
    @sameeribnephraim1862 4 роки тому +20

    Daaah one of the best interview

  • @neywen5451
    @neywen5451 4 роки тому +9

    This interview 🙌 💯🔥

  • @nasibukiangai4639
    @nasibukiangai4639 4 роки тому +3

    Ongeza bando inaendeleaa😂😂😂

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 4 роки тому +2

    Juzi nimewai nyumbani kuangalia kipindi si adampta ya kingamuzi imeungua aise roho iliniuma sanaa

  • @lydiabuyungu5117
    @lydiabuyungu5117 4 роки тому +1

    Darassa you are so smart, nahisi mziki wako haukutesi wala kukupa stress ktk akili. Congrats

  • @othumanomary4032
    @othumanomary4032 4 роки тому +1

    Salama uko vizur mnooo interview zangu bora moja ni ya lil ommy ya pili ni hiii wote mko na smile la elfu kmi

  • @emmanuelernest2354
    @emmanuelernest2354 4 роки тому +2

    uyu jmaa anajilew respect

  • @dysamarcus8462
    @dysamarcus8462 4 роки тому +4

    DARASSA YOU ARE UNDERRATED

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 4 роки тому +1

    can't wait

  • @kipajifilamu4718
    @kipajifilamu4718 4 роки тому +2

    Cjawahi kuwa Na shaka Na darassa

  • @homajojomatemu2385
    @homajojomatemu2385 4 роки тому +2

    Wanahiphop wako na IQ kubwaaa sanaaa..Fatilia utakubali.

  • @priscillahlema7778
    @priscillahlema7778 4 роки тому +3

    Nasubiri kukuona goodluck gozbert Sasa

  • @ibnrashadmammytashi7167
    @ibnrashadmammytashi7167 4 роки тому +3

    Mkali waoo jibaba LA maneno ya vina

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 4 роки тому +3

    Wow! Wonderful daddy, Rare kind of father:-)

  • @amouramour1256
    @amouramour1256 4 роки тому +3

    Realest words from the realest KING 🤴

  • @erastolukonde2112
    @erastolukonde2112 4 роки тому +3

    My best artist ever.

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 4 роки тому +2

    what a man big up daaa unamuongelea with a big smile whats love gonna do

  • @faizadulla8663
    @faizadulla8663 4 роки тому +4

    Great interview

  • @omaiim4014
    @omaiim4014 4 роки тому +1

    Nampenda sana kaka darasa yupo vizur

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 4 роки тому +2

    My favourite

  • @kachekamakoko8538
    @kachekamakoko8538 2 роки тому +2

    I real love this interview....

  • @kachekamakoko8538
    @kachekamakoko8538 2 роки тому +2

    Kind of emotional speech from de best rapper

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 4 роки тому +3

    CMG noma sana

  • @hubertanthony7846
    @hubertanthony7846 4 роки тому +1

    Akili kubwa Darasa 🙌🏻

  • @africanyoung5410
    @africanyoung5410 4 роки тому +7

    Salamaa tunamtaka chid benzi kwenye hcho kiti

  • @tenstar9261
    @tenstar9261 4 роки тому +4

    My role model CMG broo class💣

  • @hassanabdulhauf99
    @hassanabdulhauf99 4 роки тому

    The big rap tz nzima sijaona mkali kwako maana unajua sana kucheza na maneno bila hata kupepesa kitu darasa wewe ni noma sana waga nakupenda bule my brother big up

  • @deobandebe212
    @deobandebe212 4 роки тому +18

    Salama alikua anatabasamu sana wakti darassa anaongea yaani tabasamu balaaa it is like this nigga is killing it

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 роки тому

    Huyo ndiyo baba bora hongela darasa

  • @khisaerima4143
    @khisaerima4143 2 роки тому

    Big love from kenya....ur the bongo hip hop kaka sungura.

  • @smwatsuma
    @smwatsuma 3 роки тому +1

    I like this guy... Viewing from Kenya..

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 роки тому +1

    Dalassa we n noumaaaa kinoma Nouma hongera kwa kunifundisha

  • @mr.piellenoposzi3302
    @mr.piellenoposzi3302 4 роки тому +2

    So genius

  • @twalibabubakar2815
    @twalibabubakar2815 4 роки тому +1

    Moja safi

  • @swalehemhando6921
    @swalehemhando6921 4 роки тому +2

    Nzuri sana

  • @rojaa_mwadime
    @rojaa_mwadime 2 роки тому +1

    Salama is The best entertainment Interviewer in East Africa 🙌🏾🥳

  • @husseinkhamis2351
    @husseinkhamis2351 2 роки тому +1

    This man is wise ...salute bro

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 роки тому +1

    Darasa handsame and very humble i like him

  • @feysalabdallah8746
    @feysalabdallah8746 4 роки тому

    Respect bro napenda interview zako unajua kujieleza na kujibu maswali

  • @seciliakilala7921
    @seciliakilala7921 4 роки тому +1

    Love u guys #salama #darassa

  • @bwaxlady688
    @bwaxlady688 4 роки тому +1

    Nmeipenda hiyoo

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows Рік тому +1

    Very smart man 📍

  • @godfreykyando3345
    @godfreykyando3345 4 роки тому +1

    Sana mzee darassa ujawai kufel

  • @salmaluhombero9809
    @salmaluhombero9809 4 роки тому

    Darasa wewe unajua sana very brilliant

  • @quarantine325
    @quarantine325 4 роки тому +1

    Real talk he's smart #mr burudani #

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 роки тому +1

    DARASA NI MFANO WA KUIGWA NA NI MUELEWA. MUNGU AMUONGOZE.

  • @kakag5940
    @kakag5940 4 роки тому +3

    wacha niongeze comment ingine , Darassa ni three people in one person

  • @CertifiedStoic
    @CertifiedStoic 4 роки тому +3

    Darassa's parental situation is the same a mine.

  • @syproelvistru2610
    @syproelvistru2610 4 роки тому +2

    Salama inawezekana 80% ya unaowahoji wanafanya BABA aonekane wakawaida sana au hawajali au wahovyo.

  • @thomsonkamage3163
    @thomsonkamage3163 4 роки тому

    Salama Na...ni show ya kipekee sana..
    Darassa ametishaa..

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 4 роки тому +1

    I love you salama

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 роки тому +2

    Mbona wanaune wengi hawako na walozaa nao tatizo nn wanaume au wanawake