This Doctor is a gem. He needs someone who understands the diversity of marriage and relationships to interview him. Not personalized questions. He has a lot of wisdom. Always a blessing to me.
habari lilian mm ndo mara ya kwanza natuma comment kwako ila ni msikilizaji mzuri sana wa vipindi vyako na napenda sana vipindi vyako na Dr ila nilikuwa na ombi kwako unapo endesha kipindi kwa nini usimuache Dr aongee mpaka mwisho asante.
May you be blessed with many more years of life Dr.Elie, as your wisdom and guidance have been invaluable to me. I am grateful for the opportunity to learn from you, and I hope to continue benefiting from your presence for years to come
Dr Ellie Yuko vizur Ila Lilian umetumia nafasi vibaya ungeandaa maswali mazito na ya msingi unakutana na Dr Ellie alafu unauliza maswali yasio ya kimiongozo unamfanya dokta ajibu mitazamo yake kwenye stori alafu ni kama Lilian sio muelewa jitahidi kuhama kwenye maeneo mengine eneo la ndoa na mahusiano ni pana na Lina vichwa vingi.
CAN U CAN REMOVED THE KING CHARLS FROM THE ROYAL KINGDOMES!!??? OF COURSE NO BODY CANT! SO DONT COMPAIRES HIM TO THE TOPICS OF HIS ROYAL KINGDOMES TO MARRIED COULES FAMILIES"
MAN STAY WITH WIFE OVER 40 PLUS YEARS N THEN IN COURT WILL TALK BAD ABOUT HER! SHE IS LIKE THIS N THAT! WHY!? NOW!? N NOT FROM BEFORE!?😢! THIS IS TOTALLY WRONG FOR MALES N FEMALES BOTH OF THEM"
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
This Doctor is a gem. He needs someone who understands the diversity of marriage and relationships to interview him. Not personalized questions. He has a lot of wisdom. Always a blessing to me.
dr unaethibitisha ahalali wa taaruma yako uko real sana angekua mwingine hapo angelopoka kua lilian yupo ila asiaribu mudi yake
Majibu ya DR Amazing ...God Bless You ...
MY genius DR ELIE VD WAMINIAN Nikikusikilizaga Najifunzaga Mambo Mengi,,,,,
Dr ellie hongera baba
habari lilian mm ndo mara ya kwanza natuma comment kwako ila ni msikilizaji mzuri sana wa vipindi vyako na napenda sana vipindi vyako na Dr ila nilikuwa na ombi kwako unapo endesha kipindi kwa nini usimuache Dr aongee mpaka mwisho asante.
Ahsantee Sanaa da Lilian ,napendaa sana hardtalk zako ,mungu akutunze kwaajili yetu
Highly intellectual human being , you have made me love and appreciate myself more than ever . Thank you so much all , Dr Ellie your a Gem 💎🇬🇧🇬🇧🇬🇧🙏
I thank God for this man 😢🙏
Asante dada Lilian Nakupenda sana na nimefurahi Kwa kumleta Dr kweli ni mda mrefu hujamleta
Lilian na kwelewa sana mama.kazi nzuri sana
COUPLES N FAMILIES PLS.🙏"
Nakuelewa sana, asanteni.
U're a star
May you be blessed with many more years of life Dr.Elie, as your wisdom and guidance have been invaluable to me. I am grateful for the opportunity to learn from you, and I hope to continue benefiting from your presence for years to come
Dr Elie🙌🙌
Namuelewa sana mpaka naandika duh
hii back ground music ilipaswa kupungua sauti
Wanaume tamaaa sana
Ndo walivyo ubwa and no body will change that
Sanaa
Can’t wait for part 3 I really enjoy watching this
Well said
Lilian Mwasha kwenye maelezo yako punguza vingereza wenzio Wengi wanakusikiliza hawakuelewi
Dr Ellie Yuko vizur Ila Lilian umetumia nafasi vibaya ungeandaa maswali mazito na ya msingi unakutana na Dr Ellie alafu unauliza maswali yasio ya kimiongozo unamfanya dokta ajibu mitazamo yake kwenye stori alafu ni kama Lilian sio muelewa jitahidi kuhama kwenye maeneo mengine eneo la ndoa na mahusiano ni pana na Lina vichwa vingi.
Rafiki angu aliniambia kama Kuna mtu unampenda sana usikubali muoane mana urafiki utaisha mtakuwa maadui
Dada Lilian katika ubora❤
Haa never say anacheat he is aprostitute
Ipo sawa
Liliii 🤣🤣🤣 unanichekeshaga unavyochoshwa na Dr.. ni kama mimi pia sometimes huwa sielewiii natoa macho tu 🤣🤣🤣🤣
Asante sana
Ondoeni hio background music, iko juu, hatusikii maongeziiii...basi wekeni disco..mnaboaaaa😢
Disco😂😂😂😂😂
🤣
😊😊😊
DOCTOR U NEED TO LOOSE YR WEAGHTS SO U CAN FORCUS WITH THE QUESTIONS N REPLIES IN PROPER WAYS"! PLEASE🙏"
Jamani Lily 😔😔😔
Where is PART I:?
Tafuta ipo
Lillian hajajiandaa na maswali yanayo endana na Dr.elie
Nikweli mwanamke anakazi kubwa
Lilian Safi unauliza maswali ambayo nilikua namimi najiuliza sipati majibu Leo nimepata majibu
😂😂duuuh hatari
Hii sauti ya mziki kwenye background nani kawadanganya wabongo kuweka? Mnaharibu mnakosea inatibua kila kitu,sorry
Uko really maneno yako ni foods
FROM THE ISSUES OF HUSBAND N WIFE! IT CAME TO KING CHARLE OF LONDON!?😅 HOW COME!??😂😂🤣😅LOOOL😁😂🤣😅!
CAN U CAN REMOVED THE KING CHARLS FROM THE ROYAL KINGDOMES!!??? OF COURSE NO BODY CANT! SO DONT COMPAIRES HIM TO THE TOPICS OF HIS ROYAL KINGDOMES TO MARRIED COULES FAMILIES"
MAN STAY WITH WIFE OVER 40 PLUS YEARS N THEN IN COURT WILL TALK BAD ABOUT HER! SHE IS LIKE THIS N THAT! WHY!? NOW!? N NOT FROM BEFORE!?😢! THIS IS TOTALLY WRONG FOR MALES N FEMALES BOTH OF THEM"
lilian
Uwiiii nataka nijue hadhi maana yake Nini?