EXCLUSIVE: Esma Platnumz KUIBA Mume Wa Baby J, UKWELI WAANIKWA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 742

  • @rahiimal-shuwehdy1203
    @rahiimal-shuwehdy1203 5 років тому +196

    I really like this woman decision They say If another woman steals your man, there's no better revenge than letting her keep him real men can't be stolen 👍

  • @jacklinemuyanga2652
    @jacklinemuyanga2652 5 років тому +39

    I love this lady she's extremely strong and carrageious,one in a million,be focus and keep faith God will see you through ,this storm is for a period..... God will fight your battle He will relocate you with your real rib.

  • @aishaabdul3551
    @aishaabdul3551 5 років тому +98

    Wanaopenda rangi ya baby J tujuane...

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 5 років тому +20

    I love this lady
    Baby j well spoken my dear
    I love the spirit,now you have a kid .Just invest on that little angel
    All is well dear

  • @estherjoshua2250
    @estherjoshua2250 5 років тому +305

    Waliomuona Baby J kafanana na AUNTY EZEKIEL tujuane

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 років тому +31

    A strong woman I have never see,,Allah atakujalia Rizki nyngine darling.

  • @rizmarahmed1196
    @rizmarahmed1196 5 років тому +10

    Bby j ww mwanamke Masha Allah una busara hekima subra Mungu akuzidishie kisicho riziki hakiliki

  • @juliacheptum1863
    @juliacheptum1863 5 років тому +45

    plattinums family...like brother like sister like mother...

    • @nimcohassan3255
      @nimcohassan3255 5 років тому +1

      Jamani 😁😁😁trash fam ...lubish fam

    • @blackbeauty8462
      @blackbeauty8462 5 років тому +1

      I don't like this family hawajiheshimu hata kidogo.....Dada mchafu huyu!!!loooh!

    • @KhalfanMwatime
      @KhalfanMwatime 5 років тому

      😂😂😂😂😂 jamaani

    • @Matfa-Alsaad
      @Matfa-Alsaad 5 років тому

      Hhhhhhhhhh walilaniwaaa

    • @winnievesso4473
      @winnievesso4473 5 років тому

      😂😂😂

  • @Anonymous00018
    @Anonymous00018 5 років тому +200

    Zinaa ni haraam haifai kabisa. Ila siku hizi ndio imekuwa inazungumzwa bila aibu. Mungu atustiri na zinaa Yaa Rabb

  • @christinawallasch1252
    @christinawallasch1252 5 років тому +30

    Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo Dada hujui umeepushwa nini walahi endelea kuwa mtulivu utapata majibu yake.

  • @mirifatrama2632
    @mirifatrama2632 5 років тому +35

    Beib j hongera umemtunza mwanao vizuli na mtoto wako nimcute

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 5 років тому +13

    Pole sana baby j,Allah atakulipishiya inshallah, family ya diamond inachida kichwa

  • @smrmb76
    @smrmb76 5 років тому +1

    Baby j....congratulations thats a high level of maturity. A beautiful kid GOD has given you. Love you baby j 💪💪💪

  • @mirifatrama2632
    @mirifatrama2632 5 років тому +26

    Mtoto mzur ana afya kachangamka anacheza zake amesmale fresh aise she is cute

  • @nancymbogo8125
    @nancymbogo8125 5 років тому +11

    This lady is really mature.

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 5 років тому +75

    Nimependa rangi yake yaasili kama n wasanii wengine wangekuwa washajichubua.... Hiyo family ina pepo la ngono ya uzinifu

  • @kawesijoseph4209
    @kawesijoseph4209 5 років тому +1

    Safi sana baby j.umejibu vizuri sana maswali na nashukulu kwa kusikia ushauli wa wazazi wako hayo yote ni mapito tu. mtu uliyo jua ni dada yako kabisaa muna kula nae alafu ana kuja kuku fanyia hivyo kweli huyu anaweza kuku ua kabisaa. mapenzi usikubali iwe vita itakupotezea muda wako. tulia ufanye kazi zako ww nimwelewa sana hongera kwa maneno mazuri uliyo tamuka 🤝

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 років тому +10

    Wajina umrembo Sana MashaAllah, kuwa na subra Allah ataleta mwenye kheri nawewe

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 5 років тому +235

    Na hii famly ya Chibu na ipewe kombe la uzinifu keh!

