RAIS MAGUFULI ASHANGAA - "WATU 78 WANASUBIRI NIWANYONGE, KUMBE WANAPENDA KUNYONGWA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 401

  • @zeadyzakaz386
    @zeadyzakaz386 Рік тому +5

    Taifa letu nchi yetu ibarikiwe milele Mwenyezi Mungu wakumbuke viongozi wetu wawe na maono yaa kufikisha nchi yetu mbali ili tuwe mfano wa kuigwa na mataifa mengine zaidi... SIASA SAFI NA SIO UDIKTETA tutafika mbali
    R. I. P babaa

  • @codermasye3763
    @codermasye3763 4 роки тому +70

    Aliyesikia nguvu za kubaka ziishie kwenye jembe gonga like hapa

  • @jabalimikechi7750
    @jabalimikechi7750 4 роки тому +4

    Tanzania muna bahati kweli .........long live Dr JPM Mungu akupe maisha marefu

  • @anethclay4701
    @anethclay4701 4 роки тому +20

    Kwel huyu mzee anaofu ya mungu sana mungu akubariki sana baba yetu

    • @gideonphilip7686
      @gideonphilip7686 4 роки тому

      Sawa awasemee na wale wanaohukumiwa kifo mitaanii na watu wasiojulikana , mfano Tundu lissu alihukumiwa kifo bila kusikilizwa, nimuombe achukue hatua kulaani vitendo hivyo.

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 роки тому +2

    Yaaan ukihukumiwa kwenda gerezan hiz zama za magufur aisee utatamani ujiuwee🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nahao waliohukumiwa kunyongwa wakiona magufuli anasamehe wafungwa huku uraian wanafanya matukio makubwa mno tena mno hayasikilizik hayatizamik, wakisha hukumiwa ukimkuta gerezan anatumikia kiungo wallah utamuonea huruma nakumuhis huyu alionewa ,Tazama jins watu walivyokazana kuuwa yaan wanaona kitu chakawaida sana kama anauwa kuku anajua nikifungwa nitasamehewa, hiv yule bb alie muuwa mkewe nakumuweka kwenye kiroba kisha akachimba shimo nyumba ni kwake akamtia mule hara akamimina gunia mbili za mkaa akamchoma hadi akahakikisha imebak mifupa akaichukua wakaenda zika shamban kwake mkulanga juu ya shimo aliloweka mifupa akapanda mgomba kupoteza ushahid, huku yy na marehemu wanakitoto kimoja chenye umri wa miaka isiopungua5, mtu wa aina hiyo ukimkuta ananyongwa utamuonea huruma? Harafu lijeuri kamann likiletwa mahakaman linataka kupiga waandish, kes za mauwaji wanaume kuuwa wake zao wenyewe tunaziona nawauwaji wanakusaidia makosa nahuku uraiyan wameacha watt wakiwa wanahitaji malez ya mama na wakiwauwa mama zao wanawauwa kinyama mno🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Leo wasamehewe kunyongwa watu wanamna hiyo ? Hata mungu anasema alieua na auwawe ili iwefundisho kwa wengine kukatiza uhai wa mwenzio kirahis rahis tu si kitu chakawaida tena unaua bila hata huruma🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭Muheshimiwa wanyongwe tu bila huruma kama ambavyo walivyouwa wao👌👌👌👌wasijitilishe huruma hao.Mtu unaua kitoto kichanga kimalaika kisichojua hata kuomba maji🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭leo usamehewe et by mistak kirahis rahis tu🙌🙌🙌🙌🙌

  • @violetnjau6290
    @violetnjau6290 4 роки тому +18

    Mwenyez Mungu akupe moyo wa upendo na uvumilivu Baba yetu.

