Somo "Akili" Sehemu Ya 1. Dr.Elie V.D Waminian

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 104

  • @godfrey_89
    @godfrey_89 4 роки тому +14

    Simsifii Dr. Kwa elimu yake namsifia Dr kwa Akili yake na uwezo mkubwa alopewa na Mungu...Anatufaa Sana... Najifunza kwake... Each day... Nakupenda Dr. Ellie

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 4 роки тому +15

    Alhamdulillah nafurahi Mungu kunipa uhai na kuwapa uhai team chomoza na Dr. Elie baba lao . Nimeweza kufuata masomo yote ktk kipengele cha "mwanga wa akili" na leo niko katika somo jipya la "Akili" God bless you /us 🙏🏾🙏🏾🤲🏾🤲🏾💖💖

  • @ron3034
    @ron3034 9 місяців тому +3

    Intelligent Dr Ellie🔥

  • @wardashakim9609
    @wardashakim9609 2 роки тому +2

    Nabarikiwa sana na masomo yako dkt naomba kuungwa kwennye grop

  • @tanstudiotv
    @tanstudiotv 17 днів тому

    Siwezi kudhibitisha kuwa ni genius Dr Elie!! Ila naweza kumkosoa kua!! Ndoa haina mwalimu!!
    So asiingilie ndoa!! Mnaweza sema vip tena ndoa na Akili!! Najua!!! So na yeye ni mwanadamu!! Kama huna D2 hii comment like tu kwa kipindi hiki

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 роки тому +2

    Safii mwalimu kwa kunipa uwezo wa kufikiri zaidi na kujua mengi mungu akupe afya njema uzidi kutuelimisha!!

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 4 роки тому +15

    Dr Elie Naomba kujua kama unakitabu chochote

  • @SadickKivuma-fw3jp
    @SadickKivuma-fw3jp 9 місяців тому +2

    Nimesoma nakaribia kuelewa

  • @RashiAdams
    @RashiAdams 2 місяці тому

    From congo nakukubali sana muzeh

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 роки тому +1

    Nanufaika sana na masomo yako doctor, ubarikiwe sana

  • @alexthadeo3965
    @alexthadeo3965 2 роки тому +1

    Mungu akuzidishid

  • @fatmamussa8629
    @fatmamussa8629 4 роки тому +5

    The real fire Man Dr. Elie VD

  • @beatricekikove2979
    @beatricekikove2979 4 роки тому +2

    Hili somo la akili, linahitaji akili sana kulielewa..Asante sana Dk Elie na timu yote ya chomoza. Mungu awabariki sana na tunawapenda daima

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 4 роки тому +12

    Jimmy mwache Dr. anapoongea amalize maelezo, maswali yako yanavuruga mtiririko. Sam Sasali yuko vizuri.

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 4 роки тому +2

      Naona maswali yangepewa muda wake baada ya kukaribia kuisha kipindi. Na Jimmy angekuwa ana andaa maswali yake kwa kuyaandika sehemu pale anapoona ana hitaji kujua zaidi ili dr. Asikatizwe katikati ya kipindi na kupoteza direction. God bless you.

    • @JicholaAfrika
      @JicholaAfrika 4 роки тому

      Ni kweli anapaswa kumuacha Dr. Maana kuna maswali mengine anauliza na kumstopjsha Dr bila sababu

  • @faidaruzamuka6997
    @faidaruzamuka6997 4 роки тому

    Nime kufatiliya sana docteur pasteur kutoka France. Nimefuraichwa sana na kipindi chako.

  • @allyjohn3656
    @allyjohn3656 4 роки тому +2

    dr elii ingekua vzr sana kama ungecreate you tube chanel yako tukapata shule ya kupata darasa mara kwa mara not only seasonaly.

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому

    Jimmy usimkatize dr akiflow....dr elie shukran

  • @mashikuherman1539
    @mashikuherman1539 4 роки тому +1

    Hongera sana dkt ellie. Plz haya masomo yawe katika kitabu itapendeza sana

  • @delphinusbarakamathphytuto7012
    @delphinusbarakamathphytuto7012 4 роки тому +1

    Uncle Jimmy tusichelewe kupost huku UA-cam tunaanza kukosa mtiririko dhabiti. Shukrani za dhati kutoka kwangu kwenu team CHOMOZA

  • @amidoubk6892
    @amidoubk6892 4 роки тому +1

    Dr onesty speaking unatuvuga may God give you long life

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 роки тому

    Dr anaonekana kumvumilia sana Jimmy... Dr ana Busara sana...