  • @nasmakilua4205
    @nasmakilua4205 5 років тому

    Maashaallah katoto kazuri sana kanacheza na mamake adi raha. BabyJ umeweza jana unaweza leo na utaweza kesho.. Fanya kazi ulee mwanao na Mungu yu pamoja nawe Inshaallaah

  • @meboyisega9008
    @meboyisega9008 5 років тому +23

    Daaah huyu dada ni staarabu sana jaman ad huruma

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 5 років тому +45

    Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah mtoto wako mzuri Allah akukuzie na amlinde

  • @al-khairat63
    @al-khairat63 5 років тому +19

    Mashallah bby j may God bless you always ww ndiye mwanamke halisi😍proud of u😘😍

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 5 років тому +23

    Mungu atakupa mume mwenye kheri nawe hata hivyo mlikosea sana kuzaa bila ndoa pangekuwa na ndoa ingekuwa na nguvu zaidi lakini sababu ulimkubalia azini na wewe basi kaona ni sawa tuu kwenda kuendeleza zinaa kwa Esma pia....!Ila hiyo familia ya Bi Sandra inafaa ipewe kombe la zinaa!!!!Duh mungu tustiri waja wako....

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 5 років тому +1

      😀😀😀 Kwakweli

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 років тому +2

      @@abubakaryalmas7673 mmmh! Kazi kweli walahi wanawake tunadanganyika haraka sana 😂😂

    • @yusratmmbaga9372
      @yusratmmbaga9372 5 років тому +3

      Hata walioko kwenye ndoa unafikiria hawacheat ndoa Ni za Babu zetu sio hizi za siku hizi mitandaoni

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 років тому +2

      @@yusratmmbaga9372 yani namaanisha hata huyu hana ndoa pengine wangekuwa wameoana huyo baba mtoto wake angeona aibu kujiweka hadharani namna hivyo na huyo Esma angeona aibu kuiba mume wa mtu lakini kumbe kwa huyu ndugu yetu pia alikuwa hawara basi itabidi avumilie maumivu...ila sisis wanawake hatujifunzi tunarudia kosa kila siku umetongozwa hujamjua kama huyu mwenza ndiye atakuwa mume wako wa maishani unakimbilia kubeba mimba..inasikitisha

    • @yusratmmbaga9372
      @yusratmmbaga9372 5 років тому +2

      @@ashaally6993 kweli labda yeye alitaka mtoto azaliwe shombe shombe tuhakutaka ndoa halafu hawa vijana handsome balaa tupu huwa wanaringia urembo kama wanawake nawachukia afadhali uwe na mwanaume sura mbaya lakini anakuheshimu na kukujali

  • @marymaomar7592
    @marymaomar7592 5 років тому +15

    Asma acha ujinga uwoooh lkn humuingii baby J hata uwe vip baby J ni mzur sana

  • @happydudah3384
    @happydudah3384 5 років тому +3

    Kama nawewe uliwahi kuumizwa kama mimi gonga like tujuane

    • @nida4509
      @nida4509 5 років тому

      Niko hapa dadangu

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 років тому +72

    Yaskie kwa mwenzio au ona kwenye tv usiombe yakukute utatamani uage dunia my prayers with you

  • @iqraabuhet6588
    @iqraabuhet6588 5 років тому +32

    Napenda rangi yakoo tuu hujichubui

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 5 років тому +4

    Pole dada usivunjike moyo wanaume ndio walivyo 😘

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 років тому +17

    Mashaallah hongera sana umelidhika bidada maana Ruby mashaallah kamwili kamerudi kama kazamani

  • @nachunachu7466
    @nachunachu7466 5 років тому +65

    nimejifunza kitu kutoshirikisha wanawake matatizo ya mpenzi wangu 🤗🤗wengine wanatamani humohumo😂😂

