Inafaa kumramba Mkeo Sehem Za Siri? (Jibu kutoka kwa Sheikh Salim Barahiyan)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @binthassan7980
    @binthassan7980 3 роки тому +4

    Shukran ustadh pia inatupasa kujuwa kuwa ni jukumu la kila mtu kumridhisha mwenzake ktk ndoa na wengne uwezo wao ni mdgo sasa kama hawajatumia hy njia inakuwa ngumu kufika mjin kwa hyo hawa mashehe wetu wanapotoa fatwa waangalie pande zte,kama njia mbadala ipo kwann usababishe mwenzio atoke nje ya ndoa pia kama jambo hli halina aya wala hadith inayo halalisha
    Pia hakuna aya na hadith ya uharamu wake bali ni mitazamo tu ya wana vyuon kwa hyo akili kichwan mwa mtu kuangalia uzto uko wap ukitaka fanya hutak wacha ila usiwaseme vbaya wanaofanya masheikh wetu wasitukoroge din yetu haikuacha ktu wabillah wawfiq.shukran
    sheikh wetu kwa ufafanuz mzur.kama ni uchafu jimai yte ni uchafu na tunafanya na tukarud ktk ibada muhimu ni kuchunga tohara zetu. Allah atuongoze ktk khayrat

  • @hafsaaliyy9397
    @hafsaaliyy9397 3 роки тому +3

    Asante sana shekh kwali dini haitakiwi kiguchwa

  • @ramadhaijums9774
    @ramadhaijums9774 5 років тому +9

    Dah, subhana lah, mi cjui bhana yani kunakomenti zinaxhekesha zinahuzunisha ilimradi kilamtu anakoment anavyoweza, chamsingu tumuombe Allah awazidishie elimu ma sheykh wetu watuonyeshe kheri tuzifate na batwili tuziepuke.

  • @Suleimaniseemo
    @Suleimaniseemo 41 хвилина тому

    Inshaallah asante kwa elimu nzuri

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 роки тому +7

    YaRabby nijaalie Mume Mwema 🙏 pia darsa zur nmejfunza Allah awalipe

  • @mussa-ht8bp
    @mussa-ht8bp Рік тому +2

    Inshallah shekhe.umeleza.vizuri.sana.ila.mimi nafuta mchumba mwenye.kujua dini

  • @veronkanini3556
    @veronkanini3556 3 роки тому +9

    Amina niombeeni sana mungu anikutanishe na aliye wangu 😥😥🙏🙏🙏na awe wa baraka katika maisha yangu 🙏

  • @abdulkhambaku9099
    @abdulkhambaku9099 3 роки тому +2

    Mungu akubark shehe Asante kwa somo lako

  • @samiraalikiba1852
    @samiraalikiba1852 6 років тому +12

    Maa shaa Allah tabarakallah nice my sheikh Allah kujalie mwisho mwema

    • @everlinokea6098
      @everlinokea6098 4 роки тому

      Mashallah

    • @khamismbarouk8242
      @khamismbarouk8242 3 роки тому

      Vp kuramba tupu ya nyuma yafaa?

    • @chyllehramadhani54
      @chyllehramadhani54 2 роки тому

      Plz nakusihi kua makini
      Huyo sheikh hayupo sahihi haata
      Jambo hilo wanafanya makafiri,
      Waislam hatutakiwi kuiga upuuzi wafanyao kufar
      Kua makini, sheikh anapotosha.

