PASTOR DANIEL MGOGO AINGILIA SAKATA LA DIAMOND PLATNUMZ | SADAKA NI MALI YA MCHUNGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 бер 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 254

  • @florandesa6180
    @florandesa6180 3 місяці тому +32

    Mchungaji Mgongo yuko vizuri sana.🙏
    Hongera sana Mchungaji kwa majibu mazuri👏

  • @naomisidi2181
    @naomisidi2181 3 місяці тому +12

    Pastor Mgogo yuko sawa sana. Anahubiri true facts za maisha na dini. Nimefundishika sana na Pastor Mgogo.

  • @R_Hosanna_V
    @R_Hosanna_V 3 місяці тому +15

    Hakika huyu nimutumishi wa Mungu amekuja kutuhudumia Butembo DRC tume barikiwa sana Daniel Mungu akulinde

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 3 місяці тому +2

    Thank you so much pastor its very true what pastor is talking about May GOD guide you all the time and be blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️

  • @gilijacob3787
    @gilijacob3787 3 місяці тому +17

    Asnte pastor Mungu akubariki kwa maneno mazur ya kujenga kwa kila mtu🙏🏼🙏🏼

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 3 місяці тому +25

    Mchungaji mgogo ni genius 🔥 umejibu vyema sana

  • @DianeDavidBunuma-kd9hx
    @DianeDavidBunuma-kd9hx 4 місяці тому +27

    Baba mchungaji barikiwa sana kwa majibu mazuri❤

  • @HassanMwaki
    @HassanMwaki 3 місяці тому +4

    I love this studio thank u for beautiful programs keep up we re following u guys.

  • @dominicusulikaye4412
    @dominicusulikaye4412 4 місяці тому +10

    Safi sana. Naseeb. Mungu akubariki

  • @charleskyale9983
    @charleskyale9983 3 місяці тому +9

    NAPENDA EAST AFRICA RADIO , KENYA 🇰🇪 Nairobi.

  • @rosekawala5182
    @rosekawala5182 3 місяці тому +3

    Asante sana kwa maelezo ya sadaka. Makanisa mengi hayatoi maelezo kuhusu sadaka. Ubarikiwe sana

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 3 місяці тому +4

    Mgogo anajua sana ,hilo la ndoa ambazo zilishakufa ila watu wanaishi kwa sababu ya watoto na mimi ni mmoja wapo ,pengine mwenzangu anajua kuna ndoa ila moyoni hakika kama sio watoto wangu sitaki wateseke ningeshamuacha kitambo sana

  • @IzackMwimba
    @IzackMwimba 3 місяці тому +3

    Ongera sana Mtumishi wa Bwana,kwamajibu mazuri Mungu akulinde

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 3 місяці тому +2

    Huyu mchungaji yupo vzr🎉🎉🎉🎉 mwenyezi mungu Akulinde wewe na Familia nzima usiku na mchana.🙌🙌🙏

  • @saulikinahi6703
    @saulikinahi6703 4 місяці тому +27

    Mchungaji amejibu vyema sana, ana jitambua sana..

  • @omarabdalabacarabdala1572
    @omarabdalabacarabdala1572 3 місяці тому +3

    Ni kwel kabsa huyu pastar hakika mungu ambaliki sana Yuko vizur sana

  • @Masebrain
    @Masebrain 3 місяці тому +7

    All done pastor mgogo This is very really God bless you pastor❤

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 3 місяці тому +31

    Imani ya kufunga ni imani ya kujikana. Ni kuishinda hisia ya kunusa, kuonja, kuona, kugusa na kusikia chakula kikipikwa. Na si kutotaka kuona mtu anakula na wewe huli, kisha unataka anayekula asile mbele yako. Huo huitwa uoga wa kufunga. Na hapo siyo funga ya imani inayopaswa kujaribiwa, bali ni kujilazimisha kufunga au kulazimishwa kufunga wakati moyo wako hauna imani hiyo.

