Sijambo. Hamjambo? HONGERA kwa kupiga hatua hii kubwa ya maendeleo. Ni vizuri jenga pia viwanda. Vilevile jenga shule au chuo cha sanaa ili watanzania wanifunze muziki na sanaa zingine zenye soko kubwa hivi sasa hapa nchini na kimataifa. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukulinda.
Mimi ni mu Burundi lakini kwa kweli namkubali san huu rajabu kuliko wengine wa sani kutoka tz hata sijui kwanini. Lakini pia ana utuu fulani hivi sio mjivuni
Nami nampenda sana kwa upambanaji wake na ustaarabu wake hata kama watanzania baadhi yao hawapendi lakini mimi kuna mengi sana ninayojifunza kutoka kwa Rajabu Harmonize 😍
Koma tena koma ishia huko huko rundi kwenu kawapende warundi wenzio kwan nyie hamna wasanii au ndo unataka utukize ubinafsi et hana majivuno unamjua vzr huyo wewe
Iko chonjo Mzee mijigari kama zote na jinyumba lenyewe masha Allah pongeza sana lkn namuomba konde boy Kazi ya compound yeke yamemeya kwenye mawe compound nzima na mid Niko na ufundi nao Nipe naki ningarishe jicompound lako LA ki fahari utapenda mwenyewe mzee😊😊😊😊❤❤🎉🎉🎉
Sasa magari yete ya Nini ajenge magesti mashule ya praiveti afunge na kuku awape watu ajira kampuni Mambo yabiashara watu wapate ajira ata kwa ndungu zake upamde wa Mama wa baba awape ajira familia magati mawili yanatosha makali
Kati maisha yangu Mimi schadrack ngongo Nina mkubali konde boy Yakama ni tajiri n'a anaweza kwa kila kitu chochote kusiana na pesa mziki na vinginevyo kiukweli wewe baba yupo katika maisha yangu Mkali wangu.
Nyinyi WaTanzania mnatushangasha ni hizi mbwembwe zenu, mara nyumba ya kifahari ya Ryavani, sio ya Mr Pimbi, wala ya DC Mwijaku, na sasa ya Harmonize....hamwiishi na vituko na zarakazii.
Hongera sana konde ww ni mfano wa kuigwa kwa upambanaji wako❤❤❤
Namkubali harmonize 100%,Ni msanii mwenye anajituma kwelikweli,may God bless you Konde Boy
Konde.mungu.ambariki
Konde forever🖒🖒🖒😀😀😀😀
YAOYAO JESHII 🙏🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 ❤️ ❤️ ❤️ ❤️❤️💖💖💖💖💖😍💯
Harmonize ni tajiri anaebisha bisha kwa hoja😂🥰💸
Umetisha,kwa kweli hawakuwezikama wimbo wako unavyosema
Sijambo. Hamjambo? HONGERA kwa kupiga hatua hii kubwa ya maendeleo. Ni vizuri jenga pia viwanda. Vilevile jenga shule au chuo cha sanaa ili watanzania wanifunze muziki na sanaa zingine zenye soko kubwa hivi sasa hapa nchini na kimataifa. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukulinda.
Waaaoooo magnificent.
Konde congratulation sir
Mjengo fab. Ubarikiwe.❤❤❤
Kapanga 😂
Ya kwanza Sio prado ni land cruiser 200, inayofuata ni land cruiser 300, inakuja Audi a, ya mwisho range lwb, he really leave expensive life
Niko Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Namkubali Konde 100%
Kuliko wasani wengine
Africa machariki
Mimi ni mu Burundi lakini kwa kweli namkubali san huu rajabu kuliko wengine wa sani kutoka tz hata sijui kwanini. Lakini pia ana utuu fulani hivi sio mjivuni
Nami nampenda sana kwa upambanaji wake na ustaarabu wake hata kama watanzania baadhi yao hawapendi lakini mimi kuna mengi sana ninayojifunza kutoka kwa Rajabu Harmonize 😍
Kondeboy nimpabanaji kweli ni wengi tunajifunza kwake
Kiukweli.yupo.safi.sana.hana.majivuno.sio.kama.wasanii.flani.waletewa.zawadi.yambuzi.toka.mby.hadi.dar.matokeoyake.anaishia.injee.ya.geti
Koma tena koma ishia huko huko rundi kwenu kawapende warundi wenzio kwan nyie hamna wasanii au ndo unataka utukize ubinafsi et hana majivuno unamjua vzr huyo wewe
Hapo kwenye utu✅
Hongera be bless😊 harmonuze
Hongera Konde boy ,,we are proud of you as Africans 🥰🥰
Namkubalia sana konde bwoy , he is my favorite
Kula bata mwangu konde boy.
Tunakupenda sana.❤
Huyu mwamba ni shida, nakukubali CONDE BOY
We ndo mwisho djeshii. Saluti
Mimi ni mu congo alahmu dulilay namu ogopa hamonize nimwamba apewe sifa uyo ni tajiri sana wandugu zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯
Kama wewe nimwana jechi bonye za alama yakengele hapa?
Iko chonjo Mzee mijigari kama zote na jinyumba lenyewe masha Allah pongeza sana lkn namuomba konde boy Kazi ya compound yeke yamemeya kwenye mawe compound nzima na mid Niko na ufundi nao Nipe naki ningarishe jicompound lako LA ki fahari utapenda mwenyewe mzee😊😊😊😊❤❤🎉🎉🎉
Namupenda sana kweli harmoniez
Kijsna acha afurahie maisha katoka mbali sana
Mimi pesa za wenyewe shikamoo yani sitamani kabisa
Namkubali Sana Harmonize
Fan Kutoka Kenya
Vraiment félicitations mon Cher Harmonize, ma première Star tanzanienne. That is God's plan.