    • @IddMussa-j6f
      @IddMussa-j6f Місяць тому

      Hello samiraa tafadhar naitaji kuzungumza nawe pliz 🙏 naitaji kuongea nawe ninajambo muhimu tafadhar mungu akufanyie wepes uweze kuwa namoyo wakuweza kunisikiliza Mimi vizuli Kam nipate namba yako ya Whatsapp au nikupatie yangu nakuomba please please 🙏🙏🙏

    • @FeisalShomari-fc3ej
      @FeisalShomari-fc3ej 20 днів тому

      MashaAllah

  • @AbdullatifKipenda
    @AbdullatifKipenda День тому

    Mungu Akupe umri mrefu shekh❤

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 років тому +8

    MashaAllah MashaAllah fatabarakallah....nmepata uhakika kutokana nahizi hadith sheik wetu si yy tuu tulisomewshwa sana madrasa mambo na ni SAHIHI
    ..shukran sana

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 років тому +243

    Shukran kassim na wote mloniombea nipate mume mwema Dua zenuu ziwe Maqbulii Mwaka huu usiishe inshaallah nimpate

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket Місяць тому +1

    Sheikh uko vizuri mashallah haya wale waliokuwa na was was waondowe ss wainjoi

  • @feswalidris3950
    @feswalidris3950 4 роки тому +9

    Shekh umenitoa wasi wasi maana ililua lanikula kichwa sana shukran sana umeeleweka

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 роки тому

      Brother kuwa makini visimi si vizuri kuviramamba kuna kansa siku hizi, hiyo sehemu Ina mwenzake si chakula hicho!

  • @NanahKhamis
    @NanahKhamis Рік тому +1

    Naomba mumuombee mchumba wangu jambo la heri litimie Inshallah

  • @masoudhamad1592
    @masoudhamad1592 6 років тому +15

    Allah awafanyie wepesi katika harakati zenu za kutoa elimu.

  • @aminahassanali1190
    @aminahassanali1190 3 роки тому +2

    Mashaaallh allh anipe mume mweny hof ya allh asant shekh

  • @simbaplatnumz8288
    @simbaplatnumz8288 6 років тому +23

    Naomba mni ombe kwa Alla nipate mke mwenye maadili mema inshalla

  • @jumakiuta6093
    @jumakiuta6093 Рік тому +1

    shekhe Allah akulipe badar kwa kutupa elimu kubwa

  • @rashidomarmaonga9955
    @rashidomarmaonga9955 5 років тому +9

    Maa Shaa Allah! Allah Subhaanaahu wa Ta'ala akuzidishie ufahamu zaidi katika mambo haya!
    Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh

  • @aysharamadan-j3l
    @aysharamadan-j3l 23 дні тому

    Daaah shukran,Yarrabby nijaalie mume mwema me na utupe mwisho mwema pia allahumma ameeen 🤲

  • @jumannehizaa5594
    @jumannehizaa5594 5 років тому +3

    Shkrani allah awape umri mrefu mzdi kutupa maneno mazuri

    • @mumbekilunda9120
      @mumbekilunda9120 5 років тому

      Tengeza kwako si lazima ufunzwe, unajua kupika?ama mpaka upikiwe na mke wako?helloooo penzi ni kama mapishi,ni wewe na mkeo mwongeze lagha Kwa ndoa yenyu.booom it.

    • @sudikombo5256
      @sudikombo5256 5 років тому

      Jumanne Ally كك

  • @chyllehramadhani54
    @chyllehramadhani54 2 роки тому +1

    We mzee mche Allah na fatawa za uzushi, mambo wanafanya makafiri
    Haijuzu kwa muislam swala hilo
    Acha upuuzi wako.

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu Місяць тому

      Tupe hizo aya,au hadithi usitutukanie mashekhe wetu pasipo naushahid...

  • @ayubuayubu1165
    @ayubuayubu1165 6 років тому +10

    asante shee kwa maelezo yako mazur na mafundisho nikipata

  • @muminumshua6797
    @muminumshua6797 4 роки тому +2

    Shukran Shekhe kwakutupa mwongozo huu ya ilo

  • @ahmadmambwe537
    @ahmadmambwe537 6 років тому +7

    masha'Allah sheikh!!!... Darasal zuri mno kwa wenyekufaham uzur..

