MANENO MAGUMU ALIYOAMBIWA RAIS MAGUFULI NA NABII MWINGIRA
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- #RaisMagufuli #Magufuli #Ikulu #ViongoziWaDini #Tanzania
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Patashika bomoabomoa ya stendi ya Mwenge"
• Patashika bomoabomoa y...
~-~~-~~~-~~-~
Ukiwa na Mungu wa kweli huwezi kuogopa kusema Mungu hakubariki sana Mchungaji
This is awesome!! Sera zijadiliwe and be done in one accord, perfect!!
Asante MTU wa Mungu umeongea vizuri na kiongozi wako Mungu awatie nguvu viongozi wa dini wamsaidie mheshimiwa kwa maombi ili nchi yetu iende sawa .
nampenda sana mchungaji wangu mwingira mungu akubariki mno amen
gooooooooooooood mchungaji kwa upeooooo
Safi sana mtumishi bira unafiki ubarikiwe sana
Wewe ndiye mtumishi ya Mungu.
point sana amina
I understand you my spiritual Father May God protect you
amen
Ubarikiwe sana
Point sana Nabii
Upo vzuri sana mwingira
Nimekubali
Huyu mtume na nabii Mwingira ameongea points sana
asante Apostle, umeongea ukweli sio kukaa na kusifia mambo ambayo hayapo
KABISAAAA MAGUFULI alituaminisha
Kumbe HAMNA KITU Bora mama msema KWELI
Kweli Baba apostle
Uko saf sana ww kweli mtumishi wa mungu
Blesed dady we lov u....
Good things
Haleluya kwa Bwana
Efatha.. Mwingira ana hekima sana. Hawa viongozi wa kiroho wanaongea wima bila unafiki, nadhani ni kwasababu wanaongozwa na roho mtakatifu.
Nimemsikiliza huyu Mkuu Wa Efatha.. Anaongea yani kitaalam (kama professor). Kweli Mungu anaimarisha sana wateule wake.
Asate sante Sana
Daah huyu jamaa yuko vzuri nmemkubali.
Nampenda sana mchungaji mwigira nimepona kupitia maombi yake
mungu akutuze baba angu
Ndugu John Magufuli, Mungu akubariki kwa hizi hekima zako.. Na akuzidishie hekima na maarifa.
Duuuu point konki
Mungu akulinde!
Ndio maana nilisema hivi watu wana mengi moyoni ila basi tu wanaogopa kusema lakini mtaumbuka hhhh maendeleo yanarudi nyuma au yanaenda mbele duhhh
Mwenyezi mungu atujaaliye tupate watu wasaukweli kama hawa hakika nchi itaenda mbele
Watanzania tumlilie mungu alie ai ampoke rais tutakukumbuka rais wetu pendo ra mungu lipondani yake
Baba upo vizuri baba
Mwingira. Usikatishwe.taama.nagwajima.hana.upako.wa mungu. yunamjiaa
Hongera umenena vyema
Amen
Hawa ndo wez wa nchi atuonyeshe tax clearance yake kama analipa Kodi vizur
Sawa sheikh
ASANTE SANA MKUU WETU WA NCHI KWA UMOJA AMBAO UMEAMUA KUUREJESHA KILA ENEO, MWANZONI ILIANZA KAMA KUTIA HOFU, SASA TUNAANZA KWENDA KAMA TAIFA..BARIKIWA MKUU NA UUNGWE MKONO NA KILA MPENDA TAIFA LETU ATOE MCHANGO WAKE...
Mungu asimamie hili taifa
Hakuna Nchi itaporomoka itatawaliwa na udini na hivo itikadi za kidini ni hatari mno mtamwaga damu za watu
mungu akutie nguvu
Franck Mwaduma
nikweli alichelewaa kuwaita makundi mbambali kupata maoni yao uwaunganisha pamoja km watanzani tatizo washauri au akutaka ushauri
naomba asisahau kuwaita viongozi wa vyamaa vya siasa awasikilize na kjb kwelo zao pia ili kujenga umoja wa kitaifa hapo jpm utakuha huna mpizana
yaani wakati una apishwa utakiwa kifanya hivyo Kundi kwanza viongozi wa dini ili waombe Mungu akusaidie kuongoza nch la pli viongozi vyama siasa kuombana msamaha kuomba ushilikia ktk kujenga nch kwa nyuma yao nao wana watu
baba asante umesema kweli barikiwa sana
Enock Komba
Je, kabla ya jana ni lini kuliwahi kufanyika kikao kama hiki ktk Taifa hili?
