Nakumbuka ktk mkutano mmoja magufuli aliwah kusema naona tu kipanya ananichora na kichwa kimepindapinda najiangalia kwnye kioo ndio mie kweli😀😀😀r.i.p magufuli
Nadhani wote Manara na Masoud ni watu wenye kujiamini sana, ni ule tu ufinyu au uwanja mdogo wa kutoa habari, lakini kama ingekua Tanzania kama Marekani, damn people have a lot to talk about
Aly babu mi ni Abdul kijonjoo kwa mzee kikwati.kumbuka mdogo wangu nilikua nahakiki picha zako za katuni,kaka yako masudi yuko wapi ?sauz alisha rudi? Ulinikuta mwanza.
Ile ulichora kwenye gazeti la Kasheshe Mwl ame m beba " Mkapa akisema baba nipigie ndogo ndogo niingie Ikulu akajibiwa Mwanangu tuliza bolu ikulu ni Yako
Manara TV 📺 inatulitea vitu tulivyokua tunavihitaji aisee, kama unaikubali manara TV. Gonna like tender sawa
❤
Masoud kipanya nakukubali sana una talent kubwa sana❤🎉
Masoud Kipanya hongera sana kwa Talanta kubwa ya uandishi aliyokupa Mungu. Tafadhali vua Miwani tukuone vizuri Mtumishi.
Ameshavua miwani rudi tena umuone.....
One of the smartest persons in Tanzania
Moja ya watu wenye akili sana , nimeisubilia sana hii tangu mtangaza finale imefika
EL BUGATI nimeiona imepaki hongeraaaa brother unamiliki gari ya samani kubwaaa
Dah kitambo jaman nikikumbuka Chuchuchu tototo ajigijigijiii aloo tulivalishwa flana za Vodacom 7 7 Hapa Amina Chifupa pale Kaka Bonda huku Masoud aisee utoto haurudi tena
Chuchu hawawez kuzikumbuka
Nakumbuka ktk mkutano mmoja magufuli aliwah kusema naona tu kipanya ananichora na kichwa kimepindapinda najiangalia kwnye kioo ndio mie kweli😀😀😀r.i.p magufuli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mzee alikuwa comedy pia
😂😂😂😂 natafuta hiyo clip nimecheka sana
@@ramadhanurassa2410 tafuta ipo kwa millardayo miaka nane iliopita andika heading hii "nasoma magazeti yote hata yanayonitukana" magufuli
Hpn alikuw mnafik anachekesh lkn rohon tofaut
😅😅😅😅
Kuna katuni moja ya lowasa aliichora baada ya kurudi ccm akiwa anakagua zile fom za ccm halafu kipanya kinasema afadhali hatukuzichoma zote😂😂😂
😂😂😂
Noma saaaaaaanaaa
Mahojiano bora zaidi 🙌🙌
hii ni mashine.. 🙋
Nilitegemea Manara angemuuliza Education standard, alisomea wapi na wapi baadae?
Nadhani wote Manara na Masoud ni watu wenye kujiamini sana, ni ule tu ufinyu au uwanja mdogo wa kutoa habari, lakini kama ingekua Tanzania kama Marekani, damn people have a lot to talk about
Manara bro,uongeze quality ya camera na good background,otherwise interview ni nzuri
Icu ya hali ya juu
Sema camera man wa manara zingatia sana Rule of thirds
Exellent comment
Kazingua, haiwezekani wote wanajaa kwenye picha, katikati, kama focal point
Kipanya ni master sana
Ni interview nzuri imetulia
Mwijaku sema suu, mwamba akumbushwe
Shikamoo masudi kipanya habari za Siku tatu hizi za choko choko za mwijaku
Sijaelewa nan kaja kumuoji mwenzie
Kikatuni kimenizidi umri😁😁😁🎉🎉
Manara anajua kutembea na upepo yaani hii yote ugomvi wake na Mwijaku😂😂😂😂
Manara hawezi kuhoji ...