  • @furahairakoze4948
    @furahairakoze4948 2 роки тому

    Naam shukran sheikh wetu

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 років тому +11

    mashaallh sheikh amebainisha vizuri sana sababu kuna watu wingi hawajui kama kumramba mkeo ni halal or Haram..

    • @chyllehramadhani54
      @chyllehramadhani54 2 роки тому

      Jifunze dini yako ndugu yangu usiwasikilize masheikh wanatoa fatawa za kuwapoteza watu, huo hayupo sahihi haata! Kua makini

    • @Nasskhef
      @Nasskhef 2 дні тому

      Usikatae wala usikubali wewe usimrambe mkeo usijali.​@@chyllehramadhani54

  • @hawamusa3278
    @hawamusa3278 2 роки тому

    Asalam alkum Asanti saana shiek uns tupa mambo mazuri.

  • @janiampakate5150
    @janiampakate5150 7 років тому +3

    Nashukuru sana kwa majibu mazuri Sheikh maana nami nilikuwa miongoni mwa wenye kutatizwa sana juu ya hili suala ila kwa kupitia elimu yako nimepata kuelewa alhadulillah...

  • @allymngoi1818
    @allymngoi1818 2 роки тому

    Inshallah allah akujalie kher kua muazi

  • @muhindosumaya1101
    @muhindosumaya1101 5 років тому +9

    Tanzania mmepata bahati ya masheikh kabisa jawabu Ni la kiusomi kweli kweli.Sioni kwa nini watu mumpinge sheikh, kwani hajawaambia kuwa Ni lazima kwenu kufanya Maadamu hakuna dalili inayokataza khiari Ni kwako aidha kufanya au kutofanya kutokana na maumbile yako. Baraka Allahu fiikum.

  • @allykais8478
    @allykais8478 3 роки тому +1

    Shukran

  • @halimajamadari2256
    @halimajamadari2256 6 років тому +7

    MashaAllah sheikh shukran saaaaana

  • @mwangazakatimba7726
    @mwangazakatimba7726 3 роки тому

    Inshaallah allah anijalia nipate mume mchamungu na mwenye mawalda na rahma inshaallah

  • @Salim-hp2ri
    @Salim-hp2ri 6 років тому +3

    Sio vizuri kulambana wakisha jitoharisha waingilieni sehemu mlio amrishwa basi mashekh mnatuchanganya

  • @rukiamussa9509
    @rukiamussa9509 4 роки тому

    Naitwa rukia nipo nairobi shekh naomba unisomee duwaa nipate mume mcha mungu🙏🙏🙏

  • @juniorborbo
    @juniorborbo 6 років тому +3

    Twaibu imeeleweka sana loud and clear. Maelezo ya murua sana na bila kupendelea upande wowote.

