ITAZAME HOSPITALI ILIYOMSHINDA NYERERE AKAWEZA MAGUFULI HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO MUSOMA MARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 роки тому +31

    Magufuli yaani nikimkumbuka natokwa na machozi!! Maana mzee yule Magufuli alikuwa yaani kama baba wa taifa, mwalimu Nyerere. Kweli alithubutu jmn!! Aliweza lkn ya Mungu ni mengi wala kazi yake haina makosa. Amen!! Yesu asifiwe sana!! Kwake Yesu hakika tutarejea!!!.

  • @berthatz
    @berthatz 2 роки тому +40

    Halafu watu wanachukizwa na watzanzania wanaoendelea kumshukuru baba yetu huyu Hayati Magufuli..Jamani acheni tumkumbuke na tuendelee kumsifu..Hakuna namna..He was one best Leader in our life..Mtuache jamani..Endelea kupimzika kwa amani baba yetu tuliyekupenda sana na kuku admire..Pumzika baba yetu Magufuli..😨❤️🇹🇿🙏🏾

    • @timothymoshi5800
      @timothymoshi5800 2 роки тому +1

      Safi kabisa mtumishi. Lakini Pia mama anachapa kazi. Anafuata nyayo. Kazi inaendelea. MUNGU awakumbuke viongozi wote wa taifa letu.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 2 роки тому

      Yes atakumbumbukwa daima

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 2 роки тому +10

    Jpm atabaki Alama kubwa katika Tanzania na afrika kwa ujumla

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 2 роки тому +42

    Yule mzee alikuwa anaishi kwenye viatu vya baba wa taifa kabisa, daah Mungu mlaze mahala pema peponi. Ameen 🙏

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 2 роки тому +7

      Ninachoamini nyerere alikufa mwili lakini kiroho alikuwa ndani ya magufuli na bado naamini yupo magufuli bado ndani ya mtu mwengine atachelewa kidogo lkn yupo.

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 2 роки тому +3

      Tuendelee kuomba Mungu. Hakika yupo Magufuli na Nyerere ndani ya mtu. Siku moja atatokea aikomboe TZ

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому +1

      @@davidcurtis175 Ni Hamfrey Pole pole au Bashiru

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 2 роки тому

      @@benjaminjoseph1747 Ameen, 🙏🏾 umenena

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 2 роки тому

      @@shinipapaya846 hakuna humjui bashiru

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 роки тому +14

    Baba Magufuli, tingatinga, jiwe, umetuachia kumbukumbu kubwa mno. Pumzika salama my Dad. Hunitoki mioyoni kamwe maana nilikuwa sijawahi shuhudia mabaya yako hayo wasemayo watesi wako. 😭😭😭😭

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 2 роки тому +12

    Aibu miaka 40++ mpaka mwamba ndio anaiamsha. Hongera mwamba JPM

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 роки тому +20

    kumsahau JPM hasahauliki hata kidogo, JPM alikua jiwe hasa akilitaka lake hashindwi, RIP JPM💔😭

  • @sarahsimukwayi5661
    @sarahsimukwayi5661 2 роки тому +21

    The visionary of Africa. RIP
    You will forever live in our hearts

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 2 роки тому

      Acheni mambo ya serekali Sio mnaongea wali kila kitu inakwenda kwa wakati

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 2 роки тому +7

    Kazi ya Mungu haina makosa hatutakulaumu kwa lolote Mungu wetu ila tunamkumbuka sana mtumishi wako Jpm RIP legendary

  • @amanikitengegeofrey2956
    @amanikitengegeofrey2956 2 роки тому +13

    JPM siwezi kuku sahau mpaka kufa kwangu hakika ulikuwa kiongozi anae jali watu wake na mzalendo wa kweli we miss you daddy🙏

  • @wewa7329
    @wewa7329 2 роки тому +11

    Duuuh huyu mzeee

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 роки тому +14

    RIP JPM tutamkumbuka kipenzi Cha watu wengi hasa tabaka la chini leo ukifika hospitali ya katoro nimajengo kipindi Cha JPM ilikua imeonekana yenye hazi ya wilaya leo nikituo Cha kupigia story geita hazi yake imekua Kama ilivyokua katoro

  • @htx1873
    @htx1873 2 роки тому +8

    Dah we miss you deeply 😢😢forever in my heart JPM

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 роки тому +8

    RIP, OUR BELOVED FATHER, JPM.

