Imani ni lazima iambatane na ufahamu, watu wajifunze kuukataa Utumwa wa kiimani kama hivi. tutambue Imani zetu na uwepo wa Imani za wengine, tuamini bila kubeza wengine. Kisha tupendane kama Mungu/Allah/Jehova anavyotupenda 🤝🏾
Diamond hakika wewe utafika mbali, ukimwinua Mungu,ukamuweka juu ya kilajambo lako ,basi nawe utabarikiwa milele na milele. Hongera sana kwa ubinifu huo. Wee ni mbunifu kwelikweli. Sasa upande wa pili cjui
Asante sana Nassibu Abduli Daymond MUNGU akubariki uendelee kumtukuza YESU bwana wetu bwana wa mabwana mfalme wa wafalme mfalme wa mbinguni na ufalme wake ni wa milele.na hakuna atakae ingia mbinguni bila kumpokea kumwamini na kumtumikia YESU kristo MASIA amen.
Ukiwa kiongozi lazima uende sawasawa ili kuondoa ubaguzi, lakini siyo kwamba Diamond kaiacha dini yake inampaswa afanye hivyo , sikilizeni vizuri (uongozi haujali dini) mnaojali dini mtapotea sanaaa
WCB itazidi kudumu daima kwa kwaakichwa hii ya nasibu kwa vijana ya TZ hili ni somo kubwa saana 🙌 watanzania tudumishe upendo Amani na imani kwa Mungu wetu ... Mungu wa mbinguni akutunze mr.nasibu 🙏😭
Ndugu Diamond mfungulie Yesu moyo wako aingie, Yesu yu mlangoni mwa mwoyo wako anabisha anataka aingie akuokoe. UFUNUO 3:20. Mungu alimtuma Yesu ili ukimwamini na kumpokea usipotee lakini uwe na uzima wa milele! Asante.
Mungu alimjalia mama yako kupata mtoto mzuri, mtii na mwenye upendo kwake na kwa jamii, unaejitambua na kuutambua wakati. Mungu azidi kukutunza na kukulinda.,,akakushindie dhidi ya maadui zako wote wa kiroho na kimwili.
What!!!!!!God bless you Diamond. We will continue to pray for you so that Jesus Christ becomes the Lord and saviour of your life and spend the rest of your life to serve God using His talents in you to campaign for Jesus Christ.
Nasibu nakupenda sana Mimi sikuwa shabiki wako lakini nimequndua wewe ni mtu mzuri sana mond munqu hakuzidishie na munqu hakuweke huzidi kumtanqaza halie jitoa kwa hajili yetu sisi wanadamu
Nawe usilete mambo ya Kusema ill neno Dini. Mpende Bwana watu Yesu Kristo kwani Bwana Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya watu Wote wapate wokovu, akusema wamfwate kwa Dini hapana, Ila Yeye ni noia ya kweli na Uzima, na uwezi fikk kwa baba MUNGU muumba bila yeye, kwa hiyo awe Mwisilam, au Dini yeyeote kila stake Mkili ya kuwa YESU KRIStO ni Bwana na Mwokozi ataokoka, kwa hiyo please uszungumzie udini, udini utakuwa wa kwao huo
Imani ni lazima iambatane na ufahamu, watu wajifunze kuukataa Utumwa wa kiimani kama hivi.
tutambue Imani zetu na uwepo wa Imani za wengine, tuamini bila kubeza wengine.
Kisha tupendane kama Mungu/Allah/Jehova anavyotupenda 🤝🏾
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu diamond, Yesu akusaidie na akuokoe
Amen
Upendo haujivuni,haubagui,hauna husda love you Jesus
Diamond hakika wewe utafika mbali, ukimwinua Mungu,ukamuweka juu ya kilajambo lako ,basi nawe utabarikiwa milele na milele. Hongera sana kwa ubinifu huo. Wee ni mbunifu kwelikweli. Sasa upande wa pili cjui
Hallelujah. Every tongue shall confess; Jesus Christ is LORD
Amen
Hallelujah 🙏🏾
Asante sana Nassibu Abduli Daymond MUNGU akubariki uendelee kumtukuza YESU bwana wetu bwana wa mabwana mfalme wa wafalme mfalme wa mbinguni na ufalme wake ni wa milele.na hakuna atakae ingia mbinguni bila kumpokea kumwamini na kumtumikia YESU kristo MASIA amen.