  • @lailamohammed3213
    @lailamohammed3213 5 років тому +41

    Hilo liesma jitu zma ovyoo limenikera ad nataman nngekua mchawi nngelirogaa huyo kiben 10 alichune af aliache kirud kwa bby j pole mwaya bby ile family ina lahana

  • @epilepsyawarenessassociati9551
    @epilepsyawarenessassociati9551 5 років тому +1

    Love baby jay. U never failed us all the way, womens empowering

  • @AP-uk3mq
    @AP-uk3mq 5 років тому

    MashaAllah umeongea viziri sana. Umeonesha ustaarabu wa hali ya juu. Yo have a beautiful baby girl Allah amkuze. Wewe ni muungwana kweli kweli tena

  • @triciamwarashu4987
    @triciamwarashu4987 5 років тому +6

    Av never seen such a calm woman... Big up my dear

  • @nassoryahya7635
    @nassoryahya7635 5 років тому +93

    Hili fundisho wa wanawake wenzangu tusipende kuwa na marafiki marafiki ni wanafiki.

  • @ruuh5149
    @ruuh5149 3 роки тому

    Jmn Baby J nakupenda tk np shule nasom naimba nyimbo zk pole sn dada yng mungu yp malipo hp hp dunia tn malipo ya mungu makubwa sn alfu hy Esma mtu mzima kishet wallah iv hii familia ya nyange wana mattz gn watt kila chochoro mbwa hw mxiuuuuuuuuuuu

  • @isabellakarimiwilke7806
    @isabellakarimiwilke7806 5 років тому +14

    Ohhh very Intelligent woman..i pray GOD protects u and your Daughter

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 5 років тому +7

    Esma hilo jina la Yuda linakufaa sanaa jitu zima ovyooo

  • @lubnaally9076
    @lubnaally9076 5 років тому +3

    Huyu Dada anaongea Lakn ana Uchungu Sana Wallah Esma Mungu Atakuonesha kuwa Dunia sio Ya Kaka ako Daimond Maana Familia mzma ni Wezi kuanzia mama hadi watto mungu hatawalahani

  • @giannajoji7944
    @giannajoji7944 5 років тому +13

    Pole mdada unaonyesha una uchungu sana sana ! Pole sana ndo yadunia lakini pia yatapita!

  • @divinebernard2624
    @divinebernard2624 4 роки тому

    Kama n'a ww unahisi uyo dada anaongeya na anataka kuliya gonga like

  • @radhiyaoman2543
    @radhiyaoman2543 5 років тому +7

    Baby j we tulia utayaona majibu mungu yupo ,,,familia ya uzinzi huishia pabaya,,mama kapora mme,,mtoto kapora mme,,bado vijukuu jitahidini mkamilishe dozi,,

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 5 років тому +20

    Aki nampendaga sana tu Baby J...Nakupendaaaa Baby J I love you too

  • @catekalove5721
    @catekalove5721 5 років тому +2

    A lady with a strong heart thanks have learned something from you, baby j just let them go.

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 5 років тому +1

    Waah ....kuna Leo na kesho....
    .very matured lady......hayo mapito tu baby j

  • @aaliyahholden9282
    @aaliyahholden9282 5 років тому +15

    Baby j just focus na life yako hawana mwisho mwema esma neno la mapenzi halijui kabisa mapenzi yake ya social media tu na uyo mwanamme kafata kulelewa tu

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 5 років тому +13

    Huummm esma, please leave this guy alone, see his cute baby,

  • @naaah7613
    @naaah7613 5 років тому +3

    Pole sana beby j machozi yamenitoka mana nmeona vimachoz vinakutoka.jipange tu kimaisha atatokea zaid ya yy huyo man√√√

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 років тому +11

    pole mwanamke mwenzangu inaumaga sana hiyo ishanitokea mm nikiwa na mtt wa miezi 8

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 5 років тому

      Hii inatokea sana kwa wanawake wingi ..

  • @mamrashid7257
    @mamrashid7257 5 років тому +17

    Pole mpz utapata mwengine usijali

  • @missfey3328
    @missfey3328 5 років тому

    Mungu Nipe macho ya rohoni marafiki kama hao ni kuwakanyaga kama kaka mtu alivyosema uwiiii! Esma mungu anakuona mwanamke mwenzio anamtoto mdogo na anaitaji malezi ya baba na mama kweli wanawake hatupendani!.

