Nchi za Wenzetu zilizo endelea kwa kuwa nchi zao ni za baridi wana tumia hayo mloita maboya au wall panels kuweka kati kati baina ya block wall na bricks wall hizo panel huwekwa kati kati kuzuwia baridi. Nawapongeza wa Tanzania 🇹🇿 kwa kazi nzuri 👍
Safi sana, na kwa taarifa tuu kwa wasojua nchi nyingi sana duniani zilizoendelea Kama USA or Canada waliacha kabisa kutumia matofali kujenga nyumba, Ni msingi tuu ndio wanatumia cement, huu Ni uwekezaji mzuri sana and big up to mtangazaji na mwekezaji
@@Mpakauseme baridi na gharama mbuzi wewe, matofali sio lazima, kuna material mbadala maelfu za kujenga nyumba imara na zinazodumu, mmelala sana washamba nyie
This isn’t African invention my dear. They built these in Australia also, sold at a higher cost then in less than 10years they started leaking. Do some research before buying these kind of houses.
These houses are useless my dear, better save and build a durable houses. Hizi ni kama zile nyumba za makuti. With heavy rains they will start leaking!
@@picsandvidstv1348 Garbage. We don't need a concrete houses in East Africa. Zanzibar stone town is the evidence. The whole town is clay and stone walls.
Nyumba nyingi hapa USA zinajengwa na materials kama hizo..na zina dumu miaka mingi sana. Nilikuwa natafuta kampuni kama hizi kwakuwa ni njengea nyumba kwa materials hiyo.
Nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
Yaani ww jamaaa umeng'ang'a na scandal moja wakati huu ujenzi upo kila mahali, ivi ujenzi wa matofali huna skendo, au maghorofa ya magufuli umesahau, embu punguza kuwakatisha watu tamaa, mghorofa kibao ya tofali yanamatatizo.
Safi sana tz tunaweza hata wao walianza kama hivyo Leo hiii wapo kwenye atrantis,discovery na ma air buss Leo hivyo ipo siku kunamtanza nia atajitoa ufahamu atabuni machine ya kuyeyusha.
In terms of durability, block houses generally tend to be more durable than panel houses. Block houses are typically constructed using materials like concrete, brick, or stone, which offer strong resistance to weathering, impacts, and other environmental factors. Panel houses, on the other hand, are often made of materials like wood, steel, or composite panels, which may not provide the same level of durability as solid masonry construction.
Maboya hayana ugumu wa kutosha kushikilia uzito wa nyumba (compressive strength) na unyevunyevu wa ardhi wakati wa mvua utadhoofisha msingi wa maboya. Maboya kwenye msingi yanatumika tu kama heat and sound insulator.
Wapendwa wangu Mungu awabariki,Sasa mpo wapi Nina mabox maboya manner na jiko la gesi na washing machine ,nataka kuuza ,nauzaje? Je ninyi mnapokea,Asante naomba no yenu ya simu na majibu Asante
Aiko ivyo ni Kama tu america nyumba zao z ambao na mapliudi ukigonga unasukia sauti ya boxi lkn uwezi kutoboa wameshawaza ivyo unavyowaza ww kabra ata awajaanzisha ujenzi
@@vinuthagangadharan4171 nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
Niliiona teknologia hii kwenye mitandao ya nje Thanks God imekuja na kwetu cha muhimu ni kutupa gharama zote kwa wastani ili tuweze kulinganisha mf kwa std house ya vyumba 3 ina cost kiasi gani?
Nilikua na swali. Sawa natumia Material nyumba idumu miaka 100 but matofali nyumba inadumu like forever. Sio kwamba tofali zitabaki kuwa bora. Coz miaka 100 ni two to three generation.