  • @nsangafamily30
    @nsangafamily30 4 роки тому +11

    Am rwandaise I love president wa tanzania ukweli you people you are blessed

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 4 роки тому +16

    Mh.Rais nikwel wafungwa wengi wanaukumiwa kunyogwa ila syo wote wanamakosa wengine wamesingiziwa tu Mungu akupe moyo wakuendelea kusamehe bure

    • @user-je1id1tx1u
      @user-je1id1tx1u 3 роки тому +2

      Kama wale wazee wa njombe walivyo achiwa na kutoa historia yao unalia

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому

      @@user-je1id1tx1udahh kwel kizur hakikosi kasoro 🤔

  • @explorelondon3695
    @explorelondon3695 3 роки тому +9

    Kweli kifo hauna huruma, hatutamuona Baba tena😢😢🙏

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 4 роки тому +7

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na Mungu ,uongozi bora si bora uongozi Afrika nzima wangeiga mfumo wa JPM wa Tanzania Africa ngekuwa pepo ya dunia hata world super powers watatamani.Ewe Mungu tusaidie

  • @htx1873
    @htx1873 4 роки тому +33

    Ha ha haaaaa eti mpaka nikaogopa hivi huyu hajanyonga kweli... maana sio kwa kuelezea huku.. jamani nimechekaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 nusu nigonge Gari.. mungu wangu rahisi nampenda huyuuu

  • @maryojungu8647
    @maryojungu8647 4 роки тому +21

    Najivunia Kuwa na kiongozi Kama Mh.Rais JPM...

  • @LebahatiLaizer-b4q
    @LebahatiLaizer-b4q Рік тому

    R,i,p jpm mungu Akulaze pahala pema peponi 😭😭

  • @baimwampamba1010
    @baimwampamba1010 4 роки тому +7

    TUNAKUPENDA SANA RAIS WETU.Kweli makosa yao yaweza kukuza uchumi wetu kwa kasi.

  • @nicksongerson1707
    @nicksongerson1707 4 роки тому

    Sio kweli rais wetu .. Eti wameshafanya mauaji tiari 78.. Kesi zinachelewa uliowaamehe walikuwa wamehukumiwa .. Baada tu ya msamaha wako .. Ilichofanya mahakamani ni kuwahukumu wengine waliokuwa mahabusu tena wa miaka mingi waliokuwepo gerezani ... Hawapendi kunyongwa mkuu wetu .. Same he bure Mungu atakutendea makuu.

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 4 роки тому

    Makufuli president ni raisi mzuriiii saaana sijawahi kusifu raisi wa Tanzania ila Mueshimiwa makufi ni mtu mzuri saaana ni Raisi mwenye akili nyingi na anapenda watu wakeee mashaallah 🤲🤲🤲🤲

  • @nebartmwakibinga9262
    @nebartmwakibinga9262 4 роки тому +5

    Jaman Rais wetu Mungu akubariki sana una Moyo wa huruma mno na ni kweli uongozi ni msalaba barikiwa Sana

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 4 роки тому +3

    Sna cha kusema bana ila naomba mungu akupe maisha marefu

    • @De-Richie001
      @De-Richie001 3 роки тому +2

      Buriani ameaga magufuli😫😭😭

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 4 роки тому +5

    Nikweli kabisa uongosi nimt2hani mudamwingine mungu akulinde

  • @JaneUrasa-wp1om
    @JaneUrasa-wp1om Рік тому

    Bishop elibariki sumbe

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 4 роки тому +3

    Tunakupenda Rais una moyo WA iman bora ulivoamua kutowanyonga

  • @emanueldaud2360
    @emanueldaud2360 4 роки тому +6

    MUNGU akubariki mzee

  • @stellamartin3719
    @stellamartin3719 2 роки тому

    Hongela mangufuri mungu akupumzishe kwaamani magufuli wetu 🙏🙏

  • @sandrahkalibu6265
    @sandrahkalibu6265 3 роки тому +5

    Nikweli kabisaa lala salama magufuli

  • @isaaczagabe3417
    @isaaczagabe3417 3 роки тому +2

    Rais wetu Magufuli hata uku kwetu Congo DRC tuna endelesha kuku liliya kwani tumekupenda saana zaidi mimi Isaac mwenye naandika.