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 4 роки тому +1

    Naendelea kujifunza 🙏 .Tumevuka daraja leo ni "Akili" ni maelezo ya mtu binafsi. Kutoolezeka bayana kwa mambo ya mtu.Asante Chomoza.

  • @maryjohn408
    @maryjohn408 4 роки тому +3

    God bless you dr Elie for your work !more life baba

  • @JicholaAfrika
    @JicholaAfrika 4 роки тому

    Jimmy usimuingilie Dr. Muache atiririke. Asanteni sana

  • @queenbundala6188
    @queenbundala6188 4 роки тому

    Amina MUNGU AWABARIKI sana

  • @victoriajames5413
    @victoriajames5413 4 роки тому +8

    Jimmy maswali gani hayo unayouliza!? Unamlia Doctor mda wake bule halafu unamhalakisha ndio nini acha tabia hiyo, Kama hujui kutunga swali kaa kimya sikiliza. Baada ya mda frani akili yako itafunguka na kukuluhusu yenyewe kuuliza swali lenye maana. Asante.

  • @amisimmunga6148
    @amisimmunga6148 6 місяців тому

    You're totally right

  • @rajabumrama3161
    @rajabumrama3161 4 роки тому +2

    God bles

  • @maureenandrew9987
    @maureenandrew9987 4 роки тому +5

    More time kwakipindi...we need like 1hour jamani ....think about it

  • @neemakayanda5860
    @neemakayanda5860 4 роки тому +7

    Jimmy sauti ya kipindi inakuwa ndogo sana,mjitahidi kuongeza sauti

  • @rahilhamidu9932
    @rahilhamidu9932 3 роки тому

    Shukran sana kwa somo, Dr ellie your blessed

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 роки тому

    Asant sana kwa kipindi kizuri naomba kujua namna ya kupata kitabu cha dr Elie cha Hekima

  • @aidakazi5109
    @aidakazi5109 4 роки тому +10

    Jimmy.. It is time for you to realise this is God’s work and he’s the one who put you there and He can take you OUT THERE ANY TIME.!! So be humble and if God’s PEOPLE seeking to HEAL their SOUL who ARE you to STOP THAT!! Remember Dr. Elie is the ONE with that WISDOM AND HEALING POWER. And NOT YOU.. narudia NOT YOU!! ... we can replace you but NOT Dr. ELIE (he’s IRREPLACEABLE ) so respond to God’s people humbly like Dr. hapo (hujifunzi???) even though we know TIME is money BUT DONT SHOW THAT YOUR IN CONTROL WHILE YOU ARE NOT.. I’m sure if Dr.ELIE says I’ll STOP teaching here at CLOUDS we will NEVER even REMEMBER YOU in three months down the road ( BECAUSE YOUR LEVEL OF UNDERSTANDING IS NOT EVEN CLOSE TO WHAT Dr. ELIE HAS) ...IF YOUR DOING God’s WORK then do with HUMILITY and HONOR...if GOD PUT YOU THERE HE CAN TAKE YOU OUTTA THERE!!! PERIOD!!! ... I thought it about time someone should really say the UNSAID khaaa!!...NA MUNGU anajuaga wakumpa sipatii picha ungepewa hiyo HIGH LEVEL YA WISDOM alioko nayo DR .i think UNGEIUZA AT A VERY HIGH PRICE 😂 Anyways Barikiwa sana mtumishi Jimmy.

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 4 роки тому

      I have been watching this program for years in Kenya. Nimejifunza mambo mengi na nashukuru Dr. Ellie kwa kujitolea ili atuelimishe. Lakini sasa mimi hisikiza tu kama Sam yupo. Dr Ellie is very humble and may the Most High God continue to bless him and team Chomoza. Jimmy tafadhali kuwa na heshima na usikivu. These two are good virtues. Will take you far.

