Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 699

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 роки тому +831

    Wanaopenda kuangalia interviews za baba levo tujuane apa kwa likes....

  • @Mariam.kassiva
    @Mariam.kassiva 4 роки тому +234

    This guy needs his own show, he is funny and hard worker. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Mariam.kassiva
      @Mariam.kassiva 4 роки тому +2

      @FyN we appreciate good things, unlike Tz who moves with waves. He is real and I only acknowledge it. If he gets an opportunity in Kenya, why not, amekaribishwa. Tunakaribisha wote wachapa kazi

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 роки тому

      @FyN hiv ume elewa alicho kisema jaman au una ropoka tu wala hta haja sema wanamtaka aje Kenya jaman somen kitu muelewe

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому +1

      @FyN acha kuropok pumbavu watz hatupo ivyo sisi ni kenya ni ndugu futa licomment lako

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 роки тому

      @@veeJesus 🤣🤣🤣 alafu ana comments kila sehem ujinga yaan zaid hta angeelewa

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому +1

      @@yunaisamir2099 mwanaume mzm mjinga naziona comment zake

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +174

    Bb Levo nakupenda sana yaani hata kama ninastress inapotea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na unaponifurahisha zaidi pale unapowaza kula na wala huna haya hujali uko wapi 🤣🤣🤣🤣 safi sana ❤

  • @Mbewevunjabei
    @Mbewevunjabei 4 місяці тому +8

    Wale wanangu wa 2024 tulike hapa kwa baba levo😂😂😂

  • @drizzlesly6009
    @drizzlesly6009 4 роки тому +26

    Baba levo unaitaji uanzishe reality show yako...itaweza sana au kufana😁😁😁

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 роки тому +13

    Naitwa,jaribu uyaone km umesikia hii kwa baba levo like hapa

  • @pacifypads_tz
    @pacifypads_tz 4 роки тому +31

    Baba Levo has a sense of humor! Very charming

  • @irenejackson3227
    @irenejackson3227 4 роки тому +25

    eti mke wako pekee ndo unaweza kumshindilia ngumi akavumilia😂😂😂ila baba levo jaman👏👏

  • @sulemandaud2967
    @sulemandaud2967 4 роки тому +9

    Ila baba levo kiukwel bro hujui kujivunga wallah Mungu akuweke miaka mingi

  • @hassanbukukwe8345
    @hassanbukukwe8345 4 роки тому +21

    Baba Levo kabadilsha Suti. Ile Ya Pink Karudisha kwa mweyewe😀😀😀😀 Wakigoma mwenzangu

  • @jaqlinetumaini4893
    @jaqlinetumaini4893 4 роки тому +35

    Nikiangalia interview zake naenjoy sanaa big up bro 🦾

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 роки тому +32

    Nani ka Like na kuweka comments ata kama hajackiliza kuona Baba levo tuu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @abesa_worldwide
    @abesa_worldwide 4 роки тому +33

    Wanaopenda interview za Baba levo like hapa 👍👍👍 jamaa ni muwazi sana ALL IN ALL 💥💥💥✔️✔️🔥🔥

  • @zainabzuber4263
    @zainabzuber4263 4 роки тому +20

    🤣🤣Jesca nmenyee hili chenzaaaaa da! B.levo utanivunja mbavuuuu

  • @zakstv7368
    @zakstv7368 4 роки тому +133

    Niliisubiri kwa hamu sana nampenda sana baba levo

  • @erick.j
    @erick.j 4 роки тому +18

    Nilikua nasikiliza podcast hio sehemu ya Jesca ikanifanya nije huku Daaaaaah.

  • @rosemaryngowo2327
    @rosemaryngowo2327 4 роки тому +105

    Usipomsikiliza baba levo unamsikiliza nani sasa

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 4 роки тому +110

    Napenda sana interview zake huyu jamaa

  • @pilatowaya4959
    @pilatowaya4959 4 роки тому +7

    Na wish one day iwe Salama na Masanja Mkandamizaji ,please nataman iwe hvoo Salama nafkir tutajifunza mengi kuhusu historia yake

  • @wemajohn9283
    @wemajohn9283 4 роки тому +10

    Nakupenda bure mfipa mwenzagu, Dada salama tuletee Singo mtambalike

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI 3 роки тому +10

    pima uyambe .. from 18:00 - 20:25 this interview is pure Grammy award comedy material. love it!

