Tunaomba mlifanyie uchunguzi zaidi kama waliweza kuchukua Plat namba msitumie bila kulifanyia uchunguzi na kifaa chakugundua mabom sumu nk.jitahidini sana Mh Tundu Lisu pamoja na viongozi pole sana Lisu watesi wako watapokea malipo yao hapa hapa duniani yote kwa yote tunamshkuru Mungu🙏🤲
Mh Tundu antphas Lisu Mungu ni mwema atazidi kukubaridi na utafika kaburini kama mganda wa ngano ulivyo kwa wakati wake,siku za maisha yako zitazidishwa na miaka ya maisha yako itaongezwa ktk jina la Yesu.kristo.
Mheshimiwa tengeza hii gari ili uweze kuitumia, ila usizibe hayo matundu na uitumie hii gari katika safari zako zote za kifamilia na za kisiasa ili watu wote tuone, wajue na tukumbuke ukatili ya hao jamaa. Pole sana
Watanzania tunaweza kumchangia mh Lissu, ili linunuliwe gari lingine; hilo likae makumbusho huenda wameliwekea SUMU MAANA CCM NA DOLA YAKE HAWAAMINIKI.
Polesana kiongozi wetu mtarajiwa.badotuna imanikubwa nawewe.na mungu aliekukoa na katika mikno waomajambazi bado yukonawe tena kwa wivu mkubwa.kaza buti twende mbele.wanana haibu hata kukuangalia. usoni
MUNGU anabaki kuwa MUNGU na ataendelea kuwa pamoja nawe hata utimilifu wa dhahari. Mwenye utu,busara,hekima na ubinadamu hawezi furahia kitendo alichofanyiwa Lissu
Kamanda wa vita!. Mungu na akutunze. Katika nchi hii umefanyika baraka sana tena sana! Wewe ni wa pekee! Wenye nia ovu na maendeleo ya nchi hii walidhamilia kukuua lakini Mungu ni mwema akawaondoa wao!. Jina la Bwana lihimidiwe.
Mungu akakupee kila neema kwa ujasiri uliokuwa nao! Hii ikawe kumbukumbu katika Tanzania hii! Vyombo vya usalama mnajisikiaje kwa kutofuatlilia kikamilifu hili jambo.
Pole sana mzee wangu daaah kuna mda sijui niseme tulipitia Faida sijui hasara navuta picha tu mfano tundu ngekuwa baba yangu na akatendewa haya navuta picha familia yake ilipitia wakati gani haya mambo yangekoma kabisa si mambo ya kuomba yajirudie tena hii nchi ilifikia wakati ikaogopesha hata kujielezea tuu mtu unapata shaka
Mheshimiwa Tindu Lissu , hilo gari tafadhali usitengeze wala kulitumia tena, ingekuua Tanzania ya mwalimu Nyerere , serikali ungekununulia gari jipya na hilo kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa, watoto wetu na wajukuu wana somo nzuri la Democracy na haki kuwa inapiganiwa haipatikana kirahisi ni kama mapambano ya kupiginia uhuru wetu.
Mheshimiwa hiyo gari ungeiweka makumbusho .kizazi na kizazi kikumbuke maovu ya ccm
Kabisa
Umeongea maneno mazuri Sana(Sahihi kabisa )
CCM ndio waliotoa msaada wa kwanza kutoa ndege kwenda Nairobi. Ubaya ipo ulaaniwe kila unapotokea.
Unakichaa wewe. Chadema walikodisha ndege hakukuwa na ndege ya bure mpuuzi wewe
@@hajihassan5433auna akili wew
Hatari sana, Mungu akujalie maisha marefu Mheshimiwa, uisha hadi waliotenda na kufadhili unyama huu wote wapukutike
Tunaomba mlifanyie uchunguzi zaidi kama waliweza kuchukua Plat namba msitumie bila kulifanyia uchunguzi na kifaa chakugundua mabom sumu nk.jitahidini sana Mh Tundu Lisu pamoja na viongozi pole sana Lisu watesi wako watapokea malipo yao hapa hapa duniani yote kwa yote tunamshkuru Mungu🙏🤲
Mh Tundu antphas Lisu Mungu ni mwema atazidi kukubaridi na utafika kaburini kama mganda wa ngano ulivyo kwa wakati wake,siku za maisha yako zitazidishwa na miaka ya maisha yako itaongezwa ktk jina la Yesu.kristo.
Amina.
Na atashuhudia mateso yao
Legends Never Die..just like in the movies..Long live Daktari
Mungu ni mwema
Tundu lissu mungu anamakusudi na wewe,,,mwenye haki hafanyiwi hila.
Mungu ni mwema..