  • @winstonkigomba1122
    @winstonkigomba1122 4 роки тому

    Ah ni somo zuri

  • @peterpaschaljuma2382
    @peterpaschaljuma2382 4 роки тому +1

    Tunaendelea kupata mafundisho yako Dr MUNGU akujarie uzma uendelee kutufundisha zaidi 🙏🙏

  • @janethjoely7685
    @janethjoely7685 4 роки тому

    Dr asante kwa somo

  • @chance0709
    @chance0709 2 роки тому +1

    Somo gumu kweli 🙈🙈🙈🙈

  • @bigmusa4433
    @bigmusa4433 4 роки тому

    Asante mwalimu

  • @frankjames3831
    @frankjames3831 4 роки тому

    Asante sana kwa kipindi kizuri

  • @HamadiNyanda
    @HamadiNyanda 7 місяців тому

    Hatari sana🤔🤔🤔🤔🤔

  • @Misskavalau
    @Misskavalau 4 роки тому

    Jimmy ningependa kumuuliza Dr. Ellie the connection between akili - ancestors - adn - na muhusika

  • @josephthine5036
    @josephthine5036 4 роки тому +1

    Hi Jimmy na Dr. Elie, kuna mahali Dr. alikatizwa alipokua anaelezea ya kua Akili ni Agent na ati kuna mhusika mkuu anaye dictate akili. Naomba aweke wazi hapo. Thank you.

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому

    Akili

  • @georgekweyamba5569
    @georgekweyamba5569 3 роки тому

    Thanks

  • @prospershayo8618
    @prospershayo8618 4 роки тому +4

    Tunajua mmeshasalimiana offline apo mnatuzuga na kupoteza mda tuu 😄😄😄

  • @jamesmrema9311
    @jamesmrema9311 4 роки тому

    Mungu awabariki

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 4 роки тому +13

    Jimmy ni mwanafunzi kichwa gumu xana haelewi

    • @edgeranacret5455
      @edgeranacret5455 4 роки тому +2

      Elewa kuwa tupo tofauti ndugu,kila mtu anaelewa kwa uelewa wake,take it in a good way

    • @petronilakimario8533
      @petronilakimario8533 4 роки тому

      😂jmn mwache jimmy wangu anawasadia vichwa.ngumu

    • @lovenessdiva3370
      @lovenessdiva3370 4 роки тому

      Yupo kama mimi maana nipo 😇

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 4 роки тому +1

      @@edgeranacret5455 Asante ni kweli kila mtu anauulewa wake ndo maana tuko tofauti. Watu wanakurupuka tu kukomenti bila kufikiri.

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 4 роки тому

      🤣🤣🤣

  • @kabibiscovia9141
    @kabibiscovia9141 8 місяців тому

    jmn dr asante naomba kama una group uniunge

  • @mrstorytz
    @mrstorytz 4 роки тому

    asanteee sana kwa somo Dr

  • @fischerkashaija3214
    @fischerkashaija3214 4 роки тому +1

    Hii napenda ifike kwako JIMMY wapenzi watazamaji wanapoomba dr Elie angozewe muda sio kuea ni jambo baya hata kama hautaki kumuongezea muda sio vema ku crash hapo hapo mkiwa hewana au kuonesha kupga kwa makusudi tunajua muda ni muhimu lakin namna unvyo pinga kama vile ni ugomvi sio vema tena kama ww ni mtumishi wa mungu

  • @missenna_tz
    @missenna_tz 4 роки тому

    Somo zuri sana

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 роки тому

    Thank you so much for that ila naomba kufahamu akili ni Nini!??

  • @duojoseph5065
    @duojoseph5065 Рік тому

    Kweli akili Atari .. Naomba MW.Mungu anilinde Akili isinisaliti

  • @gifternest1273
    @gifternest1273 4 роки тому +2

    jimmy jitahidi kuwa muelewa. maswali yako yanatupunja mda wetu. kama vipi uwe unayauliza off air

  • @saraherastus2589
    @saraherastus2589 4 роки тому

    Thanks dr

  • @kelvinmchau8815
    @kelvinmchau8815 4 роки тому +4

    TUMEANZA SOMO JIPYA TUMESHAVUKA DARAJA SASA TUNAISOMA AKILI YENYEWE

  • @johnlaurance8328
    @johnlaurance8328 4 роки тому

    Good

  • @michaeljumanne9065
    @michaeljumanne9065 4 роки тому

    Nipo makini sana leo

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 4 роки тому

    SAUTI YA CLIPS NYINGI IKO CHINI SANA. ONGEZA SAUTI.

  • @victornafwa2471
    @victornafwa2471 8 місяців тому

    Mwangwi Maingi jamani😢

  • @ericksylivester8757
    @ericksylivester8757 4 роки тому

    Asante

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 Рік тому +1

    🙏🙏🙏🙏💕💕

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 4 роки тому +1

    Npo darasani tena kujifunza.