Habari nzuri Ila kama kweli mtangazaji alikuwa na Nia ya kufanya Marketing ya huruma zao mwanzo Mwisho hakuna mawasiliano shida nini? Na ukisoma comments wadau wanauliza mawasiliano lakini kimyaa
Kwa upeo wangu mdogo siwapingi wala sitaki mtu afate msimamo wangu, mie nadhani aina hii ya nyumba walianzisha wazungu au wachina sababu kubwa ni resources katika nchi zao changamoto mchanga mawe ila sababu sie kila kitu kitu mie naona ni vyema kutumia mawe na michanga yetu yunaweza kudhani ni utandawazi kumbe ndo tunajiumiza ndo yale mambo ya green house na broilers chicken
nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
Dah simin kam kwel nasi tupo kwenye lever nzur ya kiwanda cha ujenz... ila chonde chondo jaman tusije tukakanyaga gorofa tukajikuta tumetumbukia chini... naomba tengenezen kwa ubora jaman
hapa tutatoa pongezi kwa tanzania na viwanda,pongezi sana sana.shida mawasiliano ya simu au vyovyote hakuna,shida yetu sasa ni namna ya kuisambaza hii tecnolojia ili kila mtu aifahamu na aweze kufanya huu ujenzi ndio itakuwa mtiani.yaan baada ya hapa iiiitakuwa kmya kuwapata ni kama kuutafuta mkojo wa kuku. je wameishia hapo tu? ngoja tuone
Guys I real appreciate you. Na nimependa. Mjenzi mtarajiwa natamani sana kuwapata. Nawapataje
Salute kwa hawa jamaa. I wish ningewafahamu mapema, tatizo hamujitangazi mnakaa ndani kama utumbo, use media to advertise. Mbona mko vizuri aisee. 🙌🙌🙌
How can I contact them?
Tanzania tupo vizuri sikuhizi. Naipenda sana nchi yangu.
Viwanda km hivi viwe ving Tanzania ili hata sisi vijana tuweze kufikia malengo yetu.
Kazi nzuri
Nchi za Wenzetu zilizo endelea kwa kuwa nchi zao ni za baridi wana tumia hayo mloita maboya au wall panels kuweka kati kati baina ya block wall na bricks wall hizo panel huwekwa kati kati kuzuwia baridi.
Nawapongeza wa Tanzania 🇹🇿 kwa kazi nzuri 👍
Saudia wanaeka mbao alaf inapakwa rangi huwez jua mpaka ugonge
Safi sana, na kwa taarifa tuu kwa wasojua nchi nyingi sana duniani zilizoendelea Kama USA or Canada waliacha kabisa kutumia matofali kujenga nyumba, Ni msingi tuu ndio wanatumia cement, huu Ni uwekezaji mzuri sana and big up to mtangazaji na mwekezaji
kamanda007 ishu ni imara? Achana nambo ya Europe au Marekani, labda wao wanafanya hivyo kwa vile wana uhaba wa rasilimali ya mchanga je
USA ama canada waliacha kutumia tofali sababu ya baridi.
Haujui sababu unalabwajika tu
@@Mpakauseme baridi na gharama mbuzi wewe, matofali sio lazima, kuna material mbadala maelfu za kujenga nyumba imara na zinazodumu, mmelala sana washamba nyie
Beautiful. Made in Africa. I admire African innovation. From Nairobi Kenya.
This isn’t African invention my dear. They built these in Australia also, sold at a higher cost then in less than 10years they started leaking. Do some research before buying these kind of houses.
Mashaa Allah
Zavutia kweli ,, zikiwa gharama yke iko nafuu kuliko za kawaida afdhali kujenge ii jmni
We are in speed 20% now keep road clear ahead Tanzania coming by 80% ahead so welcome to Tanzania friends let's boost us more
Good journalism, great presentation Sasali👌🏽👍🏽
I save this video for the future ❤ kwa sasa i have reason to travel to Tanzania 🇹🇿
Old is gold ! Matofali is the best......
haya Material za kisasa , Moto ukiwaka hapo , nyumba yote ni kwisha !
