AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Zoravo - KILA ULIMI (Official Live Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #KILA ULIMI, ni wimbo wa Nne katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
    Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
    Tunaamini wimbo huu utaenda kufanyika Baraka katika maisha yako. MUNGU AKUBARIKI.
    LYRICS
    Iweni na nia iyo, hiyo
    ndani yenu
    ambayo (ambayo)
    Ilikuwemo pia ndani ya Kristo Yesu ( Kristo Yesu)
    Ambaye (ambaye)
    Yeye mwanzo (Yeye mwanzo)
    Alikuwa Yu na namna ya MUNGU
    Naye hakuona
    kule kuwa sawa na MUNGU
    Kuwa ni kitu
    Cha kushikamana nacho
    Bali alijifanya
    kuwa hana utukufu
    Akatwaa namna ya mtumwa
    Akawa mfano wa mwanadamu (wa mwanadamu)
    huyu YESU (huyu YESU)
    Tena alipo onekana
    Ana mwili kama mwanadamu
    Alijinyenyekeza
    Akawa mtii
    Hata mauti na mauti ya Msalaba
    (Mauti ya Msalaba)
    Kwa hiyo tena MUNGU
    Alimwadhimisha mno
    Akamkirimia jina
    Lile lipitalo kila jina
    Ili kwa jina la YESU
    Kila goti lipigwe
    Na kila ulimi ukiri
    Na kila ulimi ukiri
    Ya kuwa YESU Kristo
    Ni Bwana
    Kwa utukufu wa MUNGU Baba
    Utukufu wa MUNGU Baba
    Special Thanks
    AICT CHANG'OMBE CHURCH
    Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
    CREDITS.
    Song writer - Elisha Gerlad
    AICT Chang'ombe Church
    AIC Chang'ombe Choir (CVC)
    MUSIC DEPARTMENT
    Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
    Elisha Gurlaty (AUX 1)
    Elia Mahuna (AUX 3)
    Onesmo Peter (AUX 2)
    Emmanuel Yusuph (BASS)
    Daniel (LEAD GUITAR)
    Mayala Bubele (TRUMPET)
    Charles Stenson (TROMBONE)
    Meshack Wilson (TROMBONE)
    Eliya Makaya (ALTO SAX)
    Raphael Luhende (ALTO SAX)
    Samson Mathew (DRUMS)
    Video production - CVC Media
    Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
    Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
    Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro

КОМЕНТАРІ • 621

  • @AICTChangombeChoir_
    @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому +86

    Baada ya #KilaUlimi kukiri kuwa Yesu ni Bwana.
    IJUMAA HII TAR 22/03 TUNA SURPRISE TUMEKUANDALIA KWENYE AUDIO PLATFORMS ZOTE 🔥🔥🔥
    -Apple Music
    -Spotify
    -Boomplay
    -Audiomack
    -Deezer
    -Amazon Music
    -Tidal
    NA ZINGINE NYINGI………..
    MUDA NI ULE ULE SAA SABA MCHANA(1300hrs) 😊
    Tunapatikana kwa jina moja tu la (AIC Chang’ombe Choir ) kwenye platform zote.

    • @elishapembese1963
      @elishapembese1963 5 місяців тому +3

      song writter Elisha Gerlad ndio yupi?

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому +1

      @@elishapembese1963 0:10 huyu anaeonekana kwenye hiyo dakika

    • @elishapembese1963
      @elishapembese1963 5 місяців тому

      Okay anyecheza piano eeeh?

