Nothing better in the world than love that brings peace and joy to everyone.Diamond's love is so amazing from his bottom he had never left loving people behind.keep moving Simba God will fill you more
Ndugu diamond Yesu anakupenda sana namini mabadiliko nadalili yakumwamini Bwana YESU ikonaonekanandaniyako Yesu yukonabisha mlango kwako fungua moyowako Ubarikiwe
Nimefurai Sanaa Mungu akubariki uishi miaka mingi kwa kuwakumbuka wakristo wote na waimbaji wa Nyimbo za Injili Mungu ayalinde maisha yako yeye anakujua Zaidi,
Th Good thing is we are in Ramadhan and he is Muslim too but he is reading the Bible you see this???what do you think about that??God is Good in Muslim Religion this is Haram but bcz of God is Good and is king of Kings see now this hapeen i think no one can think when Diamond Platnumz can be in church to worship and read the Bible ?i m Happy for you Diamond God Bless you More you are the Best
MARAYA KWANZA NAANGALIA MAMBO YA Daimond yani hiyi Imenifurahisha Sawa Yesu Kristo ari fufuka sasaivi nimuzima na iko ndani Yetu mukono juuu kwa Bwana Yesu Kristo 🙏 🙏 🇧🇮
Ataokoka huyu hii ni mwanzo coz nliona haya maono 2016 nilishangaa Sana hata mengi yashatokea na sasa Mungu anashuhulika kwa ajili yake haki ni furaha ilioje akiokoka diamond mbinguni itakua shangwe tu Sana na inawezekana kwa Mungu.
You are mad and you are blind...hell it is your position until you see with spiritual eyes Fungua macho humuone ibilisi ...be Wise...tunajua Lucifer Passover do you know it's meaning
My prayer everyday is Diamond to accept to sing gospel music coz he will tourch so many lives may the Lord grant him the power n open his inner eyes to know the truth.
As people, we do not have differences. But we have different religions and that is OK because in the world there are other religions as well. Ever heard of them?
Pili Mwanza yeah....but the fight btw christians and islams has been long as to who is more powerful,Jesus or mohamed.....but in yesters show proved something else
Jehovah God of heaven and earth remember diamond save his soul one day in Jesus name that's my prayer's I see tears in my eyes us I see diamond one day this soul will reseave Jesus Christ🙏
Duh unbelievable kwa hili Diamonds umesema ukweri mtupu .Umekuwa shupavu Kweri kweri. Shukrani sana Endelea hivyo hivyo usirudi nyuma ndio kuwa mtu mkubwa wa kumiliki kazi kubwa. Ubarikiwe.
Mama Mohando mungu AJ bariki 🇰🇪🇰🇪ule wimbi wako wa nimeku kimbikia eewe bwana ndo ulikuwa wa kwanza kuujua miaka hiyo ya nyuma nilitamani kikiwa mkubwa nikufwa tilie... Sasa mm hapa Asante kwa huduma njema
Dimond Yesu ANAKUPENDA anahitaji afufuke upya kwenye maisha yako, unaposomea ujumbe huu ni vyema ukampa Yesu KRISTO maisha yako namaanisha uokoke, uongozwe sala ya toba na umkiri Yesu kwa kinywa chako kwamba ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yako, soma Yohana 1;16
Usiishie hapo mungu aliekukumbusha katika hili asiache kuzungumza nawewe waweza hisi n mapenzi yako lakin umeitii sauti ya mungu na akutazame akukumbuke zaidiii
Uko vizuri diamond vizuri uokoke YESU anakupenda sana
This man will shock many people....God's time is the best
Aky mungu akupe neema diamond uokoge ya ukweli na watu wengi wataokoga pia,,,,,,
Hii ndio maana ya msanii unajua nn Cha kufanya uvae vip nywele zikaeje uongee Nini kutokana na mazingira wallah nakupenda nasibu wetu❤
Ombi langu kubwa ni kumuona diamond akimkubali yesu kama mwokozi wa maisha yake,Oh Lord Jesus, please have mercy on him 🙏
Ashakua kitambo huyo. Kwani anaswali swala Tano huyo. Wasio swali swala Tano c ni wakristo. Ssa huyo ni WA christo
Amen!!!
Mchukuen tu wala hatumtaki kwenye dini yetu
@@hadijahassan-gs8vrKwa Kristiano anahitajika tutamuomba
Yes my Sister. God is able ufufuko wa YESU-KRISTU ume ipeya dini yetu wakristu usamaani. Kwa neema Mungu amokowe.
