Asante sana Magufuli you are the king of Kings,mama hongera pia kwa kushika kijiti cha Mfalme. TRC nawapongeza kwa kuziba midomo ya wasiopenda maendeleo ya nchi yetu,waliokuwa wanawatukana TRC midomo kimya.
Hongereni sana mzidi kuwafumbua macho watanzania wanaotumika vibaya na wana siasa Kwa kutukana na kumharau raisi wetu na serikali Kwa ujumla! Mama piga kazi achana na wanafiki
Hakika makala hii inatoa taswira nzuri ktk sector ya usafiri wa reli Tz hongera sana waandishi wa TRC kwa hatua hii reli yetu n bora Afrika mashariki n kati 💪🏿🇹🇿
KUMBUKA UZUZU WETU….TUNATAKA KUUZA BANDARI ZETU NA FUTURE YETU.. ACHANA NA WAKENYA…..HIZI NI HEKIMA NA AKILI ZA MAGUFULI….SASA NCHI IKO MIKONONI MAA WAPIGA DEALS,,,,, TWENDE KWENYE HARAKATI ZA KUIKOMBOA
ZUZU NI WEWE HUWEZI KUTUMIA TIRIONI 23 KUJENGA SGR USIFABYE BANDARI KUWA NA UFANISI.MAGUFULI ALIELEKEZA KUWEKWA ODA YA MABEHEWA YA MIZIGO 1600 ALAFU TUENDELEE NA BUSSINESS AS USUAL? BANDARI HAIUZWI NI NI KUWEKEZAJI KAMA ALIVYOKUWA TICKS MARA ZOTE MANENO YA WANASIASA YANAHITAJI KUJIBIWA KWA MATOKEO KAMA HAYA
Hiyo ni habari njema kabisa vichwa tumeviona, viko poa hongera sana, sasa kazi ipo kwenye usimazi, maana vinaweza kufika tukaambiwa vinajiendesha Kwa hasara, ila hicho Cha mchongoko kipo sawa. Hogera sana kwa alie beba maono jpm Mungu aipumzishe roho yake pema peponi amina, na pia hongera nyingi Kwa anae endeleza maono hayo. Mama Samia big up.
Naunga mkono hoja! Kungekuwa na treni yenye kichwa cha simba. Chui, zebra na wengineo yaani kila kichwa kimoja kinawakilisha mnyama mmoja kati ya ambao wapo kwenye mbuga zetu
Hapo ata mim pia roho imetulia hongereni sana TRC kazi nzuri sana, Ni kweli Africa ni hadimu sana vitu kama hivyo na nyie kuwa wa kwanza au wapili ni demonstration ya ubora wenu na nchi kwa Africa
yani hadi msemwe ndo mnaonesha. mnatakiwa kujua watanzania hswa sio wa 2010, hawa ni wamaguful wameharibiwa akili wamekuwa watu wakuhoji kila kitu na wabishi hawataki kuibiwa, hiyo ndo kitu magufl atakumbukwa kawapa watu ujasiri wakuhoji mali zao, thamn ya pesa zao ktkt kila wanachofanya. kuweni makini, hakuna kitu kitaenda kirahisi kwasasa, r.i.p jpm
Hemed Mohamed umetuletea habari nzuri Sana siyo Kama wale Akina..... ambao habari zao ni kutangaza na kujadili mambo ya Mpira lakini siku hizi wanaojifanya kutangaza habari Kama hizi😂😂😂
Heeee.. Sasa kamoyo kametulia bwana.. Kila niliposikia taarifa kuwa tunaletewa zile treni zenye kichwa kama cha panzi... Nilikuwa nazimia bwana ..Chali kuleee.. Nakuja kizinduka baada ya kumwagiwa ndoo moja ya maji baridi
Sasa mkatuletea yale mamikweche mwanzo.... nampenda sana mama samia n msikivu, kasikia kuhusu tozo kazipunguza kasikiliza kuhusu reli tren hyo hapo, namngoja na kwenye bandari. Usimchezee mamaangu #samiasuluhuhasan
Nasikia bei za Nauli wamepanga kubwa sana, zinakaribia kwenye ndege, kiasi kwamba mtu WA hali ya chini atashindwa kumudu, kama hizo EMU ndo kabisa, wengine tutakua tunaziona zinapopota tu, sio kupanda