    • @elishapembese1963
      @elishapembese1963 5 місяців тому +3

      Hongera yake Sana ....wimbo Una power kubwa na walioimba wameubeba vizuri. Hongereni Sana watumishi I'm inspired alot

    • @felixmusila4692
      @felixmusila4692 5 місяців тому +5

      Following from Canada and definitely I will follow you on every platform. You such a blessing…

  • @michaellutonjagospelsinger6611
    @michaellutonjagospelsinger6611 5 місяців тому +142

    Naomba like kwa mpiga keyboard

  • @agnessboaz7349
    @agnessboaz7349 5 місяців тому +21

    MTUNZI NI NANI ? MUNGU AKUBARIKI KOKOTE ULIKO

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 5 місяців тому +12

    WIMBO WENYE PUMZI YA MUNGU (TOKA KWENYE MAANDIKO)
    Wafilipi 2:5-11, 5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
    [6]ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
    [7]bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
    [8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
    [9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
    [11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
    MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA YENU YA UUMBAJI❤

  • @AbigaelKivuyo
    @AbigaelKivuyo 5 місяців тому +10

    Nimebarikiwa sana na huu wimbo 🔥🔥🔥🔥. Kama na ww umebarikiwa gonga like❤

  • @raymsanii
    @raymsanii 3 місяці тому +40

    Mnaoshinda kuandika hapa ati rudini kwa AIC ya zamani naomba niwaambie mna shida, na sio kwa ubaya but that is very hypocritical of you to even say in the first place🙄Growth is inevitable, hata wewe hivi ulivyo si basi ungekosa kugrow ubaki ulivyo kuwa baada ya kuzaliwa? If you dont want to support this great ministry ni sawa, but kuongea maneno yasiyo na msingi ni vibaya sana! Again I repeat, Growth is Inevitable!!! Good song fam, beautiful dance for God, beautiful dressing, beautiful singing, band top notch, I love this new AIC and I look forward even to better and best pieces to come❣❣❣❣❣🤝🏽

    • @rich-lr8tq
      @rich-lr8tq 2 місяці тому +1

      0 seconds ago
      as much as i know AIC huwa haina limitations katika uimbaji, so you are very correct

    • @ibrahimbaruch2743
      @ibrahimbaruch2743 Місяць тому

      Some people are just rigid and resistant to change. As if the Bible illustrates how Christian music should be done. Change is inevitable

    • @jerrysonjulius7106
      @jerrysonjulius7106 29 днів тому +1

      Acha watu watoe maoni yao,, kila mtu ako na haki ya kutoa maoni yake mm naona zamani walikuwa sawa kuliko sasa

    • @marrypius576
      @marrypius576 25 днів тому

      ​@@jerrysonjulius7106mbona wew ujabaki kama zamani 😂😂😂

    • @alicedickson5538
      @alicedickson5538 23 дні тому

      Well said my dear umemaliza yoote

  • @meshackmarco152
    @meshackmarco152 5 місяців тому +10

    Hakuna jambo linanipa faraja kama kuona Vijana wadogo wakitoa muda wao kwa ajili ya kuinua jina la Yesu

  • @brightonisaack1722
    @brightonisaack1722 5 місяців тому +9

    Yeleuwiiiii🔥🔥🙌🙌Huu wimbo hauchoshi jamani🔥 TUJUANE TUNAORUDIA RUDIA😀🙌🙌🙌

  • @paultimotheo5200
    @paultimotheo5200 5 місяців тому +7

    KWAYA NAMBA MOJA TANZANIA🙌🙌🙌

  • @katunzijasson5410
    @katunzijasson5410 5 місяців тому +11

    Kwaya kongwe yenye ubora wakileo hata katika umri wake wa muda mrefu...kazi nzuri hongereni AIC KAZI MWAIFANYA MTALIPWA KWA KIPIMO CHENU

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 5 місяців тому +10

    CVC ft ZORAVO TOGETHER. MY GOD BLESS YOU ALL🎉🎉🎉. Kazi yenu ni njema. ❤❤❤

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому +2

      Amen 🙏🏾

    • @user-mt4bt7mk3n
      @user-mt4bt7mk3n 5 місяців тому

      Mbarikiwe sana, nataman kuona Wimbo wa Masoro wenu wa siku zote, wakiimba pamoja, nitabarikiwe sana✊​@@AICTChangombeChoir_

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 5 місяців тому +13

    Mpiga keyboard ainuliwe sana kwa kazi nzuri na kuonesha ushirikiano wa kucheza,kamshahara kaongezwe please 😂😂😂