Mungu ariye muvuta paulo akuvute umtumikiye jehovah amen 🙏
Mtumishi wa MUNGU Diamond Platmuz ubarikiwe sana
Mungu akubariki sana Diamond, ulimi uliteleza sio alipozaliwa Bali , wakaone alipolazwa.
Big Up Kijana wetu, unaitendea haki Status Yako.
Yaani umependeza mno mno mno!!umevaa vizuri nywele umeziweka vizuri!then umejua kuongea,speech imekaa vzr.....hongera sana.Wokovu hauko mbali nawe kijana wetu.Barikiwa sana
Mungu amusaidiye sana
Aaamen 👏👏👏👏
Yaaani ni kweli amependeza
Amen
sana...
amekua gentleman 100%
much love Diamond
Amenyoaa nywelee akapendezaa sanaa
Uko vizuri sana Diamond Mungu aendelee kukutunza
HONGERA SAANA DIAMOND
AKILI MINGI MAFANIKIO MAKUBWA
GOD BLESS YOU ❤❤
accepting Jesus is the only thing which is payable no regretting,,,,,,,,,,, thumb up Diamond
Nothing better in the world than love that brings peace and joy to everyone.Diamond's love is so amazing from his bottom he had never left loving people behind.keep moving Simba God will fill you more
Nafurahi mpak machozi yanatoka.
Diamond unanifurahisha saan kwa kweli
Ndugu diamond Yesu anakupenda sana namini mabadiliko nadalili yakumwamini Bwana YESU ikonaonekanandaniyako Yesu yukonabisha mlango kwako fungua moyowako Ubarikiwe
Mungu wetu ukutunze baba Kwa hekima na busara aliyokujalia na upendo mkuu.Amina.
Nafurahi mpak machozi yanatoka.
Diamond unanifurahisha saan kwa kweli❤
Nikipi kilicho kufurahisha, sadiki?
Umeonae 👍🙏
Na aendelee kukufrahisha daima majuto ni baadae
Ninachopenda kwa huyu Diamond n moja , he is so loving ❤the speech is so on point ipo siku mungu atamtokea huyu dugu yetu
There is a revival coming in East Africa ,,,,of GOD,,, Jesus Christ be glorified
Diamond siku utaamua kumuiimbia BWANA YESU KRISTU, utashangaa baraka ambazo Mwenyezi Mungu atakubariki! Amen.
Diamond kuanzia leo nimekupenda❤❤❤❤❤ maongezi yako leo yako on another level
Nimefurai Sanaa Mungu akubariki uishi miaka mingi kwa kuwakumbuka wakristo wote na waimbaji wa Nyimbo za Injili Mungu ayalinde maisha yako yeye anakujua Zaidi,
Th Good thing is we are in Ramadhan and he is Muslim too but he is reading the Bible you see this???what do you think about that??God is Good in Muslim Religion this is Haram but bcz of God is Good and is king of Kings see now this hapeen i think no one can think when Diamond Platnumz can be in church to worship and read the Bible ?i m Happy for you Diamond God Bless you More you are the Best
MARAYA KWANZA NAANGALIA MAMBO YA Daimond yani hiyi Imenifurahisha Sawa Yesu Kristo ari fufuka sasaivi nimuzima na iko ndani Yetu mukono juuu kwa Bwana Yesu Kristo 🙏 🙏 🇧🇮
Diamond jaman huna baya kweli nakupenda sana Kaka yangu endelea kuwa na moyo huo usio bagua ❤️❤️ mtumishi
Umevaa vizuri nywele umeweziweka vizuri ila ulisahau kutoa heleni
I pray that one day diamond will accept Jesus Christ of Nazareth as His Lord and personal saviour
Mchukueni
Ataokoka huyu hii ni mwanzo coz nliona haya maono 2016 nilishangaa Sana hata mengi yashatokea na sasa Mungu anashuhulika kwa ajili yake haki ni furaha ilioje akiokoka diamond mbinguni itakua shangwe tu Sana na inawezekana kwa Mungu.
Yes ataokoka na ataimba nyimbo za injili
@@swabrakassim5661 wacheni ujinga Yesu ni Lord wa nani yeye Mtume wa mwenyezi Mungu
Ombi langu pia
I love you diamond 🙏🙏 mungu akulinde kila ufanyalo na liwe heri
am happy to see Diamond kulisoma neno la mungu ❤❤❤❤ diamond one day utamjua mungu saidi tunakupenda sana❤❤❤❤❤
Bibliya ina sema kila goti litapigwa nakila ulimi utakiri YESU ni bwana. Hongera sana .kwa ujasiri ume fanya
Heshima kubwa sana bwana Daimondi kutoka huku🇰🇪,Your flexibility Mr will take you far.