  • @salehebakari7482
    @salehebakari7482 5 років тому +42

    Wanaume ni shetani kabisa yaani anamwacha mwanae kisa malaya esma anajulikana kazi kuarb mahusiano ya watu 👿👿
    Dada tulia kuzaa mtoto siyo kwamba huta olewa so be strong hayo ni ya muda 2

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 5 років тому +3

      Sana tu asmaa malaya kam mdg wake diamond wanachezea wanapita

    • @princemalimba1293
      @princemalimba1293 5 років тому +1

      Kosa sio mwanaume .kosa niwanawake waizisiku hawajui malezi tena,kazi umbea mu Instagram usiku na mcana .wasipo jirekebisha tutawacezea sana

    • @fatmasalum2236
      @fatmasalum2236 5 років тому

      Salehe Bakari 😆😆hii familia ya kina diamond Ina nn lkn mbona wamaajabu sn hawa

    • @tonysolomon2841
      @tonysolomon2841 5 років тому

      Mimi mwanamke akiwa amezalishwa nje ya ndoa simtaki hata nikaekewa bunduki kichwani. Namuogopa maana kamkera mpaka Allah alomuumba

  • @rahmakarim933
    @rahmakarim933 5 років тому +1

    Bby j m mungu akujalie subra hiyo hiyo hongera

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 років тому +83

    Huyu dd ana uchungu ila pole wanaume wako hivo

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 5 років тому +3

      Sure anaonekana tu ongea yake kua ameumizwa sana

    • @nataliajamesjames1596
      @nataliajamesjames1596 5 років тому +2

      Ajilelee tu mwanae..hii nenda rudi ndo mtu unajikuta umeambukizwa Malazi

    • @rizikihamisi8954
      @rizikihamisi8954 5 років тому

      Saidah licious 254 umeona kumbe

    • @ernestjohanes9087
      @ernestjohanes9087 5 років тому

      Sio wote huyo mwanaume mjinga tu

    • @kasimmbegu6702
      @kasimmbegu6702 5 років тому

      Ww Kweli unamaon mn intavew zte huy dd anajlib kujiwek strong hv ndivyo inavytakiwa uconyesh hadharani maumiv yko mshtakie mungu umia nafsini

  • @sadikisadiki2971
    @sadikisadiki2971 5 років тому

    nakupenda bby j Allah akupe moyo wa subra inshallah🙏🙏🙏

  • @aminakassim8272
    @aminakassim8272 5 років тому

    Huyu dada anaumia sana. Mwenyezi Mungu akupe stara

  • @johariswau5783
    @johariswau5783 5 років тому +6

    Dah umeongea kwa hisia Kali sana mpenz japo umejikaza me km mwanamke niliyepitia haya matatizo najua unamaumivu kiasi gan,isma anachukulia umaaruf wa kaka ake ndo fursa ya kuumiza wenzake.pole sana

  • @muuhcmb7108
    @muuhcmb7108 4 роки тому

    Baby j together we are zanzibarian and we are polite just relaxy say ALHAMDULLAH

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 5 років тому +5

    Pongezi kwa moyo wa ujasili ingawa inauma ila wengi wetu hatuwezagi kuficha hisia zetu.... pole kwa changamoto za mahusiano...

  • @nasran2652
    @nasran2652 5 років тому +45

    Esima aibu kwanza hayo matako duuuu yamepingwa pasi 🙈😁😁napita tu mtaishia kula makombo ya wenzenuu

  • @nasramalapo5014
    @nasramalapo5014 5 років тому +9

    Hahahahaaaaaa,nimekupenda sana we dada,lea mwanao Malipo yapo

  • @ayshaali3577
    @ayshaali3577 5 років тому

    raha sana kuacha jiachie dada lea mwanao atakufaa sk za badae allah akupe afya nauhai ww na mwanao lnsha allah

  • @nessa4899
    @nessa4899 5 років тому +11

    Huyu dada ameumizwa Mungu amponye, dahhh

  • @jumanaga929
    @jumanaga929 5 років тому +27

    Baby J kafanana na Khadija kopa utadhani ni mwanae wa meisho(mziwanda)