  • @freedriwa7050
    @freedriwa7050 5 місяців тому +10

    I can only imagine how Heaven is going to be..🔥🔥

  • @amoserasto8001
    @amoserasto8001 5 місяців тому +10

    Mungu awainue na awatunze kwa Kazi nzuri kama Hii, Wimbo mzuri na Waimbaji wote wameimba vizuri Sana sana, I like it❤❤❤

  • @phylisobayo319
    @phylisobayo319 5 місяців тому +10

    Kudos to the drummer and everyone.
    This is powerful 👏 🙌 👌

  • @user-ho2ve4oi4q
    @user-ho2ve4oi4q 5 місяців тому +9

    Duuuuuuu nihatar nilijua moyo do wimb pekee nilio upend kumbe bad kuna nyimbo bhan Hii ni hatar san hongera san san

  • @JoshyKaji
    @JoshyKaji 5 місяців тому +10

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Asante sana YESU, upendo ulionipenda nimeuona na waajabu nakutisha sanaaa

  • @pst.stanleynnko5821
    @pst.stanleynnko5821 4 місяці тому +10

    Jamani Yesu amejibu maombi yangu natamani kuendelea kuwaona CVC kwenye ivi viwango zaidi na zaidi. Yamekuwa maombi yangu yamuda mrefu Asante Yesu wewe unajibu😭😭

    • @rachelsenni8919
      @rachelsenni8919 4 місяці тому +1

      Amen. Barikiwa sana kutuombea na tunaomba uendelee kutuombea sana.

    • @JuniorKim-gj9lp
      @JuniorKim-gj9lp 3 місяці тому +1

      MUNGU akubariki

  • @zachariamabina2923
    @zachariamabina2923 5 місяців тому +11

    Basst apewe Maua yake na yude dada mwenye nguo ya kijani dahh anajua wengine tuna wajua wako on 🔥🔥🔥 hii Ni Kali kushinda zote

  • @JohnImmah
    @JohnImmah 5 місяців тому +9

    This is super ❤❤..... Aic chang'ombe mna kiti chenu pamoja na Wazee 24 Kwenye kiti Cha enzi MUNGU awabarikii hii nimeipenda Sanaa everything is well ❤️‍🩹❤️‍🩹

  • @ayubumani4613
    @ayubumani4613 5 місяців тому +6

    Elohimu , Moyo , Kila ulimi
    Nipo kwa karibu sana
    Zinaimba kwenye system yangu ya spika nne mziki mzuri
    Ujumbe mzuri
    Uchezaji sasa dah na enjoy
    Aic Chang'ombe nina nyimbo zenu nyingi za tangu kipindi hicho cha
    Haleluya Mwimbieni bwana wimbo mpya sifa zake zivume katika kusanyiko .......
    Jamani Vocal sasa dah
    Acha niishie hapa❤

    • @dicksonsenni9109
      @dicksonsenni9109 5 місяців тому

      Ubarikiwe. endelea kuwa hewani zipo na nyingine nyingi zinakuja. Julisha na wengine Nao wazidi Kubarikiwa

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 5 місяців тому +7

    Inaleta raha kuona vijana wengi wanamtukuza mungu wetu mmbarikiwe sanaaa

  • @merumount5988
    @merumount5988 5 місяців тому +7

    Mubarikiwe watumishi wa Mungu..Utukufu kwake Mungu Mkuu sana...!
    Nidhamu ya juu sana, mavazi, vitendo, upigaji vyombo..real wonderful!!

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 5 місяців тому +7

    Jamari kwayesu ni raha sanaaaa kila ulimi na ukiri kua yesu kristu ni bwanaaaaaaaa🎉❤❤❤❤🎉haleyuaaaa hosaaanaa

  • @tusekileiseme2639
    @tusekileiseme2639 5 місяців тому +8

    Wimbo mzuri sana.
    Hongereni sana CVC kwa kazi nzuri.
    Mungu azidi kuwabariki.

