Wazembe Sana nyinyi. Kla siku n ziara za wabunge, mara kamati, haileti maana. Huo n usaliti kwa wanaichi. Cha msingi n treni kuanza kutumika. Mnachelewa utafikir pesa n za kwenu!?. Hongera Sana Rais Magufuli
Ndiyo itakuwa hivyo ila kwa sasa wapo kwenye majaribio, dakika 90 maana yake ni saa moja na nusu na ndiyo maana wanaposema wametumia chini ya masaa mawili wanamaanisha ktk safari ya awamu hii wametumia saa moja na nusu na dakika kadhaa, kwa hiyo watakapoanza rasmi watatumia dakika 90 yani saa moja na nusu.
Huyu mwanamke msemaje wa TRC hafai hii position anaongea utafikiri amebana pua au anaongea na mpenzi wake chumbani , position zingine wangeangalia nani wa kumpa !
Mwanamke lazima aongee kike sauti aliopewa na Mungu. Kama sauti imekukera sisi imetulaza usingizi. Hongera mama legeza zaidi ndio umbile ulilopewa na Mungu.
Mbona ayo mabehewa yakiunganishwa hayaungani apo kwenye maungo yakuwa kama tren ya zaman tunataka ikiunganishwa inyooke kama ya mbele sasa iyo na ya Kenya yakenya inamvuto
Hongera sana Tanzania 🇹🇿, Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Asanteni sana uongozi wa TRC hasa Masanja Kadogosa "be blessed"
Hongera sana mama SSH! Ilikuwa Sio kazi rahis kupambana na kumaliza mamiradi haya makubwa baada ya kifo cha JPM
R I P comred Magufuli your still A live sleep tight and well done ❤
Kadigosa hongera sanaa Kwa KAZI kubwa toka kuanza mpaka leo hakikisha watu wako na wananchi Kwa ujumla ulinda miundo mbinu
Congratulation to Horn former President John Jeseph Magufuri ( Rest in peace)
Ni iman yangu Magufuli yuko kuume kwenye enzi ameketi pamoja na Baba.
Hongera Mheshimiwa Raisi SSH, Hongera Tanzania, Hongera Wa Tanzania wote kwa kazi Nzuri...Mama Samia 2025
Kwanza kabisa niishukuru serikali kwa kuendeleza mradi huu wa majaribio watanzania tunanufaika sana asanteni sana
Safi sanaaa. Nafarijika kuona hivi Tanzania fahari
Usafi Usafi Usafi ndani ya hiyo treni tafadhali Sana!,sivyo haitachukua muda mrefu treni itakuwa haitamaniki kwasababu ya uchafu!!
Hongera Trc napenda mfanye jaribio la speed mkiwa live ili kila mtu aridhike
Ayo Tv tunakupata vizuri sana kutoka hapa UK.
Wazembe Sana nyinyi. Kla siku n ziara za wabunge, mara kamati, haileti maana. Huo n usaliti kwa wanaichi. Cha msingi n treni kuanza kutumika. Mnachelewa utafikir pesa n za kwenu!?. Hongera Sana Rais Magufuli
Steringi wa hii movie ni Daktari John Pombe Magufuli.
Saluti ndugu yangu kwa comment yako nakufuatilia toka south Africa Durban kwazulu
Waendelee kutunza na kusimamia vizuri miradi yetu, hii inaweza kuipeleka nchi yetu mbali zaidi
God bless Tanzania God bless suluhu Hassan president of United republic of Tanzania ...🙏🙏
Uncle angelikuwepo akaona kile alianzisha mpk kilipo fikia any way sote ni njiaaa
Huu Mradi uliazishwa awamu ya 4
Duuu Umevurugwa Wee
Afsa habari amekamilika hachanganyi R na L wengine wajifunze
Anajitahidi sana ila nimesikia kitu kama Makutupo'l'a, au ni hallucination?
Pongezi kwa Rais wetu,pongezi TRC,Tanzania inasonga mbele!!!