Umepotea weewe diamond amekosea sana
😂😂 we ni MUNGU au Allah@@Kimochatv
@@Kimochatvww haupaswi kimhukumu mtu,,,,
Ukiwa kiongozi lazima uende sawasawa ili kuondoa ubaguzi, lakini siyo kwamba Diamond kaiacha dini yake inampaswa afanye hivyo , sikilizeni vizuri (uongozi haujali dini) mnaojali dini mtapotea sanaaa
Wanaomtumikia yesu ni motoni lakin wanaomtumikia mwenyezi mungu ni peponi
WCB itazidi kudumu daima kwa kwaakichwa hii ya nasibu kwa vijana ya TZ hili ni somo kubwa saana 🙌 watanzania tudumishe upendo Amani na imani kwa Mungu wetu ... Mungu wa mbinguni akutunze mr.nasibu 🙏😭
Mungu akuongoze kijana wa taifa ktk maadili mema Hakika we nimfano kwa vijana wengine❤❤❤❤❤❤
👍That was a beautiful speech of Diamond.Every tongue will confess that Jesus Christ is Lord 🙏🙏🙏👏👏👏
Praise Lord 🙏🏼🙏🏼
Thank u Diamond God bless u 🙏🏼🙏🏼
May the LORD continue to lift you up even spiritual to.
Natamani kuamia tz lakini kupitia wasafi media nifika!!!my love to diamond, may God bless you n your teritory
Sikuwah kuwa shabik yko lkn kianzia leo we ndo msanii wang namn moja,huna ubaguz na utazid kubarikiwa tunaoamin tuseme''''Ameniii🙏
Karibu wcb for life
Thank you Mr.Simba,may God bless you for this.Amen
Mungu akuzidishie baraka tele 🙏
Yes kaka umepiga mwingi barikiwa sana sana
Amen🙏🙏 Diamond Platinum. May the Lord Jesus lift you up and make you his servant all your life. Be blessed 🙌
Amen
Hakika hakuna atakayesema hakusikia neno la Mungu....ubarikiwe Diamond🎉🎉🎉
Mungu akubariki Sana kwaku tambuwa kwamba mungu yupo.
Amen simba Wetu umeunguruma vizuri Sana mungu akupe maisha marefu sana
My God ama kweli Yesu yupo mlangoni na wanashangilia kabisa
Yaani!
I am very proud of Diamond platnumz. I wish you well in everything you do
Ndugu Diamond mfungulie Yesu moyo wako aingie, Yesu yu mlangoni mwa mwoyo wako anabisha anataka aingie akuokoe. UFUNUO 3:20.
Mungu alimtuma Yesu ili ukimwamini na kumpokea usipotee lakini uwe na uzima wa milele! Asante.
Nmemsikiliza Diamond kumbe ni mnyenyekevu mno. Diamond naseeb Mungu azidi kukufunulia makuu ili siku Moja Ufike kwake Mbinguni .
God bless you for supporting the gospel🇰🇪
Mungu Akuongoe Diamond
This guy! Very professional
Diamondi mungu akubariki zaidi kadri siku ziendavyoo🙏🙏🙏
Mungu awasaidie viongozi wote wa wasafi❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 diamond platnum kwa neno la mungu kweli upendo umoja ni kitu muhimu xana ktk maisha ya binadamu mungu akubariki xana
Barikiwa mondi ishi miaka mingi❤❤🎉
Safi mondi mungu ni mmoja ukiwa na elim ata ya Dunia lazima uwelewe safi
Wonderful speech❤❤
Natamani siku moja umwimbie
Mungu badala ya muziki itapendeza barikiwa kaka
D
Amazing Simba ndagote♥️♥️♥️♥️♥️
Wewe ni watofauti sana ahuna ubaguzi kipengele icho umekishinda umekuwa mtu Bora sana Naseeb Abdul. ( Diamond platnumz) congrats bro👏👍🔥🔥❤️❤️
Diamond YESU anakupenda❤❤❤
Amina.. be blessed Nasib Abdul
Mungu akutunze na kukuinua katika kazi zako DIAMOND PLUTNUM
Niwapongeze TZ kwa umoja without any discremination of religions therefore, shetani hana nafasi.
Mungu alimjalia mama yako kupata mtoto mzuri, mtii na mwenye upendo kwake na kwa jamii, unaejitambua na kuutambua wakati.
Mungu azidi kukutunza na kukulinda.,,akakushindie dhidi ya maadui zako wote wa kiroho na kimwili.
Yesu ni Bwana 🙏🙏 pray the Lord 🎉🎉🎉
Nakupenda waziri na Naseeb Mungu akubariki
Binadamu wote n sawa nd pia Mungu n mmoja💪🏾
Mungu akulinde mr nassib wewe ni mfani mwema wa kuigwa 👏👏👏👏👏👏
Umetisha Sana Kaka.
According mondi hongela sana
Mungu akulinde unajua upendo huna ubanguzi
What!!!!!!God bless you Diamond. We will continue to pray for you so that Jesus Christ becomes the Lord and saviour of your life and spend the rest of your life to serve God using His talents in you to campaign for Jesus Christ.