  • @angelandrew3129
    @angelandrew3129 5 років тому +3

    Aiseeee dat why sinaga rafik mungu Wang sipend mm mambo kama haya aisee pole bby j

  • @irenembwambo762
    @irenembwambo762 5 років тому +73

    Daaa mbona Baby J kafanana na Aunt Ezekiel

  • @jokhaali9187
    @jokhaali9187 5 років тому

    Nimempenda tu baby j anajielewa amefanya intervue nzr ameongea km mwanamke muelewa Sana yuko Sawa na nimejifunza kitu kutoka kwake inshaallah atakua tu mtt mungu anamlinda na mambo mengine watamaliza wenyewe

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 5 років тому +1

    She’s so beautiful 😍

  • @evalinegideon3982
    @evalinegideon3982 5 років тому +3

    Mtoto mzuri jmn khaaaahh nimekapenda bure 😍

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 років тому

    Love you cute baby 😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗😗mungu akulinde akubarikiii baby😗😗😗

  • @zahraramadhani6098
    @zahraramadhani6098 5 років тому +31

    Dah maskini Baby j pole sana Esma wewe unanini lakini 😭😭😭

  • @zawadmohammed1137
    @zawadmohammed1137 5 років тому +1

    Nimempenda bby j wala hana papala sanaaa yani kiukweli karidhika

  • @pendopalahani999
    @pendopalahani999 5 років тому +1

    Pole Sana dada

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Pole sana rafiki hapewi ushauri wa mapenzi na matatizo yako

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +10

    Sauti iko Sawa,Dada Barikiwa sana Mungu azidi kukupa subra,Lea Mwanao Mungu Yupo.Huyu Dada amekanusha hajaibiwa Mume,Kwanza ameongea Poa Sana Si M'mbea na Hataki Umbea.

  • @cuteminahcuteminah7074
    @cuteminahcuteminah7074 5 років тому +40

    Wanaume wotee ni mubwa2 tena mijibwa koko👌hawariziki kabisa hata uwape nn lazima wtaenda jalalani2

    • @almostgoro564
      @almostgoro564 5 років тому +5

      Cute minah Cute minah badilisha kauli hiyo dadake kwa maana hiyo hata Babaako Mbwaa 3 😁😁🙈 we ar different don’t judge 👨‍⚖️ 😁😁

    • @cuteminahcuteminah7074
      @cuteminahcuteminah7074 5 років тому

      @@almostgoro564 kasoroo baba angu2😀

    • @almostgoro564
      @almostgoro564 5 років тому

      Cute minah Cute minah hahaha haya Asante ila sio vizuri hivyo dadake

    • @khadijakhadija-ve7tv
      @khadijakhadija-ve7tv 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂Umejua kunichekesha wew jamn daah

    • @alizahranmohd4095
      @alizahranmohd4095 5 років тому

      jamn mbn mm cpo ivo

  • @mamyrahima6913
    @mamyrahima6913 5 років тому +1

    Mwanamke mzurii...

  • @tofikcool4857
    @tofikcool4857 5 років тому +2

    wow baby jay she's a real lady

  • @sofiajohn2410
    @sofiajohn2410 5 років тому +1

    Ni kweli

  • @gaonechinago3493
    @gaonechinago3493 5 років тому +20

    mda wote wambiwa rafiki yako asijue siri zako ama mahusiano yako eti esma alikua km dada anatushauri hujui Dada hata watumbo moja yuaweza akamla mumeo dunia imefika pabaya abiria ee chunga mzigo wako 💃💃💃

  • @LG-xh1hm
    @LG-xh1hm 5 років тому +48

    Ndio uyo dada kazaa naye tu hila esma salikuwa mushauri 😀,sasa mushauri kumbe alikuwa anashauri waachane?uhmmm dunia

  • @joanwakesho50
    @joanwakesho50 5 років тому +2

    Though u r strong but i can feel inside you, pole sana dada

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 років тому +1

    Hongera dada kaza buti my uko sawa lea mwanao usiyumbe napenda sana mwanamke akiwa hivyo

