@@queenshibaskitchen9130 dada hongera sana kwa kazi nzuri ila Naomba kujua kwa recipe hii inatoa vitumbua vingapi!??? Ili kama ninatoa vingi zaidi au vichache zaidi nijue kuwa rojo langu lilikuwa jepesi au zito!??
Afwan habibty. Jamani nimejibu kwenye msg zanyuma mchele nlotumia layla basmat ya green . Itaweka picha in new episode mfuko nlotumia kwa mchele in shaa allah
@@Hgffhhfcvbjj eeh vinaja mafuta kwa kuwa rojo lako jepesi, na kuwa haviwivi ndani inamana unga wako mzito sana vitu viwili tofauti mbona? Ikiwa haviwivi ndani tatizo ni unga mzito sana n lapili ni sababu moto mkali punguza moto viwive taratibu taratibu usivifanyie haraka.
Nahisi Kuna vitu viwili unakosea hapo kwenye kupika . Kufanya unakuwa kama ugali ndani ni kuwa rojo lako la vitumbua ni zito sana ongeza maji ya nazi kidogo . Na pia ndani kuwa uji uji inamana moto mkali sana unao tumia kupika vitumbua punguza moto weka moto mdogo x2 vitawiva hadi ndani ook. Shukran
Mchele na maji vipimo sawa kwa sawa mamy, na pia ukisha pika ule rojo lako linakuwa zito lazima unapima maji zaidi please fata steps vile x2 navo fanya hivi vipimo nlivotowa ndio nafanyia order always.
Mashaallah vitumbua vizuri mungu aibariki kazi ya mikono yako
Allahuma amin
Masa allah Shukran kwa mapishi yako mazuri sana ya vitumbua. Allah akubarik
Allahuma amin
Mashallah
Unatufahamisha tunaelewa Mara moja Allah akuzidishie
Amin , shukran
Dah nimekupenda sana kila kitu chako MashaAllah mchele unaroweka kwa muda gani
Uzuri usiku kuchaa. Ndivo navofanya dear.
MaashaAllah ahsante kwa mapishi mazuri ya vitumbua
Wow
بسم لله ما شاء الله تبارك الرحمن حلوه 😊 6:05
Shukran.
Maashallah napenda mapishi yako allah akueke
Amin yarabi kwa sote sister shukran.
Ok nimeona
MashaAllah Shukran hbbty
Mwenyezi Mungu akuzidishie
Mashalla ukweli ni queen wewe mashalla mashalla mpishi mzuri sanaaaa
Shukran habibty
Napenda unavyofahamisha hasa kwa vipimo asante
Shukran habibty
Assalam aleikum warahmatullah huku nazi aipatikani dear naomba hio recipe ya Tanzania bara wanao pika billa nazi. ❤❤❤
MashaAllah.
Mashaalah
Mashaallah
Mashaallah nicely shukran will try in shaa Allah
In shaa Allah shukran nasubiri mrejesho
Huu uji unachanganywa wa moto au ukipowa baridi?
Vovote sawa hapo nimetiwa ushapowa lakin hata ukiwa wa vugu vugu sana hauharibu kitu dear.
Navijaribu mamii jibu takupa kesho mana vyangu vinakua vigumu
Ahsante sana sister vitumbua vimetoka laini mashaallah mungu akubarik uzidi ku share ujuzi nasi
Bismilaah mashallah very yummy
Thank you dear
Mashallah habibty
Shukran darling
Old style naipenda
Mashllah
MashaAllah I really enjoyed this video. Thank you for sharing with us.
I would like to request mkate wa kumimina/sinia.
In shaa Allah
@@queenshibaskitchen9130 dada hongera sana kwa kazi nzuri ila Naomba kujua kwa recipe hii inatoa vitumbua vingapi!??? Ili kama ninatoa vingi zaidi au vichache zaidi nijue kuwa rojo langu lilikuwa jepesi au zito!??