Amekuwa. Mungu akukuze, akulinde, akupe maongozi mema NASIBU.
Nasibu nakupenda sana Mimi sikuwa shabiki wako lakini nimequndua wewe ni mtu mzuri sana mond munqu hakuzidishie na munqu hakuweke huzidi kumtanqaza halie jitoa kwa hajili yetu sisi wanadamu
Ameeen mungu akutunze,IPO siku mungu atanena nawe
Jamani Diamondi kila sehemu una fit hakika Mungu ame kupa kitu moyoni na ndani yako
That's so good,,may GOD bless you Diamond Platinum
Wakenyà hoyeee 🙌
Diamond kwa kuchungulia fursa umetisha sana - hutaki hata shilingi moja ikupite ktk kila nyanja - daah ! wee kweli noma.
Diamond you smart ever see in this world you are to make every one proud of you
Amen good playa mungu akubariki
Asante Yesu.
Yesu Aokoe Diamond
Iinnalilah wainna illeh rajiun
❤❤❤❤❤❤apo ndipo unapoamini Muñgu alisema wakawanza wameisho wa mwisho wakawanza Ubarikiwe
Yesu ndiye njia ya uzima naipenda dini yangu ❤❤❤❤
Nawe usilete mambo ya Kusema ill neno Dini. Mpende Bwana watu Yesu Kristo kwani Bwana Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya watu Wote wapate wokovu, akusema wamfwate kwa Dini hapana, Ila Yeye ni noia ya kweli na Uzima, na uwezi fikk kwa baba MUNGU muumba bila yeye, kwa hiyo awe Mwisilam, au Dini yeyeote kila stake Mkili ya kuwa YESU KRIStO ni Bwana na Mwokozi ataokoka, kwa hiyo please uszungumzie udini, udini utakuwa wa kwao huo
Nimefurahi sana ❤❤❤❤❤❤❤
Wasafi Sunday worship ni ya kwetu sote!
God bless you in everything
Mungu akupe baraka nyingi
Kila atu utakoayopga mungu akutangulie
Ameen mungu akubaliki
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ ﴿١﴾
1. Sema: Enyi makafiri![1]
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ ﴿٢﴾
2. Siabudu yale mnayoyaabudu sasa.
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ ﴿٣﴾
3. Na wala nyinyi hamtoabudu Yule ninayemwabudu sasa.
وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَّا عَبَدتُّمْ ﴿٤﴾
4. Na wala mimi sitoabudu yale mliyoyaabudu nyuma.
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ ﴿٥﴾
5. Na wala nyinyi hamtoabudu Yule Ninayemwabudu.
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Safi San mungu akubarik
Ok nawe mungu akulinde
Asante sana broo wewe kumbe kila kona upo hakika mungu akurinde nakukuongezea maarifa hakika hii nimeipenda
Praise Jesus diamond keep it up
Umetisha Mondi
Utaokoka na utaimba gospel ukimtukuza mungu ,katika jina la yesu nimeomba na kuamini, Amen.
Amina kwa somo zuri
Mwenyez mung akufanyie wepes nimefulah san yan san umetish mwanang hakik ww niwapekee🙏🙏🙏🙏
Diamondi Mungu yupo na wewe fungua moyo wako,mungu akubariki
Endelea kuwanyoosha kaka yangu hakika utaendelea kuwa juu kama mawingu angani mungu akubariki san my favorite diomond platinum.
Mwana mpotevu
@@CecileNgendapasi wewe ndo umelost...endelea kutaabika😀😀
Dogo. Mungu akuzidishie amina
Thx❤I love you
Umetisha Mondi na team yakoi yote. Hongera kwa mgeni rasmi na waalikwa wote. Tanzania moja Mungu mmoja.
Hii Inapendeza Zaidi ❤❤❤❤❤
Napenda kazi yangu ichezwe kwenye wasafi tv na redio nifanyeje nisaidie tafadhali ubarikiwe sana
May God intervene in him in Jesus name I pray Amen
Safi sana diamond
Nice speech ,diamond God bless u
Barikiwa sana diamond 🙏❤️❤️
Hongera baba mchungaji mond
Ahsante bro
Wow amaizing ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu amulinde mwana mziki diamond platnumz
Ubarikiwe sana
Sikatai kila binadamu ana mapungufu ila huyu jamaa ana pepo yake kwa mungu.
Ww umenena ukweli kabisa madam mtu anakataza uovu nijambo jema dini imani tu
Ndo vizuri sana kwenda na upepo...nimekipenda sana...
wewe ni jembe mdogo wangu na utazidi kuwa jembe mungu akuinueeee
Upo vizuri sana simba
Much love brother ❤️❤️❤️🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana kaka
Diamond uko vizuri Mungu akubariki wewe na Team WCB nzima
Tamaa ya dunia...