Anapenda kuzungumza mwenyewe so interview zake zinaboa
Basi usiziangalie
😂😂😂😂 ilibidi achore cartoon nyingine Magu kanyenyuka😂😂😂
Manara tv hashtag diamond and zuchu how come
Hii benz ya gharib ishachoka sasa we zakupewa tuu😅😅
Nyie jamaa mko vzr
Ungemuuliza his secret to anti aging
Kweli uwongozi ni bahati ivi masudi kweri wakukosa teuzi ira usijali kaka 25 zamuyako tunakuitaji mkowa wa pwani shubamiiiti,
Always natmna sana masuud ungekua na nafas serekalin mtu... Poa sana
Mtu bora saana huyu masud kipanya afaa kua mwalimu bora
Nakukubali sana brother KP wewe ni mtu na nusu kuña siku watu watakuelewa
Masoud ni mtu anaejielewa
Manara kamuita Masudi kupiga story sio kumuhojiana 😂🤣bado hawezi kumhoji mtu
Wewe umeona kama mimi! Huyu Haji kwenye ishu ya kufanya mahojiano bado kidogo haijakamilika..
KAZI NZURI ILA HAPANA UTULIVU KUNA KELELE
Wakongwe##Great Interview Le Bugatti against KP
Masoud mtu na nusu
Ell bugatti,
Membe na Lowassa hawakuwahi kuingia kweny top 3 uchaguzi 2015
Top three ni magufuli , balozi Amina na Asharose migiro
You are right@@qunjantv
Yes@@qunjantv
Saivi katuni inabidi pia uwe unazitoa kwa njia ya video mjongeo. na kwa njia ya picha endelea nayo.
💯💯✍️
Aly babu mi ni Abdul kijonjoo kwa mzee kikwati.kumbuka mdogo wangu nilikua nahakiki picha zako za katuni,kaka yako masudi yuko wapi ?sauz alisha rudi? Ulinikuta mwanza.
Yani Mnaweka Benz Kubrand gari za Nje badala Muweke Gari za Masoud achen Izo bhna
Ushauri mzuri ila jinsi ulivyo wasilisha ndo !😮
Acha maisha ya watu
wewe hauna akili,,kwani gari zote si huwa zinatoka nje,,masoud tangulini akatengeneza gari
@@MwakibinduOmieni Katombwe uko kama aujui kitu fatilia
Kwaniii arokuaaa anachoraa gazetiii raaaaa sanii ndoyeyee au
Vyura Vinapiga Kelele
Ile ulichora kwenye gazeti la Kasheshe Mwl ame m beba " Mkapa akisema baba nipigie ndogo ndogo niingie Ikulu akajibiwa Mwanangu tuliza bolu ikulu ni Yako
😊
Masoud anaongea kwautulivu huchoki kumsikiliza
Sasa Kipanya hujui umezaliwa wapi kati ya Ocean's Road au Muhumbili ?😮 sasa Birth certificate hauna mpaka hujui wapi umezaliwa?
Nikitengo kimoja majengo tofauti
@@georgeigogo9259 now i know . Thank you
Mercedes-Benz ndo wadhamini wa kipindi?
Tfg online tv
🤝
Mwijaku ona hii? Upoo, haya ropoka ya Manara
Utaishia ivoivo asaiv
Kwa Sheikh Yahya ni Muembe Chai...
Sikiliza maelezo vizuri ndio maana unafeli
Waooo
Jaamani msiwakatishe watu tamaaa tuwe na moyo wa kuwa support wakati watu wanajaribu kujitafuta ,tofaouti hixi saying inevitable tuziweke pembeni
Kp kichwa chake cha juu kimetulia na aiseee huyu jamaa 😂
❤❤❤❤
Kaka manara mbona interview kama wewe ndio unahojiwa Tena.
SA
👊✌️👍.
Membe na January waliingia top 5 na sio top 3. Jifunze historia wewe Manara
👍
comment za usimba nimeziona
Bado interview Ni 6/10
Manara hajui kabisa kufanya interview aiseee basi tuu
Kabisa,
Anajua kuongea na kuhamasisha, lakini siyo kuhoji, hilo siyo fungu lake inabidi akubali.
Manara kuhoji hapana, BIG NO⛔️
Big up Manara TV. Safi Sana bro. Manara
Ukileta usimba kweli lakini ukiwa nomo jamaa anajua sana kuhoji
Manara ni mwandishi wa habari alifanya kazi radio Uhuru Fm