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 4 місяці тому +5

    Mtumishi wa Mungu. Huwaga nabarikiwa sana.nauwepo wako upo makini sana naimani ya kwel

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 місяці тому +11

    Nyama hazina shinda ni kula tu🎉🎉🎉🎉

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 4 місяці тому +14

    Mm nimekuja hapa kwasbb ya simba tu maisha marefu kwake 🤝

  • @johnbyani6888
    @johnbyani6888 3 місяці тому +6

    Mchungaji yuko vizuri sana Kila swali ana majibu

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 3 місяці тому

    ❤ Umeongea point pastor unajibu kwa hekima tujihadhari waimbaji wa mziki wa gospel Pesa isitutoe kwenye uwepo wa Mungu

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 3 місяці тому +4

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ❤❤

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 3 місяці тому +1

    Ameeen 🙏🙏🙏barikiwa MGOGO,usiusemee moyo🙏🙏

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 3 місяці тому +1

    Hapo kwa mfungo umenena vizuri sana ❤❤

  • @user-et2xl1gy2c
    @user-et2xl1gy2c 3 місяці тому +2

    Mchungaj mungu akabarki Sana Kwa ufafanuz mzur ubarkiwe Sana tunakupenda Sana sis vjana

  • @MaryyCarmen-kh1dh
    @MaryyCarmen-kh1dh 3 місяці тому +2

    Amen Mtumishi wa Bwana

  • @ncdfreezoneorganizationnfz3102
    @ncdfreezoneorganizationnfz3102 3 місяці тому +2

    Be blessed pastor

  • @witnesssenyagwa5334
    @witnesssenyagwa5334 3 місяці тому +5

    Ata kuwa na hekima ya maneno ni bonge la ZAWADI kutoka Kwa mungu ubarikiwe mtumishi 🙏

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 3 місяці тому +8

    Umejibu vizuri sana tunahitaji vijana waje kwa Yesu wamjue Yesu katika umri walionao yeyote aliyeona Diamond kufika kwenye mtoko wa Pasaka ni vibaya hajui maana ya injili ...Yesu hakuwafukuza bali aliwakumbatia. Tujifunze neno la Mungu tumjue Mungu kwenye neno lake tusikurupuke ukristo sio wa mtu binafsi. Yesu alikufa kwa ajili ya ulimwengu mzima plsss😊

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 3 місяці тому +3

      Duh msimzingizie yesu kila mtu na dhambi zake na pastor anataka sadaka ndio mana kila mtu pastor unataka pesa

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 3 місяці тому

      @@woah.africa99 karibu kwenye kazi ya Mungu uje kuvuna sadaka uone kama ni rahisi. Na ukishaona watu wa alia kuwa wanaibiwa sadaka ujue katika mwaka mzima sadaka yake haizidi hata elfu kumi acheni porojo

    • @asteriarngweshemi3783
      @asteriarngweshemi3783 3 місяці тому

      Mimi hilo kwangu nalitaman sana aokoke...ila shida iko kwa anaenwalika na vijineno anavyosemasema maana hatumskii nasib akisema kitu ila ndg yetu shusho sasa😢

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 місяці тому +15

    Mgogo yuko vizuri MUNGU hahitaji pesa anakuhitaji wewe ujitoe kwake kama sadaka.

  • @nikitamusafiri4090
    @nikitamusafiri4090 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe san Mchungaji hekima ni kitu Bora san majibu mazuri🔥🔥🙏

  • @user-hs6ih1ex9f
    @user-hs6ih1ex9f 3 місяці тому +1

    Yesu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 4 місяці тому +15

    ALICHOFANYA MAANA YAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI KUWA YESU NI BWANA

  • @LucyGodfrey-gh1ri
    @LucyGodfrey-gh1ri 3 місяці тому +1

    Mtumishi umeongea vizur sana ubarikiwe sana❤

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 3 місяці тому

    Thanks pastor 🙏🏽🙏🏽🙏🏽😇❤️❤️

  • @LucyDavid-ye4er
    @LucyDavid-ye4er 3 місяці тому

    Woow thanks pastor

  • @ShukuluMwalongo
    @ShukuluMwalongo 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana daniel mgogo kwamajibu yako mazuli