Tanzania tuko vizuri! kama unabisha Search train zinazokimbia km 160/h muone zikoje! nyingi zilizochongoka ni km300/h na kwa africa zima ziko morroco Tu
hapana walisema kwamba waliamua kununua baadhi ya mabehewa mtumba, na mingine mapya, nafikili mapya ndio hayo yanatengenezwa huko korea kusini. pamoja na vichwa vyake vya kuchongoka
Swala la mabehewa kwenye hizi train zilizochongoka ni tofauti na train zile za mwendo mrefu coaches (vichwa flat). Hizi train zinakuja zmeonganishwa na mabehewa yake sio tenganifu japo kuna joint. Ndo maana jina Electrical Multiple Unit (train yenye vipande vingi). Kiswahili kigumu kwangu😅
Je hiyo inayotengezwa napicha zilizokuwepo huku zikitangazwaa ziko sawa ilimradi treni yakuchongoka tu kopy yake lakini haiyendani nazile picha mnatufanya watoto kwelikweli haya Bora siku ziende
Sikiliza vizuri ile walioifanyia majaribio. Utasikia kwamba hivi pia vitakuja na idadi take imetajwa. Ila kile kipo tayari ila serikali haijataka kije moja kwa moja badala take wameamua kwenda kukikagua Kama kimekidh vivezo ndo kije. Kifupi hivi vitakuja ila kile kitatangulia INSHAA ALLAH
Mama samia naomba kuuliza swali? Mimi jana tstehe 24/7/2023 nimeenda kununua dollar💲 bank nikaambiwa bank hawaruhusiwi kumuuzia mtu dollar zaidi ya 500&, nikauliza kwanini? Wakanijibu ni amri kutoka bank kuu ya Tanzania, nikauliza shida nini? Wakajibu bank kuu haina pesa za kigeni za kutosha kwa sasa, nikauliza kwanini maduka ya kubadilisha pesa yanauza dollar kwa bei ya juu sana kiasi hichi wao dollar wanazipata wapi kama bank kuu hawana dollar? Bank dollars 1 kwa jana ilikuwa 2520 Madukani tulinunua kwa 2590 hamuoni kama hapa mnatuumiza watanzania???? Mama hebu liangalieni hili.
Asante sana Magufuli you are the king of Kings,mama hongera pia kwa kushika kijiti cha Mfalme. TRC nawapongeza kwa kuziba midomo ya wasiopenda maendeleo ya nchi yetu,waliokuwa wanawatukana TRC midomo kimya.
Waaaoooo safi sana Tanzania Tanzania nakupenda sana nchi yangu unaendelea sasa hongera sana TRC hii ss treni itatueshimisha Tz 🇹🇿Afrika.
R.I.P JPM 🕯️
Ninashukuru team ya utangazaji. Delivery yenu inafurasha sana, hongereni kwa uzalendo huu
Hongereni sana mzidi kuwafumbua macho watanzania wanaotumika vibaya na wana siasa Kwa kutukana na kumharau raisi wetu na serikali Kwa ujumla! Mama piga kazi achana na wanafiki
Hakika makala hii inatoa taswira nzuri ktk sector ya usafiri wa reli Tz hongera sana waandishi wa TRC kwa hatua hii reli yetu n bora Afrika mashariki n kati 💪🏿🇹🇿
Good things take time - Great work TRC and all the parts involved!!! ❤🔥❤🔥🔥🔥
Y
Good waooo naipenda Tanzania yangu
Hii naweza kurusha twitter kumaliza kelele za wakenya😂😂😂😂
warushie bana wana kelele mingi
😂😂
KUMBUKA UZUZU WETU….TUNATAKA KUUZA BANDARI ZETU NA FUTURE YETU.. ACHANA NA WAKENYA…..HIZI NI HEKIMA NA AKILI ZA MAGUFULI….SASA NCHI IKO MIKONONI MAA WAPIGA DEALS,,,,, TWENDE KWENYE HARAKATI ZA KUIKOMBOA
ZUZU NI WEWE HUWEZI KUTUMIA TIRIONI 23 KUJENGA SGR USIFABYE BANDARI KUWA NA UFANISI.MAGUFULI ALIELEKEZA KUWEKWA ODA YA MABEHEWA YA MIZIGO 1600 ALAFU TUENDELEE NA BUSSINESS AS USUAL?
