Mashaallah na mahospitsli wananchi wenye vipaji watapata ajira yaarabbi ijaalie pemba ibadilike yaarsbbi amiin mh.. rais na uongozi wako wote allah awasimamie amiina yaarabbi🤲❤😍
Mkimaliza muje muwachukue na wapemba huku bara. Mpaka tunawahisi uyankee bwana rais wa zanzibar. Huku kwetu wanatuzu guka tu hawana issue ila kutuangazia wapi bado . Ni wao tuuuu. Utatuzunguka siyo. Utawafata tu uje uwaone siyo uwachukue. Utuzunguke siyo uje utupe nafuu yao. Watoto wetu watinge mjini. Ni kwao zaidi Asante kwa upemba na pemba. Tumeyaona
Wacha mwaka huu amalizie majengi yake raisi wetu apo ss Zanzibar itakuwa na mji mzuri na maendleo mazuri wale wote wanao mponda raisi wetu na kumsema kuwa ni raisi wa mabati wote wataona aibu kubwa mno ngoja imalze iyo miradi yake
Sijuilini mutajaribu kumjua SubhanaLLah. Pemba ilikua hana shida yapesa wala tabu yamaji haikua namajuba makubwa dunia zuri bali watu wote walikua wapenda na wanakula uzuri wamelala pazuri wanafanya ibada itakavo. Pemba ins uzwa nanyie mwenyewe mnadganika kwa ghurur waduniya. Mtatatafuta chakula hatopata kama hakuna msalaba.
Jengeni bara bara vyombo vyetu vinaharibika.. Punguzeni makato bidhaa ziwe nafuu. Vizisiwa vimekuwa blue vyote. CHAKULA CHA FUTARI NI WALI NA MCHUZI WA DAGAA. Zamani ilikuwa tunakula chakula tofauti kipindi cha ramadhwan.
kazi nzuri sana makamu wetu
Mashaallah na mahospitsli wananchi wenye vipaji watapata ajira yaarabbi ijaalie pemba ibadilike yaarsbbi amiin mh.. rais na uongozi wako wote allah awasimamie amiina yaarabbi🤲❤😍
اللهم آمين يا رب العالمين
Mashaallah mungu awajaalie kheri inshaallah watimize ahadi zao
Mkimaliza muje muwachukue na wapemba huku bara.
Mpaka tunawahisi uyankee bwana rais wa zanzibar.
Huku kwetu wanatuzu guka tu hawana issue ila kutuangazia wapi bado . Ni wao tuuuu.
Utatuzunguka siyo. Utawafata tu uje uwaone siyo uwachukue.
Utuzunguke siyo uje utupe nafuu yao. Watoto wetu watinge mjini. Ni kwao zaidi
Asante kwa upemba na pemba.
Tumeyaona
Hii alfath imekua channel ya kusifu viongozi tu CCM B nakujiweka kwa viongozi
Inshaallah vizuri kuwaongezea inshaallah
Ushauri wetu wananchi tunaomba walimu kila skuli waekewe mabasi ya walimu na wanafunzi ili kuepuka kuhangaika walomu na.wanafunzo
Waandishi mnaferi wapi baazi za sehemu alizokagua mheshimiwa huku Pemba amzionyeshi Kama Kinyasini
Afazali kidogo
Wacha mwaka huu amalizie majengi yake raisi wetu apo ss Zanzibar itakuwa na mji mzuri na maendleo mazuri wale wote wanao mponda raisi wetu na kumsema kuwa ni raisi wa mabati wote wataona aibu kubwa mno ngoja imalze iyo miradi yake
Sijuilini mutajaribu kumjua SubhanaLLah. Pemba ilikua hana shida yapesa wala tabu yamaji haikua namajuba makubwa dunia zuri bali watu wote walikua wapenda na wanakula uzuri wamelala pazuri wanafanya ibada itakavo. Pemba ins uzwa nanyie mwenyewe mnadganika kwa ghurur waduniya. Mtatatafuta chakula hatopata kama hakuna msalaba.
Ndiomana mabat yamepanda ,lkn ilikuwa waagixe mabati nje kwa ujenzi ili ss tuachiwe ya dukan, hali tete
Wacheni kubeza nyinyi lol
Visiwa vijengwe ili tuishi kwa uwiano.
Ww badilisha lakini majibu 2025 watakunyoosha tu hao kashindwa Shein kwao Unguja achaneni nayo musituletee vurugu mumejijaza tele zogo tu
Ami Rashid vipi kwema
Jengeni bara bara vyombo vyetu vinaharibika..
Punguzeni makato bidhaa ziwe nafuu.
Vizisiwa vimekuwa blue vyote. CHAKULA CHA FUTARI NI WALI NA MCHUZI WA DAGAA.
Zamani ilikuwa tunakula chakula tofauti kipindi cha ramadhwan.