Mungu wetu ni mweza yote, afadhali kumwamini katika maisha yetu🙏🙏🙏Baba Joan na wahusika wote hongera sana kwa tamthlia ya kuchekesha lakini yenye mafunzo mema😂😂😂
😊😊😊😊😊hahahah,while Enock disappears in that grave i can see a reflection of him running the other side, while was supposed to be posed as true disappearance!!!!!so i think they didn't see that!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amiina ssna Bariki maisha yetu ya kilasku Mungu wetu, Amiina 🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂 yachekesha kweli ino movie jini kabidi haende kwa mganga duh😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 nice movie 🎉 kipenzi jini ni warembo🥰🤓🤓🤓 yoyote kwa mungu inawezeka🙏🙏💐
Baba Joan jamani 😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana na vle uko na uoga unadance wengine wakiomba
❤❤❤nimeipenda sana hiyo mungu atupe maisha marefu tusiwe tunataman taman vitu visivyo tamanika😅😅😅😅
Mungu wetu ni mweza yote, afadhali kumwamini katika maisha yetu🙏🙏🙏Baba Joan na wahusika wote hongera sana kwa tamthlia ya kuchekesha lakini yenye mafunzo mema😂😂😂
Asanteni sana muna wazo nzuri sana. Mungu awaongezee nguvu
Nafutilia video zako nzuri sana caren from kitale kenya
Aiseeh we kikoti noma wee😂😂😂😂
Napnda xna movie hii hongera sanàbaba joan❤❤❤❤❤
Kwan jini linaenda kwa mganga😀😀kali sana hii😀
😊😊😊😊😊hahahah,while Enock disappears in that grave i can see a reflection of him running the other side, while was supposed to be posed as true disappearance!!!!!so i think they didn't see that!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu apewe sifa siku zote Amina niko kenya
Utukufu kw Mungu majini hayani uwezo mbele za Mungu ❤❤❤❤
Ndio
Big up malafiki. Jah blessing
Nao wazee wa tamaa za kubaka wanawake hadi kuua wafanyiwe hivyo tuu🤣🤣🤣🤣
Neno la mungu n laajabu sanaaa Ameeeeeeeen 🙏🙏🙏🙌🙌🤲🤲
Napenda San movie zak baba joan❤❤❤🎉
film zenu nilizipenda sana hasa hasa ile ya mwalimu mgeni, mhusika yule Mageza kakuwa mzuri cha ukweli uema hauozi
Hapo maselah mmechakaa jamaa amewataja😂😂😂😂
Nimejifunza kitu Aswan Elphas from Kenya GOD is the creator 🙏🏽
Even me am in kenya
Naam
Mzuri hii video
Nmeipenda sana iko vzr sana ❤❤❤
Nami pia ningependa tu actor Mimi nawe angel❤
Amazing 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 i ❤
😂😂😂😂baba Joan umenichekesha
Kwannni
@@BabaJoani maombi inaendelea na uko ready kitu ikitokea utoroke,,,😅😅😅hauna Imani kabxa
😂oui bonjour chère Madame merci beaucoup pour votre présence sont vraiment oui ja
Kwa Kweli hakuna kitu kinaweza mshinda mungu🙏🙏
Nice movie ❤❤
Waaaah 😂😂😂😂😂😂😂jini Lina enda kwa mganga
unajigamba we ni jini,mimi ndio mhuni 🤣🤣😂😂😂
Hahahaha, Baba Joan umetishaaa
Believe in Jesus Name,,ken from kenya ,,,tharaka
Baba joan shezi sana 😂et mchungaji ana pisi kali
Alipenda alivopelekewa moto wow❤
Mnajitahidi endeleeni kujitahidi mtashinda msikate tamaa Kuna msema wakiswahili unasema mjinga wakati wakwenda ukiludi utajitambua unekosea njia wapi itakaa sawaa❤
Maombi yanafanya kazi amen ❤
Mpoo vizuri lakini mhhhh!!!!!niatari
Icho kipara sasa 😂😂😂
Kuna cku niliangalia movie nyingine usiku nkashindwa Toka nje😂😂zatisha sana
Kwanza usiangalia hizi movie usiku😂😂
Congrats chind❤❤
🤣🤣🤣 mjomba hana hata huruma anavyomzaba enochi kofi ya kiparani ha jamani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂baba joan repair my rib
Baba Joan😂😂😂😂 unaomba uku unageuka nyuma kwa uoga
Ukiwa na imani mambo yote yanawezekana🙏🙏🙏
Haina usanifu
But good story
Jaman mm mbn cjapta like hata moja naomben jaman like
Hahahhah hatari jini kaenda kwa mgang
😂😂😂😂😂pastor ako na pisi kali
😂😂😂😂mwenye kofia uwacheza ajbu
Jini anaenda kwamganga😂😂😂
😂😂😂 umeona eeeh!