BANDARI HAIUZWI NI NI KUWEKEZAJI KAMA ALIVYOKUWA TICKS MARA ZOTE MANENO YA WANASIASA YANAHITAJI KUJIBIWA KWA MATOKEO KAMA HAYA
Warushie wanatusumbua sana hao waone😂😂😂
Hiyo ni habari njema kabisa vichwa tumeviona, viko poa hongera sana, sasa kazi ipo kwenye usimazi, maana vinaweza kufika tukaambiwa vinajiendesha Kwa hasara, ila hicho Cha mchongoko kipo sawa. Hogera sana kwa alie beba maono jpm Mungu aipumzishe roho yake pema peponi amina, na pia hongera nyingi Kwa anae endeleza maono hayo. Mama Samia big up.
Abdallah. Ulichokiandika kwanza kifikirie... pumzika ?
Hongera mama samia na wa Tz wote ila nashaur rangi wangepaka hata bendera ya Taifa za wanyama pori kukuza utalii.
Wazo zuri
Naunga mkono hoja! Kungekuwa na treni yenye kichwa cha simba. Chui, zebra na wengineo yaani kila kichwa kimoja kinawakilisha mnyama mmoja kati ya ambao wapo kwenye mbuga zetu
Wazo zuri Mzee
Kazi nzuri sana na iwe kweli
Great work!
Great Hon Samia my President!
I love my Country.
Akili nyingi, Utthubutu mkubwa wa Magufuli. Wengine project zao kuuza nchi
magufuli alijua kutuvusha yule mzee alikua kichwa sana 😢ila poa
😂😂 ILA KELELE NA KUKOSOA VINASAIDIA JAMANI. HONGERA TRC
Congratulations to her excellence mother Samia suluhu Hasan the president of united republic of Tanzania.
Kazi za Magufuli, yeye project zake ni kuuza Bandari
JPM angekuwa hai safari SGR zingekuwa kawaida kwa sasa.
Mama itatuchukua muda kumuelewa ila tukija kumuelewa Tanzania itakua haishikiki kiuchumi
Kidogo nimeanza kuielewa Tanzania yakisasa inayokwenda nawakati safi sana mama juudi zako tunaziona sasa" Mnyonge mnyongeni lakini aki yake mpeni💯🤗❤
Mama amefanya nn mpe kongole magufuli mpaka sasa nachompngeza mama ni kuuza bandar tu
Kwahiyo magufuri ndio kamalizia hiyo hela ya kukamilisha huo mradi akiwa kaburini eti eeh
Ahsante kwa ufafanuzi,kazi nzuri
Hapo ata mim pia roho imetulia hongereni sana TRC kazi nzuri sana, Ni kweli Africa ni hadimu sana vitu kama hivyo na nyie kuwa wa kwanza au wapili ni demonstration ya ubora wenu na nchi kwa Africa
yani hadi msemwe ndo mnaonesha. mnatakiwa kujua watanzania hswa sio wa 2010, hawa ni wamaguful wameharibiwa akili wamekuwa watu wakuhoji kila kitu na wabishi hawataki kuibiwa, hiyo ndo kitu magufl atakumbukwa kawapa watu ujasiri wakuhoji mali zao, thamn ya pesa zao ktkt kila wanachofanya. kuweni makini, hakuna kitu kitaenda kirahisi kwasasa, r.i.p jpm
Kinacho niuzi Tanzania hawana utaratibu wakupanda miti nakuimwagilia mimea uleta mvuto kwenye jiji endapo likiwa limejengwa kimpangilio safi sana serikali yetu kwaupande wa treni Chadema wenyewe wamesema ramekubali🤗
Dodoma kama jwanga Hakuna miti
@@ndulamwakitalima hem tulia weweee
Ila Wabongo Wasiwasi ni mwingi hawaamini mpaka basi Leo wameona kumbe zipoo mmmh😊... Haijaisha mpakaa iishe kabisa 😅
Mmejua kuwaziba midomo😂😂😂
Yaani...😅
Wanachoka kiongea basi😂. Cha msingi ni kutotumia nguvu kuwaelesha ila kufanya vtendo tu.
