Hongera sana Kwa movies tamu na yenye mafunzo YANI kaka uliemsaidia sele kama mwanao na kuatarisha mausiano yako kweli nimekupenda buree nikupe mauwa yako maana unaujuwa unajuwaa tena
That's why I love to much my mom ❤❤. Then I love it to much for this movie. Steve mweusi nakuponguesa kwenhe KAZI zako nsuri sanaaa❤❤ we na mwalimu mgueni munaiguisa sana vibaya uno🎉. Good bless you to your job. I'm from Mozambique 🇲🇿 my name is Carlos Naba. Naomba iyi film itendeleh na vipandi vienguine.
Mimi hata kama hii ni movie , have truly taken it so personal ,nimeumia moyoni sana, kweli mama asiyekulea tumboni miezi tisa haezi kajua uchungu wa mwana . Am hrted
Amezing 🥰 stive Kazi nzuri unafanya 👏👏 kongole to babake sell pia I like your vibe kaka proud of you 👏👏 loveness mama I love you too unajuwa kuigiza mamy 🥰🥰❤️
Mwanzo niwashukuru wahusika wote afu @Steve mwanzo wakaa kichaa 😅😅😅afu ivi mbona unakitu kakangu😂😂😂.....hongereni sana Steve,dogo,babaake na sele pamoja na mametu kichaa ila Steve una wivu sana mbona kidogo haungeongeza apo maisha ya babake sele na mamake kidogoo😂😂 ila CONGRATULATIONS nmefuraia
From 🇰🇪 Naipenda hii filamu ina mafuzo mengi Sana, hivi nawezaje pata nafasi nije Tz niweze kujiunga nanyi napenda sana kuigiza ❤, salaam ziwafikie wausika wote kwenye filamu nawapenda nyote ❤🫂😘
It is one of the best movies I have ever watched in Tanzania. I am a Tanzanian living in Kenya. This movie has reminded me of the old days of Charles Steven Kanumba. The movie depicts some real life situations. Big up guys.
My first time kuona babake sele akicheka much love 💕 from Kenya Steve na watu wako pongezi sanaaaaaaaa
Hongera sana Kwa movies tamu na yenye mafunzo YANI kaka uliemsaidia sele kama mwanao na kuatarisha mausiano yako kweli nimekupenda buree nikupe mauwa yako maana unaujuwa unajuwaa tena
Sijui kwanini nalia machozi wakati wa kutazama hii movie,,,too impressive and emotional😢
Sele Tangu Alianza muvi leo kaniliza sana
That's why I love to much my mom ❤❤. Then I love it to much for this movie. Steve mweusi nakuponguesa kwenhe KAZI zako nsuri sanaaa❤❤ we na mwalimu mgueni munaiguisa sana vibaya uno🎉. Good bless you to your job. I'm from Mozambique 🇲🇿 my name is Carlos Naba. Naomba iyi film itendeleh na vipandi vienguine.
Inamana hawa wenye jopo hli wanafanyag mamb kuwa serious na sio serious wanaupig mwing hao Hongeren sana na ❤❤❤❤ sana
Mimi hata kama hii ni movie , have truly taken it so personal ,nimeumia moyoni sana, kweli mama asiyekulea tumboni miezi tisa haezi kajua uchungu wa mwana . Am hrted
Wallah mpnz mama yako ni wako tu
Ashante Kubwa kwa Steve Mweusi.
Tunashukuru kwa kazi mnayo fanya kutufulahisha na kutufundisha
Wow wanapokubali kwamba film hii inatesa ebu nipeni like 👍
Mama ni mama hata kama hana kitu inasikitisha sanaa😪😪😪😪
STEVE weeeh naipenda sana na kweli inafanyika really gd memories to all family 👉🙄
Aziza,sele ongeren sana kwa kazi nzuri sana.❤❤❤❤❤
Amezing 🥰 stive Kazi nzuri unafanya 👏👏 kongole to babake sell pia I like your vibe kaka proud of you 👏👏 loveness mama I love you too unajuwa kuigiza mamy 🥰🥰❤️
Kwamala ya kwanza Julia kwenye move bongo st and sele nawa kubali sana❤
Jamn mungu atulinde tuwalee watt wetu ,yaan nimelia kuona mtt anateseka
Movie nzuri sana! Nampenda Sele sana... I really find no reason for watching Nigerian movies if our TZ brothers can do such an amazing article
Dogo sele na stive mweusi nakubali sana nataka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kazi njema na ni funzo kubwa: team poa👍👍
Steve unaweza move hongera kaka nawapa hongera wote nakundi laki mnafanya vizuri sana
So emotional ..lot of tears but steve mweusi anapanguza machozi
Steve you deliver yet you are not pregnant, much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰
Thats why I love my mum❤❤❤Kama wa kwanza nipeni like zangu
❤
👍👍👍
Wamama wote nawapeeni heshima zao,na c tafadhali
@@MakoloChabene1n8mq^(9eooeew
j😊nl
Steve mweusi tafadhali muendelezo japo kidogo ili mama sele amjue aliye Lea mwanawe mmeifupisha sana!