Kiwanda chao kimetengenezwa na tofali zetu za mchanga
@@jacksonmawole4029 haaaaa
@@jacksonmawole4029 kweli 😂😂.
@@jacksonmawole4029 🤣🤣🤣🤣🤣
Nje unapiga plasta ndio maana wameweka wire mesh
Very Educative and informative stuff thank you and keep up the amazing work
Waaah it so amazing, nataka kujuwa wanauzaje nyummba moja , naitaji bei kwaaraka
from Kenya proud of Tanzania
Ziko kenya kirio project ilianza 7yrs ago in kenya
@@sarahwamboko2041 alie kuuliza nan
@@sarahwamboko2041 umeulizwa
@@mannabu9333 ha ha ha...
i would love to show the AFRICAN Diaspora THIS, Invite me.
Asante kutuwonyesha hii tekinlogia ya kipekee Tanzania
Ukiona mambo kama haya unajickia kifuraha furani moyoni" ww ni mzalendo" unauzalendo na nchi yako
Impressive. I hope this technology gets adopted quickly in Kenya to reduce the high construction costs.
These houses are useless my dear, better save and build a durable houses. Hizi ni kama zile nyumba za makuti. With heavy rains they will start leaking!
Visit KOTO in mlolongo,NHS in katani,they have been using this technology
Build an earth home instead
@@picsandvidstv1348 Garbage. We don't need a concrete houses in East Africa. Zanzibar stone town is the evidence. The whole town is clay and stone walls.
Du miezi sita kazi nzuri, basi nikiwaajiri kwa nyumba moja watamaliza sîku 7
Hapo sawa mko Wa-Tz.
Tafadhali mtupe namba ya simu Nyinyi Megapanel.
Sasa mbona kiwanda chenyewe hawakujenga kutumia hizo panels, lakini wametumia tofali ?
Mfinyanzi hulia gaeni
Wamekodi eneo hawajajenga hicho kiwanda
mara nyingi wenye viwanda huwa wanakodi ma godown na sio kujenga wao.
Labda kwa sababu ulianza ujenzi wa kiwanda ndio wakapata kutengeneza hivyo vifaa vya ujenzi.
Sasa hapo mungu atunusuru na panya tu basi lakini mambo mazuri Kazi nzuri Alhamdulillahi maishaallah
Kazi nzuri sana nimependa .. kweli Tanzania tuko juu
That's an old technology innovated by Chinese
Does anybody know where these are houses are built in dar-es-salaam?
Hii sasa naona marekani ndani ya africa big up my africa ninaswali unaweza jenga nyumba hizi burundi that’s my question
Thank you so much for this show. An eye opener
Nyumba nyingi hapa USA zinajengwa na materials kama hizo..na zina dumu miaka mingi sana. Nilikuwa natafuta kampuni kama hizi kwakuwa ni njengea nyumba kwa materials hiyo.
Tatizo hayo makabati yapo juu sana. Itabidi niwapigie picha makabati ya kwangu jikoni ili niwaonyeshe wakati wa kunijengea ya kwangu.
Wow. Nice
Thank you! Cheers!
Well done.... ! Maelezo ya Meneja yamejitosheleza
Nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
🤣🤣
😅😅😅😅
Masha Allah kazi nzuri sana nimeipenda ❤
Yako vizuri sana.
Nimefurahi kuona hii tech imefika Tz awali nilikua naiona Kenya tu
Kazi nzuri... Tanzania inaweza
Ili iwe rahisi kuelewa ukuta wa 20 by 20 utagarimu pesa ngapi kwa kutumia Mega panel ukilinganisha na kwa tofali ni ngapi
Yaani ww jamaaa umeng'ang'a na scandal moja wakati huu ujenzi upo kila mahali, ivi ujenzi wa matofali huna skendo, au maghorofa ya magufuli umesahau, embu punguza kuwakatisha watu tamaa, mghorofa kibao ya tofali yanamatatizo.
@simply pash ...