@@mtakijohannes2255 😂ndio kilicho baki🙌🏼
@@DeepSeaSchool 😂🙌🏼
Hapo sasa tumeamini vichwa vya kuchongoka vipo kweli😂
Hemed Mohamed umetuletea habari nzuri Sana siyo Kama wale Akina..... ambao habari zao ni kutangaza na kujadili mambo ya Mpira lakini siku hizi wanaojifanya kutangaza habari Kama hizi😂😂😂
Hongera mama samia kazi iendelee
Akili nyingi, Utthubutu mkubwa wa Magufuli. Wengine project zao kuuza nchi
kuna fala m1 kwenye comment mda wote yeye analalamika na kodi hajawai kulipa!
Angalau hiki mmepangilia rangi vizuri, nyeupe asilimia 60% na mistari hiyo ya blue safi sana.
Wakenya mpoo??😂
Sijawahi kuwapenda hao viumbe wanaoitwa wakenya Wana roho mbayaa Sanaa na husuda za kisengee kwa Tanzania
@@mohamedihamisi292 hawachelewi kuposti wakasema ziko kwao
Wanaroho MBAYA km WATANGANYIK
@@nasibugunda7927 hawamini macho yao walijua tutafanana na lile guta lao mafuta ya taa alilowapiga changa la macho mchina😂😂😂
@@younghustler3116kama wazenji😂
Thanks God maana wakenya wangetumaliza 😂😂
Yaani sijui tungeficha wapi sura zetu😂😂😂😂 umewaza kama mimi yaani😂😂😂😂
Wabongo nuksi.......!😂😂😂😂😂😂
WATANGANYIKA Pia musijisahau, WANAROHO MBAYA KULIKO HAO WAKENYA
@@younghustler3116 kawaida tu! Hata wa Pemba na waunguja wanaudini sana.
Lazima mtaje Kenya kwani Kenya imewazuia nn
Tuleni iko vizuri 😂
Safi Sana naiona Tanzania ya kesho ikipambwa na miundombinu ya kisasa.
Safi sanaaa Tanzania ileee inapaaa kileleni,ubarikiwe sanaaa mama na serikali yako TRC hongereni.
Akili nyingi, Utthubutu mkubwa wa Magufuli. Wengine project zao kuuza nchi
Hpo✔️kubwa inayotksha kurasa nzima(100%). Hpo mtima umefurahi na huu wimbo; tz*2, nakupenda qa moyo woteee. Nchi yangu tz,,,,!!!!
