OBJECTIVE ni kutokuwa na madai ya UKAMILIFU. SUBJECTIVE ni mapito ya maisha ya watu wengine.Kuhukumu,watu. (Walipokosea,walipoanguka nk.) MABAYA na MEMA ki MUNGU yapo pamoja.Anayefaulu kuishi kwa uthabiti ni yule awezaye kuishi na wabaya.Tuishi kwa kutambuwa mambo.Viwango vya kuinuliwa ndivyo viwango vya anguko lako.Maelekezo sahihi ni kuishi nayo na kujifunza MEMA na MABAYA ili kupata mizania sawa namna ya kuishi vyema. Wanadamu tuwe njia ya kunusuru watu wengine ili wapone,wapate uzima wa kweli.❤❤❤🎉🎉🎉 Nimejifunza. Asante Chomoza pongezi Dr Ellie.
Ni swali yohana 14 :6 “Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”” sasa waislamu hawamwamini yesu nawapitia njia gani wao?
OBJECTIVE ni kutokuwa na madai ya UKAMILIFU. SUBJECTIVE ni mapito ya maisha ya watu wengine.Kuhukumu,watu. (Walipokosea,walipoanguka nk.) MABAYA na MEMA ki MUNGU yapo pamoja.Anayefaulu kuishi kwa uthabiti ni yule awezaye kuishi na wabaya.Tuishi kwa kutambuwa mambo.Viwango vya kuinuliwa ndivyo viwango vya anguko lako.Maelekezo sahihi ni kuishi nayo na kujifunza MEMA na MABAYA ili kupata mizania sawa namna ya kuishi vyema. Wanadamu tuwe njia ya kunusuru watu wengine ili wapone,wapate uzima wa kweli.❤❤❤🎉🎉🎉 Nimejifunza. Asante Chomoza pongezi Dr Ellie.
I love chomoza TV from Buja you are a big blessing
Ukikosa chomoza umekosa maisha
Mungu awabariki wote
Ameen darasani tena
Jaman mimi naskia saiti tu ni simu yangu tuu au?ngoja nikafungue video nyingine nione
Hatuoni😢😢
Ni swali yohana 14 :6 “Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu. Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.””
sasa waislamu hawamwamini yesu nawapitia njia gani wao?