@@thomassuleman4312 dear inategemea na ukubwa wa mashimo ya chuma chako kwa chuma changu mie kipimo hichi vinatoka vitumbua 21. Shukran
Mashaa ALLAH, ALLAH akubarik habibty
Amin shukran
What is your pan brand?
mashallah
Wonderful #drcook stay connected
U too dear ramadan kareem na in shaa ALLAH tuletee recipe ya Sambusa.
Sambusa recipe ziko nyingi dear wacha tuwafundishe na vengine vipo vingi jiko lipate kucheka😘😘.
Well done!!
Shukran⭐🌙
Mashallah mchele aina ngani umetumia
Habibty nishajibu hilo suala chini soma comment 😭😭😭
queenshibas kitchen ok thank
Tuletee recipe ya visheti via chumvi
Mimi vitumbua vyangu vina Kua nanyama sana my nisaidie
Ukitumia unga wa mchele badala ya mchele wenyewe process inakua ile ile?
Salaam Aleikhum...Maashallah maashallah nimependa mapishi yako. Chuma kama hicho nitakipata wapi..shukran.
Shukran, kwani upo wapi? Kama UK ebay vipo na Amazon na london maduka ya wahindi ya bombo
Kama ujasok mchele overnight unaeza kuuchemsha kidogo
Hapana ukichemsha huwezi kusaga kwa kupikia vitumbua
Maa shaa Allah , hicho chuma ntapata wapi? Nipo Norway
Ebay vipo dear.
Uji unasagia ukiwa moto au mpaka upoe?
Umoto
Kama sina Naz naweza tumia maj na yai
Sijawahhi kufanya bila ya nazi, unaweza kutumia maziwa pia kama huna nazi na vinakuja uzuri tu.
Jamani kaimati plsss
Asante sana nimepika vitumbua kwa kutuma mchele wa leyla vimetoka vizuri mno ant sana mamay pia nimefata ulivofanya hasa hii ya kufanya uji🙏🥰
MASHALLAH shukran habibty
Woow cjajua kuhusu uji shost 🤣 Maashaallah vry nice🤩 nshaoda chuma dada ntajrb hehehehe
Hahahaha tatizo mlikuwa hamsomi recipe ndio nikaona niwafanyie video sasa.
@@queenshibaskitchen9130 🤣🤣🤣shukran hbbty wengine tunajifunza kwa kuona shukran
Huo uji sijaelewa.. plz nisaidie umefanyaje
Nambie umeelewa hadi wapi halafu kitu gani kinakutatiza dear yani kuanzia wapi?
@@queenshibaskitchen9130 Asante sana dear..nahisi nilangalia kwa haraka nimerudia kuangalia video vizuri na nimeelewa now..ubarikiwe mno
Amin
Aslm alaykum samahani naomba kujua aina ya mchele ulotumia
Layla wa green
@@queenshibaskitchen9130 Shukran sana maishallah vimetoka vizuri mno
Mashaalah...naweza tumia huo uji kutengeneza mkate wa sinia??
Eeh dear unaweza sorry ndo kwanza naona msg yako
What rice dis you use? Long grain or basmati?
Long grain wa aldi
Masha Allah tabarak Allah.. Habibti sugar umeweka mwisho pamoja na yai au unaweka wakati wa kusaga?
Vitu vote unachanganya kwenye kusaga ispokuwa yai unaliitia mwisho
Ma shaa Allah. Shukran habibty Allahu Barik. Umetumia mchele gani?
Afwan habibty. Jamani nimejibu kwenye msg zanyuma mchele nlotumia layla basmat ya green . Itaweka picha in new episode mfuko nlotumia kwa mchele in shaa allah
Ohh sorry habibty hata sikusoma comment za nyuma
Asalam alaykum mchele gani unatumia
Kama upo UK natumia Layla Basmat mfuko wa green. Kama uko njee ya UK tizama video yangu ya chila utapata idea kupata mchele utao kufaa. Shukran
mapishi kuntu
Aa pls waeza nieleza hio pan ya matundu makubwa umenunua wapi
Upo wapi habibty? Mie nimenunua dubai
@@queenshibaskitchen9130 oops niko birmingham shukran nway
Shunnas wa jifunze mapishi nimeona kaweka anauza .
