Acheni uhuni CCM, Ukweri una uma.kwani Walio toa CCTV camera naye hamkumuona? Maasikari Walio kuwa zamu nao hamjawahoji mpaka leo? Hii inchi ni inchi yanamna gani? Acheni uhuni wakitoto
Wewe Mwingila fanya kazi yako Lisu kapigwa risasi mwaka gani leo hii ndio unajua mbn mnafanya vitu vya ajabu,kumbe Magufuli alikua Mungu wenu mbona hamkuthubutu mlikua kimya acheni unafiki
Nchi hii hatuna mahakama,,,, hatuna bunge na hatuna police hiii ikowazi watu wameumizwa,,, wameuawa nawengine kutishwa Kama MWINGIRA,,,, MWINGIRA ni mtumishi wa MUNGU hawezi kusema uongo,,,, kwani tundulisu alipigwa Risasi na Nan???? Nani a lizima kamera ????? Na police mumechukua hatua gani??????
Tundu Lisu one day, one day. God will crown him in Tanzania. Why God is living in Tundu Lisu because he is just, and God is Just. God will never reside in hypothesis people. God bless Tundu Lisu.
@@glorynguma3593 The Preaching Of Prophet Mwingira, Was Prior To General Ellection Last Year, I Saw It Last Year 2020 Clearly, it Is The Same Vedeo ..!! But The Yesterday Clip Explained Briefly By Minister Of Home AfairsTanzania Simbachawene Is Not Aired Here..!! So This Is The Past Clip NOT The Current One..!!
@@glorynguma3593 But The Last Year vedeo Talked Only About Tundu Lissu Assassination Attempt, Mwingura Congratulated Tundu Lissu For His Miraculous Servival From Gunshot Of 16 Bullets, and One Still Remains in his body After a Failure of Medical doctors To extract it, as it May Cause Permanent paralysis Of Lower Limbs due Spinal Cord Surgery..!! But in That Vedeo, Mwingira didn't Talk any thing about Threatening of His Life, He talked Yesterday in Church But The vedeo Was NOT Aired..!! Unfortunately I Didn't see The Yesterday Clip..!!.
Kuna wakati Lile Jambo la uovu litawekwa kuwa ushindi ,. Ili watu waliamini na kulifuata wakapotea ,,, ila yule Mungu wa kweli yuaja na ghadhabu kali juu ya walio ipotosha injili na kupoteza kondoo wake Mungu , pia kwa waovu wote walio ikataa kweli ile siku yaja , nami nawambia iweni watakatifu kabla neema haijatoweshwa ulimwenguni , itafuteni injili na neno lile lisilo goshiwa ,, maana ili nenwa SI wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa mbinguni , na siku ile Bwana atawajibu kuwa ondokeni sikuwajua ,,, ila siku hiyo Ni njema Sana kwa watakatifu wale walio jikana nafsi zao na kuokoka na kuuishi utakatifu yaani wale walio watauwa hao ndio watauona ule ufalme wa Mungu.
Ghengis Khan survived so many assasinations since childhood and ended up building the mongolian empire and spilling so much blood, surviving assasinations doesnt make you a victor
Mtu hawezi kukurupuka kuzungumzia tuhuma hizi na swali langu kwako Waziri ni je ocd au RPC hawezi kutimiza wajibu wake wakisheria pasipo maelekezo ya waziri
Wachungaji wa leo wanatoa ushuhuda wasiyofanyia utafiti kamili wanacheza na siasa lissu hakupigwa risasi lissu alijisingizia amepigwa risasi. Tupopamoja kulijenga neno la mungu lilona ukweli usijeuze madhababu kama ulingo wa siasa.
@@Jackson-Novat wewe unatukana watu wewe ni chadema kwani mnamatusi na mtaka katiba mpya na haitoki ccm tunataka uchumi na maendeleo hio katiba inatusaidia nn ss watanzania kima wewe huna lolote
Jamanii!! me sijaona kama kuna sehemu huyu baba Mwingira ametoa taarifa zakupotosha jamanii alikuwa anafundisha ,ila kwani kuna mtu aliyewahi kupigwa lisasi nyingi kama lissu?kweli tuna masikio lakini hatusikii kheeee!!