  • @johncharlessingano8551
    @johncharlessingano8551 5 місяців тому +10

    Bethel GOSPEL SINGERS. TUNAWAPONGEZA CVC KWA KAZI NZURI

  • @quenlameck2835
    @quenlameck2835 5 місяців тому +8

    Zoravo's voice ni manukato❤❤

  • @manmaking7717
    @manmaking7717 5 місяців тому +6

    Mnaokumbuka wimbo wa Halleluya mwimbieni Bwana Wimbo mpya wapiiiiii!

  • @zachariamabina2923
    @zachariamabina2923 5 місяців тому +9

    Tuna angalia kila muda

  • @jamesandulile1894
    @jamesandulile1894 4 місяці тому +9

    Very Very Powerful Message,
    Trust me, kuna Nguvu inatembea na huu wimbo

  • @sabunifeleshi7563
    @sabunifeleshi7563 5 місяців тому +6

    Mungu ni mwema , injili lazima ipelekwe kwa mataifa Yesu Kristo alituachia maangizo

  • @thomaslukubi7299
    @thomaslukubi7299 5 місяців тому +7

    What a combination CVC +Zoravo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josueuwimana1444
    @josueuwimana1444 5 місяців тому +6

    yusu mwana wa Mungu upewe sifa zote Baba unasistahili milele

  • @felixmusila4692
    @felixmusila4692 5 місяців тому +8

    From Canada we are blessed.

  • @jamesfrank5703
    @jamesfrank5703 5 місяців тому +8

    Sitaionea haya injili ya Mungu, maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu......

  • @lourdeslida1457
    @lourdeslida1457 5 місяців тому +5

    Na kila ulimi ukiri ya kuwa Yesu kristo ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba🙌🙌🙌

  • @dorcastesha423
    @dorcastesha423 4 місяці тому +6

    hii nyimbo nyie tena hcho kipengele cha ''kwahyo tena Mungu alimwadhimisha mno akimkirimia jina jina lipitalo kila jina ili kwa hilo jina kila goti lipigwe na kila ulimi ukiri'' 🙌🙌🙌 ur the best u guyz😘😘

  • @joellumala3206
    @joellumala3206 5 місяців тому +5

    Pasaka hii #Kila_Ulimi Utakili!
    Blessed morning.,

  • @janemoraa9997
    @janemoraa9997 5 місяців тому +6

    Hongereni Soloists na CVC kwa kazi njema.
    Keep Glorifying the Lord!

  • @bethuelnatembeya5342
    @bethuelnatembeya5342 5 місяців тому +6

    Kwa yesu kuna raha

  • @justuskiptoo3395
    @justuskiptoo3395 5 місяців тому +6

    Another One: Ambaye Yeye Mwanzo😊😊!

  • @agnessboaz7349
    @agnessboaz7349 5 місяців тому +5

    Namuona bonge grace mtoto wa mama tunda la roho buzuluga choir hongereni sana kwa huduma wimbo mzuri❤

  • @eliasmateko4462
    @eliasmateko4462 5 місяців тому +5

    Blessed be the name of God
    We finalize March in the abundance of blessings from my favourite choir
    Ameeeeenn

  • @milkakasebele1088
    @milkakasebele1088 5 місяців тому +6

    Huu wimb ni moto mung awabariki Zaid na zaid

  • @eliemwandaza2483
    @eliemwandaza2483 5 місяців тому +7

    Huu wimbo Una nguvu Mbarikiwe wa tumishi kwa kumuinuwa Yesu kwa namna ya kipekee

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 5 місяців тому +6

    Zoravooooooooo.......oyooooh.......hongereni Chang,ombe Aic.......hubiriniiiiii

  • @juntwakabete1664
    @juntwakabete1664 5 місяців тому +5

    Zoravo ft mfello🔥🔥

  • @lilianjumba3298
    @lilianjumba3298 5 місяців тому +6

    Naomba mje huku kwetu Kenya thika AP chapel mtufunze tufike hapo

    • @dicksonsenni9109
      @dicksonsenni9109 5 місяців тому

      Tunashukuru kwa mwaliko. Tuzidi kuombeana na kuna siku Mungu atafungua njia tutafika. Mubarikiwe