Vema mzingatie kuwa kila jambo lina mwanzo na Pres. John Pombe Maghufuri na Sirikali yake wanapaswa kupongezwa.
Kwa kweli, Kikao kilikuwa cha Wazi kila mtu amejionea wazi bila pazia.
Hongera Pres. Magufuri tutafika kwa amani pale tunapotaka kwenda.
kula yangu kwako2020
Duh kakosea sannnnna kusema kwamba anashughulikia serikali ya mbinguni huyu padri.
Hassan Turky siyo padri ni mchungaji , na pia anamaanisha serikali ya mbingu means kutumika kondoo wa bwana kutangaza neno na bwana . Elewa
Elewa pia yeye anaandaa watu kwaajil ya uko mbinguni sio apa duniani ndio maana anakuhubiria kuacha dhamb anamaanisha kuiacha dunia
Huyu Ndiyo anasema Magufuli alimfanya vbaya
I was never feel to follow this Father, but I have to fall now..
Point
Amina baba
Kaongea vizuri huyu baba paroko tatizo magufuli huwa c muelewi
Ataelewa tu uchaguz huu
Jamaa amechanwa makavu anamwangalia mtumishi kwa jicho kariiiiii, alitaka kusifiwa tu hataki ukweli mchungu
Ukitaka kujua point ambazo Mkuu hajafurahia, utasikia haya sasa tunaenda kwaaaaa!.
Hahahha malizia
Lipa Kodi mzee achen kutumia taasisi za dini kukwepa kod
Congrat. Good speech, lakini kwanini usiseme yote hapa unataka muongee wawili? Nini unaficha?, mbona raisi hakuwaita mmoja mmoja? Hapa unatupunja mtu wa Mungu, kumbuka kupunja ni kwa shetani, lkini kuambiana yote ni kwa Mungu!
Yamkin ni hekima anataka atumie
uko sawa mkuu
Watu wenye hekima kama huyo ndio wanatakiwa washauri wa rais! Ila Tanzania hatuna maono hayo ila mtu mmoja huamua kwa ajili 50 plus million people!
9. 10 hali nbaya bwana magu Achiaa pesa bwana kama nihzo ndege utapanda nawatu wako wenye uwezo huku ss Hali inazidi kuwa ngumu bwana.
Safi
Very true Dad.
I love u dady
Kuna kauli nyingine ni too philosophical ahahaha mipango miji ni ya Mungu ila vurugu za miji ni za shetan. . . . . ???????
Wapumbavu husema kwamba Siasa na dini havipaswi kuingiliana, Sasa why uape kwa Biblia
Ck zote tunge kua na vikao kama ivi na viongozi wa kiroho ina pendeza cn wana madini cn ni migodi tuwaheshimu mmno!
Tapeliiiiiiii mkubwaaaaaa weweeeee huna loloteeeeee weka mipango miji kanisani kwakoooooooo
Hilo halikufai kitu pia
Nabii mwingira ni mnafiki sana huyo,anamchukia sana jpm kwa kuwa amenyanganywa benki ya ephata mwongo huyo,msikilize anapoongea ni mnafiki sana,
yaani hapo Mzee umeongea wakiona MTU anapesa kidogo arafu anaitaji eneo wanatumia kila mbinu ili utolewe Ila ni janja za watu kwa rahisi huyu watasoma namba
makweta eve
Muambie nabii kua watu kama lissu mungu anawaletaga kwa makusud maakum
Baba umetoa ya kiroho kweli Kabisa vurugu niza shetani
Wewe umesema viru kuliko wanaopongeza kuliko bira kujua adha zilizoko huku chini
Huyu jamaa ana akili sana na jasiri sana. Ila alionja joto la mwenyewe.