JAMANI TZ NCHI YANGU, KWANI hapo Askofu ana kosa gani? Kwani Tundu lissu hakupigwa Risasi kweli? Du! NCHI itakuja kuhukumiwa na Mungu mwenyewe. Yetu macho.
Mwenye clip ya kile alisema Askofu mara baada ya tukio la Tundu lisu kupigwa risasi. Nataka niskie alichokisema wakati ule nilinganishe na sasa maana hii dunia imejaa unafiki sana. Kama alinyamaza wakati ule na sasa anasema basi kipo kitu zaidi ya ushuhuda. Pia kuna uchochezi ndani ya maneno yake " mtu aliyeshinda risasi unawezaje kumshinda " hapa anamaanisha Lissu alishinda uchaguzi mkuu. Pole mzee kwa kufungiwa bank yako lkn nikukumbushe kusudi la kanisa duniani ni kuokoa roho za watu wasiangamie na moto wa jehanam waurithi uzima wa milele. Jikite kuhubiri injili ya kweli achana na matango pori uwalishayo watu wa Mungu.Kumbuka siku ya mwisho utadaiwa
Huyu simba chawene nilimwona sehemu anasema wananchihawaitaji katiba mpya eti madai yao wanahitaji maendeleo sio katiba, yote hayo ili waendelee kuwepo madarakani kwa wizi wa kura. Alafu hajaojiwa popote askofu kusema ukweli kidogo tu akahojiwe hii nchi kweli ya kibabe sana. Hamtaki kuambiwa ukweli.
Waziri wetu simba chawene ukweli umefika mbali sana hana neno la ki Mungu halimo ndanj yako ,, ukimsikia vizuri askofu josephat katoa mfano ya namna mungu alivomtetea yeye, ni kama mifano iliyomo ndani ya biblia hasa kupitia kitabu cha Daniel kuhusu wale vijana watatu waliotupwa kwenye tanuru la moto
WAPE VIDONGE VYAO❤❤❤❤❤
Psalm.91 on you servant of God. Angels on guard over HIS servants FEAR not for those who kill the body but can't kill the soul. Barikiwa saidi 🙏🙏
I love this pastor 🙏
Wape Misumali Baba E.Mwingira. Ukutunae Gwajima kashatoboa ubao serikali kiukweli inahitaji kutubu ili wananchi wapone
Ni siasa au mahubiri?
GOOD askofu umenikosha ..umeongea point ..sana
Mbona hii video ni ya mwaka jana??
Mbona video ya zamani Sana Hii?
Ameeeen baba tunajivunia 💞💞💞
Taarifa gan? unataka tena kiongoz kwann
Cctv camera zile zipo wapi? Waziri mwenye dhamana ya ulinzi anajua Mwingira hajakosea kabisa
Absolutely that event was a miracle!!GOD saved tundu lissu directly!! He is a hero of the century!! But the government is playing a bad game!!
ooh my God hakika umemfanya tundulisu aonekane mshindi juu ya watesi wa ulimwengu but mda utafika?!
Shida iko wapi hapo
Na ijulikane Yesu ni Bwana
Acheni uhuni CCM, Ukweri una uma.kwani Walio toa CCTV camera naye hamkumuona? Maasikari Walio kuwa zamu nao hamjawahoji mpaka leo? Hii inchi ni inchi yanamna gani? Acheni uhuni wakitoto
Sema UKWELI baba
A men🙏🙏🙏
Mgogo mwenzangu umenizalilisha kama hujasikia vzr kumbe unazungumzia kitu gani Sasa cjakuelewa wewe unasema ujasikia vzr Sasa tukueleweje 😱😱🤭🤭
Huyu Mwigira ajengewe sanamu lenye cement ya ratio kali juu ya daraja la Mfugale hapo Tazara upesi💪💪🙌🔥💉
Kama unadhani ni rahisi jaribuni muone
😂😂😂😂AYA MAHUBIRI NILIKUAGA SJAYAELEWA NIMEKUJA KUYAELEWA BAADA YA MJOMBA KUFA
Jaman nampata kwenye channel gan huyu baba
Trenet tv-king'amuzi cha Eurostar,
Baada ya kuliongea mkaishia wapi
Our president 2025- 2030 is Tundu lissu
Kwan amekosa nn kumtumia legendarian Lissu kuwatia watu moyo jaman duh!!!
It is true GOD saved Tundu Antipas Lissu directly!! It is wonders of world.