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому

      Amen 🙏🏾
      Kwa neema ya Mungu tutafika

  • @sheilapande9024
    @sheilapande9024 5 місяців тому +6

    The feeling of a choir and a modern touch. This very beautiful

  • @amoserasto8001
    @amoserasto8001 5 місяців тому +12

    Huyo dada aliyeimba Wimbo wa Moyo pamoja Mfello kwenye Pasaka mnikumbushe Nitakuwa na Zawadi yenu..
    Naomba nimjue jina huyo dada aliyeimba Moyo ananibariki Mno🙏🙏😇

  • @zablonimazengo2117
    @zablonimazengo2117 5 місяців тому +5

    Sauti ya Zoravo Ina UPAKO saana🙇🏾‍♂️😫🙌🏼

  • @CareenDenis
    @CareenDenis 5 місяців тому +6

    May God bless you family in Jesus Christ

  • @joshuamwakatobe3988
    @joshuamwakatobe3988 5 місяців тому +7

    Aiseee Mungu anainuliwa

  • @mwlkimath1539
    @mwlkimath1539 5 місяців тому +4

    Glory to God
    Hakika CVC Mungu awakuze zaidi na zaidi Mungu azidi kuongezeka kwenu Daima na nyie mpungue
    Uso wa Mungu uende nanyi Daima
    MSIGOMBANE NJIANI

  • @mwanjokaully4904
    @mwanjokaully4904 5 місяців тому +6

    kuna huyo mwamba ameimba kama joellwaga 😅🙌

  • @elizabethyusuph9221
    @elizabethyusuph9221 4 місяці тому +7

    Asante Yesu kwa kunifia msalabani...ninakiri kuwa wewe ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu 🙏

  • @JacksonLazaro-mm3qs
    @JacksonLazaro-mm3qs 5 місяців тому +4

    ❤❤Naipenda Sana yule mama mwembamba mweusi mwenye sauty Nyoro yupo wapi???2024

  • @benjaminsamwel5059
    @benjaminsamwel5059 5 місяців тому +6

    Zoravo your blessed voice, and U bless us

  • @innogmsuya_minister4953
    @innogmsuya_minister4953 5 місяців тому +8

    Mfeloooo 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rebekajilo
    @rebekajilo 5 місяців тому +4

    my favorite choir be blessed

  • @noelshipella2689
    @noelshipella2689 5 місяців тому +7

    This is the gospel song

  • @NicholasKanzi
    @NicholasKanzi 5 місяців тому +7

    May God bless u,karibu kenya

  • @gitiganiibrahimdanhi7692
    @gitiganiibrahimdanhi7692 5 місяців тому +5

    Mubarikiwe Sana Watumishi wa Jehovah 🙏🙏🙏

  • @user-im7ym7ly8g
    @user-im7ym7ly8g 5 місяців тому +5

    ELISHA GERALD POPOTE ULIPO HONGERA KWA UANDISHI MZURI.... THIS SONG IS A Jam

  • @princessanne1270
    @princessanne1270 5 місяців тому +4

    ZORAVO NA MFELO WHAT A COLLABO🔥🔥🔥

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 5 місяців тому +4

    Aisee nyimbo zinamafuta ya roho mtakatifu aisee mnafanya kweli kristo awainue sana

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому +1

      Amen 🙏🏾

    • @victoriansolo3842
      @victoriansolo3842 5 місяців тому +1

      Amina

    • @NdiseProtasy
      @NdiseProtasy 5 місяців тому

      Mungu Abariki mbegu mnayoipanda Kwake, Mungu awape Baraka mpate Hitaji la mioyo Yenu Mfanikiwe wote mjikite kwake2❤❤❤🎉Nawapenda sana

  • @suzielomyan4565
    @suzielomyan4565 5 місяців тому +6

    best choir ever

  • @jamesjohn2601
    @jamesjohn2601 5 місяців тому +5

    mbarikiwe sana.

