ORANGE CAKE RECIPE I KG FLOUR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Orange Cake Recipe
    Flour/Unga 10000g/1kg
    Sugar/Sukari 500g/1/2kg
    Margarine 600g
    Eggs/Mayai 14
    Baking Powder 2 tsp
    Orange Zest 1 TBSP
    Orange Juice 1 Cup
    Milk/Maziwa 1 Cup
    Baking Time According To Your Oven

КОМЕНТАРІ • 38

  • @olivercharles122
    @olivercharles122 Рік тому +2

    Habari ya kazi dada mziwanda....naomba recipe ya unga nusu tafadhari🤗

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому +1

      🤝

    • @olivercharles122
      @olivercharles122 Рік тому +1

      @@mziwandabakers8297 dada nimejaribu kwa recipe ya unga robo imetoka bomba inachambuka vizuuri sana😋😋...nimeeka
      ✔ mayai 4
      ✔Sukari sijui gram ngapi maana sina mzani bado...ila nina kakibakuli changu kidogo special kwa kupima unga na sukari.
      ✔unga na baking powder kijiko cha chai kile size ndogo
      ✔machungwa mawili
      ✔ margarine gram 180
      ✔ vanilla essences 1tsp
      😥sikuwa na maziwa ila imetoka tu vizuri mwalimu🤗...Mungu akubariki dada @mziwanda 🙏🙏🙏

    • @kidahjumamavumba-qw8xb
      @kidahjumamavumba-qw8xb Рік тому

      @@mziwandabakers8297 ubarikiwe dada nmejifunza kupika keki kupitia wewe

  • @sylviakosgei6033
    @sylviakosgei6033 Рік тому +2

    Watching from Kenya,I love your channel mum.
    Kindly advice hii recipe imetoa kilo ngapi ya keki please

  • @husnasabihi6549
    @husnasabihi6549 Рік тому

    Mlijaribu ya lemon jmn....was so sweet....Asante dada etu...Allah akulipe

  • @HappyShirima-e6x
    @HappyShirima-e6x 7 місяців тому

    Maziwa ya mgando yanaruhusiwa

  • @marianapatrick5993
    @marianapatrick5993 Рік тому

    Delicious 😋

  • @user-pd9tv1cu8w
    @user-pd9tv1cu8w 6 місяців тому

    Asante sana my dear

  • @kidahjumamavumba-qw8xb
    @kidahjumamavumba-qw8xb Рік тому

    Asante dada ubarikiwe sana Yani nimejifunza kupika keki kupitia wewe

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante sana

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh 9 місяців тому

    Umetumia tini nch ngapi

  • @zawadimsangi5542
    @zawadimsangi5542 Рік тому

    Dada samahan mimi nikipika cake juu ganda linakuwa gumu naomba nisaidie nahangaika sana kukutafuta nisaidie

  • @AsiaBadru-xq6fv
    @AsiaBadru-xq6fv 8 місяців тому

    Mimi nashida moja nikipika keki aivimbiyote nahomba unisaidiye nakoseya wapi

  • @WilkristaNyahure
    @WilkristaNyahure 9 місяців тому

    Dd ur recipe are really ❤ yaan nilikuwa cjui kupika redvelvet ila kupitia kwako nimejua

  • @jacklinedavidsasasasaaasaa8053
    @jacklinedavidsasasasaaasaa8053 7 місяців тому

    Madam tunaomba his orange cake kwa vipimo vya ungainly nusu lov❤

  • @juliettededieukanane9542
    @juliettededieukanane9542 10 місяців тому

    Mambo,ningeomba muwe munatuelekeza piya jinsi yakutiya moto,ni moto wa juu na chini ?na kiasi gani?

  • @agripinasaganya6001
    @agripinasaganya6001 Рік тому

    kazi nzuri dear najifunza mengi mno, naomba unisaidie siku hizi kila nipika keki inapanda juu vzr ila badae inakua kama mapovu na kushuka chini keki inakua imeshikana na mafuta mengi hadi naogopa nikipata oda
    nimejaribu kupunguza kipimo cha prestige lkn bado pia kuiweka kwenye fridge kidogo ila bado nisaidie dear tatzo ni nn? maana niliambiwa itakua prestige laini sana sabbu ya joto, natumia handmixture

  • @neemamichael337
    @neemamichael337 Рік тому

    Asante Sana mwalimu wangu

  • @HappyShirima-e6x
    @HappyShirima-e6x 7 місяців тому

    Kwa kutumia scale baking vijiko vwili n gram ngap??

  • @happykapinga8810
    @happykapinga8810 Рік тому

    Hellow,,,Dada naomba msaada keki yangu inapasuka pembeni tatizo ninini hala juu inaungua sana Tafadhali nisaidie nijue

  • @sakinakilangi5424
    @sakinakilangi5424 Рік тому

    Asante kpenz

  • @zahraibrahim8361
    @zahraibrahim8361 Рік тому

    Jmni nkikumic mnoooo we dada nimefurahi kukuskia tena

  • @tumainijacob6018
    @tumainijacob6018 Рік тому +1

    Kama natumia maziwa ya unga nichanganye na maji au nitumieje sijaona video uliyotumia maziwa ya unga

  • @HappyShirima-e6x
    @HappyShirima-e6x 7 місяців тому

    Jaman mbna sijibiwi

  • @malikiawaamani7132
    @malikiawaamani7132 Рік тому

    Dada barikiwa sana umenifundisha kupika vitu vingi sana bado nachemka kwenye kashata za karanga lkn kupitia wewe nimejua kupika keki, mkate, maandazi n.k

  • @tumainijacob6018
    @tumainijacob6018 Рік тому

    Nahitaji darasa mumy

  • @ashajuma3228
    @ashajuma3228 Рік тому

    Dada samahan...nilikua nataka oven litre 70et kampuni gan hua ni nzuriii plz

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh 9 місяців тому

    Hii mashine beigan dada

  • @tegemeaamony8204
    @tegemeaamony8204 Рік тому

    Huna darasa la WHTSP?napenda sana kujua kupika keki nzr

  • @herlishherlymer5751
    @herlishherlymer5751 Рік тому

    Pizza mtu unatumia moto wa chini au chini na juu

  • @zawadimsangi5542
    @zawadimsangi5542 Рік тому

    Receipe ya unga gram 800

  • @ashajuma3228
    @ashajuma3228 Рік тому

    Dada samahan...nilikua nataka oven litre 70et kampuni gan hua ni nzuriii plz