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 4 роки тому +28

    Apa najua kitakua n vichekesho jinsi ninavyo mjua babalevooo😂😂😂🇰🇪❤️

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 4 роки тому

      Apo anakwambia poli police wanapenda mambo yaishe juu kwa juu

  • @beautymasatu1200
    @beautymasatu1200 4 роки тому +20

    Much respect baba levoo❤️

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому +42

    Asie mpenda baba levo ni mchawi
    Hata uwe umenun vip utachek tu

  • @judithmakundi3513
    @judithmakundi3513 4 роки тому +32

    I like this guy jaman uwiii

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 4 роки тому +1

      😜😜 nikupe konekisheni nae

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 4 роки тому +1

      @FyN Neno nakupenda Lina maana pana....but we unajaribu kulipunguza kwenye hicho unachofikiri ww 😀😀

  • @jijieldaron1400
    @jijieldaron1400 4 роки тому +20

    😂😂😂 Nani mwengine ka shitukiya uyu mchezo wa Baba levo 🤣 movie ina anza jus 🥤 robo nusu 😂😂🙌🏾🙌🏾 Baba levo mkigoma halisi 🙌🏾 One love from Burundi 🇧🇮 Bujumbura

    • @tinaelias3432
      @tinaelias3432 4 роки тому

      Ndivyo inavyotengenzwa hiyo cocktail hiyo nyingine ni barafu

  • @ndundetommasz9158
    @ndundetommasz9158 4 роки тому +8

    Baba levo you are a comedian tamaa ya baba levo huishia kujipuli akiona wenye maini 🤣🤣🤣🤣🤣,but nakupenda sana bro,but do me a favour I love salama, nipigieni kura nimwoe salama 😘😘😘😘😘😘

  • @ericjonas539
    @ericjonas539 4 роки тому +17

    Kama umeiskia "ALL IN ALL" mara nyingi kama mimi Gonga like😄😂😂😂😂😂😂

    • @misslinda6258
      @misslinda6258 4 роки тому

      Anaipenda hiyo ALL IN ALL😂😂😂😂

  • @strong8534
    @strong8534 2 роки тому +4

    Baba Levo, u're the best interviewee I've ever seen

  • @elishamwabalogile8775
    @elishamwabalogile8775 4 роки тому +53

    Kingereza cha baba levo #All in all maisha yanaendelea 😂😂😂😂😂

  • @mrholela7906
    @mrholela7906 4 роки тому +46

    Baba levo unanichekesha unaongea Kiswahili cha kiha Eti UKAFOMOLOLA!!

  • @stanfordjeremiah8943
    @stanfordjeremiah8943 4 роки тому +6

    Hongera sana Salama kutuletea huyu mjuba, so funny

  • @mumspencernleah8037
    @mumspencernleah8037 4 роки тому +13

    Mwenye ana hate baba levo maybe ako na shida 974 tuned sana 💪big up

  • @mdauzedonabouttruckadventu1850
    @mdauzedonabouttruckadventu1850 4 роки тому +6

    Baba levo kwa kweli interview ilikuwa poa sana salama nimependa sana

  • @barakavlogs913
    @barakavlogs913 4 роки тому +9

    Mzee wa ALL in ALL naomba ufanye Comedy😂😂😂😂

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 4 роки тому +69

    We jesca njoo nimenyeee chenza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @noahyavinmlela859
    @noahyavinmlela859 4 роки тому +3

    BABA LEVO NAKUKUBALI SANA MH. DIWANI KWANZA UKO TOFAUTI NA WASANII WENGINE KUWA CCM LAKINI UNAPENDWA NA KILA MTU CHAMA CHOCHOTE NA UNAENDA SEHEMU YOYOTE KAMA MIMI MWANA CCM LAKINI NAKUPENDA SANA

  • @sherrysalim50
    @sherrysalim50 4 роки тому +47

    😂😂🤣🤣🤣 Baba Levo hana utani kwenye Kula

  • @ifrahali8707
    @ifrahali8707 4 роки тому +29

    Baba levo nakupenda bureeee...make me laugh lol.

  • @preneruth5110
    @preneruth5110 4 роки тому +8

    Subiri salama punguza kihererehe😆😆😆 baba Levo bhana 🔥🔥🔥🔥

  • @hamisimsalapai962
    @hamisimsalapai962 4 роки тому +9

    Huyu jamaa ananikumbusha rafiki yangu kassim kebero wanafanana kuongea hadi vichekesho....shoutout kassim

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 4 роки тому +16

    😂😂😂🔥🔥🔥you never disappoint salama much love from kenya 🇰🇪

  • @hezbonmahaulane7798
    @hezbonmahaulane7798 4 роки тому +5

    Haki jamaan me huwa napenda interviews za babalevo aiseeee ..... huwa na enjoy sanaaaaaa