  • @barakachiboni3973
    @barakachiboni3973 5 місяців тому +5

    Daah kwa kweli nimesisimuka hatari

  • @bahatkisam8367
    @bahatkisam8367 5 місяців тому +5

    ❤❤❤
    When words fails, let worship speaks

  • @andrewmatheka9749
    @andrewmatheka9749 5 місяців тому +6

    Watching from Kenya ,my all time favorite choir...be blessed Aic changombe..yesu kristo ni bwaaana

  • @IssackMfelo
    @IssackMfelo 5 місяців тому +6

    Watu tunapokea baraka kupitia nyimbo

  • @vascosteven3928
    @vascosteven3928 5 місяців тому +8

    Jamani waimbaji aic changombe nawasihi kwa jina la mwenyezi Mungu wapendwa. Turudi kwa mfumo wetu wa zamani.

    • @felixjunior4772
      @felixjunior4772 5 місяців тому +1

      Unataka waimbie kwenye majani ndio ulivyowazoea?

    • @meshackmarco152
      @meshackmarco152 5 місяців тому +1

      Relax pls

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  5 місяців тому +2

      Upi huo mtumishi?

    • @jantsjefta8381
      @jantsjefta8381 5 місяців тому +2

      😅 mtumishi naomba usikilize t ujumbe wa neno la mungu haya mengne yanapita t kulingana na nyakat na muda tuliopo saiv nadhan hata ww huwa unabdili mavazi sidhan kama nguo yako ya miaka 20 iliyopita bado unaivaaa bali unadili nguo lakn bado inaitwa vazi ndiyo maan na wao wanaimba hivi saiv

    • @AtupokileEliass
      @AtupokileEliass 5 місяців тому +1

      Fikiria tena ulichoongea then ujicheke mwenyewe

  • @Behindsomeone
    @Behindsomeone 5 місяців тому +5

    Nice song hongereni sana AIC chang'ombe

  • @scayoscayo3998
    @scayoscayo3998 4 місяці тому +6

    The music director of this song is something else-Bwana ambariki mnoo, Watumishi wa Wa Mungu ni hakika mmeugusa moyo wa kristo Kwa nyimbo hii- the complete masterpiece! Amazing Amazing!!

  • @user-lv2td9rx2x
    @user-lv2td9rx2x 5 місяців тому +3

    Mbarikiwe wote kila msikiapo habari njema ya ufalme wa Mungu aishie milele na milele🙏

  • @EradiusReuben-fn1db
    @EradiusReuben-fn1db 5 місяців тому +4

    Mungu azidi kuwafanya watumishi wakee 🙏🙏🙏Dada aliye solo MOYO kiukwelii yuko ndani ya uwepoo

  • @alexlusaka1315
    @alexlusaka1315 5 місяців тому +7

    Jaman hao masolo wa3 hawawez kuimba kila siku wao kuna vipaji vipya nao lazima wapewe nafasi ili kwaya iendelee kufanikiwa kubalini nyakati zinabadilika mfumo wa nyimbo zile za kwenda studio ulishapitaga.

    • @robbysartproductioncompany5306
      @robbysartproductioncompany5306 5 місяців тому +1