Uyu ndio kuzungumza ukwel
Wengine wengi ni pongezapongezaaa. Tuwe wazalendo.
uyo ni baba
Tatizo liko kwa wenyeviti wa mitaa wauza maeneo wakati wakijua ni Barbara na road reserve
Namshukuru mungu
Na mashekhe wamewekwa ndani
Mzee wa Efatah na mkubari hyu mchungaji
Karibu sana
Karibu Efatha
Halikumbukwi Tena hlo mzee ,taifa lolote ni umoja,Yani mzee mwingira yote uliyoyaongea ni mawazo kuntu Kama viongoz wetu wangekuwa wanayafanyia kazi Kwa wakat
mwingira oyee bomoabomoa za kila mara wakati wasomi wapo .....
Rais tutatulie hili tatizo
Du!
Tungepata wachungaji wakweli kama hawa tungesonga mbele marudufu
Yes
kabxaaaa
Kuna nchi kabla viwanja avijauzwa Kwa wananchi wanaleta umeme maji na barara zalami tena kwamitaa kisha ndio wanauza viwanja
Ujerumani ni Nchi ya kikristo lakini cjawahi ckia kua Angela Merkel anawaita maskofu kujadi kuhusu maamuzi aliyo yapanga yy ktk serikali yake
Bahati Haerter usilinganishe ujeruman na Tanzania,inayoyafanya Tanzania ujerumani ilifanya miaka mianne iliyopita so utofauti ni mkubwa sana .non sense
@@amashakigelulye7632 hata hivyo Magufuli ndiye mwenye mamlaka, tukisema kila anacho taka kutamka awashikishe viongozi wa Dini kwanza ndo litanganzwe hapo ni uongo, mbona tunasema mwanaume no kichwa cha nyumba na sio vitu vyote ambavyo mwanaume ana mhusisha mke wake. Watiini wenye Mamlaka
Mambo mengine tupime, Kama hajaweza kufanya kazi na team nzima ya bunge bila kujali vyama!!! Hapo vipi??
Ujerumaji
Mh.
EFATHA FUNGUKA
Hapa sasa rais anajuwa kuwa hakubaliki.!!! Hoja zote zina lawama sana.
Mnataka kuwa wabunge. Huyo ni kazi ya siasa.
Danford Augustino hahaaaaaaaa
Jkda
Anaye pewa mamlaka hua anakua mmoja mkisema kua kabla hajaamua kitu awashirikishe Mbona itakakua shida itakua Inaonyesha kua Rais hana nguvu ya kuamua jambo, je nyie mtamwita huko Kanisani kwenye mipango ya kanisa? Nenda kapige siasa ili uchangie vizuri
Magufuli anahekima ndo maana kawahusisha mshukuruni Mungu kwa kila jambo, amechelewa nn, Wacha zako huko, sio kua wachungaji ndo wamekua Malaika, tena nyie ndo wabaya sana.
Tena wabaya haswaaa
Nabii wa uwongo
You havegea kingereza?. Haiwezekani ukawa na mipango endelevu ya milele, hilo ulijuwe sababu hayo yote yanategemea kiasi cha watu waliopo . kama watanzania wangekuwa hawazai busi ingekuwa mipangoendelevu ingezekana. Elimu nayo muhimuu iliueze uweze kuona mbali.
JE masheekhe wetu waliyo wekwa ndani takilibani miaka minane je ahao awakuwa niwatumishi wa mungu? ?
Mashehe wameshindwa kuuliza kuhusu hao wenzao walio ndani
Mashehe wangesema sasa hapo kwani hawapo mashehe wa kuwatetea wenzao?
Sasa uyo ni shehe?mashehe wenzao c ndo wasemeeeee
Hayo ni maagizo waliopewa.
Bora kidogo kaongea japo kwa uoga na hofu vile vile
Amina Baba
yaani hapo Mzee umeongea wakiona MTU anapesa kidogo arafu anaitaji eneo wanatumia kila mbinu ili utolewe Ila ni janja za watu kwa rahisi huyu watasoma namba