  • @FOUNDATIONTV6
    @FOUNDATIONTV6 4 місяці тому +9

    Kindly do research African was not created on religion but on spirituality

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 3 місяці тому

    ❤❤❤Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 5/5 umejibu vizuri sana

  • @annamussa185
    @annamussa185 3 місяці тому +3

    Kwanza mwili wa yesu hauna nyama za ng'ombe,Yesu alikuja Duniani kama binadamu na si Kama Ng'ombe

  • @risperomulo2894
    @risperomulo2894 3 місяці тому

    Uuuuh nzuri sana pongezi

  • @hezroncrisent5898
    @hezroncrisent5898 3 місяці тому

    Hiii imeendaa 🍎🍎♥️ mbarikiwe sanaaaaa ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @user-zt6eb7re4u
    @user-zt6eb7re4u 4 місяці тому +8

    Mm nawasikilisa tu na mm nikisoma text yenu😂😂😂 mugogo umeongea ukweli tulianza hotelini

  • @user-wl6tn9rb3w
    @user-wl6tn9rb3w 3 місяці тому +3

    Nyama haina uhusiano na Yesu 😂😂 Daniel nakupenda bure from kenya❤

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 4 місяці тому +9

    😂😂😂😂 huyu mchungaji kiboko eti tunafungisha ndoa kumbe wenzio washamaliza kila kitu wachungaji tunakuwa kama tunapasha kipolo 😂😂 kuna ukweli lakini

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 4 місяці тому +9

    Namtabilia msafi kwenda wasafi🤗

  • @user-mr6uk3lv1b
    @user-mr6uk3lv1b 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @nelykinigacomedian9484
    @nelykinigacomedian9484 3 місяці тому

    Umejibu vizuri sana mtumishi

  • @paschalhendri-ct5gr
    @paschalhendri-ct5gr 3 місяці тому

    Umenena vyema sana pastor mgogo

  • @user-lj4nb7oz7l
    @user-lj4nb7oz7l 3 місяці тому

    Asante sana mchungaji

  • @user-yk2ns6sk7v
    @user-yk2ns6sk7v 3 місяці тому

    Hongera sana mchungaji kwa majibu mazuri ubarikiwe sana upo sawa kabisa

  • @DiazPilipili
    @DiazPilipili 3 місяці тому

    Asante saaana mwalimu

  • @ShadrackMakelele
    @ShadrackMakelele 3 місяці тому +1

    Il était ici chez nous à Bukavu précisément à mon église sayuni il nous à manqué vrema, et nous prépare comment réussir à entré dans le royaume de Dieu Jésus Christ nous l'aimons bcp

    • @glorymwazyunga641
      @glorymwazyunga641 3 місяці тому

      Vraiment la parole de Dieu est nouvelle chaque jour. Felicitation d'avoir ce serviteur de Dieu

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 3 місяці тому +1

    Safii kabisa majibu mazuri Mutumishi

  • @user-ik9yc4xv6v
    @user-ik9yc4xv6v 3 місяці тому

    Barikiwa sana mchungaji kwa majibu.

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 3 місяці тому

    Huo ndiyo ukweli,adui atumia njia hiyo kuharibu kusudi la Mungu.Amen

  • @reeygeazy4908
    @reeygeazy4908 2 місяці тому

    Pastor 🎉🎉🎉❤

  • @h.akarim
    @h.akarim 4 місяці тому +18

    Nipo Congo 🇨🇩🔥☝️ gonga likes

    • @user-it8pu9od2w
      @user-it8pu9od2w 3 місяці тому

      Mambo ashura

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 3 місяці тому +1

      Hujaulizwa acha kiherehere 😊

    • @h.akarim
      @h.akarim 3 місяці тому

      @@highthemetv7857 tayari bwana we vipi 😂😂

  • @AsiaYohana
    @AsiaYohana 3 місяці тому +1

    Nakukubali sana mchungaji mgogo mungu aendelee kukutunza

  • @charlespolle8982
    @charlespolle8982 3 місяці тому +5

    Kabisa Diamond amekaribia 😊

  • @Dominant97
    @Dominant97 3 місяці тому

    Perfect pastor

  • @Esther-os7fi
    @Esther-os7fi 2 місяці тому

    Mungu aku inue mchungaji mgogo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому +1

    SANAAA. ANAKARIBIA KARIBU BA BWANA. MUNGU AMZIDISHIE IMANI NA UPENDO.