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 роки тому +6

    VIVA TANZANIA🇹🇿💪🇹🇿 VIVA WAZALENDO WA TAIFA LA TANZANIA 🖤

  • @flowinmyamba950
    @flowinmyamba950 2 роки тому +1

    Magufuli aliishi nakutekeleza unabii wa nyerere. Lakini hata yeye magufuli alikuwa nabii na mjumbe wa Mungu. RIP John

  • @francicbeda5603
    @francicbeda5603 2 роки тому +1

    Hongola bilion 1o kaz inaedelea mungu naazidi kukuinua uliogoze taifa let u mungua na akubaliki rais wetu

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 2 роки тому +6

    j.p daima ulituachia pengo kubwa Watanzania ulikuwa na ndoto za kuifikusha mbali Tanzania Ila mwenyez mungu akakupa jina la I.R.P.😭😭 mwenyez mungu akupungunzie adhabu ya kaburi

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 роки тому +1

    Usifananishe hata sikumoja baba wa taifa na Mtu yoyote kwakeli Mungu ailaze mahali pema peponi roho zao

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 2 роки тому +7

    Tutamukumbuka daima

  • @Christopher-ns6cq
    @Christopher-ns6cq Рік тому

    Imemsaidia sana shemeji Angus aisee mzee pumzika kwa amani mzee wetu tutaonana

  • @innocentmleli1196
    @innocentmleli1196 2 роки тому +2

    Mungu akupe furaha na amani huko uliko

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 роки тому +6

    Alimuenzi Mwalimu. Mzalendo wa kweli na mkweli,marehemu Magufuli,Mungu anaona yote haya. Tunakukumbuka Magufuli. Sasa nchi umekuwa ya kuliwa tu na wenye mamlaka bila kujali wananchi.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому +3

    Mungu amlaze mahali pema peponi hayati magufuli

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 2 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 2 роки тому +3

    Unakutana na mtu upumbavu anamtukana Magufuli! RIP Baba Magufuli!

  • @benjaminpallangyo4545
    @benjaminpallangyo4545 2 роки тому +2

    Na kweli speed yako ilikuwa " invisible"

  • @shakaurembo2376
    @shakaurembo2376 2 роки тому +8

    Hatari sana #rip JPM

  • @lucaliama1127
    @lucaliama1127 2 роки тому +3

    Yaan JPM ni raisi wa hali ya juu sana hii miradi yote inayoendelezwa kwasasa yote alianzisha yeye

  • @queenmapunda7868
    @queenmapunda7868 2 роки тому +6

    RIP dady Dr Magufuli.Asante Mungu kwa well spent life.

  • @HappnessYohanaRohongo
    @HappnessYohanaRohongo 2 роки тому +3

    Mungu akubariki sana umetushimisha watu wa musoma tutakumbuka sana😭😭baba

  • @abdulkhamis1170
    @abdulkhamis1170 2 роки тому +8

    Sisi JPM tunakumbuka sana haliipaisha korosho 3300 bila makato sasa walaijulikani beh

  • @estersilver9872
    @estersilver9872 2 роки тому +3

    Akitajwa Magu nahisi anatajwa baba yangu mzazi. RIP😭😭😭😭😭

  • @vitalisanthony743
    @vitalisanthony743 2 роки тому +4

    Thank ,Magufuli

  • @frbm1729
    @frbm1729 2 роки тому +3

    Tulikuwa na Rais,Itatuchukuwa muda Sana kumpata wa hv.

