#MadeinTanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 109

  • @IbrahimMohamed-fk5cc
    @IbrahimMohamed-fk5cc 4 роки тому +32

    Sasa hapa ndio nimemuelewa Raisi Magufuli daaa kumbe haya ndio yanafanyika Tanzania wacha na mimi niumize kichwa ya kufunguwa kiwanda safi sanaa kaka kwa hii Elimu

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 роки тому +3

      Kila mafanikio yanaanza na wazo zuri la biashara.. nimekuwekea video nzuri ya kujifunza jinsi gani unaweza kupata wazo zuri zaidi la biashara na wewe. karibu katika channel yangu tujifunze kwa pamoja.

    • @immaculataroeser8428
      @immaculataroeser8428 4 роки тому

      0&

  • @zaiduissa999
    @zaiduissa999 4 роки тому +1

    Mm naitwa sadani nakaa dar nataka nianzishe kiwanda namimi kidogo cha kutengeneza viatu dar nilikuwa nawaza sana nitapata wapi material sasa kaka sam umenifungua soon nitaanza kuchukua ngozi hapo kiwandani god blees you

  • @wilfredmichael1909
    @wilfredmichael1909 4 роки тому +6

    Unafanya kazi nzuri sana kutujuza yaliyomo hapa Tanzania. Tujivunie na vyakwetu, huo ndio uzalendo!!

  • @anethshio497
    @anethshio497 4 роки тому +5

    UA-cam Channel ya kipekee kutoka kwa Mtanzania, good job ndugu 👏👏

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 4 роки тому +4

    Sometimes tunajitoa ufaham na ku criticise jitihada za mzee, lakn ukweli ni kwamba, viwanda pasipo umeme wa uhakika ni sawa na kutwanga maji kweny kinu....fanya kazi JPM

  • @Africa.Athuman
    @Africa.Athuman 4 роки тому +8

    Love from Burundi nashuka kuchkuwa mzigo

  • @abdulahimohamed434
    @abdulahimohamed434 4 роки тому +5

    Tanzania is moving very fast at development of many aspects we are very proud

  • @andrewsam364
    @andrewsam364 4 роки тому +24

    Hivi kwamfano wanafunzi wote wakaambiwa wavae viatu vya tz. Uchum utapanda sana maana ajira zitapatikana.kunasababu gan yakuagiza viatu nje wakati ngozi zinaoza ?

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 роки тому +2

      Wazo zuri sana

    • @sekiondowarema1786
      @sekiondowarema1786 4 роки тому +2

      Wazo lenye rutuba hili...

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 4 роки тому

      Wazo lenye mbolea ya samadi bro. Safi sana. Tanzania tunasonga

    • @mathiasbuyobe8474
      @mathiasbuyobe8474 4 роки тому

      Hongera sana kwa rutuba ya ubongo wako.

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 4 роки тому

      @@sekiondowarema1786 je makombo ya mabeberu yaende wapi?

  • @hamdaniyasinimunguibarikit6734
    @hamdaniyasinimunguibarikit6734 4 роки тому +6

    Napendakutumia bidhaazanyumbani tz nimeonasafari but zakweli made in tz safisana

    • @maryodrwebandiza2056
      @maryodrwebandiza2056 4 роки тому +1

      Nakwambia mimi niko burundi huwa ninafuraji sana ninapoona made in Tanzania ni vitu vingi vinatengenezwa tz, nakupenda sana Tanzania ❤❤❤

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому +5

    Safi sana, maendeleo yanawezekana keep it up

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 роки тому +1

    kaz mzur magufur 🤩❤❤❤

  • @abdallahhussein9008
    @abdallahhussein9008 4 роки тому +1

    Asante kaka, nazani nimepata wazo la biashara

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 4 роки тому +2

    Hongera sana natamani kupafika hapo.

  • @hamdaniyasinimunguibarikit6734
    @hamdaniyasinimunguibarikit6734 4 роки тому +8

    Nikipata trep yakilimanjaro nitafikahapo nijionee vyanyumbani tz og

  • @princesstatiana1235
    @princesstatiana1235 4 роки тому +9

    nimependa sana ...ila sasa wazalishe kwa wingi ili vienee Tanzania nzima

    • @eliasswai3137
      @eliasswai3137 4 роки тому +1

      Vipo vya kutosha tembelea branch zetu zilizopo, mbea solo kuku,dodoma, morogoro, singida,mwanza, arusha, dar es salaam Mtwara

    • @matukimerchant5170
      @matukimerchant5170 4 роки тому

      @@eliasswai3137 Arusha mpo sehemu gani?

    • @juliusmaresi5517
      @juliusmaresi5517 4 роки тому

      @@eliasswai3137 arusha mpo wap??

