@YusufuGoma mushirikina ninyi masufi, kwani hatuwajui mmeweka uchawi na shirki mbele ndo kinachofanyika leo, mitandaoni wanatokea watu kutangaza, uchawi na ushirikina wao wote masufi hawoo, kina Dr sule, yusuphu diwani, wanatangaza ukuhani, na ndo mlivyo Sasa kama mnaomba, mnataka misaada kwa mayte Hilo la irizi ndogo xana, wachawi xana mi kiukweli nimekimbia huko hamna uislamu safi shirki zimejaa huko Allah atuongoze katika hakki tusife washirikina
@YusufuGoma arafu waniambia nikakae darasani kwenye darasa za kisufi nijifunnze ushirikina au nimekaa huko niliogundua kunaitikadi za kishirikina na uzushi nimekimbia,, nimerdi katika uislamu safi ulioepukana na makolo kolo.
eti hirizi ya Kur,aan ni shirki , ndio inamaana hajui kuwa ni shirki? Masufi acheni uchawi shauri yenu hukmu ya mchawi ni kifo , na ukiwa mshirikina ni rahisi kuwa mchawi.
Sheikh wa kisufi katulia sana
Muwahabi kavurugwa na hoja hadi anakemea mapepo
Daaahh jamaa washirikina hawa hawa wanatetea mambo ya irizi, subuhana llah wachawi sana masufi
Kakae darasani alafu kaulize Ibn Teymiyyah All_harraana kafa shingoni ananini ??
@YusufuGoma mushirikina ninyi masufi, kwani hatuwajui mmeweka uchawi na shirki mbele ndo kinachofanyika leo, mitandaoni wanatokea watu kutangaza, uchawi na ushirikina wao wote masufi hawoo, kina Dr sule, yusuphu diwani, wanatangaza ukuhani, na ndo mlivyo Sasa kama mnaomba, mnataka misaada kwa mayte Hilo la irizi ndogo xana, wachawi xana mi kiukweli nimekimbia huko hamna uislamu safi shirki zimejaa huko Allah atuongoze katika hakki tusife washirikina
@YusufuGoma arafu waniambia nikakae darasani kwenye darasa za kisufi nijifunnze ushirikina au nimekaa huko niliogundua kunaitikadi za kishirikina na uzushi nimekimbia,, nimerdi katika uislamu safi ulioepukana na makolo kolo.
Acheni uongo masufi
Uongo up? Kaongea vizr nyny mtashindwa siku zote mnapinga Kwa hisia tu mnakosa dalili
Km ni waongo ni nyny sababu ananukuu matabu yenu ya kishirikina pale, alafu unajifanya mwehu km huoni😂😂😂 vitabu vyot anavyosoma ni vya kwenu
mawahabi wameshindwa majawabu tena swal nimoja tu hawajajibu naona ss wanaleta taarab mipasho imekuwa ming
Sisi mipasho ya taarabu tuahaizoea ila nyoka kaenda fia porini, sasa tungeleta la pili labda wangekimbia kabisaa.
Uongo huo shehe wangu nilikua hapo ninyi masufi ndo mmeshindwa kujibu hoja kwa quraan na sunna
Mipasho sijibu, mjadala ulighairishwaje ??
Zingatia " km ni ushirikina na sheikh wenu kafa mshirikiana na nyny mtakua washirikina'' Kwa kua mnafuata na kumuamini Kwa kias kikubwa sana.
Masufu wamazidi
Ndio tunazidi kwa ilimu
eti hirizi ya Kur,aan ni shirki , ndio inamaana hajui kuwa ni shirki? Masufi acheni uchawi shauri yenu hukmu ya mchawi ni kifo , na ukiwa mshirikina ni rahisi kuwa mchawi.
Ukiulizwa unatakiwa kujibu, sio kuuliza "ndio hujui?"
@@HemedSerious
Uyo ni wakumpuuza makubwa zaidi yaja mbona atajinyea kabisa MAAWA HAWASOMI WANABURUTWA TU
Ko Ibn Teymiyyah kafa mshirikina ??
Nakuuliza kuchanganya nyama ya ng'ombe na nguruwe ukala je nihalali.?@@YusufuGoma
@AbuuhaythamMwinshehe
Ibn Teymiyyah kafa na hirizi na ikauzwa pesa nyingi walijua hili??