Wangapi tulioangalia hii video kwaajili ya kujua diamond kachekeshwa kitu gani na leonard lakini hatujakiona hicho kipande..kama tumeliwa MB zetu gonga like hapa tujuane..😎🤔
nakukubali mwanangu sema now days kiwango kinashuka hebu umiza kichwa kama ambavyo ulikua unafanya mwanzo jitahidi fanya zaidi ya vile na naamini kwamba ukitulia unaweza na una kipaji kikubwa sana bro 🙏🙏🙏
Chuo cha ufundi chunya moravian VTC kinawakumbusha kwamba nafasi za electrical installation na secretarial zimebaki nafasi Sita tu. Jitahid kuwahi kwa uhakika wa ajira karibuni Sana..form zinapatkana kwa andeck mliman city kwa mlio Dar
Sasa hadi leo mnasali Ufalme ufike,akati ulishafika mda mrefu baada ya Kristo kufufuka.Na Kristo ndiye Mfalme Mbinguni na Duniani alipewa mamlaka na Mungu
@@mwankunjatyson kwani ww kwenye biblia hujayaona hayo? Au ww husomi biblia ? Mbn Qur an na Biblia zinakubaliana kua watakaoingia kwenye ufalme wa Mungu wataenda kustareheshwa kw MVINYO na WANAWAKE wazuri, ss kuna ubaya gani Mungu kukupa pongezi baada ya kumuamini na kumuabudu ulipokuwa hapa ulimweguni? Soma biblia ndio utajua kua hilo la pombe na WANAWAKE wazuri lipo ndugu, wala hapo hakuna jambo la kujadili mana ukishafanya kazi unasubiria malipo na malipo ya Mungu n kukueka kwenye maisha ya starehe milele na milele, ila kw mtu yyte mwenye akili hili suala la Mungu kuuliwa n viumbe wake haliwezi ingia akilini kabisa yan😂
hapo jamaa alisimama kama kusalimia kuna time mgeni unakuja kweny congregation mahali kama ni mtu maarufu unapewa nafasi ya kusalim ila jamaa anatisha yupo vzr sana
😂😂Kabisa mwanetu kama hii imekuwa kawaida ndomana hata watu kama hawajampa attention sana minong'ono imekuwa mingi coz hakuna punch aliyotoa, leo content nyepesi
@@RichMotherr sehemu ya comment ni kutoa mawazo mdogoangu, mawazo yangu hupaswi kujadili. Comments niwazo binafsi kwahy kua mpole, nenda sehemu yako kaombe like
Wangapi tulioangalia hii video kwaajili ya kujua diamond kachekeshwa kitu gani na leonard lakini hatujakiona hicho kipande..kama tumeliwa MB zetu gonga like hapa tujuane..😎🤔
😂😂😂
Kazingua uyu bwege
😂😂😂😂
Vidio
Dolphee QT msanii
Ametoa burudan nzur sana ila watu ndo shida, kwanza wanaongea kwa background ila Leonardo Ni Best Kwa Comedian
hao watu wanao ongea wanakela kinoma
Kweli kabis
The best freestyle comedian. Unajua sana mwanawasu
Kuchekesha sio makalio,.dogo anaweza
nakukubali mwanangu sema now days kiwango kinashuka hebu umiza kichwa kama ambavyo ulikua unafanya mwanzo jitahidi fanya zaidi ya vile na naamini kwamba ukitulia unaweza na una kipaji kikubwa sana bro 🙏🙏🙏
Kuna content zngne unaweza usielewe mfano circular motion kama hujagusa physics adv utahs jamaa anazngua😂
Kweli kaka sijui shida nini kaka😢😢😢
sure
We kwana weza kama hvy binadamu bwana kaah
Unarudia vitu mjomba sema fresh
Leonard anachekesha sana
Huyu mkaka ni noma
Anaweza kbc
this guy is very talented man
Chuo cha ufundi chunya moravian VTC kinawakumbusha kwamba nafasi za electrical installation na secretarial zimebaki nafasi Sita tu. Jitahid kuwahi kwa uhakika wa ajira karibuni Sana..form zinapatkana kwa andeck mliman city kwa mlio Dar
Bro God akupe moyo uleule🤓🤓
Ila Leonardo ety anapew tunda na tunda😂😂😂😂