    • @emauf
      @emauf 3 роки тому

      @@eliasswai3137 Hamjatangaza vizur, sijawah hata kuviskia

    • @mariaamabwi1854
      @mariaamabwi1854 3 роки тому

      Mwanza mpo wapi?

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 4 роки тому +1

    Jamani hizi bidhaa zetu Ni nzuri Sana. Sasa tukizihitaji tunazipitia wapi?

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 4 роки тому +3

    Je kuna namna yoyote ya kutengeneza leather bila machine?

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 4 роки тому +1

    Kazi nzuri sana Bro
    Nilikuwa Simiyu juzi aisee

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 4 роки тому +1

    Naipenda nchi yangu tanzania

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +2

    Big Up made in Tz

  • @meshalema4603
    @meshalema4603 4 роки тому +1

    Jamaa asikiki vizuri

  • @iddijumangakonda8044
    @iddijumangakonda8044 4 роки тому +1

    An amazing channel ever!

  • @happykimali6687
    @happykimali6687 4 роки тому +1

    Mtupe direction dr. Hio mi fursa

  • @stewartrwambazi
    @stewartrwambazi 4 роки тому +2

    Dar products zao wanauza wapi Sam. Alafu ungeweza weka matangazo kwa viwanda unavyofanyia interviews alafu wanauza bidhaa hapa nchini.

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому +8

    Magufuli Huna mpinzani mzee

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 3 роки тому

    Mnafanya kazi nzuri ila tatizo linakuja katika upatikanaji wa hizo bidhaa umekuwa mgumu sana

  • @moll5ymac
    @moll5ymac 4 роки тому

    I'm in AWE... my beautiful country and all it's riches and talents. asante na mbarikiwe kwa kutujuza zaidi na zaidi

    • @madawavuai1352
      @madawavuai1352 4 роки тому

      On line vipi

    • @moll5ymac
      @moll5ymac 4 роки тому

      @@madawavuai1352 asante ofisi na internet yake

  • @jj4chizel
    @jj4chizel 4 роки тому +1

    From 🇺🇬🇺🇬🇺🇬.... Nice

  • @paulgawa5095
    @paulgawa5095 4 роки тому +3

    God bless TANZANIA

  • @edwinstephan711
    @edwinstephan711 4 роки тому +1

    TANZANIA NCHI YANGU #MUNGU IBARIKI#

  • @IbrahimMohamed-fk5cc
    @IbrahimMohamed-fk5cc 4 роки тому +8

    Sikuyajuwa haya kabisaa

    • @dismasswai5838
      @dismasswai5838 4 роки тому

      @Change Mindset Watanzania tunaweza kufanya mambo makubwa sema tuu tulikuwa tunadharaulina na kuabudu vitu vya nje.

  • @jumakaswelele3143
    @jumakaswelele3143 4 роки тому

    Nakupongeza Sana Mr big Sam kwa kazinzuli uifanyayo mzee msomaji bingwa magazeti tz ila baba mbona karibia viwanda vi5 vyote ulivyotembelea buti nililelie ha ha ha ha nimelibatiza butilako naliita buti la sam

  • @ericombasisi5942
    @ericombasisi5942 3 роки тому

    namba ya duka ya

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 4 роки тому

    Safiiiiii sana .

  • @abuumaryam1628
    @abuumaryam1628 4 роки тому +1

    Jamani si muanze kuuza kwa online tuweze kununua na huku mikoani

  • @ericombasisi5942
    @ericombasisi5942 3 роки тому

    adresse ya duka na namba ya sim ni mkowa ngani

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 4 роки тому

    Jani watoe namba

  • @pendatv1675
    @pendatv1675 4 роки тому +1

    Kaka heshima kwako unafanya kazi nzuri tu, Hawa jamaa wanauza hio ngozi au mwishowe

  • @saikouamadousow
    @saikouamadousow 3 роки тому

    Fière de la Tanzanie

  • @maligisadotto8631
    @maligisadotto8631 4 роки тому +1

    Duh! Yaani kwa weli nimeduwaa. Tunauziwa bei kubwa viatu vya mitumba wakati kuna viatu original made in Tanzania vya bei nafuu🤔

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 4 роки тому +1

    Naomba location ya hilo duka tafadhali

  • @hassansadiki6163
    @hassansadiki6163 3 роки тому

    Duh tunapigwa sanaaaaa

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 4 роки тому

    Daaah! Hiki kipindi ni kitamuu laanaa!

  • @maligisadotto8631
    @maligisadotto8631 4 роки тому +1

    Mbona havifiki Shinyanga hivi viatu vinaishia wapi?