Wewe Mwingila fanya kazi yako Lisu kapigwa risasi mwaka gani leo hii ndio unajua mbn mnafanya vitu vya ajabu,kumbe Magufuli alikua Mungu wenu mbona hamkuthubutu mlikua kimya acheni unafiki
EXCELLENT 100% TRUE
Mmmh mbna hii habari Ni ya SKU nyingi kabla hata ya uchaguz mwaka Jana, acha uchonganishi ndugu mwandishi
Utawala haki na sheria.
Wale waliouliwa Pemba katika kipindi cha uchaguzi wa October 2020 mpaka leo hakuna tamko rasmi kuhusu tukio hilo.
Nchi hii hatuna mahakama,,,, hatuna bunge na hatuna police hiii ikowazi watu wameumizwa,,, wameuawa nawengine kutishwa Kama MWINGIRA,,,, MWINGIRA ni mtumishi wa MUNGU hawezi kusema uongo,,,, kwani tundulisu alipigwa Risasi na Nan???? Nani a lizima kamera ????? Na police mumechukua hatua gani??????
Tundu Lisu one day, one day. God will crown him in Tanzania. Why God is living in Tundu Lisu because he is just, and God is Just. God will never reside in hypothesis people. God bless Tundu Lisu.
Mungu mkuu aturehem. 04/04/2021 Mungu mkuu ,ibada ya SAA 3 asubui alisema Mara tatu Tanzania ipo gizani. Kunanini hap?.
UKWELI UZIHIRIKE .
HII SIYO YA JPILI
Waliompiga lissu lisasi Hadi Sasa hawajulikani hatushangai kwa huyu kufanyiwa hayo
Acha Usenge mzee mpewe taarifa gani hali ya kuwa Mnajua aliemimina Risasi
ASKOFU GWAJIMA, HAWAKUMKAMATA JESHI LA POLISI WALIJITETEA YA KANISANI YAISHIE KANISANI WAYAMALIZE KIKANISA BILA POLISI KUINGILIA
Good
Mwingira anashuhudia ukuu wa Mungu kwa mifano dhahiri. Amemtuhumu mtu? Imani ya waumini wake inaongezeka kwa ushuhuda wake! Mambo ya imani!
Haya
This is an Old Vedeo Preached, Just Before Tanzania General Ellection Last Year 2020
Wapi hiyo ñi jana
@@glorynguma3593 The Preaching Of Prophet Mwingira, Was Prior To General Ellection Last Year, I Saw It Last Year 2020 Clearly, it Is The Same Vedeo ..!! But The Yesterday Clip Explained Briefly By Minister Of Home AfairsTanzania Simbachawene Is Not Aired Here..!! So This Is The Past Clip NOT The Current One..!!
@@geraldnashokigwa517 I see the clip of last year and yesterday I was in church he speaks the Same thing and even more yesterday it was 🔥🔥
@@glorynguma3593 But The Last Year vedeo Talked Only About Tundu Lissu Assassination Attempt, Mwingura Congratulated Tundu Lissu For His Miraculous Servival From Gunshot Of 16 Bullets, and One Still Remains in his body After a Failure of Medical doctors To extract it, as it May Cause Permanent paralysis Of Lower Limbs due Spinal Cord Surgery..!! But in That Vedeo, Mwingira didn't Talk any thing about Threatening of His Life, He talked Yesterday in Church But The vedeo Was NOT Aired..!! Unfortunately I Didn't see The Yesterday Clip..!!.
Kuna wakati Lile Jambo la uovu litawekwa kuwa ushindi ,. Ili watu waliamini na kulifuata wakapotea ,,, ila yule Mungu wa kweli yuaja na ghadhabu kali juu ya walio ipotosha injili na kupoteza kondoo wake Mungu , pia kwa waovu wote walio ikataa kweli ile siku yaja , nami nawambia iweni watakatifu kabla neema haijatoweshwa ulimwenguni , itafuteni injili na neno lile lisilo goshiwa ,, maana ili nenwa SI wote waniitao Bwana Bwana watauona ufalme wa mbinguni , na siku ile Bwana atawajibu kuwa ondokeni sikuwajua ,,, ila siku hiyo Ni njema Sana kwa watakatifu wale walio jikana nafsi zao na kuokoka na kuuishi utakatifu yaani wale walio watauwa hao ndio watauona ule ufalme wa Mungu.