@@queenshibaskitchen9130 ok shukran habibty nishaziona kwa shuna hata nimeagiza.tnx
Asalamalekum:
Kwa nini yai hujasagia mwanzo umetia nwisho kuna Siri gani??
Waleikum salam akunasiri yoyote dear hapo mie tu napenda kutia mwisho karibu wakati wa kuchoma . Ila ni sawa ukitia tangu mwanzo.
Umetumia mchele aina gani? Na hiyo pan nitaipata wapi kwa hapa Europe? Shukran
Chuma cha vitumbua jaribu ebay mie nimetowa dubai. Na mchele nlotumia nimelezea habibty angalia msg za nyuma plz please
@@queenshibaskitchen9130 Thanks mamy, Ebay na Amazon ni vidogo mno nitaangalia msg zilizopita😊
Aunt hivi vitumbua mm kila nlijarib vinatoka vinanataka nakosea wapi nakuwa
Habibty sijakufaham vinanata unakisudia vipi kunata? Au vinakuwa ndani havikawiva?
@@queenshibaskitchen9130 ndio ndani haviwivi uzuri inakuwa na kinajaa mafuta
@@Hgffhhfcvbjj eeh vinaja mafuta kwa kuwa rojo lako jepesi, na kuwa haviwivi ndani inamana unga wako mzito sana vitu viwili tofauti mbona? Ikiwa haviwivi ndani tatizo ni unga mzito sana n lapili ni sababu moto mkali punguza moto viwive taratibu taratibu usivifanyie haraka.
@@queenshibaskitchen9130 Sawa shukran
Nisaidie dear mie nimejaribu vimetoka kama ugali ndani ujiuji nakosea wap
Nahisi Kuna vitu viwili unakosea hapo kwenye kupika .
Kufanya unakuwa kama ugali ndani ni kuwa rojo lako la vitumbua ni zito sana ongeza maji ya nazi kidogo .
Na pia ndani kuwa uji uji inamana moto mkali sana unao tumia kupika vitumbua punguza moto weka moto mdogo x2 vitawiva hadi ndani ook.
Shukran
sijaona kama umetia sukari au sijaona uzuri
Hata mm sikuona akitia sukari
Ameweka ila hakuitamka angalieni uzuri ameweka maandishi
Jee huo uji naweza fanya naunga wa ugali
Aah mie sijawahi kufanyia sembe, vitumbua vangu always ni vamchele tu.
@@queenshibaskitchen9130 Sawa kesho In'sha'Allah nitajaribu
Nimejarib kwa vipimo vyako nazi imekuwa nyingi kuliko mchele imekuwa chururu navipenda Sana vitumbua ila nkipika haviji uzuri naomba unisaidie
Mchele na maji vipimo sawa kwa sawa mamy, na pia ukisha pika ule rojo lako linakuwa zito lazima unapima maji zaidi please fata steps vile x2 navo fanya hivi vipimo nlivotowa ndio nafanyia order always.
Please ukifanya nirecodie nione nitajua unakosea wapi mana vipimo ndo nnavofanya hivo.
@@queenshibaskitchen9130 inshallah ntajarib tena Kwa umakini Zaid ila km ntafanya kwa Unga wa mchele kwa vipimo km vyako haina neno?
@@queenshibaskitchen9130 inshallah shukran sana
Tizama comment ya umi miraji kafata hii recipe na kasema vimetoka perfect. Habibty itakuwa lazima umekosea kwenye kupima.
Habibty naomba kuuliza kwamba, eti unga wa mchele unafanyia vitumbua na chila au mkate wa sinia na ukaja uzuri ama?
Unga wa mchele wa kununua hapana sijawahi kufanyia napenda kufanya fresh.
wale hatujawai kula vitumbua 😭
Na nazi block nzima au nusu
Uzuri nzima ndio utapata kitumbua kizuri.
Ok shukran sister
Mashaallah
Shukran
Unaweza kutumia basmat yoyote
MashaAllah
Mashaallah
Mashaallah