MY LIFE FULL MOVIE
Вставка
- Опубліковано 29 сер 2024
- #Bhailam#clamvevo #Rahel#Gumbo#
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...
Jamani munaompenda Bailamu kama mimi mnipe japo like 10
Chukuaaaa👍👍👍👍
Hongera sana kaka bailamu Kwa Kaz zako nzuri
👍👍👍👍
Bailam unaweza sana ila kwenye hii Ngoma umeonesha uwezo zaidi baba kundi lenu halina mnyonge nawapa hongera Kaz nzuri
Bailam wewe ni noma kabisa una nikumbusha kanumba nakupenda sana
Félicitations bhailamu unaweza yani kila rôle unaipatiya ongera sana 🎉
Mwamba huyu hapa king Simba bhailam hii imeenda kweli kweli 😢😢😢😢😢
Huyo kaka anasauti nzuri hvo sikutegemea
Hii miamba n noma Bailam mm naona ndo Kanumba haswa, angalia uhusika, serious, comedy n.k
Bhailam watesa mwenzio maskini poleni mtu nakaka❤❤
Nimeshindwa kuzuia machozi😢., mapenzi yanaweza yakambadilsha mtu kweli😮😮😮
Bailam anafanya vizuli bongo movie yasasa❤❤🙏🙏
Naombeni like hata 5 ❤❤❤❤❤😊
Aseeee wanangu hiii kitu ni moto 🎉 mmefanya kitu ambacho ni moto .
Bailam anapenda sana kulia jaman Hadi kamasi😅😅
Bro ngoma nzuri rekebisha sauti ipo chini sana
It's so heart touching💔....Haina tafauti yoyote na maisha niliyo nayo....nimekua kwa nguvu za mola na jitihada za single mother😥
ua-cam.com/video/CWOeyQFGZPs/v-deo.html
Bailam nimipenda sana 🇲🇿🇲🇿 my life.. minha vida
Congratulations bhailam❤❤❤❤
Kazi safi sana👍👍
Wapendwa naombeni like 2😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😮I feel the pain of big brother 😢😢so sad
Félicitations encore les cinéastes 👍👍👍
ua-cam.com/video/CWOeyQFGZPs/v-deo.html
Bhailam unapendwa kutoka kenya❤❤❤
Daaah bailam kazi nzuri sana umenikumbusha mbali na mm nimepita huku ila mungu ni mwema
Hongera kwa kasi poa
Bhailam kwangu ni king 👑 kwangu namukubali sana kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri brother, daah Sema ungeirefusha kidogo tuona recho atakavyoreact baada ya kupata taarifa za msiba.
Ni kweli pamoja na baba yake vipi angelijutia
Clam jaman midomo italemaaa ndg yangu
Bhailam nichida kwl kwl😂😂😂😂😂😂😂anachekesha mnook
Congratulations bhailam
it is nice movie
bhailam you are te great
Bhailam ❤❤
Bhailam kiukwl nakupenda sana gisiii unavyo igiza😂
Kweli kafa 😮😮😮😮duu mm nitasema babayake ndochazo
Wazee jitahidn izo sijui soundtrack/ background voice ziwe soft kusikiza night na nge ngeee inaogopesha ...content is super ...nimepeielewa
😂😂😂😂😂😂😂mm ningehama mji mana sikwausumbufuu hu na huyu bhailam
Bhailam Lion 🦁 Voicee
Eti .it was very nice...amekuwa kalamu
Kumbe na ww umeskia hiyo kizungu 😹😹😹🙌
Nimecheka kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
That woman should have joined forces with bailam, watengeneze mzee😂😂😂
Yaani hii imeenda sanaaa
Hongera kaka nakuoenda xaana kwa movie zako na usiriasi wa kuigiza big up
Wazazi wapate fundisho mmeowa sana wanyabi
Nic movie sinema nzuri sn kabis kabis
King simba ❤❤❤❤❤