SIMU YANGU IMEPASUKA KIOO NASHINDWA KUCHART NATAMANI KUJIBU COMMENT NASHINDWA DAH😢
Mafundi simu tupo kukuhudumia
Pole kwa simu
Comment hii umeandikaje😅😅😅😅
Iyo umejib nanini Acha uboya
Hatuna pessa najua unaomba msaada kiujanja
Namkubar sana huwa harudii sana stor zake
Mmmh we jamaaa big up sana
Sasa hadi leo mnasali Ufalme ufike,akati ulishafika mda mrefu baada ya Kristo kufufuka.Na Kristo ndiye Mfalme Mbinguni na Duniani alipewa mamlaka na Mungu
Unamuongealea huyu mungu alieuliwa na waja wake😂 Alhamdulillah I'm Muslim it's really blessings 🙏
@@abdulmohd6880 🤣🤣🤣🤣🤣 hongera ndg maana kitabu chenu kinasema peponi kuna pombe na wanawake it's so sad
@@abdulmohd6880 Muslims 😂😂😂😂😂
@@mwankunjatysonAkikujibu nishtue
@@mwankunjatyson kwani ww kwenye biblia hujayaona hayo? Au ww husomi biblia ? Mbn Qur an na Biblia zinakubaliana kua watakaoingia kwenye ufalme wa Mungu wataenda kustareheshwa kw MVINYO na WANAWAKE wazuri, ss kuna ubaya gani Mungu kukupa pongezi baada ya kumuamini na kumuabudu ulipokuwa hapa ulimweguni? Soma biblia ndio utajua kua hilo la pombe na WANAWAKE wazuri lipo ndugu, wala hapo hakuna jambo la kujadili mana ukishafanya kazi unasubiria malipo na malipo ya Mungu n kukueka kwenye maisha ya starehe milele na milele, ila kw mtu yyte mwenye akili hili suala la Mungu kuuliwa n viumbe wake haliwezi ingia akilini kabisa yan😂
hapo jamaa alisimama kama kusalimia kuna time mgeni unakuja kweny congregation mahali kama ni mtu maarufu unapewa nafasi ya kusalim ila jamaa anatisha yupo vzr sana
Eeeh kwel watu kiboko! Yani kama umesubiri kama mm uone Diamond 💎 akicheka hadi mwisho gonga like
Content now zinaishaa una mambo mengiii punguzaa Mwana wetuu
😂😂Kabisa mwanetu kama hii imekuwa kawaida ndomana hata watu kama hawajampa attention sana minong'ono imekuwa mingi coz hakuna punch aliyotoa, leo content nyepesi
Nakubali sana kijana
Umenenepa sasa hongera
Barikiwa kwa kukemea
😂😂😂😂😂hatari dogo anajua
Tunatengeneza sofa aina zote napatikana tabora mjini karibuni wateja
Namb za simu za whtsapp kak weka
Poa kamanda ongera
Weka namba za WhatsApp mzee
😊@@Taito-brand
UA-cam Ina delete automatically contact😂@@ndeleimanasayumwe670
Afu ume nenepa🎉🎉
Sawa ❤
Niko na Msetoo mwenye malaria anipeee😢😢😢
Huyu mpuuzi ni noma sana 😅😅😅😅
Mtu pekee anae pewa tunda na tunda 😂😂😂😂😂😂😂
perfomance kali ,wrong audience
Umegusa point
Dahh uyu jamaha nibalah ile mbaya
Ila leonardo😂😂😂
eti M imetoka amebaki na PC😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Umeua kpnz
Siku hizi hachekeshi kabsaaa
ngoma moto😂
Kumbe u straight umeisha
😂😂😂 unataka sema
@@mickylamar4625 Kajisema mwenyewe, karma ya kumtusi Mwamnyeto kila uchwao imemfanya ajitambulishe bila ya kujielewa
Ira bongo
Ni ila sio ira
Ninakukubali sana Mwamba
DAH KUCHEKESHA KAZIII
Simanjro 😊😊
Reonard nimekuelewa baba
Huy fundi kaka mwachee tuuuu 😅😅😅
Umiza kichwa kka umeanza kubweteka
Dg nyoko san 😂😂
Aaah jamani jamani huyu dg anajua
Watu wanacheka nini hapa watanzania mko nyuma sana kwa uchekeshaji
Wewe uko mbele unanini
@@PreslePresident😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
sasa mondi kacheka wap😮
TUNAUZA COMPUTER KWA BEI NAFUU SANA
Je wajua kwamba U.T.I inaongeza nguvu za kiume?