  • @rachelernest6874
    @rachelernest6874 4 роки тому +101

    Baba levo mwanzo tu wa kipind glass iko nusu khaa 😂😂😂

  • @jennifermlyakalam5000
    @jennifermlyakalam5000 4 роки тому +25

    Bangi siyo alicheka kigoma nzima that part nimecheka mpk bac..... Uwiiii

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 роки тому +1

      Yaan nimechek hapo eti hat bibi angu akipete mchele naona ananichekesha

    • @upendohery8252
      @upendohery8252 4 роки тому

      Sio uongo nilijarbu siku moja haki sababu c sababu kicheko

    • @afsaswaleh3395
      @afsaswaleh3395 4 роки тому

      neema mayco 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @richardkalumiye6445
      @richardkalumiye6445 4 роки тому

      😁😁😁😁😁😁😁

  • @naomimmary3885
    @naomimmary3885 4 роки тому +15

    Nilianza kukufuatilia baada ya kuona utaniwako na piter msechu mpk saiv nakupenda bure

    • @hasnasaif1075
      @hasnasaif1075 4 роки тому

      Hata mm napenda sana utani wao

    • @naomimmary3885
      @naomimmary3885 4 роки тому

      @@hasnasaif1075 pale bab levo anaposema piter msechu alienda kwa huyo mzamin kuangua maembe wakaomba unga hahahah

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 роки тому +4

    OBD aka Baba level, nacheka sn ndugu yngu WA kigoma

  • @saggyramadhan7832
    @saggyramadhan7832 4 роки тому +4

    Et machenza ya mapambo tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu baba levo ni mwisho wa maneno jmn anafurahisha sana

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 роки тому +5

    Mimi namwangalia tu Salama nampenda mno Hongera Salama kwa kazi nzuri.

  • @mtajishow6830
    @mtajishow6830 4 роки тому +19

    Baba levo anachekesha kuliko MC Pilipili, na Yeye sio mchekeshaji

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 4 роки тому +10

    Huyo polisi ninge penda kujua ako wapi. Malipo ni hapa hapa. Usijali.

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 4 роки тому +6

    Yaan hii intevew inajieleza kbs baba levo alifungwa kichuki

  • @nunuumohd1130
    @nunuumohd1130 4 роки тому +13

    Nmeipenda interview 😀😀

  • @mcdee007justitbro6
    @mcdee007justitbro6 4 роки тому +14

    BABA LEVO UKUU JUU YANI HIGH WAALA SIO LOW

  • @dannymusictz9442
    @dannymusictz9442 4 роки тому +3

    Kumbe baba levo mfipa ndugu yangu kabixa # mwalindaulii

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 роки тому +17

    All in All he has to come back again

  • @gogoboy3300
    @gogoboy3300 4 роки тому +14

    Yan baba levo kwann usiwe mchekeshaj

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 4 роки тому +2

    Ahaa kumbe kinaendelea waooo ngoja niendelee kuona huku naenjoy

  • @beberulambegu660
    @beberulambegu660 4 роки тому +9

    Safi sana moja kati ya watu ambao nina imani nao sana katika focus zake japo watu wengi wanamchukulia poa kwa mambo yake. Huyu ni Kanye West wa Tanzania

  • @bernardmathias5881
    @bernardmathias5881 4 роки тому +13

    Wale waliona picha ya baba Levo na kucheka kwanza kabla ya kufungua video tujuane kwa like

  • @ydisomusickilistofa9011
    @ydisomusickilistofa9011 4 роки тому +7

    Baba Levo Ataaleee Eti Nimkaa Napiga Story Sisikii Unaniambia Kunyaa Hahahaii

  • @austindaud8926
    @austindaud8926 4 роки тому +12

    Baba Levo inaonesha usiku wa jana yake alikuwa wimbi sana!!😆😆😆😀

  • @athumaniboyrajabu4112
    @athumaniboyrajabu4112 4 роки тому +3

    Kumbe ukicheka Salama unapendeza tofaut na nilivyo kua nakuona Bss 😘😘

  • @prosperchristopher5156
    @prosperchristopher5156 4 роки тому +7

    Best interview after ile ya Idris

  • @mwabayachacha3557
    @mwabayachacha3557 4 роки тому +7

    Asante salama
    tumeisubiri sana hii

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 4 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣🤣Huyu jamaa nomaaa kwakila kitu haswa kwenye misosi

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 4 роки тому +3

    Mpatie mtu nafasi ya kula....au usinifokeee 😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪BabaLevo.

  • @josephmeratah9230
    @josephmeratah9230 4 роки тому +23

    Afadhali. nimepata kitu cha kuniliwaza. Huzuni imetawala kila sehemu.

    • @pendomichael9472
      @pendomichael9472 4 роки тому +4

      Pole sana..usiruhusu huzuni ikutawale rafiki wapo wenye changamoto kubwa zaid ktk maisha jipe moyo..