  • @ahmadishaibufataha1481
    @ahmadishaibufataha1481 4 роки тому +9

    Hapa kwenye mfungwa ni trecta hapana mzee wetu iyo aipo sawa mfungwa ni binadamu na sio wote walioko majera wamefanya makosa wengine wamesingiziwa tuu

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 4 роки тому +1

      Sasa unataka mfungwa alale tu ndani mpaka muda wake uishe? Anakula analala tu??
      Sisi watu wa nje ndio tulime wao wale tu? Kuna wilaya zina njaa wao wafe wafungwa wanenepe??
      Ikija issue ya kunyonga ndio maana wanakaa mpaka miaka 30 bila kunyongwa mpaka uhakiki upite
      Hujui kitu wewe

    • @evcloudjuma9790
      @evcloudjuma9790 4 роки тому

      We nduguyangu boya nini,ww umebaka unataka uitwe mheshimiwa!? Si wote atatushawish kubaka.

  • @valentinirichard
    @valentinirichard 4 роки тому +4

    Nampongeza sana Rais Magufuli, anastahili sana kwa mawazo yake

  • @velmaomuyoma1449
    @velmaomuyoma1449 3 роки тому +5

    I will miss the great leader, our African President

  • @angeljohannes8630
    @angeljohannes8630 3 роки тому +6

    Najivunia kiongozi mzuri mtiifu namwenye Ahadi kamilifu, barikiwa Sana Baba yetu wataifa letu tukufu la Tanzania,🇹🇿🇹🇿🙏🙏

  • @ullymwakyoma3257
    @ullymwakyoma3257 4 роки тому +8

    Kwa kweli walime kwa kwenda mbele wakitoka jela watakuwa wakulima wazuri

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 2 роки тому

    Mungu akulaze mahali pema peponi kipenzi chetu amakwa hakika hutasahaulika maishani mwangu

  • @monikakavi2271
    @monikakavi2271 3 роки тому +5

    Nakupenda baba💟

  • @saidihassan5895
    @saidihassan5895 4 роки тому +4

    umeongea vnzr sana muheshimiwa ila usiongeze miaka tutakufa maisha magum sana

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 3 роки тому +8

    🤣🤣🤣 eti wanapenda kunyongwa pole baba Mungu akulaze pahali pema tuta kukumbuka daima 😔😭😏🙏

  • @josephatpaschal7517
    @josephatpaschal7517 4 роки тому +2

    Mwenyezi mungu akulinde uwe na moyo huo huo wengine wafuate

  • @stellakago1345
    @stellakago1345 3 роки тому +13

    Rest in power Baba. Mungu akupe pumziko la milele

    • @terrellbyron6593
      @terrellbyron6593 3 роки тому

      i know Im asking the wrong place but does anybody know a way to get back into an instagram account..?
      I somehow lost the password. I would appreciate any help you can offer me

    • @quanthug9517
      @quanthug9517 2 роки тому

      @@terrellbyron6593 was she or he registered the account only by using the account of Instagram or they did the same thing to register it by using Facebook,if the did so ,the ur friend suppose to enter through Facebook,I also lost ( forgot) my Instagram password so enter their through Facebook.I don't think so if there's any other an alternative way.Thank you.

    • @ckibraboy
      @ckibraboy Рік тому +1

      Harmonize katika show ya ckibra boy jijni dodom

  • @issayamshana3750
    @issayamshana3750 4 роки тому +23

    Anabaka mtoto alaf badae akifungwa unamlisha

  • @yezagproducts8567
    @yezagproducts8567 Рік тому

    Baada ya Mwalimu JK NYERERE kutangazwa mwenyekheri na hata utakatifu anayefuata siku si nyingi ni Magufuli atatangazwa kuwa mtumishi wa MUNGU tayari kuelekea ukheri na hata utakatifu.
    Mungu ndiye anayejua uliko langu ni kumuomba akuepishe na ubaya wote wa mauti na upate rehema upumzike kwa amani, Amina.