😂😂Eti anajifanya AWILO LONGOMBA😂😂😂😂 nimependa hiyo from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😆😆😆😆
Hii move imenifanya nimelia sana kaka yake bailamu kaniliza sana
Huyu Bhailam nadhani mapenzi yalimuumiza kweli cz hii ni movie ya ya tatu naona anaeleza kuhusu mapenzi
1- My love
2- Fall in love
3- My life
Kitu Iko sawa kabisa keep it up again kama hii Tena ❤
Duh mbona huyu Mzee yuwamuonesha unyonge huyu kaka wa Bailam 😂😂😂😂 movie smart ya mafunzo wako wazazi wa style hyo😢😢😢
Tena wako sana😢
Bhai lum you genius mamem🤏👨🏫✌
Una mke bailam
Hii mobie inafaa kua na likes 1M, na comments mob sana ❤❤
ua-cam.com/video/CWOeyQFGZPs/v-deo.html
Huyo mwanake ana upuzi sana yani unatetewa kisha unajidai eti n mme wako basi ukifaa kufa tu bwana bahilam god job
Mimi sichaguliwi mtu jamani mwandawazimu nimempenda mwenyewe khaaa wazazi wabadilike jamani
Bhailam unafanana sana na stivin kanumba
safi sana umetisha
Duh, ama kweli Bhailam w ni fundi wa kuigiza
🎉🎉🎉🎉imeweza funzo kwa wazazi
Bailam umecheza Sana hongereni na wapenda nyote ❤❤❤❤❤❤❤
We bhailam wata kuuuwa wewe😂😂😂😂
Nice move
Mnatuliza jaman e😭
Kaz nzuri bhailam
Mikazo ziiro 😂😂
Bhailam wamtesa kakako jamen 😢😢😢
Movie nzuri ya huzuni😢😢😢😢😢
Bhailam pokea 🎉🎉🎉 yako
Mashallah nice ❤❤❤❤❤❤❤
The real definition of Bhailam
Bailamu jina Kali kulingana na kazi zake .😂😂😂😂
Safi ❤
Thank you brother God bless very more and more
Gumbo kata hizo nywele utapendeza sana
Uyu jamaa anajua sana hivi anaundugu na yule richi mbona wanafanana sura
Bailam unaweza br...
Movie ilikuwa nzr sana mmekosea ki2 kimoja2 mwisho baba hajashuhudia mtoto wake kuwa kafariki ili ajutie maamuzi yake pili ilitakiwa na yule dada aliemwambia kuwa ckupendi nae ashuhudie kuwa jamaa kafa kwa ajili yake jamani mbona movie za Kanumba zilikuwa na mwisho mzuri hivi nyie vijana we2 wa sasa ubunifu wenu umeishia wp mnatuboa sana kiukweli
Fanya yako uweke mwisho nzuri
Good jobs
Bhalam🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤Good job ❤❤❤
Jaman najua nimechlwa IL naomb nsem nmelia San n sjui Kwann
Nice movie ❤❤❤
jamaaa anaweza tena sana hongera yake anakuja vizur sana Big Up Bailam😊😊 Official _Amar@Astar2306👊
Big up sana
Nice anakaz nzur san bhailam jamn
Bhailam anajua kuigiz kbx
The new mkude simba.
Good work
Next ❤❤❤❤❤
Bailam hii movie umeipiga vizuri sana na hata huyo mwanamke kaigiza vizuri mno pia hata huyo brother ako kaigiza more than other
More love clam vevo
Aki nimelia
Kaka hii movie imecheza Kwa hisia Kali sana nimependa imenigusa kwani Kuna wakati nilipitiwa kama huo nililazwa miezi sita, kaka unajua
Tuleteyenai ukewenza tumaliziye jamani
😁😁😁😁😁🤣Bala noma 🇧🇮
Mm Namupenda Bailam
Mapenzi yanatesa sana😢😢😢
Oiii bailam hizi sound effects zipo juu Sanaa next movie embu balance vizury
😂bailam 😂 nikanumba mpya
Kmk brow
Haaiiihetiuuuu😅😅😅😅😅 nimepanda hiyo😂😂😂
Bhailam we ninoma ongera sana
Good job