Kiukweli hata mimi nampenda Sana Ben Mwanantala. Video zake, utangazaji na bashasha ni vya viwango vya juu sana ukilinganisha na watangazaji waliopo sasa kwenye TRC ambao wako baridi sana. Watangazaji wa sasa wa TRC hawana uwezo na bashasha ya kutangaza huu mradi inavyopaswa. TRC ikiwapendeza tunaomba mumrudishe Ben ashirikiane na waliopo sasa.. Passion inatakiwa sana kuutanza huu mradi ili wananchi wajue ni kiasi gani kilichowekezwa na namna nchi inavyosonga mbele kimaendeleo.
Nyie wanawake wa kitanzania hamna hata mpango kusema ukweli na ndio ukweli hata mtu awabebe vipi ambebeki mnachojua ni kutiwa mimba Na kuzaa , ni kosa kubwa nchi kuongozwa Na rais mwanamke tena mwanamke mwenyewe wa kitanzania!
Magufuli hajaacha hata pesa ya mradi ,pesa za mkopo kupitia Exim bank ya Turkey ,mwisho walijiondoa ,mama akabaki kitafuta pesa sehemu nyengine kama sio yeye mama reli ujenzi huu ungekwama ila unaendelea na akazidisha njia nyengine tola tabor kigoma
@@khamissaleh921 Ujenzi ungeendelea bila ya matatizo JPM asingeshindwa na reli ingekuwa imeanza kufanya kazi zamani tu, bila JPM kungekuwa hamna reli ya umeme wala bwawa la umeme huyo Bibi yako anatembelea upepo wa Magufuli hamna kitu master mind yote ulikuwa ni JPM !
This country is so beautiful I swear down 😍🥰! So green, so fresh, outstanding beauty you can ever imagine in the world 🙏🏾 🇹🇿
Africa is beauty
Yeah! kongole TZ uko juu kimaendeleo Afrika.
Trc walifanya kosa sana kumwacha huyu mwamba Ben Mwanantala
Binafsi, nampenda pia. Sijui ni kwa sababu gani hatangazii tena TRC RELI TV.
Kiukweli hata mimi nampenda Sana Ben Mwanantala. Video zake, utangazaji na bashasha ni vya viwango vya juu sana ukilinganisha na watangazaji waliopo sasa kwenye TRC ambao wako baridi sana. Watangazaji wa sasa wa TRC hawana uwezo na bashasha ya kutangaza huu mradi inavyopaswa. TRC ikiwapendeza tunaomba mumrudishe Ben ashirikiane na waliopo sasa..
Passion inatakiwa sana kuutanza huu mradi ili wananchi wajue ni kiasi gani kilichowekezwa na namna nchi inavyosonga mbele kimaendeleo.
@@jamesnteleva7073 ahsante sana kaka
@@temuemanuel4671 ahsante sana kaka Mkuu
Nilipenda ufasaha wake kwa kupeana habari zilivyo na inavyo stahili...........benjamin kutoka nrb
Treni hata sio nzuri
Mwanantara kaka tupopa1 sana
Pamoja sana kaka
Ben ulikuwa.wapi tupashe vilivyo
Ben uko wapi siku hizi? Nimekumic Sana kwani nakukubali xana mwana
Yuko vizuri
Bro Ben mwanantara naomba kuuliza tu na wala sio kwa ubaya
Kwani siku hizi haupo TRC maana ni mda sasa hatujakuona tnamisi sana uwepo wako kule
Mkuu kwa sasa sipo TRC ila tunaendelea kuitangaza Nchi yetu
Kwanini serekali isiwe na umeme wake akaachana na umeme wa company.
Punguzeni gharama ya usafirishaji
Mwanatara unakuwa kutangaza sana
Huyu mama anachelewesha mambo magufuli mda aliosema itaanza ajabu mpaka 24 hakunakitu
Kwa hiyo unaamuaje boya wetu
Nyie wanawake wa kitanzania hamna hata mpango kusema ukweli na ndio ukweli hata mtu awabebe vipi ambebeki mnachojua ni kutiwa mimba Na kuzaa , ni kosa kubwa nchi kuongozwa Na rais mwanamke tena mwanamke mwenyewe wa kitanzania!
@@Kabwela776tuzidi kumuomba Mola wetu akuwezeshe ujitambue. Sikulaumu kwa mawazo finyu uliyonayo