Cjaelewa
Na je interloçk zinawez3kana nà kupàtikàna?
kwa Zanzibar je inakuaje kupata huduma?
Mmm Amen Tanzania.
Safi sana tz tunaweza hata wao walianza kama hivyo Leo hiii wapo kwenye atrantis,discovery na ma air buss Leo hivyo ipo siku kunamtanza nia atajitoa ufahamu atabuni machine ya kuyeyusha.
Eti kwa technology hii kujenga nyumba ya vyumba 4 ni cost how much hivi
In terms of durability, block houses generally tend to be more durable than panel houses. Block houses are typically constructed using materials like concrete, brick, or stone, which offer strong resistance to weathering, impacts, and other environmental factors. Panel houses, on the other hand, are often made of materials like wood, steel, or composite panels, which may not provide the same level of durability as solid masonry construction.
Do you have a branch in Kenya
Ujenzi wa marekani ,,izo nyumba waga zinakawiya sana adi miaka 150
Interesting!
sasa website yao ipo wapi
Hongereni kazi nzuri ,vp mtu akiwa nje ya tz?
Kama ni bora kuliko tofali mbona msingi ni was matofali?
Tofali ndiyo mpango, wangeweka maboya ingeruka hiyo😂😂😂
Swali lako nmelikubali
Maboya hayana ugumu wa kutosha kushikilia uzito wa nyumba (compressive strength) na unyevunyevu wa ardhi wakati wa mvua utadhoofisha msingi wa maboya. Maboya kwenye msingi yanatumika tu kama heat and sound insulator.
Ndio ubora unapojia...... matofali ndo msingi na juu kunaboreshwa
@@mrfix6596 🤣🤣🤣🤣🤣
Good idea lakini kikija kimbunga, mvua kali, radi itaweza kuhimili kama matofali?
Kumbe zile nyumba tunazoziona kwenye movie star emekimbia na kupiga ukuta anatokea njee ndio hizi
hahahaaas
🤣🤣🤣
😄
🤣🤣🤣🤣
wanaotafuta contact hizi hapa......Mobile No. +255 785 676 207
Email: mega@mega.co.tz
Gharama za ujenzi zipoje kwa nyumba ya vyumba 3 au 4?
I really appreciate your video thanks u 😘 brother
Nice interview ❤️🇧🇮
Mngeweka kwenye discription box kujua tunawapata wapi
Naombeni kuwa ambassador wenu kanda ya ziwa. I am serious na nina hakika tutafanya kazi. How can I get you
Great editing $ narration, thumbs up mister
Wapendwa wangu Mungu awabariki,Sasa mpo wapi Nina mabox maboya manner na jiko la gesi na washing machine ,nataka kuuza ,nauzaje? Je ninyi mnapokea,Asante naomba no yenu ya simu na majibu Asante
How about columns?!
Beautiful design
Tupate contacts pls na namna ya kuwapata.
Mbona hamjaweka nambazasimuu ?
Hongera sana Katikaujenzi mpya wa kisasa simba kutoka uholenza
Mbona hamsemi contacts zenu, au mtu akihitaji hii huduma mnapatikana kwa mtandao au connections gani?
Tecnologia nzuri
Jamani mnaoomba contact msije mkalia baadae, msije mkalia siku mmeamka mnakuta nyumba yenyewe ishabebwa na upepo mnaanza kushikana uchawii.
Maboya ujengee nyumba.
Kazi mzuri hongereni wasi wasi wangu ubora wa ukuta mtu akipiga nyundo si anakuwa ndani moja kwa moja
Aiko ivyo ni Kama tu america nyumba zao z ambao na mapliudi ukigonga unasukia sauti ya boxi lkn uwezi kutoboa wameshawaza ivyo unavyowaza ww kabra ata awajaanzisha ujenzi
Naomba namba ya mtalaam
Mko vizuri et
Where can we find them in Kenya? Nimependa uvumbuzi wao pengine kuna nambari ya simu
Njoo Tanzania mkoa wa dar es salaam wilaya ya ilala
Hizi ndo za kwenye movie zile mtu akipiga ngumi ukuta unavunjika
Uzuri mimi nimeshuhudia huo ujenzi ni mzuri sana wanasema pia hazina joto
@@vinuthagangadharan4171 nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
Naitaji namba zao za simu mbona hamjaweka?