  • @stiveerasto1683
    @stiveerasto1683 4 роки тому +2

    kwa waarabu kama unaongea na mtu mkubwa halafu unaagalia saa hiyo inakuwa ni dharau kubwa sana. Jimmy yeye muda wote anaagalia simu yake halafu akija kwa Doctor anamkatisha pointi ambayo anaongea wakati yeye Jimmy ilitakiwa awe ndio mnufaika mkuu wa hili somo la akili lakini Jimmy namfananisha na wale wanafunzi ambao wanasubiri muda ufike wakwenda nyumbani.

  • @edgampenda8477
    @edgampenda8477 4 роки тому

    Aongeee kiswahiri mm cjasoma kingreza

    • @pinochio5465
      @pinochio5465 4 роки тому

      Yaan wewe inaelekea hata kiswahili pia hujasoma

  • @rukaiyarukaiyaa3367
    @rukaiyarukaiyaa3367 4 роки тому

    Aamiin

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 2 роки тому +1

    Tupate number yake

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Dr Elie akiongea hutaki amalize

  • @richardmndala1400
    @richardmndala1400 4 роки тому +3

    Brother Jimmy atulie wakati Dr. anaflows.

    • @pearl3696
      @pearl3696 4 роки тому +1

      Ni kweli ndio maana halewagi vizuri
      Simsemi vibaya lakini Jimmy hii sio sehemu yake kabisa... always distracted na simu..

    • @aidakazi5109
      @aidakazi5109 4 роки тому +1

      @pearl... here we go again... !!! We need the producer wa hiki kipindi asome comments wamrekebishe😂🤣🤣🤦‍♀️🙊

    • @aidakazi5109
      @aidakazi5109 4 роки тому

      Pearl ... I laughed sooo.. hard when I saw your comment, I was actually looking for you,,, I was like where is my comrade on this !!???😂🤣🤣

  • @JosifatiMwalindu
    @JosifatiMwalindu 9 місяців тому

    Akili unisaliti

  • @venerandahillary6062
    @venerandahillary6062 4 роки тому

    tunakupenda pia doctor...ila kweli wakuongoozee muda jamani

  • @MosesOklan
    @MosesOklan 22 дні тому

    Dr tuandikie vitabu

  • @daudimoss1855
    @daudimoss1855 4 роки тому

    ongezeni muda jamani

  • @saidseif7469
    @saidseif7469 4 роки тому

    Sauti ya background ingepungua kidogo.

  • @zeriaweightloss259
    @zeriaweightloss259 Місяць тому

    Unaweza kuhisi huna akili kumbe una akili au ukahisi una akili kumbe huna akili

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 роки тому

    Naomba hii mada ya akili itoleeni kitabu

  • @vickywerema3468
    @vickywerema3468 4 роки тому

    Kwanini lakini jimmy

  • @KevooOfficiall
    @KevooOfficiall 6 місяців тому

    Dkt nina maswali mengi kuhusu somo la akili

  • @davidtukiko2545
    @davidtukiko2545 4 роки тому +1

    Dr na hawa ambao ni homeless wanatuona sisi ndiyo homeless na wao ni kama sisi? Au

  • @masoudsalim2183
    @masoudsalim2183 2 роки тому

    inabidi maswali uulize mwishoni, haipendezi kuingilia kati

  • @josephmwita3131
    @josephmwita3131 4 роки тому +1

    Tafadhari ninaomba kujua kama Dr kaandika kitabu kinachohusu saikolojia, na kama kipo naweza kukipata vipi

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 4 роки тому

    Huyu jimmy vipi alikuwa kalewa nini

  • @danielidamasi9697
    @danielidamasi9697 4 роки тому

    Sasa jimy unapomkatisha docter kama mda ndo umebama na unasema umepata simu ya mueshimiwa inakuwaje sasa. Ivi unaona uyo mtu anaeongea hapo nizaidi ya mueshimiwa mana anatujenga. Ila bado tunawaeshimu mana kama sie nyie chomoza tusinge mjua

  • @saidpaul
    @saidpaul 2 роки тому

    ubarkiwe San dkt

  • @RashiAdams
    @RashiAdams 2 місяці тому

    From congo nakukubali sana muzeh

  • @danielidamasi9697
    @danielidamasi9697 4 роки тому

    Mungu awabariki