      TULIA KIJANA PUNGUZA PRESSURE ZA WONGOFU MPYA KWANZA KUNYWA MAJI ALAFU SIKILIZA WATAALAMU TUKUCHANE SASA LAKINI HATUTOKI KWENYE KEY...NI HIVI MTU HAPEWI KUIMBISHA WIMBO TU ETI KWA SABABU NI SOLO MZURI AU ANAJUHUDI SANA KWENYE MAHUDHURIO AU ANAMPENDA SANA MUNGU AU WEWE ULITAMANI ANGEFANYA YEYE N.K. KIMZIKI HAPO UNAKULA BIG NOOOOO!!!!TAKATIFU NA HAIPINGWI......🤨IKIFIKA SUALA LINAHUSISHA MZIKI BORA NA WA VIWANGO KWANZA TUNAANGALIA PUNCH YA MTU KATIKA WIMBO HUSIKA, EXPERIENCE YAKE KWENYE LIVE PERFORMANCE,TECHNICS NA SKILLS ZA KU PLAY ARROUND NA AUDIENCE,STAGE PRESENCE, CONFIDENCE,MAOMBI NA UTULIVU WAKE KWA MUNGU IN RELATION NA EVENT YENYEWE VINAENDANA??? NDIPO TUNAKUJA SASA VOCAL RANGE YAKE INAENDANA NA WIMBO HUSIKA,??JE ANAWEZA KUTEMBEA KWENYE MAIN KEYS ZOTE ZA WIMBO HUSIKA AU ANAFANYA VIZURI KWA BAADHI YA NYIMBO TU.....??? NAAMINI HADI HAPO UTAKUWA KWA KIASI UMEELEWA VIZURI MTUMISHI LABDA UAMUE TU KUKAZA FUZU😁. NA JAMBO JINGINE NI KWAMBA MWALIMU (DIRECTOR) SASA NDIO ANAYEPANGA NANI ATAIMBA WIMBO GANI KUTOKANA NA MAZOEZI ALIVYOFANYA...IT MEANS KUNA UWEZEKANO KABISA HAO ULIOTAMANI WAIMBE WANGEWEZA KUIMBA LAKINI HAWAKUFANYA VIZURI KWENYE REHERSAL NA MWALIMU AKACHAGUA HAWA NDIO WATAFANYA HUU WIMBO KWA KUZINGATIA VIGEZO VYA UBORA NA UJUZI UNAHITAJIKA KUSIKIKA KAMA NILIVYOKUFAFANULIA HAPO JUU NA SIO MIMI AU WEWE AMBAO HATUJUI MCHAKATO HUU ULIANZIA WAPI NA UKAISHIA WAPI. NAHITIMISHA KUSEMA KWAMBA MPE SIFA NA UTUKUFU MUNGU ALIYEWEZESHA KAZI HII NZURI KUFANYIKA TENA KWA VIWANGO VYA JUU VINAVYOENDANA NA NYAKATI NAMAJIRA YA SASA.....YAANI IMEAN CVC WAMEJUA KUUTENDEA HAKI HUU WIMBO KWENYE KILA DEPARTMENT"PERIOD" #KILAULIMI#CVC#NEEMAGOSPEL#LOVETOALL.

    • @mwilathomas2382
      @mwilathomas2382 5 місяців тому

      @@robbysartproductioncompany5306 maelezo mengi tena kwa herufi kubwa, but nothing you explained professionally

    • @dicksonsenni9109
      @dicksonsenni9109 5 місяців тому

      Mpendwa unayosema ni sawa lakini si kwamba hawajaimba, wameimba kuna wimbo umetoka unaitwa MWOKOZI mmoja kaimba na wengine nyimbo zinakuja kaeni mkao wa kubarikiwa. Pia unapoona wengine wanaimba jueni ni matokeo mazuri ya kazi ya Mungu na wao wanazidi Kubarikiwa kwa kuona vipaji vinaongezeka. Mubarikiwe kwa kuendelea kusubiri nyimbo walizoimbisha

    • @agnesmilgo66
      @agnesmilgo66 5 місяців тому

      Mabadiliko sometimes hayafurahishi ila tunakubali,ni vile tunafurahia tukiwaona wakisolo,tunawaomba msiwatenge mbali hao kina Dada watatu!.Kenyan fan

  • @ntahomvukiyevincent9245
    @ntahomvukiyevincent9245 5 місяців тому +4

    Jameni tupeni muda ndio huuu:' Kila ulimi'.Burundi nawapenda saaaaana

    • @dicksonsenni9109
      @dicksonsenni9109 5 місяців тому

      Ndo unakuja endelea kusubiri. julisha na wengine wapate hii Neema. Tunashukuru

  • @graysonlameck1317
    @graysonlameck1317 5 місяців тому +5

    AIC’s Tone + Modern Gospel Live recording 👌👌👌👌💯🔥🔥🔥

  • @ExaudyMassawe
    @ExaudyMassawe 5 місяців тому +4

    MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI AWABARIKI SANA SANA SANA AICT CHANG'OMBE, ZORAVO MUNGU AZIDI KUKUPAKA MAFUTA MABICHI