  • @user-rv7nm5ep4p
    @user-rv7nm5ep4p 3 місяці тому

    Safi sana mchungaji kwakweli mi nakukubali sana unaongeaga ukweli mtupu, Mungu azidi kukulinda na kukutumia apendavyo yeye.

  • @MrSalim1112
    @MrSalim1112 3 місяці тому +1

    Ijumaa nzuri

  • @richardmollely2933
    @richardmollely2933 3 місяці тому

    Pas uko vizuri sana kwa majibu mazuri

  • @MwogeyeEtienne
    @MwogeyeEtienne 3 місяці тому

    Namupenda muchunga anatu elimisha,kiimani barikiwa

  • @Noellaizerkadoko
    @Noellaizerkadoko 4 місяці тому +3

    Diamond yupo vizuri anahitaji kuombewa ili aokoke pia hongerasana Christina shushu hongera sana Rozimuhando.

    • @dr.madevualcantara4775
      @dr.madevualcantara4775 4 місяці тому

      Na aje tu mazima maana hajawahi kua ktk mila za Ibrahim na Is-haka wala Ismail..hakuwahi kua muislamu

    • @JacksonMsumi
      @JacksonMsumi 3 місяці тому

      Hta Yesu alisema fata maneno yangu na sio matendo yangu ,Simba hapo Hana baya Ani

    • @williamfrancis8724
      @williamfrancis8724 3 місяці тому +1

      ​@@JacksonMsumiAmna akuna andiko ilo

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 3 місяці тому

    Safi sana mchungaji mgogo

  • @mosesbarasa3804
    @mosesbarasa3804 3 місяці тому +3

    👍👍

  • @ebronpeter8454
    @ebronpeter8454 3 місяці тому

    Mchungaji Daniel Mgogo nimekuelewa Mungu amekupa hekima kubwa sana umejibu vema sana

  • @magembedaniel2179
    @magembedaniel2179 3 місяці тому +1

    Kweli kabisa wajina hiyo umesema kweli naunga mkono💪💪💪

  • @JudithChepkorir-vl1lu
    @JudithChepkorir-vl1lu 3 місяці тому

    Waas nyama sitawaiimis judii from Kenya

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 3 місяці тому +1

    Mchungaji ubarikiwe sana😂😂❤

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 4 місяці тому

    Good

  • @deusthomas3739
    @deusthomas3739 3 місяці тому

    Amina

  • @ccmtanga2023
    @ccmtanga2023 3 місяці тому +7

    Alichosema mchungaji kuhusu Diamond Platinum ni kwamba hakuna mkamilifu miongoni mwetu, sote ni wakosa na haina haja ya kushambuliana na kuitana wa peponi na wa motoni.!!!
    Pia ameshauri kuwa mtu anapokaribia kumrudia Mungu asibezwe na hayo ndio mafundisho ya dini.
    Hata Mitume ya Mungu ilikua inatumia lugha nyepesi,laini na ya upole katika kuongoa watu kutokama na neno la Mungu.
    Na huenda Mitume wangetumia kebehi,kejeli na ukali katika kufikisha neno la Mungu huenda hata sisi wa zama hizi dini zisingetufikia kabisa!!!
    Zaidi tunapotaka kumhukumu mtu tutumie vitabu vitakatifu vya Mungu na sio kutumia maono yetu binafsi.
    Hongera sana Mchungaji kwa kuwa muwazi na kutushauri kubase ktk vitabu vitakatifu vya Quran (muslims), bibble (Chritians) etc na sio kufuata mihemko yetu ktk kuamua mambo ya dini!!