Mmefanya vzr kweli ❤❤
Hapo fresh stive wazeee wa frash mmetukumbuka ❤❤❤
The ending is so well........ congratulations Mr Steve mweusi mafunzo NI Tele...
Meaning team yako inaeza pitia kwangu WA subscribe kama support 😢🎉❤
Na Mimi uke kwangu uni sapport
Steve una team poa:👍👍
Hongereni jamani mnatufunza vyema japo inaniuma san da
Aise hongereni Kwa movie nzr San ❤❤ tunaonba muendelezo bas
inauma kama kidonda,wenye roo za unyama mungu awatekeketeze
Kwa kwel mama wa kambo nishida sanammmmm 😊😊😊😊😊
Amin
Daaaa imeniliza sana sele unaweza na unatia imani
I'm proud of this movies mungu awabaliki sana
Mwanzo niwashukuru wahusika wote afu @Steve mwanzo wakaa kichaa 😅😅😅afu ivi mbona unakitu kakangu😂😂😂.....hongereni sana Steve,dogo,babaake na sele pamoja na mametu kichaa ila Steve una wivu sana mbona kidogo haungeongeza apo maisha ya babake sele na mamake kidogoo😂😂 ila CONGRATULATIONS nmefuraia
😢😢😢😢😢machozi yameisha mwilini😢😢😢😢wenye tumelia nyoosheni likes,,,tulie pamoja,,,😭😭😭😭
Nimelike hiyo movie Sana Son and the mum am from Kenya ❤
Duhu gem inatufundisha kwa wale tulopitia kwa wamama wa kambo ni z ya hapoo ila tulee watoto wetu vzr pia tuawaheshm mama zetu nan km mama😂😂😂
Just a lesson to us❤❤❤very smwrt my guys i do love your movies i keep watch them
Uovu haulipi. Kazi safi sana naikubali
Hapa Uganda tunawapenda mno
thanks for the firm very educative tafadhali kaka endeleza usituache hanging
Wah! Inauma sana hadi ninalia ika ina mafunzo mazuri
From 🇰🇪
Naipenda hii filamu ina mafuzo mengi Sana, hivi nawezaje pata nafasi nije Tz niweze kujiunga nanyi napenda sana kuigiza ❤, salaam ziwafikie wausika wote kwenye filamu nawapenda nyote ❤🫂😘
😢😢😢😢😢
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi Kwa ajili ya Steve mweusi 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂😂
❤❤❤❤
😂
Aky hii move nikikumbuka natka machoz
so emotional movie,i'm full of tears
❤❤❤❤ nakupenda sana mola akuongoze
Nalia machozi 😢ya huruma sana
Wazaiz wa kiumu mlio achana na wake zeno mkaachewa watoto muwa na mad wa kazungumza na watoto wenye kuusu wanayo pitia nyumbani
Ubalikisana sele ulinifulahisha sana kwa film😭hiyi
l love mama wewe niloho yangu sele apewe pongezi anajua anajua anajua tena
🔥🔥🔥japo inasikitisha nimependa jinsi kijana Sele anavyoigiza pongezi🥰🥰🥰🥰❤
Inauma sana😢😢😢😢😢😢❤❤nipend movie
Mhhhhh
Mov hii ina sikitisha
So touching....am wat hing from Kenya ...thanks daddy wa. Sele .....af sele shukrani umesimama na mum sana big up..