Mheshimiwa weka gari hii kule Makumbusho.
Vizuri kabisa Raisi wetu mtarajiwa
Pole
Mungu akubari Tanganyika ukiwa na akili hawamtaki mtu ila tupo pamoja
Mungu akulinde daima @Mh Tindu Lissu
Hongera sana kamanda Lisu
Mungu mwaminifu maana walitaka kutoa uhai lakini wamekupa tena
Acha mungu aitwe mungu
Mheshimiwa tengeza hii gari ili uweze kuitumia, ila usizibe hayo matundu na uitumie hii gari katika safari zako zote za kifamilia na za kisiasa ili watu wote tuone, wajue na tukumbuke ukatili ya hao jamaa. Pole sana
Hiyo point
👍👍✌✌
Ni maoni mazuri sana ,,kwamba yasizibwe yawachwe hivyo hivyo ikiwezekana Gari liwekwe makumbusho,,,HUO NI UNYAMA WA MA CCM
Legends never die, just like in the movies,. long live mheshimiwa may
God keep you safe and well for eternity to come. Amen
Mungu akutie nguvu baba mtetezi wa wanyonge
Tuko pamoja kiongozi wetu, mungu akupe uzima.
Ushauri wangu ni huu.
Hiyo gari iwekwe makumbusho kama ilivyo halafu ufanyike utaratibu wa michango ununue nyingine.
Wazo zuri
AMINA
Watanzania tunaweza kumchangia mh Lissu, ili linunuliwe gari lingine; hilo likae makumbusho huenda wameliwekea SUMU MAANA CCM NA DOLA YAKE HAWAAMINIKI.
Naam! Nakubaliana na idea ya Lissu
Lisu husingeisema hiyo gari muikamate hiseme wametoa wapi
Mungu wetu ana makusudi na Tundu Lissu wetu hakika
Tafadhali weka hilo gari bila matengenezo yoyote! Nikumbukumbu ya historia ya Taifa.
GOD BLESS LISU GOD BLESS TANZANIAN
Polesana kiongozi wetu mtarajiwa.badotuna imanikubwa nawewe.na mungu aliekukoa na katika mikno waomajambazi bado yukonawe tena kwa wivu mkubwa.kaza buti twende mbele.wanana haibu hata kukuangalia. usoni
Mung akujalie afya njema tund
Our God is very faithful! You are a living miracle Tundu Lissu! Long live
Mungu ana manguvu yake
Hakika Mungu ni mwema sana sana sana
Hakika mungu mkubwaaa
Ukuu na nguvu za Mungu vimedhihirika kupitia hili tukio. Hakuna binadamu anayeweza kuharibu mipango ya Mungu.
MUNGU anabaki kuwa MUNGU na ataendelea kuwa pamoja nawe hata utimilifu wa dhahari. Mwenye utu,busara,hekima na ubinadamu hawezi furahia kitendo alichofanyiwa Lissu
Ipo Haja Yakumchangia Mh Lissu Gari Anastahili Gari Jipya
Ili Neno litimie🙏🏿
Mungu akulinde san mh tundu lisu
Ungepitishwa mchango tu ipatikane mpya,hii ikawekwe makumbusho .Wazo langu.
Tutachangia mweshimiwa Lisu
Saf San baba 🎉
Usibadili kitu, zunguka nayo kwenye mikutano tuione please.
Gari imetoka, je! Uchunguzi wa lile tukio umefikia wapi?
Uchunguzi unaendelea mlalamikaji alikataa kuhojiwa
Uncle Lisu wewe zaidi ya chuma 🛠️ mungu akutangulie rais wetu mtarajiwa malipo ni humu humu 🇹🇿 tz ✌️✌️✌️
Mungu akulinde mheshimiwa lisu
Rais wetu
Nadhani kama Kuna yaliyotumwa uuwawe na yule muovu kibaka bsi Mungu atakuwa alishaliondoa hapa make lilikuwa jinga sana lile lilikuwa halifai kabisa
Pole san baba angu
itumike kuzunguka nayo kwenye shughuli za kisiasa nchi nzima wananchi wajue uovu wa nchi hiii
Kamanda rpc dodoma ama kweli nilikuelewa vilivyo kwa namna ulivyoshugulikia suala la gari la kamanda lissu,lakini chanzo cha dhahama hiyo ndo bado.