Wow safii sana rais wangu Samia ❤
Akili nyingi, Utthubutu mkubwa wa Magufuli. Wengine project zao kuuza nchi
hapa sasa ukisema dar dodoma nauli 75000 nakuelewa na naahidi kupanda inshaallah
Tanzania Imara Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
Hapo sasa goood yaani imenifanya kumkumbuka mno dah
Wafungeni midomo wanaharakati wa mchongo
Kazi nzuri🇹🇿✊
Kazi iendelee Asante watanzania wazalendo🇹🇿🇹🇿🙏🏾🙏🏾
hapa sasa tumeridhika na kile alichotaka kutuletea magufuli wetuuu mungu amlaze makhala pema
Hapo sawa sio kila cha mwanzo mlio tuoneshea
Excellent
Rangi iwe ya bendera yetu tanzania 🇹🇿
Heeee.. Sasa kamoyo kametulia bwana.. Kila niliposikia taarifa kuwa tunaletewa zile treni zenye kichwa kama cha panzi... Nilikuwa nazimia bwana ..Chali kuleee.. Nakuja kizinduka baada ya kumwagiwa ndoo moja ya maji baridi
👏 good work TRC
Sasa mkatuletea yale mamikweche mwanzo.... nampenda sana mama samia n msikivu, kasikia kuhusu tozo kazipunguza kasikiliza kuhusu reli tren hyo hapo, namngoja na kwenye bandari. Usimchezee mamaangu #samiasuluhuhasan
yale yapo yaani hizi ni kwa ajili ya masafa mafupi yale ya kwanza ni kwa ajili ya kwenda kigoma na mwanza
Good news
Kazi za Magufuli, yeye project zake ni kuuza Bandari
Safi sana, sio vichwa km vya Kenxa flat as if yale mabasi fiat ya kizamani
Wenzetu wanatumia treni tofauti tofauti
Viva Tanzania
Happ sasa roho yang imetuliaaa😂
Yan najiuliza kwa nini walichukua mdaa kuonyesha hii
Nasikia bei za Nauli wamepanga kubwa sana, zinakaribia kwenye ndege, kiasi kwamba mtu WA hali ya chini atashindwa kumudu, kama hizo EMU ndo kabisa, wengine tutakua tunaziona zinapopota tu, sio kupanda
@@christianchando7041 wabongo bhn,umeskia kutoka kwa nani sasa? Treni zenyewe hata kuanza hazija anza,msha anza kulalamikia nauli... kweli bongo nyoso dadekiii......
@@charlietz7125bongo kichwa cha mwandawazimu.
@@MohamedAhmada-ie7ke ni kweli broo..
Ongela sana mama
Mbona hamjaenda Korea kasikazini?
nilichoelewa kuna mpya na used ya ulaya
Hapo sawa.KADOGOSA UNAKITI CHAKO MBINGUNI.
Akili nyingi, Utthubutu mkubwa wa Magufuli. Wengine project zao kuuza nchi
Kweli kabisa
Amina 🥰🙏😊
KWAKWELI WATANZANIA WENGI HUPENDA TRENI ZA KICHWA CHA NYOKA.
Nyie mna train kama train zingine kama kenya ila siyo ile TGV train grand vitesse
ya kuwa kama nyoka
Good
Mbona sasa vichwa vilivyo letwe sio
Wakenya mpooo
Kuchongoka au kutochongoka siyo issue husaodia tu kupunguza drag
Tanzania tuko vizuri! kama unabisha Search train zinazokimbia km 160/h muone zikoje! nyingi zilizochongoka ni km300/h na kwa africa zima ziko morroco Tu
Nigeria pia
Nigeria k
Hakuna treni za umeme zenye high speed
Treni mchongoko hata Nigeria wanazo na zinakimbia kwa 100km/hr ila za kwao ni za diesel
@@saitotigeorge654Nigeria ni cha mtoto kwa tz
Wabongo watachafua
Bravooo🎉
Haha msije mkawa mmechonga tu vichwa lkn ubora ndo ule ule wa makontena
Baba imekaa vyema Sana hii
Nimefarijika Sana kwakuona hilo
Watanzania tukiacha ukuda kama ndo vichwa vyenyewe hatumdai mama kitu,, ila wasiwasi utarudi kwa mabehewaaa ndo mnapotupiga
hapana walisema kwamba waliamua kununua baadhi ya mabehewa mtumba, na mingine mapya, nafikili mapya ndio hayo yanatengenezwa huko korea kusini. pamoja na vichwa vyake vya kuchongoka
Swala la mabehewa kwenye hizi train zilizochongoka ni tofauti na train zile za mwendo mrefu coaches (vichwa flat). Hizi train zinakuja zmeonganishwa na mabehewa yake sio tenganifu japo kuna joint. Ndo maana jina Electrical Multiple Unit (train yenye vipande vingi). Kiswahili kigumu kwangu😅
SAFI SANA, IBENI NA TEKNOLOJIA NEXT TIME TUVITENGENEZE WENYEWE HUKUHUKU KWETU!