Good job
Wa mwisho leo
Tangazen nauli maana hamuachi kuweka tozo unaweza shangaa dar to Moro nauli elf 30
Jamn wekeni na kisimbuzi Cha Azam tuwe tunacheki na mpira muhimu
Stori nyingi hata tren siioni mnaonesha kadogo tu stori tena duh😢😢
Akumbukwe mzee magu... na sio mwingine
Naona ubongo wako umeliwa na Panya. Hauko sawa nenda dodoma haraka.
❤🎉❤🎉❤🎉❤🌹🌹🌹
Tumechoka na hizo kamati, tunataka treni ianze kuchukuwa abiria, mna kera tumezichoka sura zenu.
Acha ujinga wewe
@@edwardmaguluko6541 Nyamaza Msukuma wee
Kasema ukweli watu wanataka kuitumia miradi yao@@edwardmaguluko6541
Ingekuwa vyema mngetuonesha train yenyewe inavyotembea sisi tuwe tunasikiliza sauti,sasa kinyume chake tunawaona mnaongea tuu train inavyosafiri hatuoni. Punguzeni maneno tupeni uhalisia.
Mwezi wa saba kata tiketi
😂😂😂🎉🎉Msisahau king'amuzi cha Azam burudani kwa wote ili kuweza kucheki mpira na ottoman and the likes of it plz
Nafikiri kutakua na dk za lefa
Nilisikia dk90
Ndiyo itakuwa hivyo ila kwa sasa wapo kwenye majaribio, dakika 90 maana yake ni saa moja na nusu na ndiyo maana wanaposema wametumia chini ya masaa mawili wanamaanisha ktk safari ya awamu hii wametumia saa moja na nusu na dakika kadhaa, kwa hiyo watakapoanza rasmi watatumia dakika 90 yani saa moja na nusu.
Umeme wa kutosha
Milad mnaichelewesha tuu kwakuangalia uchagu
Beben na abiria bure😊
Nakupata live nikawa Miami beach
Mbona sikuoni?
Usafi uzingatiwe siyo baadae paonekane kama kalakana ya ya Malory
Hii ni tren ya Umeme kweli?
Chini ya Masaa mawili ndio kitu gani? Tupeni muda sahihi uliotumika
Kwanini changamoto inakuwa mwendelezo wa kile tulichokianzisha
Huyu mwanamke msemaje wa TRC hafai hii position anaongea utafikiri amebana pua au anaongea na mpenzi wake chumbani , position zingine wangeangalia nani wa kumpa !
Mmmhh we umetoka kichaka gani? Mtoto katimia Huyu unataka upewe nini au shipa?
Mwanamke lazima aongee kike sauti aliopewa na Mungu. Kama sauti imekukera sisi imetulaza usingizi. Hongera mama legeza zaidi ndio umbile ulilopewa na Mungu.
Hakujiandaa kutoa taarifa ya safari hii anajisemea tu😮
Hebu tunaomba kujuwa huu Mradi wa Treni nani Ameunza
Rais wa Awamu ya 5 Jonh pombe magufuli
@@umyazinkath167 Nafikiri sio kweli itabidi tuwe wakweli Awamu ya 5 kajenga Bridge ya Salender kuwasadia Wanyonge 😁😁😁
Deni la taifa nalo limepanda kutoka 72,000,000,000,000Tsh hadi Tsh 81,000,000,000,000.
Na Miradi imezidi
Unafikiri miradi mikubwa km hiyo unapata wapi pesa km sio mikopo
😂😂😂 kumbe mifumo hua ina adopt
CHINI YA MASAA MAWILI NDO NINI???🤔
Hajui anaongerea nini pia hajui idadi ya Mabehewa anajisemea tu😮😮
Kutoka dar Moro n dakika 90 kwa hiyo wao mwanzo wamefanya kwa Massa 2 na juz wamefanya chin ya Massa 2 kwa hiyo kwahiyo dar Moro ni saa 1 na nusu
Mbona Hawa jamaa walichagua mavichwa yenye sura mbaya hivyo au wameboresha Yale ya zamani?
Sio zakupanda hiz
Kapande punda
Mbona ayo mabehewa yakiunganishwa hayaungani apo kwenye maungo yakuwa kama tren ya zaman tunataka ikiunganishwa inyooke kama ya mbele sasa iyo na ya Kenya yakenya inamvuto