Simba kama Simba umetisha sana God bless more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu azidi kukuonekania Diamond na kujaze Imani zaidi...Mungu ni Mmoja tuu achana na hao wanakurushia maneno..ni mapepo yanatumia vinywa vyao kuongea
Ubarikiwe Sana wewe ndio kioo Cha jamii. Mungu ni wasote, si wamkristo, Wala waslamu. Mungu awe pamoja nawe siku zote za maisha yako na kazi zako🙏
Umepotea njia wewe nae
Waislamu tunaabudu mungu mmoja wakristo mna utatu hapo ndio mnapo potea na yesu kasema mungu mmoja huo utatu sijui mmeutowa wapi
Baba T , God protect u and bless u more. In the name Jesus of Nasareth. ❤️
Nimeipenda mwenyezi mungu akuepushe na mabaya ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Diamond, Mungu akubriki Sana nimefurahishwa Sana kusikia unasoma Biblia.
Diamond kwa wasanii wote wa secular nimekuvulia kofia kumbe unamheshimu mungu hivo hadi wasoma Biblia 👏👏
You are mad and you are blind...hell it is your position until you see with spiritual eyes Fungua macho humuone ibilisi ...be Wise...tunajua Lucifer Passover do you know it's meaning
Biblia ni kitabu tu kila mtu anaweza akasoma unaelewa maana ya Biblia kwanza
mwanzo wa kuitafuta pepo nikama huu,songa mbele mtumishi Yesu anasema ''MIMI NDIMI NJIA NA KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KUPITIA MIMI''
Mjue sana mungu ndipo update kufanikiwa
Mjuwe kwanza yesu ni nani ndio umfate yesu alikuwa anaingia msikitini wewe unaingia msikitini
Eti mtumishi yesu 😅😅 mtumishi wako?
Kweli leo njoatari akunamuchangomano katiyagugu na nangona hawawadada wafanye angalisho
Mungu wewe utaki kuwa Mungu tu nimefurai sana nashindwa namna yakuelezea
Nimekuelewa sana kamanda... Mungu akuzidishie maisha mema na marefu yenye furaha na aman.
Mungu akubariki Sana Diamond I love you so much ♥️🤝🤝🤝
Ubarikiwe, sana, diamond, nakupenda, sana, unajishusha, kabisa, Abaguwi, diamond, mutumuzuri, ya duniya, yata, isha, lakini, Mungu,, Atakuwa, mungu
Every knee shall bow and every tongue confess that Jesus is Lord.
Amen.
Amen
AMEN
You
Amen
My prayer everyday is Diamond to accept to sing gospel music coz he will tourch so many lives may the Lord grant him the power n open his inner eyes to know the truth.
Day dreamer 😮
Not only sing gospel but be a minister of gospel
All glory to God... Mungu wetu ajitukuza
Leo umenifurahisha baba, Mungu akuonekania
We pastor mzuri,hongera
Mungu anakupenda Sana mond umenifurahisha
True anampenda sana
Siku moja nilijikuta nawaza hivi itakuaje kama huyu msanii akimpa Yesu maisha😢👐👐
Yaan wengi sana wagemkili KRISTO kupitia yey na ata mboso
Tuangushie gospel moja bro,wengi watabarikiwa kupitia kwa sauti yako tamu
Diamond mpe yesu maisha nimeona wewe ni Kama mwinjilist okoka brother umwimbie yesu
Ubarikiwe sana mungu akupeke mafuta ya utumishi Diamond na ulitwe namungu kila hatuwa unayo chuwa
That's why I subscribe to your channel Diamond platnumz you really have a good heart you don't look at anything when you are supporting them
Woow God is good haki wapendeza kua pastor congrat kwa kunitia moyo kwa neno la mungu
Eeee Mwenyezi Mungu Movie Diamond Kiatu cha na umpe kiatu kiokovu, Awe mtumishi Wako wa kweli.
Umependeza sana mno. Na umeongea ukiwa umetuli sana . Ubarikiwe sana
Mungu wa mbingi na nchi azidi kukuinua Chibu viwango vya juu sana na akupe haja ya moyo wako libarikiwe tumbo lililokuzaa
Diamond hongera Sana kwa kulitaja jina la bwana wetu yesu kristo ,ila Kuna shekh moja anakudhihaki ,atauwona mkono wa mung
I like Diamond in whatever he does, he's the luckiest African man with many talents..
What GOD is great kama unaweza soma Bibilia karibu sana Kwa ukristo diamond we well come you
Mungu akubariki Sana Dayamodi Stephen from Nairobi Kenya
THANK YOU VERY MUCH DIAMOND ❤
Mwenyezi Mungu akubariki kwa roho kusaidia na kushiki kwa bega kwa bega. Wewe ni mtu wa watu kabisa.