Sahau
❤❤❤❤❤❤
Makufuli amekufa lakini amekufa akiwa na ndoto ya maana
Kama na ww ni moja ya wanao tafuta comment ya upinzani kuona wameandika nn gonga like
mama endelea kuwanyesha km unaweza
Safi sanaaaaa. We are waiting for the special coach 🚆
TRC RELI TV mnatuletea ujinga tu hap.
Je hiyo inayotengezwa napicha zilizokuwepo huku zikitangazwaa ziko sawa ilimradi treni yakuchongoka tu kopy yake lakini haiyendani nazile picha mnatufanya watoto kwelikweli haya Bora siku ziende
Sawa, lkn Kwa nn hizo sticker zisiwe Rangi za BENDERA yetu...inagependeza zaidi
the seats look tight
Kile sijaelewa ni ipi treni yetu ukweli ile ya juzi wanajaribu na maji ama hii ya mchongoko ,tuelewesheni zitakuja zote ya mchongoko na ile ingine ama
Zinakuja zote
Sikiliza vizuri ile walioifanyia majaribio. Utasikia kwamba hivi pia vitakuja na idadi take imetajwa. Ila kile kipo tayari ila serikali haijataka kije moja kwa moja badala take wameamua kwenda kukikagua Kama kimekidh vivezo ndo kije. Kifupi hivi vitakuja ila kile kitatangulia INSHAA ALLAH
Nani kama MAMA
Wow 💌💌💪🇹🇿
kama nawaona waliokuwa wanachonga jana huko insta na tweeter walivyozibwa midomo, hongera trc
Hayo ndiyo maneno sasa
Mama Samia hatuna deni na nawewe
WE FALA, NCHI YETU INAUZWA….AMKAAAAA
@@mimiraia2531 stupid imeuzwa kwa nan
@@mimiraia2531imeuzwa kiasi gani
apo ndio watanzania tupenda sasa
Sasa zile ahadi kuwa itaanza mwezi wa saba zililuwa zinamaanisha nini?!😢
hamna shukran
@@rayisadesigns2646 Shukrani kwa lipi? Hizo ni kodi zako
@@rayisadesigns2646, wapingaji huwa hawakosi
Mama samia naomba kuuliza swali? Mimi jana tstehe 24/7/2023 nimeenda kununua dollar💲 bank nikaambiwa bank hawaruhusiwi kumuuzia mtu dollar zaidi ya 500&, nikauliza kwanini? Wakanijibu ni amri kutoka bank kuu ya Tanzania, nikauliza shida nini? Wakajibu bank kuu haina pesa za kigeni za kutosha kwa sasa, nikauliza kwanini maduka ya kubadilisha pesa yanauza dollar kwa bei ya juu sana kiasi hichi wao dollar wanazipata wapi kama bank kuu hawana dollar?
Bank dollars 1 kwa jana ilikuwa 2520
Madukani tulinunua kwa 2590 hamuoni kama hapa mnatuumiza watanzania????
Mama hebu liangalieni hili.
Sasa nimemkubali samia
Mbona reli teyari ndio treni bado hizo mpaka 2027 mbona wana tengeneza sasa hizo miaka 5 kabla vipi!!!!!
Hz za kutakufutia kura 2025 huko kwenye kampeni 😂😂
Super TRC 👍🏿
Hapo kidogo nimewaelewa
Si hizo hizo flat mnapiga modi mchongoko
Na isiwe mnatuonyesha picha halafu mwisho zinakuja tofauti,tunahitaji hizo hizo hatutaki kiswahili mingi ben ongea na serekali wananchi kodi ni yetu
Ziwahi tu sasa maana unaweza kuta zikaja mwakani tena wakati sisi tunataka kwenda dodoma
Sasa mbona majuzi mli tuonyesha vile vichwa viko kama fuvu la zinjathropus ?!