Mungu awenae kwakaz nzuli anaeyifanya
Nampenda harmonizer me shabiki ake❤
Jina langue Elly Na toka Congo hasa niya yangu Na tamani Siku moya nimuone Konde sasa sina namna yeyote sijuwi ni fanyeje
Dah, congratulations konde boy❤
Hâta mimi namkubali🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Harmoniz never give up as your song says
Vraiment c'est trop génial pour Harmonize
Nakubali sana Kaz za harmonizi haswa Jr hapa💻⌨️💽
Nakubali kaka umepambn na Bado unaendelea kupambna kimziki pamoja sana
Danmark tunampenda sana Harmonize ❤❤❤❤❤❤ Mungu amubaliki
boss konde we ni number moja
Sasa magari yete ya Nini ajenge magesti mashule ya praiveti afunge na kuku awape watu ajira kampuni Mambo yabiashara watu wapate ajira ata kwa ndungu zake upamde wa Mama wa baba awape ajira familia magati mawili yanatosha makali
Iyo nyumba kapanga mwenye nyumba yake ndio mwenye nyumba ya diamond
@@nifahaji7752kwa hivio wataka kusema hiyo si nyumba ya amejenga mwenyewe
Wacha wivu
@@sultanmswahilitv4864 sasa utaki nipe namba yako
Jamaa nomaa
Truly talent is priceless. God is amazing.
Hongerehamonise
pambana.hamonise
Nakubali kaka umepambn na Bado unaendelea kupambna kimziki pamoja sana❤❤😂😂😂
@Big-up xana the best Tanzanian artist.
Konde geng forever ❤️🔥
Hongela sana kwamjengo hawakuwezi
Mie siwezi kuiga nyumba ya kupanga na magari ya kukodi
kibo from Kenya truly boy unapambana
Maisha ya sinema, Hawa wasanii wakiumwa ndo wanakubali ni maskini na kuomba kuchangiwa😂😂
Harmonaz na mkubali %150
Mungu akulinde booradha
Naweza kaishi na sehemu inayopazidi kwa uezo wa mwenyezi mungu
Nakubarri jesh
Mimi moja wapi kutoka nsimbiji ,nankubali sana uyu dogo
Kati maisha yangu Mimi schadrack ngongo Nina mkubali konde boy Yakama ni tajiri n'a anaweza kwa kila kitu chochote kusiana na pesa mziki na vinginevyo kiukweli wewe baba yupo katika maisha yangu Mkali wangu.
Mbengo Tv we appreciate your video good job.
Me niko zanzibar lakn namkubali sana hamoniz
Rwanda 🇷🇼❤❤❤❤ harmonize
Eti wanaogopa maisha magumu bana😂😂😂
Namukubari harmoniz
Mimi waga na penda kitu chamaana kwamsani yeyote wa Tanzania mimi siyo shabiki wa upuzi apa ni adjuni samuel kutoka congo
Huyu msenge hii mihela ni yakutoka kwa mungu au Freemasons
Waooooooow konde uishi mia mia love 💕💕💕
❤ kondo mungu mukubwa sana
Jeshi unaweza
The chiq is mmwaaah ❤ love you
yupo siriaz tembo good sana anapambana
Hongera Sana Unapambana Mno Usikate Tamaa Utafika Mbali
Nakupenda san harmonize
Umetisha brother by abubakar
Oyaa wakukaya ee baba nomaa,
Harmonize congratulations 🎉🎉
Konde hongera mm nakupongeza
Mimi
Omari
Shabani
Naprshete
Nakubali yuwajitaidi qwel
Kweli, love life konde village
Mimi wa kwanza
namukubali sana ❤❤
Waoow
Congratulations my brother
Umetisha konde ❤❤
Konde we njo wangu unaweza sana kbs na ubarikiwe sana
Eti wanaogopa maisha magumu😂
Nimecheka sana😂😂😂
Nyumba ya kupanga unamsifia kweli?mi mwenyewe nimemzidi maana naishi kwangu sijapanga hata kama ni kibanda
Kòman u ye afriken m yo🇭🇹🇭🇹🇭🇹
God bless you 🎉🎉
Asante sana harmonize
Ni cela aimbe na mwana mziki wa congo agressivo nyandoro
Namkubali kondeboy
hii nii nyumba ya harmonize ya kupangisha hesbu mwandishi wacha kurupuka rupuka , hii si nyumba yake
Mungu akuzidishie
😂😂uo ni uongo
Mbona gari hazina number plate arudishe magari show room
😂😂😂😂😂😅
Ma freemason ndo mnatwambia tunatafuta na jasho yetu na tutafika pole pole
Nakuunga mkono hawa ni waabudu shetani
Hongera.hamonise
Hongera sana
thanks my.bro
Nyumba zakupanga izo nikama janjaro alipanga ghorofa kubwa na uwoya wake kingineee magari mengi hapo angalia hayana plate number wanapgia picha
My favorite musician konde boy
Ni vzr zd kpambana
We ni mukali bro
Nyinyi WaTanzania mnatushangasha ni hizi mbwembwe zenu, mara nyumba ya kifahari ya Ryavani, sio ya Mr Pimbi, wala ya DC Mwijaku, na sasa ya Harmonize....hamwiishi na vituko na zarakazii.
Yupo vizr
Umetish baba
Hongera Sana
Mimi wewe nakuenda sana,onasema mathathiso rafikiago Alikiba assante napenda sana
Yake kweli maana wasanii bwana mimi huwa siwaamini kabisa
😂
Iyoo nyumba kapanga hakuna msanii anae weza kununua nyumba mbezi beach