Ipo cku mwenyez mungu atatenda kwako utuokoe
Mwenyenzi mungu akupe afya njema mtetezi wa wanyonge na haki uishi miaka mingi
Mwakatobe mtata huyo😂😂😂
Mwenyezi MUNGU BABA MWINGI WA REHEMA NA NEEMA AKULINDE UWE NA AFYA NJEMA UZIDI KUFANYIKA BARAKA
Mmmh, pole sana
Nilichogundua hata polis wanampenda pia kwa Sababu Huwa anawatetea wakati mwingine Tanzania inatakiwa kuwa hivi
Achani matus uzima haununuliwi ipo siku yagtageukia kwenye familiza zenu
Gari naomba liwekwe makumbusho
Congratulations Hon.Lissu.
Pole sana Lisu, jamani Mungu ni mwema sana
Ipelekwe makumbusho na matundu ya lisasi hivi hivo
Nipo tayari kukuchangia kabisa
Kamanda wa vita!.
Mungu na akutunze.
Katika nchi hii umefanyika baraka sana tena sana!
Wewe ni wa pekee!
Wenye nia ovu na maendeleo ya nchi hii walidhamilia kukuua lakini Mungu ni mwema akawaondoa wao!.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Mungu ndio anatoa uhai pole sana
Siku ya kwenda kualishwa kuwa Rais wa hii nchi gari hii ndiyo uitumie, na Nembo/ Ngao ya ikulu ibandikwe, kisha ndio iende makumbusho.
Mungu akulinde mheshimiwa
Mungu mwema
Duuh binadamu hawajui Mungu ni fundi.
Hukumu ya mungu aliye hai iwe juu ya wote waliohuska kutaka kumuua lisu amen.
Hii gari asiitumie Tena tumchangie gar mpya ukakaae makumbusho
Pole Sana Tundu Lisu
Mungu fundi xn
It's really pathetic! Kuna binadam ni wabaya Sana! Kikubwa umepona Mheshimiwa. To God be the glory!
Wana nchi tunapendekeza hili gari liende makumbusho . Kama ni gari tutachanga upate nyingine
Watz ni mbumbumbu...bado hawaoni sababu ya kuyakataa ma-ccm
Mungu anasababu za kutoa hai na tunaziona sababu
Pole sana ndugu yetu lisu mngu akulinde sana
inaonekana ulitakiwa uuwawe .dah pole sana
Pole sana mheshimiwa wetu
Dah Mungu mkubwa saan!amlinde Zaidi mh.Lissu
Mungu akakupee kila neema kwa ujasiri uliokuwa nao! Hii ikawe kumbukumbu katika Tanzania hii!
Vyombo vya usalama mnajisikiaje kwa kutofuatlilia kikamilifu hili jambo.
Mungu ni mwema kwakweli
Sema hili gari lijengewe liwe la makumbusho
Hii sasa imekaa sawa
Nice
Wengine tunashindwa tuandike nn,enatisha
Makumbusho inayotembea
Pole sana mzee wangu daaah kuna mda sijui niseme tulipitia Faida sijui hasara navuta picha tu mfano tundu ngekuwa baba yangu na akatendewa haya navuta picha familia yake ilipitia wakati gani haya mambo yangekoma kabisa si mambo ya kuomba yajirudie tena hii nchi ilifikia wakati ikaogopesha hata kujielezea tuu mtu unapata shaka
mkuu wa jeshi la polkisi dodoma hana kaz
AllahuAkbaruuuuh
Gari mpya kwa Lisu ndo haki na hili likae hivyohivyo watu waje walione na kukiri ya kuwa yupo MUNGU ANAYETAWALA.
Hilo like kama
Makumbusho
Liache ivoivo
Na matundu yake ya risasi
I hope the car is safe
Take care ka Lissu please ❤️🙏🏾
Ila viongozi wa serikali ya CCM 😢😢😢😢
Kwamaana iyo jeshi letu lapolisi limeshindwa kuwapata waalifu?
Duh😢😢😢😢 MUNGU nimwema sana
Tushukuru mungu kila wakati
Mkishinda uongozi hiyo gari ndo ukubebe kwenda kazini
Hapo ndipo unapoiona nguvu ya MUNGU aliye hai .
Pole kamanda
Mheshimiwa Tindu Lissu , hilo gari tafadhali usitengeze wala kulitumia tena, ingekuua Tanzania ya mwalimu Nyerere , serikali ungekununulia gari jipya na hilo kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa, watoto wetu na wajukuu wana somo nzuri la Democracy na haki kuwa inapiganiwa haipatikana kirahisi ni kama mapambano ya kupiginia uhuru wetu.
Anapendwza kuwa Rais wa nchi yetu ya tanganyika
Hata mimi nakubali,kuna kitu kinakuja
Mmnaona hiyo gari machine nayo tumchangie amateur gari mpya yakisasa
Kwakweli lisu Mshukuru MUNGU Kila unakokwenda Yani ndiyo maananampendaga MUNGU