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 роки тому +6

    Jamani chema huwa hakidumu RIP amri jeshi mkuu JPM 😭😭😭😭😭😭

  • @maduhumungo7142
    @maduhumungo7142 2 роки тому +2

    Hakika Hayati Magufuli alikuwa mwana wa Africa wa kweli na mpigania haki na maendeleo ya mtu mweusi, tumaini langu na Imani yangu ni kwamba iko siku, tutapata pure Choleric Sanguine as JPM atakayeleta mapinduzi makubwa ya viwanda na uchumi Tanzania kwetu.

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 роки тому +5

    Amakwel kizur hakidumu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 роки тому +1

    Humfaham Baba wa Taifa vizuri , mambo aliyoifanyia Nchi ya Tanzania hakuna wa kumfikia na hayupo, Majengo, barabara si kitu bila Aman, imeiunganisha Nchi , Makabila yote, dini zote zinafanya kazi pamoja, hii mifumo ya kuvumiliana aliiweka yeye, Mungu alimjaalia kipaji kikubwa, aliisimamia Sera ya Ardhi ndio maana waliokuja wakapata sehem ya Kujenga, kwa kivupi hakuiuza Nchi na Sera hizo hadi Leo zinafanya kazi, kwahiyo acha kumlinganisha Baba wa Taifa na Kiongozi yeyote yule Nchini, Leo unakula chips Mjini kwa utulivu hadi unapata muda wa Kupost hizi video, misingi iliwekwa na yeye, Salam tokea Rorya, Shirati

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 2 роки тому +3

    Sio kwamba alishindwa ni vile tu uchumi wa kipindi hicho na saiv ni tofauti mkuu niaje

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +6

    We still love you daddy 💌

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 2 роки тому +1

    Nyerere alishinndwa , baada ya hapo wamekuja maraisi wangapi? Ndio maana Magufuli atakumbukwa sana, yeye alipata wapi pesa. Kuhamia Dodoma Nyerere alishindwa, Nyerere alifeli Kiuchumi sababu ya kuweka kila kitu chini ya serikali, KAMA RTC,AISCO, BHESCO, STC, Nyerere hakuwa na nia mbaya lakini watendaji ndio walikula kwa kushibisha matumbo yao.

  • @sulaymanmasatu4392
    @sulaymanmasatu4392 2 роки тому

    Siyo Mradi Wa Magufuli, Bali Mradi Wa Nyerere, Ulioendelezwa na Magufuli

  • @athumanimohamed9395
    @athumanimohamed9395 2 роки тому

    Baba wa africa hakika ulibeba future ya Africa nani atokee mwenye uthubutu usie penda kushindwa ulieamini kuwezaa kuliko kushindwa mpenda maendeleo ya kweli na sio masiasa tulikua tumezoea ila wengi nw wamejua nn tofauti ya maendeleo na maono mungu akutuzee baba

  • @issaramadhani9761
    @issaramadhani9761 Рік тому +1

    Nzuri sana

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому +2

    Nikweri nimefika hapa magufuri na kaacha miujiza

  • @careenhemiris7964
    @careenhemiris7964 2 роки тому

    hongera magufuli

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 2 роки тому

    Mungu mlaze mahali pemapeponi huyu mzee

  • @richardmwaja24
    @richardmwaja24 2 роки тому +5

    Ibaki kusema tu itachukua mda mrefu San kujakupata kiongoz km magufuli.
    Magu alikuwa n kiongoz n kiongoz n mzalendo lkn rais au marais n vibaraka.
    Afrika viongozi wachache maraisi wengi.
    Pumzik kiongoz wetu JPM chuma, mzalendo halisi tutakukumbuk daima.