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 роки тому +1

    Nilikua sijui lakini nimekufatilia najua kweli TANZANIA ya viwandaa nataka viatu kutoka uko nitapataje kuja dar

  • @bernardenossy3358
    @bernardenossy3358 4 роки тому +1

    Tunapataje bidhaa?

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 4 роки тому +1

    Hiyo buti ya jesh mmefel puaan na upande wa kisigino ni lain sana.. Haitakiw but kubonyea au kujikunja sehemu hiyo.

  • @stephanondali5488
    @stephanondali5488 4 роки тому +3

    Hapo Raia wa kawaida wananunua? au mpaka tusubiri vije sokoni tuuziwe kwa laki na kitu, maana kwa bei hizo mbona si kubwa sana kuna kiatu nimeona hapo nilinunua laki na ishirini mie

  • @apautopartltd1102
    @apautopartltd1102 4 роки тому

    Unafanya kazi nzuri lakini unaweza ku translate kizungu for our other watchers

  • @nassornassor7576
    @nassornassor7576 4 роки тому +2

    Hilo duka lipo wapi?

  • @AIG7187
    @AIG7187 4 роки тому +6

    Tanzania
    #watatusoma tu🤣

  • @amabilis-mariesangu9500
    @amabilis-mariesangu9500 4 роки тому +1

    Sam tunaomba namba za simu

  • @shijermajebela7038
    @shijermajebela7038 4 роки тому +1

    Media za Tanzania zingekuwa kama hii wazungu wangetu amkia shikamoo Tanzania

  • @anthonyshadrack7761
    @anthonyshadrack7761 4 роки тому

    Good

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 4 роки тому +2

    Kila mafanikio yanaanza na wazo zuri la biashara.. nimekuwekea video nzuri ya kujifunza jinsi gani unaweza kupata wazo zuri zaidi la biashara na wewe. karibu katika channel yangu tujifunze kwa pamoja.

  • @hillarylelgo2395
    @hillarylelgo2395 4 роки тому +1

    Mi ni mkenya naweza mpata order ya ngosi niwaletee ?

  • @linuslivingstone9913
    @linuslivingstone9913 4 роки тому +1

    Haya vijana wa miaka ya 82 mnaokalia porojo za kina daimond na zuch mmeona wanaume wanavyopambana nimekuelewa samsasali endelea kutujuza mema ya nchi

  • @maikozakaria2382
    @maikozakaria2382 4 роки тому

    Gd

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +2

    Ina maana wa mikoani tukihitaji tuje Moshi au kuna mawakala?

  • @qasimbhai5842
    @qasimbhai5842 4 роки тому +3

    Unaruhusiwa kuweka order kunzia viatu 20

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +4

    Musionyeshe wataturoga wenye wivu.

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 4 роки тому +1

      Alafu wewe mwananchi utajuaje kama haya mambo yapo nchini kwako si utasema ni siasa tu ......

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 4 роки тому +3

      @@dicksonaroka6961 Tutajua kikubwa ni kuweka rebal Made in Tanzania.

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому

    Tuvitangaze bc jmn mbona matangazo yamekua madogo san

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 роки тому

    anavaa mpaka anagraduate..lol

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +1

    Halafu mjomba umetoka Ntwara nini?

  • @scottgeorge5677
    @scottgeorge5677 4 роки тому

    fanyeni mpango wa showroom dar

  • @johnsonjoshua6707
    @johnsonjoshua6707 3 роки тому

    Hiyo safari buti inayouzwa 40,000 ikifika Arusha huwa wanauza 160,000

  • @Am77-007
    @Am77-007 3 роки тому

    Nilizivaaga kama hizi enzi za sekondari Arusha

  • @qasimrajani592
    @qasimrajani592 4 роки тому

    We can hear music is to loud

    • @qasimrajani592
      @qasimrajani592 4 роки тому

      We can’t hear the conversation music is to loud

  • @juliusmaresi5517
    @juliusmaresi5517 4 роки тому

    Duka lenu arusha mpo wap?

  • @juliusshuritanga6734
    @juliusshuritanga6734 4 роки тому +1

    Tanzania tuko juu. Nataka kujua hiki kiwanda cha bidhaa za ngozi, kinapatikana wapi? ili niende shoping. Namba yangu ni 0767150005. Tunaomba Made in Tanzania Campaign muwe mnaweka na mawasiliano yenu ili tuweze kuwafutilia.

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 4 роки тому

    🇵🇸

  • @franknonifrank6293
    @franknonifrank6293 4 роки тому +1

    Kwa mawasiliano nawapataj mi nilikua naitaj bidhaa nipo Dodoma

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 4 роки тому

    Kuranguwa vip mutu atapata kivipi muzigo

  • @paulkihwele8403
    @paulkihwele8403 4 роки тому

    Hongera sana naomba mawasiliano namba yangu 0757720512