Mungu akulinde baba lao#watching from Kenya
Hongera sana nasibu uyu kaka hanaga yoyo..wala no..yes kama wengine popote anapokua na amealikwa au shughuli yeyote
From to day I love you Diamond ❤
Love from Kenya..twapenda Tanzania
The unity my friend! congrats Tanzania
I wish all christians and islam could put out their differences and accept truly we are all one...big up diamond,may God bless you
As people, we do not have differences. But we have different religions and that is OK because in the world there are other religions as well. Ever heard of them?
Pili Mwanza yeah....but the fight btw christians and islams has been long as to who is more powerful,Jesus or mohamed.....but in yesters show proved something else
Lakum dinukum walyadin,
Kwn diamond nimtume mpk tumfate upuzi wake uyo ni kafiri km makafiri wengine taballakah ameangamia uyo..
Tatizo hawatukubali wanatuonea Sana wanahis wao wapo sehem sahihi kuliko ss apo tu mond shehe atamjaji
Jesus can save him and use him in a divine way remember he saved Saul
Jehovah God of heaven and earth remember diamond save his soul one day in Jesus name that's my prayer's I see tears in my eyes us I see diamond one day this soul will reseave Jesus Christ🙏
Mungu akubariki sana kakaa umemgusa mungu hujui tu ila mungu atkuheshimisha
Umeshakufuru ww
Kwani ana uislam up kajichora mwili mzima watoto wa nje kibao kuoa kwake tabu
Yani sijawahi kuona watu wanacheza na dini kama huyu mbwa kweli
Mikono ya Yesu ni mizuri sana ,🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🙌🙌
Yani uyu kaka juuu zaidi m'y brether from Burundi tunakupenda saaana
Ni maombi yangu utamkubali Yesu na utamtumikia mpaka mwisho wa maisha yako siyo kukoti mistari tu. ubarikiwe
Badala ya kumtumikia Mungu mnamtumikia yesu like seriously 😏😏😏
Leo pelekeni maji yameisha kwenye pops 😂
@@salmamsangi6676shida yako ni gani?Kupitia kwake tumekombolewa huezi mwelewa na canal eye's
Daimond anachembe hai za yesu ❤❤❤❤
Kwa mwislam na msanii kukiri kuwa Yesu amefufuka Ni hatua kubwa Sana Mungu akuongoze Platinum
Nice to see how diamond plat akiihubiri si aokoke atoke kwa wasafi alaaaa
Very powerful speech,God bless you.
Mungu akubarik Sana sababu hukujali dini Yako n,pi ila umeamua kuongea neno la mungu Mungu akubarik sana
Wow! Nasib you make me happy! You are always bright!
Be blessed Diamond Jesus is only king of king n the Lord of Lord trust in Him u will see his mercy n goodness
Mungu azidi kukubariki sana...i wish one day you will join them on this journey
Congrats Sana brother D, Mungu akubariki sana
Good, your are looking so smart, good speech, may Good bless you. Jesus loves you
Wow amazing love you for free and God bless you.
Duh unbelievable kwa hili Diamonds umesema ukweri mtupu .Umekuwa shupavu Kweri kweri. Shukrani sana Endelea hivyo
hivyo usirudi nyuma ndio kuwa mtu mkubwa wa kumiliki kazi kubwa. Ubarikiwe.
Mama Mohando mungu AJ bariki 🇰🇪🇰🇪ule wimbi wako wa nimeku kimbikia eewe bwana ndo ulikuwa wa kwanza kuujua miaka hiyo ya nyuma nilitamani kikiwa mkubwa nikufwa tilie... Sasa mm hapa Asante kwa huduma njema
May the grace locates diamond and break all protocols that ties him towards christ
Like seriously ❤❤❤❤ diamond platinum may God bless you
Hallelujah by diamond you can't die b4 you confess christ
Be blessed our Tz icon
Neno la Mungu sio kitu cha kuchezea, Mungu hazihakiwi ndo mana umekosea baada ya kusema njooni muone alipolazwa...anasema njooni muone alipozaliwa😢😢😢
Duuu wanadamu,,hivi wewe hujawahi kukosea kusomA biblia
👏👏👏👏👌 hongera sana Diamond
Mathayo26 nakubaliiiiiii Jesus bless u
JESUS IS MY LORD LET HIM BEING YOUR LORD TOO I LOVE MY GOD THROUGH JESUS
Diamond kubalitu yesu boss ukoka baba sababu Mungu anakupenda neema bado iko