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 5 місяців тому +3

    Mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi kwaajili ya utukufu wake ❤

  • @user-ur8re6cj4p
    @user-ur8re6cj4p 5 місяців тому +5

    Amen mbarikiwe sana❤

  • @petermhinga70
    @petermhinga70 5 місяців тому +3

    Leo wa 12 like zangu jmn

  • @user-iy9wb5nn7g
    @user-iy9wb5nn7g 5 місяців тому +5

    ❤❤❤nabarikiwa sana naisi kama mwili wangu unataka kupaa yaani kama nipo pale na Mimi raha sana🙏🙏🙏🙏

  • @user-ei5qw9zn7q
    @user-ei5qw9zn7q 5 місяців тому +5

    Wimbo huu ni baraka🔥🔥🥳🙌🏽

  • @EliyaJames-fn3dz
    @EliyaJames-fn3dz 4 місяці тому +4

    Chang'ombe mnatisha sana kila siku mnakuja kwa namba nyingine ,stay blessed

  • @happymako-mb7is
    @happymako-mb7is 5 місяців тому +4

    Waiting 👌

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 5 місяців тому +5

    jamaa anajua sana kuimba

  • @abednegomukuna7371
    @abednegomukuna7371 3 місяці тому +5

    Uimbaji wenu unapendeza sana, si mungu anipe hicho kibali

  • @EselKamwanga-xf7wg
    @EselKamwanga-xf7wg 5 місяців тому +4

    mfelo🔥🔥

  • @stanleymwendwa193
    @stanleymwendwa193 5 місяців тому +6

    Very well done you are my favorite Stanley from kenya

  • @johnnehemiah-iw9jg
    @johnnehemiah-iw9jg 5 місяців тому +5

    NA BARIKIWA SAWANAA MUNGU. AKUMBUKE
    KILA HATUA ❤

  • @boazkitela6960
    @boazkitela6960 5 місяців тому +5

    Glory to God from kenya

  • @petrokabote2831
    @petrokabote2831 5 місяців тому +5

    This is professional, you guys 🙌

  • @user-xb2mq5mz7t
    @user-xb2mq5mz7t 4 місяці тому +5

    Hongera Elisha kwa utumishi

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 4 місяці тому +5

    Siwaoni lidya na bahati jamani uwiii mmeimba vzr ila nataman nao niwaone wote 3 hapa ila yote kwa yote sifa apewe Bwana Mungu

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  4 місяці тому

      Amen 🙏🏾
      Lydia na wengine wote wapo, usikae mbali na channel hii utawaona tuh. Lakini pia unaweza kwenda kusikiliza album nzima kwenye audio platforms kama Audiomack, boomplay, spotify na apple music uweze kuwasikia kina Lydia na wenzake wote.
      Ubarikiwe

  • @DeboraKyembela
    @DeboraKyembela 5 місяців тому +3

    Safii sanaa. Bonge la songii....very good... MUNGU azidi kuwainua

  • @monicahwarimumucheru-hakan4356
    @monicahwarimumucheru-hakan4356 4 місяці тому +5

    Eeeeeeeuuuu eeeeuuuuuu ! Eeeeeeeeu ! Nakosa maneno nimebarikiwa! Zorazo is taking the leadership role :)❤na intro inaslap kweli kweli

  • @eliasleonard2598
    @eliasleonard2598 5 місяців тому +4

    Oya mfello unajua unajua tena bro 🔥🔥🔥umenikosha sana kuanzia kwenye MOYO hadi KILA ULIMI UTAKILI🔥🔥🔥 hii combo ya mfello na zoravo ni 🔥🔥