Sio yeye wakwaza Elia alijificha porini wakitaka kumuuwa kwasababu alisema kweli kwahi juwa ukisema ukweli utachukiwa
Yes
Kweli lissu ni mshindi maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu na anapenda kukosolewa
Mbona alipopitwa lissu mlikuwa kimya na bado mpo kimya acheni hizo aseeeeee
Ghengis Khan survived so many assasinations since childhood and ended up building the mongolian empire and spilling so much blood, surviving assasinations doesnt make you a victor
Same for Jonas Savimbi
Kuna maziri chawa.
Hyu askofu hasukumi lawama Bali kaona kiburi Cha viongozi kimezidi mnajifanya hamuoni mnaendeleza dhulma ndio maana kaona bora aseme ukweli
Aiseee???!!!!!
Ivi bank yake ipo au ilifungwa. Kama ilifungwa . Hii itakuwa dukuduku linatoka
Kabisa aisee
Haishi kwa kutegemea bank kenge weweeeeee
Tundy lisu kamuua maguful
Acheni tuongee
We simba chawene achana na mtumishi wa Mungu na utapigwa na makaika ushindwe na kuongoa
Mbn hajamtaja m2
Kipande hicho Cha video mbona si jambo la kufuatilia hilo.
Mtu hawezi kukurupuka kuzungumzia tuhuma hizi na swali langu kwako Waziri ni je ocd au RPC hawezi kutimiza wajibu wake wakisheria pasipo maelekezo ya waziri
Taharifa gani nyinyi
Mungu alinganishwi na kitu chochote akisema ipo ipo tuu hakuna anayeweza kumzuia kutenda anavyotakaa
Huyu mzee apewe ulizi kaongea ukweli wake 😅😅😅
Kazi ya nabiii ni kuisemea serikali inapo kwenda kinyume
IMEPENYA HIYOOO
Mmmh
Me nafikili msitumie nguvu sn, maana waswahili hamtaki kukosolewa hata kidogo
Nafikiri ww askofu mala mtume,hujui siasa fanya wizi kanisani.
Mwizi baba ako
Wew waziri husikii vizur!!!
Lazima tuwe na hofu ya mungu someni maandiko ili mtende haki
Mbona tunatishiana
Wachungaji wa leo wanatoa ushuhuda wasiyofanyia utafiti kamili wanacheza na siasa lissu hakupigwa risasi lissu alijisingizia amepigwa risasi. Tupopamoja kulijenga neno la mungu lilona ukweli usijeuze madhababu kama ulingo wa siasa.
Yaani wewe ni mpuuzi, mzandiki, na mshenzi mtakatifu. Lissu hakupigwa risasi kweli. Una akili yenye utimamu kweli? Angekuwa babako ungebwabwaja hayo?
Kuna muda tunapaswa kuomba sana Hekima ya Mungu kuliko kitu chochote
@@Jackson-Novat wewe unatukana watu wewe ni chadema kwani mnamatusi na mtaka katiba mpya na haitoki ccm tunataka uchumi na maendeleo hio katiba inatusaidia nn ss watanzania kima wewe huna lolote
Funga kabakuli kako kama hujaelewa alichomaanisha
Siku zinahesabika broo
Isaya 33:22
[22]Kwa maana BWANA ndiye mwamuzi wetu; BWANA ndiye mfanya sheria wetu; BWANA ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.
Sauti haisikiki vizuri,ungesubiri mpaka uisikie vizuri ndio utueleze ulichosikia maana umetuacha njia panda.
Sijaona kosa Kwa pastor 🤔
Hata mpiga filimbi wa Hamelin alifuatwa. Kupigwa risasi 16 na dereva wake asiguswe???. Huyu Bwana anataka kurejesha umaarufu.
Jamanii!! me sijaona kama kuna sehemu huyu baba Mwingira ametoa taarifa zakupotosha jamanii alikuwa anafundisha ,ila kwani kuna mtu aliyewahi kupigwa lisasi nyingi kama lissu?kweli tuna masikio lakini hatusikii kheeee!!
Tanzania hamna aman kama Kuna amani mboye nigaidi sehemu ya magaidi hakuna aman
JAMANI TZ NCHI YANGU, KWANI hapo Askofu ana kosa gani? Kwani Tundu lissu hakupigwa Risasi kweli? Du! NCHI itakuja kuhukumiwa na Mungu mwenyewe. Yetu macho.
