Jamani rekebisheni kiswahili chenu! Ukitumia Nyimbo inamaanisha nyimbo nyingi kwahiyo kama ni mmoja unatakiwa useme wimbo. Sio kusema ile nyimbo ya Darasa bali ule wimbo wa Darasa.
RED WEAPON : HELIUM 8K S35 35.4 Megapixel CMOS Sensor29.90 mm x 15.77 mm (Diag: 33.80 mm) 8K resolution in a Super 35 format and recipient of the highest DxO score ever Price usd : 49 000/= ni sawa na 112,000, 000 milion za kitanzania we hanscana huna ubavu wa kununua huu mtambo ! Ni rahisi kwa tanzania kwenda mwezini kuliko hanscana kununua kamera ya milioni 112 000 000 before tax we wacha urongo sema umenunua red ya kawaida si huu mtambo epic weapon 8k ,
no research no right to speak hiyo camera anayo na mara nyingi anaipost insta akiwa kaishika ten kuna pic moja kambeba mwanae uku ana pres batan ssa unaposema hana huoni kma unajidanganya wewe
Yaan kaka hanscana nakuelewaga xana kwenye video zako . .hata kama hujaandka jina lako kwenye video huwaga najuaga tu kuwa kwa video hii Kali lamza iwe yako
Jamani rekebisheni kiswahili chenu! Ukitumia Nyimbo inamaanisha nyimbo nyingi kwahiyo kama ni mmoja unatakiwa useme wimbo. Sio kusema ile nyimbo ya Darasa bali ule wimbo wa Darasa.
Nimependa unavyojieleza,upo real..that's good
THE CAMERA COSTS KSHS 3 (2,956,554.29) WHICH IS EQUIVALENT TSHS 67,018,500.....THAT IS GOOD HANSCANA YOU ARE GREAT..KAZI ZAKO NZURI SANA
Keep up mtangazaji sauti nzuriiii Kama Millard Ayo vile
Well done hascana now amekua, anaweza kujibu maswali na kujieleza. Kazi nzuri kaka bundala
Best one
hascan fundiii #Fimbooo #hascana
Some clever bongo youngsters.keep it up
Safi sana kijana kusjiskia muhimu maana umepigika
Huyu kijana yuko smart mashaallah
Asha Swaleh sawa
Safi sana Hanscana nakukubali mzazi!
hongera sana mdogo wangu...Hans
Inviting Kenya tv hosts for learning experience...
Red epic weapon,helium 8k ni USD 49,500 = 121,275,000/=tsh
ok.
URIO TV Hot news dooooh
Ameitoa wapi hiyo?
Nice hanscana
Ahsante,nmependa kwa kuwa mkweli.
Unsmkubali 'nisher'
Hanscana we unafanya mavideo mazuri kabisa. Unaweza Sana. By Lil Kaishea a.k.a Shawrunna "The Rapper"
ukigoogle hiyo Camera ni Million Miaaaa Dah Kijana Hongera Kha
Smart boy
Congratulations
Intarvew nzuri Sana iliyoend shule
Safi sana Brother
The guy really shines now. Swafi.
Dizzim, good interview.
Nakukubar
daaah kaka sky hyo 8k ni million 108,900,000 duuu dogo anajua
COPPER TV
Safi sana kijana
Hanscana ol da best👏
Interview yangu bora kabisa siku zote
RED WEAPON : HELIUM 8K S35
35.4 Megapixel CMOS Sensor29.90 mm x 15.77 mm (Diag: 33.80 mm)
8K resolution in a Super 35 format and recipient of the highest DxO score ever
Price usd : 49 000/= ni sawa na 112,000, 000 milion za kitanzania we hanscana huna ubavu wa kununua huu mtambo ! Ni rahisi kwa tanzania kwenda mwezini kuliko hanscana kununua kamera ya milioni 112 000 000 before tax we wacha urongo sema umenunua red ya kawaida si huu mtambo epic weapon 8k ,
Bonge LaBwana inawezekana sana anayo...he has made lots of money skuizi pengine
no research no right to speak hiyo camera anayo na mara nyingi anaipost insta akiwa kaishika ten kuna pic moja kambeba mwanae uku ana pres batan ssa unaposema hana huoni kma unajidanganya wewe
Anayo by director nzito
Bonge anayo iyo by dir nzito
He's smart guy.
Saf kaka unajitaid sanaa
Safi sana dogo
Hanscana nakupendaga buree
helium 8k inacheza kwenyeTsh mil. mia na uchafu, sio kitoto
oya tumieni na software za after effect pia banaa
Mousa D, planjin sio rahisi kiivo kwao nazani
smart
Gud
Dizzim online iko vizur sana
Frank Dickson hongera baba kwakumjali mama
Kijana uko pouwa sana
👑👑
helium 8k $49975 😱😱😱
Barca11 World Tv Visca el BARCA
Hanscana bigup
rafiki wa kweli anaamini kwenye upendo haamini kwenye skendo
Huu msali wa nyimbo gani jmn ?
hi samahani naomba nipate contact zenu coz sijui mnapatikana WAP na nahitaji nifanye kitu na nyinyi
Yaan kaka hanscana nakuelewaga xana kwenye video zako . .hata kama hujaandka jina lako kwenye video huwaga najuaga tu kuwa kwa video hii Kali lamza iwe yako
UKO POA SANA LKN WATANZANIA TUMPE SAPOTI PIA NA WEWE HANSCANA
JITAHIDI KWENDA KIBIASHARA ZAIDI IKO SIKO UTAKUWA MKUBWA SANA
Yupo vzr namkubali xn
Kwenye mibichwa wanahakili
Nimekusomaa
Games
Kitu kipya nilichonote kwenye hii interview ni kwamba Hanscana akisikiliza nyimbo 'ANAUMIA'😁
Graphix Master 😂😂😂😂hatar ila system yake nimeipenda muno ukitoa advance ndo naskiliza wimbo
♥️✍🏽🧜🏽♂️🎓🎬🥇
Uko pw dogo nimekuelewa
Sikiliza utaratibu wa kupitia ili uweze kupata hati ya kiwanja chako
Click link hapo chini
ua-cam.com/video/To0AmeF0rhc0/v-deo.html
$54.545
dah ila namwelewaga kinyama huyu jamaa hanscana ni sheeda asee
dizzim
Mmekula hela za darassa then u came up with blah! blah! blah! Save him we know watapenin to him
Innocent Tendwa wat happened to him.. Am a big fan
Boya uyo