  • @JacksonMsumi
    @JacksonMsumi 3 місяці тому +6

    Kama media mnadhani mtaweza kuleta chukizo baina ya dini zetu Kwa kuuliza maswali kama hayo basi sio Kwa nchi yetu dogo umefeli hapo ishu ya kutokula nyama IJUMAA KUU Fanya interview na kamati husika ya WAKATOLIKI UTAPATA majibu mazuri zaidi

    • @directorinyangeadriano5031
      @directorinyangeadriano5031 3 місяці тому +3

      Kwani kakosea wapi?Na Dini hapo imetokea wap ndugu? KWANI PASAKA NI KWAAJILI YA KAMATI YA WAKATOLIKI?

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 3 місяці тому

    ❤❤Safi sana

  • @GodwinPeter-gb4gp
    @GodwinPeter-gb4gp 3 місяці тому +5

    Pastor Mgogo ni mwamba sana has wauza mafuta wangekua kama huyu asee kwel ingependeza mno

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 3 місяці тому +1

    Pastor mgogo umejibu vyema Sana

  • @venanceanyimike407
    @venanceanyimike407 3 місяці тому

    Umejibu vizur sanamtu mishii

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 4 місяці тому +7

    Nyama hazina uhusiano na yesu,nyama zinaliwa tu hahahahaha

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 2 місяці тому

    Nimependa ana ubaguzi wakidini apo moyo wangu kautengeneza

  • @justinemasue6623
    @justinemasue6623 3 місяці тому

    Kweli

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth 3 місяці тому

    Waaaoooooh be Blessed 🙌 MTUMISHI Mgogo mstari wangu naupenda sana 🙏 😢 ZABURI133:1 Tazama jinsi ilivyo vyema nakupendeza NDUGU wakae PAMOJA kwa UMOJA.

  • @injilikitaa
    @injilikitaa 3 місяці тому +1

    Kulalana kabla ya ndoa ni kwamba baada ya ndoa utafanya kitu kama unapasha cabbages 😂🔥🔥🔥🙌

  • @moseslaizer7349
    @moseslaizer7349 3 місяці тому +1

    Hata mimi kwa kweli nyama sikuacha nilikula na kama ni kwa ajili ya Yesu imakaa sawa nimemla Yesu niko sawa

  • @KelvinKivamba-kl1ry
    @KelvinKivamba-kl1ry 3 місяці тому +8

    Tunao soma comment tujuane

  • @josephine753
    @josephine753 3 місяці тому

    Ubarikiwe mushungaji tafusiri yako Mungu akubariki sana

  • @davidsibejo4916
    @davidsibejo4916 4 місяці тому +5

    Kweli nimependa majibu yote

  • @allysaidyineehelpformaminc5021
    @allysaidyineehelpformaminc5021 4 місяці тому +5

    Hapo kwenye watoto ndoa nyingi ndo zinashikilia mchungaji anamajibu ya point

  • @ShadrackMakelele
    @ShadrackMakelele 3 місяці тому

    Que mon Dieu Jésus Christ Luis protège

  • @CelestinKasereka-ls4zo
    @CelestinKasereka-ls4zo 3 місяці тому

  • @chescoeliutakilemile3633
    @chescoeliutakilemile3633 3 місяці тому

    😊

  • @meshack3266
    @meshack3266 4 місяці тому +7

    Uchi kijamaa kunazidisha swaga adi kinaboa sasa kwani kuongea kawaida uwezi

    • @happinessmillinga387
      @happinessmillinga387 3 місяці тому

      japo umechapia (ashakum si matusi)ila nilikua naitafuta coment kama yako aisee umeona kama mm jamaa swaga zimepitiliza khaa hyo simu sasa inavyowekwa juu mara imewekwa huku mara kulee ili mradi tujue na yy ana macho ma3🤣🤣🤣

  • @Kajux97
    @Kajux97 3 місяці тому

    Vzur sn

  • @Mawaridi
    @Mawaridi 3 місяці тому +3

    Mchangani hapo kwenye nyama. Nenda ukachimbe vizuri mambo ya Imani angalia chanzo cha Kila kitu