Yaan akashitaki kwa nan
Kwan Kuna kibaya kakisema hapo?? Mbn m naona hakuna baya llote
Utakuwa Unamfahamu aliyempiga risasi Lissu.
KWANI WEWE HUWAJUI
Acheni wongo baba yetu apostle hakusema hvyo tena hukumu iwe juu yenu wote mnaoongea kinyume ndo maana hamuelewi Mungu awasaidie na awasamehe
Booom
Mwenye clip ya kile alisema Askofu mara baada ya tukio la Tundu lisu kupigwa risasi. Nataka niskie alichokisema wakati ule nilinganishe na sasa maana hii dunia imejaa unafiki sana. Kama alinyamaza wakati ule na sasa anasema basi kipo kitu zaidi ya ushuhuda. Pia kuna uchochezi ndani ya maneno yake " mtu aliyeshinda risasi unawezaje kumshinda " hapa anamaanisha Lissu alishinda uchaguzi mkuu. Pole mzee kwa kufungiwa bank yako lkn nikukumbushe kusudi la kanisa duniani ni kuokoa roho za watu wasiangamie na moto wa jehanam waurithi uzima wa milele. Jikite kuhubiri injili ya kweli achana na matango pori uwalishayo watu wa Mungu.Kumbuka siku ya mwisho utadaiwa
Huyu mchungaji ndio wale matapeli
Hareluya GOD is one
Nani mwenye hii hio hutuba ya askofu Mwingira
Vipi kuhusu sipiriani msiba
Huyu simba chawene nilimwona sehemu anasema wananchihawaitaji katiba mpya eti madai yao wanahitaji maendeleo sio katiba, yote hayo ili waendelee kuwepo madarakani kwa wizi wa kura. Alafu hajaojiwa popote askofu kusema ukweli kidogo tu akahojiwe hii nchi kweli ya kibabe sana. Hamtaki kuambiwa ukweli.
Kumbe huyu jamaa yupo sema baba sema alikaa kimya sana
Acha uongo kwahiyo Lissu anaishi na Mungu. Acheni kumtania Mungu.
Mh wabongo bhana
Sio lissu tu hata wewe unaishi na mungu
ww unaamin anaish na nani!? mungu akikataa jambo hakun wa kulifanikisha, sasa ww mweny mungu pigwa hata lisasi moj utakuja
ww unaamin anaish na nani!? mungu akikataa jambo hakun wa kulifanikisha, sasa ww mweny mungu pigwa hata lisasi moj utakuja
Waziri wetu simba chawene ukweli umefika mbali sana hana neno la ki Mungu halimo ndanj yako ,, ukimsikia vizuri askofu josephat katoa mfano ya namna mungu alivomtetea yeye, ni kama mifano iliyomo ndani ya biblia hasa kupitia kitabu cha Daniel kuhusu wale vijana watatu waliotupwa kwenye tanuru la moto
Acheni upunguani,he is giving the facts.
Huyo malayya nae anasema nini
WACHA UWONGO HUSIKII SAUTI IPO WAZI KAMA KWELI UKWELI UZIHIRIKE SHERIA IFUATE NANI ALIYEMZULUMU APATE HAKI.
Siku zote mkosaji huwa ana hofu tu. Na hutumia nguvu kubwa kujitetea. HAKUNA KITU KIZITO KUBEBA KAMA UONGO.
Awape taarifa zaidi ama ni nyinyi mnao faa kutowa taarifa kamili? Plz waziri punguza kiburi
Wawe makini kutatokea maafa hao jamaa Iman yao nikubwa
Acheni kuchafua Tanzania 🇹🇿yetu. KM wewe askofu umehongwa pls,tuache kwa amani.
Mama yako ndio kahongwa
Jieleweee
Alihongwa na Mama ako au Baba ako? Km huna kaz tafuta cha kufanya kenge weweeeeee
Kahongwa bab ako
Mtume anajua tundu anakuja kuwa Raisi anamsifia mapema 😅😅 CCM bado bado tuko na mama...magufuli kafungia bank ya Efatha naona anamkejeri chini chini
Waongo hiyo ni clip ya zamani ,acheni ushenzi
Tuna wachungaji feki nguvu za giza mmh, tutakoma.