Yeah ckupingi
Ila Leonardo usingekua mchekeshaji ungekuwa mnene kumshinda hata mzee tupatupa
Kaz nzur
Nikweli diamond hatuj muon akichek
❤❤❤❤❤
Jee sifa za mond
Karudia punch line😢😢
Kiwango kimekushuka kaka kasana bn sijacheka ata😢😢😢
Umevurugwa na mapenzi
lipa madeni kula vizuri
Mapenzi 😂😂😂😂
Punguza stress
Punguza stress
Kiukwel Hii show haujachekesha leo😢
Dogo katupiga bana😅😅 unazungumziaje Msiba kwenye kuchekesha😅😅
Mbona kila kitu kimekaa poha
Me Produce natafta kaz jaman me pia msanii sina manager
Kalime mzee,ujiajili,vijana wenzio tupo tunapambana huku na kilimo
Ila DIMOND BWANAAA
Kachekeshwa kwa umaarufu wakutunza tatoo
Camera man una yumba
Miguu ilikuwa inauma kusimma ,pole tajiri 🙏🙈🙈
💪💪💪
Acha kurudia rudia, maneno ya kuchekesha..
Kasimame wew pale uone kama ni maandazi
Leonard we ni king of komedi
Unajua ila kuna namna itafute sauti
Tás em Tabora então para transferir para fora do pais
Ila MB zetu bana au nimeluka kile kipande anachekelea Diamond 😂 ebu nawaomba tulioluka tugonge like hata kumi jameni
Nana Sasa una jipya 😢😢😢😢
We 🔥
Sijui tumeanza kumzoea, au ndo kashapigwa kipaipai
kwan huyu nani!?
Wapi malando au
uzur wa komedian yyte ata awe amesimama bas unaweza kucheka bila kuchekesha
Kwanza watu wanapiga kelele
hakujiandaa hii
𝐋𝐞𝐨𝐧𝐚𝐫𝐝𝐨 𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢😂😂😂
Saw
shida mnarudia content mnakwama wap wakati mna muda wa kujiandaa wazee!!!!!!!!!!!! keep it on your mind wakuu
Eti pua hayitoshi 😂
umeanza kumkufuru mungu baadayakujiunga na iluminati
Tupo
Wasengetu
Show mbovu sana, sijaona ulichofanya kabisa
Kafanye wewe Kama unaweza ata hapo alipifika yeye😂😂Yani wabongo umaskini tu wa kufikiri
@@RichMotherr sehemu ya comment ni kutoa mawazo mdogoangu, mawazo yangu hupaswi kujadili. Comments niwazo binafsi kwahy kua mpole, nenda sehemu yako kaombe like
Weee hata hio mbovu umefanya?
We muongO'''
@RichMotherr Huda,
😂😂😂😂😂😂🎉
Jamani viwanja vina uzwa MILIONI 2.5 vipo chanika mjini
Tunafnyaje sas
😢😅
😂😂😂😂😂😂😂
Owden
👍👍👍
😂😂😂😂😂😂
Ieonard
Kamuulize bibi ako nyau wewe
Ahahahah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