  • @hadijaseef8777
    @hadijaseef8777 4 роки тому +6

    Uko sawa mkuu

  • @adomatichristopher4052
    @adomatichristopher4052 4 роки тому +3

    The only president in Africa who is serving his nation.

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 4 роки тому +4

    Longer live my prsdnt

  • @erickmitima8326
    @erickmitima8326 3 роки тому

    Mimi ni mkongomini kweli tanzania mume barikiwa kupewa raïs mcha mungu mhongozi wa kweli kwenyenye Bara la Afrika hakuna kama yeye

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 4 роки тому +39

    Siyo kila mfungwa aliyeko gerezani amefanya kosa wengine wamesingiziwa tu.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 4 роки тому

      sana sana

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому +1

      Of koz!!

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 роки тому +4

      Tutajuaje sasa wakati mahakama inakuwa imesibitisha kuwa anahatia.

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 4 роки тому +2

      Hii haiwezi kuwa sababu ya kutofanya kazi. Kama ushahidi hata ukiwa wa uongo hauhalalishi kulishwa bure

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 4 роки тому +1

      watu wanadhulumiwa2

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 3 роки тому +4

    Kweli mungu yupo mbele yako baba unahofu hata kunyonga

  • @zengomunguatuepushenajanga7416
    @zengomunguatuepushenajanga7416 4 роки тому +5

    Maerezo ya munyongaji yanaenda vizuri hajanyonga kwer

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому +9

    Mi nilizani azabu ya kunyongwa ilifutwa kumbe ipo?😢😢

  • @akwity
    @akwity 3 роки тому +2

    US should adopt his concept, I’m sick of my taxes paying for criminals.

  • @kingsugu5388
    @kingsugu5388 4 роки тому +7

    Upo Sawa Mheshimiwa Rais Wangu Unaipambania Nchi.

  • @jibabaramadhan1712
    @jibabaramadhan1712 2 роки тому

    Pumzika kwa amani baba magufuli ulikua mkombozi kwa raia mnyonge..lakini.nduli wakandamizaji wasio penda haki wakakuangamiza...ila ulikua rais wakipekee sio tanzani wala africa bali dunia mzima..haija tokea kupata kiongozi kama wewe..malipo yako utapata kwa mungu siku hio teule r.i.p..mzee magufuli...

  • @ngisian
    @ngisian 3 роки тому +2

    Huyu kweli alikuwa BABA WA TAIFA

  • @johnallen680
    @johnallen680 4 роки тому +6

    I see a blessed president from God my daddy john long life

  • @nkurukiyesamuel4043
    @nkurukiyesamuel4043 3 роки тому +7

    Lakini huyu mtu si aongezewe 20 years after jamani? Sina mengi napita tuu

  • @irenzjpari6186
    @irenzjpari6186 3 роки тому

    God am sorry to say this, you punished us by taking HE Magufuli to soon. This is a heavy punishment God. But anyways we have to respect your decision, you needed him more because i know on earth Human beings are ungreatful, despite of what he has done and what he was yet to do, man wouldn't appreciate, they would still demand for change, impose jealousy and oppose his deeds. In conclusion HE Magufuli will remain a great Hero to Africans, he's left a legacy. MHSRIP

  • @linaryugen6400
    @linaryugen6400 3 роки тому +1

    Ni kweli tunawalisha kwa Kodi zetu

  • @aliceondeko3455
    @aliceondeko3455 3 роки тому +2

    Till you loose it what agreat leader RIP BABA

  • @dancannyongesa
    @dancannyongesa 2 роки тому +1

    Rip John pombe makufuli 😭😭😭

  • @josephatpaschal7517
    @josephatpaschal7517 4 роки тому +2

    Pola Sana pole san

  • @jamesshao538
    @jamesshao538 4 роки тому +12

    Rais unachemka hapo, mfungwa Naye ni binadamu kama ww, nchi zilizoendelea wafungwa wanafanyakazi na kulipwa ili wakitoka waweze kuendeleza maisha yao