😂😂😂Ila baba Joan 😂😂😂
Sauti hazisikii jitahidi kupandisha sauti kwenye move zako
Hapo umekosea kutaja mashekshe hawafai tenguakuli bro 😂😂😂😂😂
Makosa mengi sana wazee japo ni comedy
❤❤ i like this movie
ukiwa na imani mambo yote yanawezekana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kupelekew moto duu!!!
😂😂😂😂hapo ndo imenifurahisha pia
Love this movie so much🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉akiii nimecheka
Uwezo wa Mungu ni zaidi ya akili za wanadamu.
Nimejifunza kuwa imani ni kitu kikubwa mno jina la Yesu litukuzwe
Amina
Amen
😂😂😂Baba Joen
Hivi ndivo waislamu wanaamin majin ni viumbe vizur,mnapotea token gizan.katika jina la yesu
Nawakristo wanaaaminu ndo mana mnaenda kwa mwampooo sijui nabii wauongo mnachagaawa kanisani mkishishikwa na mapadri msijitie bure kukashif uislam
Bora niende kwa uyo mganga kuliko kufuata dini za hera hapa duniani kwahiyo mungu Ni wakwetu sote
Kumbe naww auna akili
❤💪🌷💝😊asanteni Sana nachukuru👏💝
producer surely jini na bangle mkononi
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Jini mwenyewe is beautiful
Amen 🙏 twashukuru
May the Lord be with His pple🙏🙏🙏
Jini na misuko yake na dizain za nguo😅😅😅
Nice my movue
Mungu ndo kila kitu ❤
Baba Joan ongera sana movie zenu ni tamu Jose from. Kibwezi kindly update me am a good actor to join you
ni huruma Sana,natazama nikiwa Vihiga.
We mungu
utuepushe kwa mambo ka haya
hii n movie inachekesha sana 😂 yaan unaenda kuomba kwa mzmu wakat mzm wenyew kabla hajafaa alkua mhangaikaji nmecheka knowma
Baba Joan Mungu ndo kila kitu
Mchezo tu lkn nahuko kanisani unakwenda kwa mashaitwani pia.
Kali manze
Nijifunzac kwamba kwa kila Jambo nimshughulishe mungu
😂😂😂😂😂eti na unga kichwani
Hapo umekosea kutaja mashekhe hawafai tengua kauli bro
Kusikiza sauti za maadui na vitisho vyao vinaweza kutufanya kupoteza malengo yetu.Sauti ya Mungu ndio mwisho.Jina la Bwana Yesu lipewe sifa milele.
Amen
✋
Hakikaa ❤❤
Amen
Ameni
Mambo yote yanawezekana kwa nguvu za mungu
😂😂😂😂 dogo yuataka vya bure
Praise load 🙏🙏🙏🙏
Glory to God 🙏🙏🙏🙏
Nice 👍👍👍 movie
😂😂😂 eti kalete kitoto Cha simba
Hahahaha
Waaaaaah glory to God 🙏🙏🙏🙏
Dggj❤ 20:12 20:13
Amen 🙏🏽 glory to God 😊😊
Ongelen mmetishaaa!
God his Blood destroy all enemies
Hawa wabongo Wana vituko😅
safi sana
With God everything is possible. Never give up
Ukimtegemea mungu kwa hakika hautatingisika❤
Kipala umeufeli😂
Thank you almighty God 🙏🙏🙏
Nimeiewa sana
Hakuna move hapo
Mm nakipaji Cha kuigiza je nitapata nafasi kwako
Baba joan. nambie ile muvie ya baba yangu kipofu ina ishia ku epizode ngapi?