Amaizing
Je nikiasi gani hutumika kukamilisha nyumba nzima...na material yao wanauzaje?
Gharama za chini ni kiasi gani kwa ujenzi wa hzo nyumba?
Nilikuwa nasubiri sana hii technology
Niliiona teknologia hii kwenye mitandao ya nje Thanks God imekuja na kwetu cha muhimu ni kutupa gharama zote kwa wastani ili tuweze kulinganisha mf kwa std house ya vyumba 3 ina cost kiasi gani?
Yea bro upo sahihi kabisa wangesema na ghalama au amakadirio ni kiasi gani
Nilikua na swali. Sawa natumia Material nyumba idumu miaka 100 but matofali nyumba inadumu like forever. Sio kwamba tofali zitabaki kuwa bora. Coz miaka 100 ni two to three generation.
Gharama ya ujezi wanyumba kama iliyoonyeshwa hapo ni ngapi?
Habari nzuri Ila kama kweli mtangazaji alikuwa na Nia ya kufanya Marketing ya huruma zao mwanzo Mwisho hakuna mawasiliano shida nini? Na ukisoma comments wadau wanauliza mawasiliano lakini kimyaa
Rahisi lakni hamujaongelea bei
Habari zenu naitaji namba ya simu tafadhali
Mbona ujatoa namba ya sm
Tunawapataje jamani
Mbona hamna contact information
Kaka yangu alikua anataka nyumba
Naitaji kujua zaidi kuhusu I program
Kwa upeo wangu mdogo siwapingi wala sitaki mtu afate msimamo wangu, mie nadhani aina hii ya nyumba walianzisha wazungu au wachina sababu kubwa ni resources katika nchi zao changamoto mchanga mawe ila sababu sie kila kitu kitu mie naona ni vyema kutumia mawe na michanga yetu yunaweza kudhani ni utandawazi kumbe ndo tunajiumiza ndo yale mambo ya green house na broilers chicken
nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
Nice one
Arusha tunakuhitaji raja namba ya simu
Contact???
Impressive
Link ya kuwapata hawajaamaa haipo ili kujua inawezekanakana kufanyanao biashara!!!!?
Good video presentation
Inapendeza
Alafu wao wamejenga kiwanda kwa tofari za block hahaha
Nimekubalii wazeeubunifu mzuri
Kwa watu tunaojenga kwa mafungu . Itakuaje ? Leo nimenunua tofali 100 kesho mchanga lori 1.Anyway good idea
🤔🤗😄😄
Yaaa nimekubali
Dah simin kam kwel nasi tupo kwenye lever nzur ya kiwanda cha ujenz... ila chonde chondo jaman tusije tukakanyaga gorofa tukajikuta tumetumbukia chini... naomba tengenezen kwa ubora jaman
Nimejaribu kupata namna ya kuwaapata wanakiwanda hiki bila kupata jawabu. Jamani msitulet down. twazitaka contacts haraka
Mtu ataka kujengewa nyumba ya kawaida ina chukuwa garama ya ngapi?
hapa tutatoa pongezi kwa tanzania na viwanda,pongezi sana sana.shida mawasiliano ya simu au vyovyote hakuna,shida yetu sasa ni namna ya kuisambaza hii tecnolojia ili kila mtu aifahamu na aweze kufanya huu ujenzi ndio itakuwa mtiani.yaan baada ya hapa iiiitakuwa kmya kuwapata ni kama kuutafuta mkojo wa kuku. je wameishia hapo tu? ngoja tuone
Naomba namba za simu