    • @stamilychristophar7307
      @stamilychristophar7307 4 роки тому +3

      Pole sana ukiwa namawazo uspende kukaa pekeyako jichanganye nawatu

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 4 роки тому +1

      Achaaa t ndg yangu...

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 4 роки тому +2

      Polee usiruhusu uzunii kwako tafuta furaha kwa unaye hisi anaweza kupa

  • @joycemerinyo7133
    @joycemerinyo7133 4 роки тому +17

    nimenyee chenza au ni kwaajil ya maua

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 роки тому +4

    Baba levo ni Simba wa Mwanga kigoma mjini

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 4 роки тому +14

    Baba Levo mwehu, eti Bibi akipeta Mchele naona kama ananichekesha

  • @mariemkanya1478
    @mariemkanya1478 4 роки тому +3

    daah baba levo yuko ni msema kweli always sio mtu wakujisikia au kujib maswali kwa misifa sifa....

  • @whatif..6961
    @whatif..6961 4 роки тому +51

    Ol in ol, baba Levo kapiga story hapo, hadi nimesahau swali ni nn......

  • @alexmasawe9674
    @alexmasawe9674 4 роки тому +8

    Ngoja Nile aka kachenzaa😁😁😁

  • @najmasoudnaj8211
    @najmasoudnaj8211 4 роки тому +15

    I love this 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 роки тому +10

    Baba levo mbwa sn ww eti nilicheka kigoma yote🤣🤣🤣🤣🤣😏😏😏😏😏

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 4 роки тому +3

    Big Up Baba Levo ume jitahid sana kwa hiyo miaka5

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 4 роки тому +2

    Dah nimechekaaa sanaa yaan anavo adithia iyo ishu ya jelaa kama sio habari yakusikitisha vile

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 4 роки тому +11

    Wow, kwa mala ya kwanza, baba levo amenivuta huku nitazame interview

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 4 роки тому +13

    Wafipa wote gongeni like hapa tujuwane

  • @sculleyjones3913
    @sculleyjones3913 4 роки тому +5

    Sio poa jamaa ana trend had imebd wampe part 2

  • @happymarksimwita5244
    @happymarksimwita5244 4 роки тому +10

    Nani kaona baba levo kangonga maiki kaduwaaa arafu kairudisha kimya kimya.

  • @zawadhaidary6332
    @zawadhaidary6332 4 роки тому +3

    Haaaaaaa baba levoo unapajuaa nyumban mbagala kingugiii shikamoo diwani

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 роки тому +8

    Jalibu uyaona au pima uyambe🤣🤣🤣 like za ßàßà la ßàßà au fundiiiii manyumba

  • @DjohnSkills
    @DjohnSkills 4 роки тому +3

    Kama umemuona mbwana samata kwenye Ads ya youtube gonga like

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 4 роки тому +10

    😂😂😂😂Da salama Bana eti mpe vyote, ashindwe yeye tu hahahahaha

  • @janethmwacha5208
    @janethmwacha5208 4 роки тому +47

    yani mimi nkimuona baba levo nachekaaaaaaaaa

  • @mkanyafamily
    @mkanyafamily 2 дні тому

    Tuloangalia hii interview 2025 tujuane 🎉🎉🎉🎉

  • @jiloneemjiloneem6331
    @jiloneemjiloneem6331 4 роки тому +3

    Baba levo nakupenda bure tu all in all maisha yaendelee🤣🤣🤣🤣🤣

  • @naasamson4905
    @naasamson4905 4 роки тому +7

    Salama anajitahidi watu wasichafue 😂😂😂😂

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +3

    kipindi kizuri kabisa dada salama nimtangazaji wakimataifa na baba Levo kijana makini.

  • @badbeats5637
    @badbeats5637 4 роки тому +8

    Jamaa anatakiwa afanye stand up comedy

  • @mcdee007justitbro6
    @mcdee007justitbro6 4 роки тому +18

    Salama mstarabu sana I LOVE YOU UNTIL DIE

  • @shaluuanthony1836
    @shaluuanthony1836 4 роки тому +4

    Ohhhh mheshimiwa baba levo

  • @ashaothuman4765
    @ashaothuman4765 4 роки тому +5

    nampenda sana baba levo big up diwani

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 4 роки тому +10

    Majamaa wapo kama mazombeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dady levo

  • @oscarx5916
    @oscarx5916 4 роки тому +3

    Baba levo kaona msosi haelewiii

  • @yakiniramadhan8921
    @yakiniramadhan8921 4 роки тому +5

    Daah napenda tabasam LA salama tu anavyochekaa

  • @asteriakapolo2583
    @asteriakapolo2583 4 роки тому +7

    Salama punguza kiherehere 😂😂😂😂

  • @hamzamohamed9832
    @hamzamohamed9832 4 роки тому +2

    Salama umependeza n'a baba levo