    • @coin9007
      @coin9007 4 роки тому +9

      sasa hapo si watu watakuwa wanaona kufanya makosa maana mambo mazuri Gerezani?unajua maana ya kifungo Wewe? watu wengine mnapenda kulalamika kwa kila kitu

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 4 роки тому +3

      Nawenijambazituu ,unajua mda wowote kitanuka

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 4 роки тому +1

      Nchi gani hiyo mzee

    • @gwajiboiboi8664
      @gwajiboiboi8664 4 роки тому +2

      Acha ujinga wew Siangetumia kipaji chake kabla hajaenda huko gelezani

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 роки тому +3

      Kama ni hivyo basi itakuwa ni ajira, vijana wote wataishia jela sasa.

  • @petermuratha9182
    @petermuratha9182 3 роки тому

    Huyo ndiye alikuwa rais wa kweli nchini Tanzania.

  • @starridge3615
    @starridge3615 4 роки тому +8

    Wanaokwenda jela sio wote wenye hatia wengine wanasingiziwa

  • @badboykiemke
    @badboykiemke 2 роки тому

    Munguuu Akulindee san uko uliko

  • @bornagaintv4542
    @bornagaintv4542 4 роки тому

    You are the best president

    • @robertchirwa7507
      @robertchirwa7507 3 роки тому

      Someone to surmise for me pls i don't understand this good language

  • @mussahussein183
    @mussahussein183 3 роки тому +1

    Mtrecta

  • @gefikavou5610
    @gefikavou5610 4 роки тому +3

    Mh John P Magufuli Baba mdogo wataifa

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 4 роки тому +6

    Sii kila mfungwa nimkosaji

  • @biddii1972
    @biddii1972 3 роки тому

    Mungu akuweke mahali pema peponi mzee

  • @nasseradel9784
    @nasseradel9784 4 роки тому +4

    Baba we ninguzo ya Tanzania

  • @tendwajohn7785
    @tendwajohn7785 4 роки тому +1

    Kifungu no 196 sura ya 16 kinampa mamlaka jaji kutoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Kuliko kuwahukumu hii adhabu wapeni maisha

  • @tamiridarous6663
    @tamiridarous6663 4 роки тому

    C sawa kwa hili kunyonga c haki kwa binadamu mungu mwenyewe ndio anatowa roho c binadamu lkn hapo gerezani ni chuo cha mafunzo ss wafungwA wanapowajibika hukumu yaoo basi wawekewe amana yaoo wakihukumiwa hata wakitoka wapate hata cha kujiendeleza kwa maoni yangu me kama nimekosea mutanisamehe

  • @EmmanuelSamwel-f3x
    @EmmanuelSamwel-f3x 11 місяців тому

    Jpm mungu akulinde milele 5:54

  • @nyotayamashariki5411
    @nyotayamashariki5411 4 роки тому +10

    Ukweli mtupu unao sema mweshimiwa

  • @hurumamwalubanda7107
    @hurumamwalubanda7107 3 роки тому

    Umelala yoo baba umelala kweli siamin vizuri havidum

  • @jacksonmapenzi5495
    @jacksonmapenzi5495 4 роки тому +3

    Tanzania mna rais mzuri kweli

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy Рік тому

    Boss Magufuli 📌

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 4 роки тому

    Mungu akulinde baba etu..sisi wananchi wako tunakupenda sana

    • @dianapatrick1915
      @dianapatrick1915 3 роки тому

      Sas hayup jaman😭😭😭

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 3 роки тому

      @@dianapatrick1915 Baba ametuacha Yatima wakati bado tunampenda jamani sijui nikalilie wapi mwenzenu ..naumia mno