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 2 роки тому +4

    R I P. JPM

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 2 роки тому +1

    Nyerere hakushindwa Bali alikuwa anahangaikia elimu ya Magufuli

  • @erasmosisdory3045
    @erasmosisdory3045 2 роки тому +2

    Hakika magufuli alikua na chembe chembe za mw/ nyerere! Jembe umeondoka bado nakukumbuka magufuli

  • @dicksonmagesa7602
    @dicksonmagesa7602 2 роки тому +3

    Mungu amrehemu jamani magufuli

  • @joramtz9633
    @joramtz9633 2 роки тому +4

    Magufuri alikuwa ni mtu na nusu

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 2 роки тому +1

    Dr JPM

  • @yahyavulu1564
    @yahyavulu1564 2 роки тому

    Hongera Sana - Bigup!

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Jpm a real Tanzanian RIP our beloved president

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 2 роки тому +1

    Marais 3 wote hapo katikati walikuwa hawaoni ah!
    JPM ulikuwa jembe kweli kweli cyo siri!
    Mpaka na ikulu kuihamishia Dodoma. Hakika ulipambana! Tutakukumbuka daima!

  • @almeidakikoti5253
    @almeidakikoti5253 2 роки тому

    Jamani, wanasiasa msituingize kwenye kubisha tu hata tunayoyaona ninyi ni kutufumbisha macho na kuwaunga mkono ili ninyi mpenye.sifumbi macho nataka kuona

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 роки тому +2

    JPM alikuwa Jembe. Hawezi kufananishwa na yeyote yule zaidi ya Nyerere.

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 роки тому

    Toa maneno ya Kuambiwa et ilimshinda hivi Ww aujui iYo n idea ya Baba wa Taifa...usimuongelee Mwl nyerere vby et alishindwa

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 роки тому +2

    Kamwe hutafutika mawazoni mwa wazarendo halisi wa Tanzania

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 Рік тому

    Aah wanahaki ya kumchukia Magufuli na sisi tunahaki yakumpenda

  • @magesachilimila1104
    @magesachilimila1104 2 роки тому +3

    Dah! 😍😫😫😫

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 2 роки тому

    Ata sina cha kusema jmn Jpm😭😭😭🤲🙏

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 роки тому +1

    ipo wapi?

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 роки тому

    ila mzeee magu ww ni noma baba

  • @kimolankenyenge7158
    @kimolankenyenge7158 2 роки тому

    Rip John pombe magufuri a k.a mwamba

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 2 роки тому +3

    Magu wetu ,r. I p.daima tutakukumbuka

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 2 роки тому +1

    JPM,KIPENZI CHETU CHA WANYONGE,KIFO CHAKO KILIKUWA NI CHA GAFLA MNO.KAURI YAKO YA MWISHO NI PALE ULIVYO ZINDUA STAND YA MAGUFUL ILIYOPO MBEZI.HATUJAKUSKIA TENA,BABA YETU KIPENZI.MPAKA LEO,MACHOZI HAYAKAUKI.

  • @paschalpeter9587
    @paschalpeter9587 2 роки тому

    Nyerere Baba wa Taifa aliondoka na Kitabu chake! Alifanya kwa miaka 23 Nchi ikasonga, wengine Ally Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli kafanya yake! Samia sasa naye anafanya yake yote kwa ajili ya Tanzania yetu! Pewa wewe unayeweza kuongoza Nchi hii!

  • @elibaricksadock9562
    @elibaricksadock9562 2 роки тому

    Dah bongo la dude Yani dah mpka rahaaa

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 роки тому +3

    RIP mzee baba Magufuli 🙏😭😭

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 2 роки тому +3

    🙏🙏

  • @ibrahimnyabwa8088
    @ibrahimnyabwa8088 2 роки тому

    Napongeza viongozi wetu wote waliokamilisha shughuli za kuijenga hospitali hiyo Musoma

    • @sarafinafranci8481
      @sarafinafranci8481 2 роки тому

      Makufuli ndo wakumshuru ayethubutu kujenga, hawa wengine hawajielewi.