Eeeeeeee jaman mungu atusaidie wametukumbusha ambao tuna watu was mamna hii tusiwatenge tuwapende tuu ❤❤❤❤❤❤❤❤
sitivu nimekukubari wewe safi hadi peponi
Hongera sana wewe mkaka kwakua na loho nzuri😊😊😊😊
kazimzuri kwenu wotee ongeleni mungu awazidi shie❤❤❤
Hongera sana wewe kaka kwakua na loho nzuri sanaa
Dd aziza una moyo wa kuekti mwehu ongera sana tena sana love you❤
I like the movie imenigusa tu Sana Niko Kenya nawapenda Sana 🎉
It is one of the best movies I have ever watched in Tanzania.
I am a Tanzanian living in Kenya. This movie has reminded me of the old days of Charles Steven Kanumba.
The movie depicts some real life situations.
Big up guys.
P😊
P😊
P😊
P😊
P😊
Somo movie iko vizuri
Jaman mungu wasaidie sana watoto wasioish na wazaz wao, inaniuma sana i feel like I'm the one doing such a thing
No body can replace your umbilical cord much love to my mom bear❤❤
Dah hii movie imenigusa sana maana ndo maisha niliowahi kuishi kila nikitazama nalia tyu ongera sana aise
Wow wow good job ♥️🔥
Irikua nzuri sana ❤❤❤❤❤
Wale walio 😢😢lia kuanzia mwanzo hadi mwisho naombeni likes 5 tafadhalini mob love from kenya❤❤
Kecheche
❤❤❤❤❤
Jamn mmenilza xana ma'ana imnikumbusha mama yang xana
@@SAIDEALI-eu1yb111
Hiyo aki ni. Noma😢😅😢
Kazi nzuri steve hii imetufunza kitu lkn steve mugeindeleza mama Sele wakaona na baba mlezi wa Sele good job broo
Kweli kabisa haikuisha vizuri
Huyu mwanaume apewe maua anajua kulea🎉🎉
Je t'aime fort fort ma maman d'amour et mon papa mon héros
Kidawa shoga yangu nisamehe tu bure😂😂
Aki mm nimelia mwanzo mwisho wallahi 😢😢😭 watching from Kenya 🇰🇪
Nice mover❤❤❤❤❤❤❤
Nice movie. Always mum is best love u dogo sele ❤🙏
😭😭😭😭 maman ni maman ❤️
Nmeumia sana kuanzi mwanzo wa move , kweli mam niwamuimu sana kweny maisha usmuzalau mam wa mwenzio , mama ni mam
Tmpatie taji yake mama big up
Bailam ata simwelewagi yani ila stivu ameupiga mwingi sana
❤❤❤lots of love 2 my mum,,, following your best actions 4rom kenya steve mweusi,,, twakupeda sana uko so creative,, kip it up....
Dogo sele na mamae wanetisha sana
Ya allah nmpe mama tangu maisha marefu ya rabbi nami nipe maisha marefu ya kuweza kulewa watoto wangu wawilili
Movie 🎬 🎞 🎥 nzuri sana kaipenda sana ❤❤❤❤
Daaah ni hatar saana inaudhunisha saana
Yaan katika move hii n move
This movie is interesting and touching, am really fully crying
Mama wa kambo wako si mama yako.
Wewe mwana mke kwa kweli wewe ni pepo
Nimependa sana babake sele hatakm nimuvi lkn unaonekna hunaroho mbaya,mungu akuzdishie,
😢😢😢 dah kaka
Umbwa sana uyu mama
Finally umeachilia kitu kali ee
emotional indeed 🥲🥲🥲
Duh twajifunza mengi kwa kweli
Kazi nzuri sana
Jeff from Kenya. I like this.
Ahsanten movie nzur yenye mafunzo
Mama ndio kila kitu bila upendo wa mama ........maisha balaaaaa
Hey inaumiza sanaa
Hadi nikatokwa na machozi😢 keep up the good work
Imenigusa saana hii move kwa kias kikubwa
Aki nmelia kwa sanaa jamani kipindi kizima nkiwa Kenya😭😭😭
I wish same peoples wangejua mchungu anapitia huyu mtoto aki may God have mercy
Hajra hii character haikufai😢...anyway kazi nzuri yenye mafunzo🎉 Mungu Awapiganie daima 🙏
Actually this is too emotional
Inasiktisha San kuona mtoto anateseka tulee watoto wetu kwa upendo na maadili mema huwez jua kesho yako pia inafndsha sana