  • @suukay3251
    @suukay3251 5 років тому

    Wooooow hats off baby J

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому +29

    Huyo aboud kimamba ndio anagombaniwa na dadake diamond aje nimpeleke kwa mzee kimamba tanga wakafunge ndoa

    • @familylove5417
      @familylove5417 5 років тому

      Bora yaisheeeeeeeee😂😂😂😂umenifurahishaaa

    • @Hassanmofty
      @Hassanmofty 5 років тому

      We ushafunga ndoa

    • @omaredhasaidal.obthani4775
      @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому +2

      Huyo ni ndugu yetu wa tanga atleast na sisi watu wa tanga tuwe mashemeji wa diamond

    • @Hassanmofty
      @Hassanmofty 5 років тому

      @@omaredhasaidal.obthani4775 hahahaaaa sawa bhana

    • @mimaally7617
      @mimaally7617 5 років тому

      Omar Eidha Al.obthani mh ww

  • @winka7341
    @winka7341 5 років тому +1

    Pole dada rafikiako ndo adui yako mimi nimepokonywa mpenzi wangu na Mamaangu mdogo niliemwamini na kwa sasa wanafanya mpango kuoanaa nilkuwa naumia na kuwa attack but najikuta jasiri naisurib iyo siku ambayo ndugu wameona ni sahihi ndoa ifungweee

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 років тому

    Ww esma mungu akulani hauna hata inani juu ya huyu mtoto maisha ya afrika unyanganye mtu mume wake ata hajavika peteee yaaaani umetokeya kama kama yako munaiba wanaume za watuuuu myngu anawaona wewe kipenten na mama yako kipenten

  • @nasrahabs3595
    @nasrahabs3595 5 років тому

    Yaan pole sana wanaume mbwa sana pole Dd hayo ndio maisha ya wanawake wengi wanapitia pole sana my dear iko siku mungu atalipa

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 років тому +1

    Esma kaniboa sana kamkimbia Pettyman kuja kumchukua baba wa mtoto wa mwezie familia ya Esma wana laana hiyo pesa ya Daimond inawapeleka vibaya sana 😢😢😢😢😢😢 inauma sana

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 5 років тому +27

    Munamuonea zari kumbe asma bunju duu ata haoni huruma kuna mtoto mdogo kati yao kajinyakulia alafu anamsema zari duu mi nilimuona wa mana kumbe 🦅🦅🦅🤪😭

  • @fauziamwakunena549
    @fauziamwakunena549 5 років тому

    Wachana na hicho kishurube njaa baby j bado ww umzuri sana hicho ki esma nimeigiza kakake family dangote ni maisha yao hao ni kama kuku kudanda

  • @deborahdeborah8198
    @deborahdeborah8198 5 років тому +1

    Pole sana dada hao ndo wanaume

  • @wanguimbogo6473
    @wanguimbogo6473 5 років тому

    This lady is so mature

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 5 років тому +16

    Esma hivi haoni haya kwa mtoto anae zaa eti ndo mpenzi ama amekosa kweli

  • @evemurugi3399
    @evemurugi3399 5 років тому +2

    Tabia ni like brother like sister what a life but then these men aki ni shinda tu mtu na Ana family so atulie na chake mwenye una Kubali akuibe ana watoto already una enda kulea 🤔🤔 what a life

  • @noellakwizera2848
    @noellakwizera2848 5 років тому +9

    Huu demu amejikaza ila bado anamupenda saana jama,

  • @tausially1190
    @tausially1190 5 років тому

    pole sana my dada mapenzi yapo Mungu yupo hatalipa hapa hapa duniani

  • @yusratmmbaga9372
    @yusratmmbaga9372 5 років тому +1

    Una uso mzuri sana na rangi nzuri usijichubue Baby J usidanganyike na hizi Rangi nyeupe

  • @naylahkhamis1545
    @naylahkhamis1545 5 років тому +2

    we mpemba baby j unanidai yani unanidai kwa ayo majibu yn nakupenda bure 😍😘😍😘😍😘😍😘😍😘mana hii ndio power of woman asikuzingue