HII NDO AHADI YA RAIS MWINYI 2025 ZANZIBAR HUTOAMINI MACHO YAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 23 години тому

    Hongera Rais Doctor Hussein Mwinyi 👏👏✨

  • @khayriyasalimali5747
    @khayriyasalimali5747 17 днів тому +2

    Wallahi Doc Hussein hakuna mfano wako natamani nikuone nikupongeze unayotufanyia wananchi wa. Zbar yanatufurahisha sana mie naona hata hakuna haja ya uchaguzi tena hapa kwetu uendelee tu kutuongoza

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 17 днів тому +1

    Doct Mwinyi mitano tenaaaaaaaaa.ishaallah

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 12 днів тому

    Mwinyi yupo vzr acheni unafiki,

  • @MohamedAli-qf6et
    @MohamedAli-qf6et 17 днів тому +3

    Kitu kimoja Mungu alichowajaaliya viongzi vibaraka wa Unguja ni ubaguzi wa kinyama kabisa dhidi ya Pemba na Wapemba .Wahuni hawa hawana utu wala fadhila kwani Pemba ndio mchangiaji mkubwa wa uchumi wa Zanzibar leo wapi Pemba wameitupa kwa hofu kwamba Pemba ikijengwa basi watajitenga ,lakini ilivyo wabaguzi hawa ndiyo wanaoitenga Pemba kwa sababu ya msimamo wao wa kudai mamlska kamili ya Zanzibar. Inshallah tutafika .

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u 17 днів тому

    Barabara yajuu ikowapi jamani

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 18 днів тому +1

    Si mpaka achaguliwe. Au ndio CCM haina Mungu akitaka. Wanachukua tu akitaka asitake Mungu.

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 17 днів тому +1

    Usituletee mambo ya 2025 SS hatuna haja na ww na utatujua kwenye kisa duku Cha kura

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 15 днів тому

    Kweli huyu anajifanya muungwana kajenga daraja wanasema fly over amejenga magorofa hatimaye wameuziwa matajiri hawa mbure taire watabaki kukaa kwenye vijumba viloekwaatofali juu ya bati na vinavuja

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 17 днів тому +1

    unguja inajengwa kwa kasi sana lkn pemba mume isahau kbs sijuwi kwa si mutupe pemba yetu tujenge wenyewe

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 17 днів тому

      Wapemba tusubiri uchaguzi tutandikwe virungu na wengine kuwekewa vilema

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 17 днів тому

    IBA UNACHIKIIBA NA UONDOKE NA KULA PESA ZA WANYONGE!

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u 17 днів тому +1

    Tuibiyeni tu
    Ila ninavojua afya,miondombinu maji sivo vyakujisifu

    • @bmzanzibar3028
      @bmzanzibar3028 17 днів тому

      Ni majinga matupu ndio yanayo jua haya ndio maendeleo na maeneo ya viongozi kujisifu.

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 12 днів тому

    Mm napenda atawale milele mana anafanya kazi na nia yake ninzr licha yakwamba hatapendwa na wote

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 17 днів тому

    Mamlaka kamili ya zanziba tunataka tumechoshwa kuburuzwa na tanganyika

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 17 днів тому

    Naona wanaongea mmbo ambayo wajibu wao kufnya Ccm kichwa cha mwendawazim 😅

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 17 днів тому

      Achana na Mambo ya siasa ebu tazama hapo mwanzo wamepita viongozi wangapi wamefanyq nini ebu muongalie rais huyu anacho kifanya naam niwajibu wetu kushukurua

    • @akaumbo9433
      @akaumbo9433 6 днів тому

      Izo pesa anatoa mfukoni kwake​@@AbuuImraan-alghafr-azinjibar

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 17 днів тому +1

    Nchi unaitia madeni