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +10

    SANAAA COMMANDO WANGU JPM

  • @mwasilekabasa3272
    @mwasilekabasa3272 3 роки тому

    Mungu
    Akutangulie

  • @luambanotv9357
    @luambanotv9357 8 місяців тому

    If all leaders could there fore have the same good behavior, such this of Gods fear, our nation couldn't become in deep pain

  • @oloem268
    @oloem268 4 роки тому +15

    🤣🤣🤣...."wanafurahia kunyongwa!" Magufuli is funny

  • @biddii1972
    @biddii1972 3 роки тому

    Kama ww uwezi 2022 anaweza

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 4 роки тому +6

    Muheshimiwa rais ww ni mtu ambae umesoma n pia allah amekujalia ww akili yakujiendesha katk maisha yko hivo bc km nimwanachama wako n nimshaur kwako elewa kwamb mfungwa nibinadam n anastahili apewe hki za kibinadamu na pia unatakiwa uchunguze huyu mtu amefika sehem hiii kwa lengo gni au kosa gni muheshimiwa rais nihivyo

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 роки тому +5

    Natamani ni comment kwa vois😆yani mtu akika jela zaidi yamyaka2 akitoka hua aokopi kutenda zambi kubwa sijui kwanini🙄

  • @chalammsabaha4150
    @chalammsabaha4150 4 роки тому +2

    Mheshimiwa rais

  • @oscarleonsr
    @oscarleonsr 3 роки тому

    😉😄😄😄😁.. rip president magufuli.. I wish ungetawala hapa kenya angalau miaka miwili tu😪😪😭

    • @254react
      @254react 3 роки тому

      Hawezi tawala Mang'aa hupigia wakora wa Jubilee kura na Ukabila yao.

  • @YohanaKanyerere
    @YohanaKanyerere 2 місяці тому

    R.I.P our beloved President 😢

  • @jemajoseph6525
    @jemajoseph6525 3 роки тому

    Pumzika baba nilikupenda rais wangu

  • @saniakisinga3645
    @saniakisinga3645 3 роки тому

    Mungu akulaze mahali pema.

  • @nyotayamashariki5411
    @nyotayamashariki5411 4 роки тому +6

    Ukweli MUNGU ANASEMA NA WW AKIKA

    • @totoozebingwa4076
      @totoozebingwa4076 4 роки тому

      My bresident rais wangu kipenzi changu...🙏 Long live uncle magu

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 4 роки тому +10

    Wawasambaze mtaani wajengee nyumba za masikini za wazee na watoto yatima

  • @gastonburchard4814
    @gastonburchard4814 Рік тому

    Ulikuwa sahihi Baba

  • @JafariAthumani-y1r
    @JafariAthumani-y1r 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @vitalismwinuka867
    @vitalismwinuka867 3 роки тому

    Mahubiri ya neno LA mungu

  • @nostusmchilo5645
    @nostusmchilo5645 4 роки тому +6

    Sain wetuishi milele

  • @tpicalgeemusic5597
    @tpicalgeemusic5597 3 роки тому +1

    May God bless u maghufuli .

  • @allankimath7614
    @allankimath7614 4 роки тому +2

    Katika hili tumuombe Mungu . Embu tuwaige wenzetu wa netherland kule hakuna wafungwa kama uku kwetu

  • @yothamclement6469
    @yothamclement6469 4 роки тому +4

    Mwenyesikio ameckia matractor yaliyofanya makosa yalime kuzalisha chakula Hadi chaasikali (😂😂 matractor yaliyofanya makosa🤜🤛)

  • @jamesjuliussimfukwe.7860
    @jamesjuliussimfukwe.7860 3 роки тому +1

    pumzika kwa amani magufuli.🇹🇿

  • @OnesmoSambala-mv3py
    @OnesmoSambala-mv3py Рік тому

    Jaman

  • @cyrusongeri6626
    @cyrusongeri6626 2 роки тому

    Nice

  • @bestkivelege9347
    @bestkivelege9347 2 роки тому

    Daaah hakika tutakukumbuk pumzika salama baba etu