  • @kimarioedifesta4161
    @kimarioedifesta4161 2 роки тому +2

    Mungu akupe pomziko la mile raid r I p

  • @humphreyngallawa5630
    @humphreyngallawa5630 2 роки тому

    Baba MUNGU mrehemu Magufuli ,alikutanguliza wewe na kukutaja wewe ktk kila jambo,

  • @mbarakamwakivuma2858
    @mbarakamwakivuma2858 2 роки тому

    Jamani Baba WA Taifa aachwe kazi aliyofanya ni kubwa.Magufuli nae pia aachwe kazi aliyofanya pia ni kubwa lugha nyingine pia sio nzuri kwa marehemu wapendwa wetu.

    • @jacksonmrisho5650
      @jacksonmrisho5650 2 роки тому

      Tulimpoteza Rais mchapa kazi roho yang inauma sana

  • @ginonoisaya752
    @ginonoisaya752 2 роки тому

    Kwa hiyo majengo yanatibu watu

  • @geofreyambakisye4481
    @geofreyambakisye4481 2 роки тому

    Hay at I magufuli alikuwa ndiye rais bora kabisa Tz kuwah kutokea ukiacha nyerere japo nyerere sikuuona uongozi wake.

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 роки тому

    Ni Jambo jema kuwa na Hospital i kubwa km hizi.
    Kanda zingine km sio wamisionari walipita wakajenga Sijui wengine nani angewajengea.

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 роки тому

    RIP,RAISI magufuri tunapenda uzalendo wako🙏🇹🇿💪

  • @mathiasmalilakanti-st2hd
    @mathiasmalilakanti-st2hd Рік тому

    Magufuli alikuwa kiongozi wa kuigwa hatutamsahau watanzania karne na karne

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 2 роки тому

    We mic u JPM

  • @robertmgore3653
    @robertmgore3653 2 роки тому +5

    Mwamba imara Jpm

  • @nusaania2950
    @nusaania2950 2 роки тому

    Mama samia je!

  • @jsisso7467
    @jsisso7467 Рік тому

    Rest in internal peace JPM😢😢

  • @paschalpeter9587
    @paschalpeter9587 2 роки тому

    Na tusipende kabisa kumtweza Mwalimu Nyerere! Mimi siamini kabisa kwenye maono hasi kwa Mwalimu, maana hata mtoto mdogo kama aliyezaliwa miaka ya 1985 atakuwa anajua madhila Nchii hii imepitia mikononi mwa Wazee wetu! Tumechoka na hadithi za uwongo kuhusu Historia ya Nchi yetu! Mungu Ibariki Tanzania!

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 2 роки тому

    Sio kweli kipindi cha Mwalimu palikiwa na pesa nyingi sana ila matumizi yalikuwa sio mazuri , pesa zilipelekwa kununua silaha za ukombozi wa Bara la africa , na mkombozi wa Taifa walikuwa wengi akina SYKES NA KINA DOSSA AZIZ NA WENGINA SHEIKH HASSAN TAKADIRI hao ndio waasisi wa Taifa hili pia !

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 2 роки тому +2

    Rest in peace Magufuli

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 роки тому +1

    Sijui tulikutana na nini Tanzania, ukisoma Comment (s) utaelewa Kitu Sisi.

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 2 роки тому

    Duuuuuuu! .. R.I.P J.P.M 😭😭😭😭

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Рік тому

    Hiyondiohospital siyo kamaya shinyanga

  • @louismsisi679
    @louismsisi679 2 роки тому

    Anae sema maraisi watanzani hawafanyi kazi nani ,utakua mchawi waichi hii

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 2 роки тому

    Aisee r.i.p

  • @lutegobusweru5949
    @lutegobusweru5949 2 роки тому

    R.i.p JPM

  • @joevang4685
    @joevang4685 2 роки тому

    r.i.p jpm

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 роки тому

    RIP JPM

  • @lucaliama1127
    @lucaliama1127 2 роки тому

    Daaah

  • @francisfrancis6431
    @francisfrancis6431 2 роки тому

    Magu mchizi wetu