  • @deokrasisjosephat5857
    @deokrasisjosephat5857 19 днів тому +1

    Nikipata MKRISTO nitambatiza kwanza❤❤❤❤

  • @nk-computertraining
    @nk-computertraining 4 роки тому +22

    Jibu jepesi kwa kutumia akili tu (logical) ni Hili hapa:
    Kwanza wote tunakubaliana kuwa najsi ni haramu, nadhani hakuna anaepinga, na kitu haramu kukitumia ni haramu pia ila uwe na sababu ya dharura kama kwenye kufuga mbwa, ok tuje kwenye mada, mwanadamu kimaumbile anapofika Balegh huwa anatokwa na majimaji sehemu za siri hususan anapofikiria tendo la ndoa, sijui kama kuna mtu anapinga mpaka hapo? Vizuri, na huo unyevunyevu unaotoka sehemu za siri ni najsi kisheria kwa wanazuoni wote, maana imopekewa Hadith kutoka kwa Mtume mwenyewe s.a.w, na ndio maana hauruhusiwa kuswali kama yatagusa nguo mpaka uisafishe, tuwe makini hatuongelei manii maana yenyewe ni masafi, tunaongelea majimaji yanayotoka kabla ya manii, sasa unapomchezea mkeo kwa ajili ya tendo na kumuandaa je hatoki na hayo maji kabla, hapati unyevunyevu, kama hatokwi mi sina hoja, ama kama anatokwa na tunajua ni lazima atokwe sasa ukilamba unakuwa unalamba nini ?! Maana yake utakuwa unalamba najsi, unachangasha na mate mzee unakunywa mkimaliza unashushia na maji kidogo take care, hukumu ya kula najsi katika Uislamu ni : HARAMU hairuhusiwi kuliwa, na ndomaana ikakatazwa kula damu, na hata nguruwe kutokana ni najsi pia.
    Sijatazama video, sipingi hoja zilizotolewa ila naunga mkono kwa akili tu na kuringanisha hukumu kwa watu wasiomuelewa Sheikh kwa maandiko basi elewa kwa akili, huwenda wewe ni mwanafalsafa.
    Mwisho:
    Tuwe makini sana na Dini yetu katika Qur'an Mwenyezi Mungu anaongelea WAUMINI wa kweli anasema kuwa wao wanaposikia hukumu imekuja wanasema:
    "قالوا سمعنا واطعنا غفرانك ربنا وإليك المصير"
    "Husema tumesikia na tumeshatii amri, na tunaomba utughufirie tuliofanya kabla hatujajua"
    Wengine watakuambia maandalizi Mzee!! Uislamu haujakataza maandalizi, ndo mpaka umlambe?! Yani upo tayari kumuasi Mola wako kwa kuhofia kuhiniwa, ukweli ni huu;
    Mkeo kama sio muaminifu mlambe hata kwa domo la pipa ataenda kwa wenzio, ndo kwanza atakuona mchafu tu, vishawishi sio kulamba vishawishi unavijua mwenyewe...mi simalizii. Tuwe makini.

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 роки тому +1

      Baaraka Allah fiyka, Kaka uko sahihi kabisa, ni hakika yangu kuwa Barihiyani Hana uwezo wa kujibu hoja zako, nao alikurupuka na hakutumia akili Wala dalili.

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 2 роки тому +2

      Unasafisha kiungo chenyewe sio nguo kaka

    • @fabriceira8888
      @fabriceira8888 2 роки тому +1

      Mambo ya kumramba mwanamke nooooo

    • @iddiontown4787
      @iddiontown4787 2 роки тому +1

      Shukran

    • @Ayyub_Semtawa
      @Ayyub_Semtawa Рік тому +4

      Kama maji maji yanayotoka ni Najisi..kwa iyo unapoingiza uume kwenye uke...(kwa maelezo yako basi utakua umejitia najisi?)
      Umetoa mfano wa uharamu wa nguruwe
      (Imeharamishwa na iko wazi kabisa)
      Binadamu tuko tofauti sana katika matamanio ya mwili
      (Sexual desire/sexual stimulation)
      Sio wanawake wote wanaopenda kulambwa uke/na wapo ambao hata kutiwa kidole hawapendi lakini wapo wanaopenda hili linategemea na hisia za mwanamke anaposisimka)
      Ni mtazamo wangu tu
      It takes logic and ability to reason

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 роки тому +1

    Jazakallah khair, tunamuomba Allah atujaze ilmu na tuitumie kwa maslahi ya kidunia na akhera.

  • @zakiazakaria8056
    @zakiazakaria8056 6 років тому +3

    tunashkuru kwa mafunzo mazuri allah akuongoze inshaallah

  • @athumanimnguu7757
    @athumanimnguu7757 3 роки тому

    Jazakaluhairaah...

  • @lolooman9170
    @lolooman9170 4 роки тому +10

    Shekh unamafunzo mazuri sawasawa nna Sheikh wetu khusain nyundo nyote maashaallah

    • @AL_GHURABAA_U
      @AL_GHURABAA_U 3 роки тому

      Mpotoshaji huyo

    • @AL_GHURABAA_U
      @AL_GHURABAA_U 3 роки тому

      Mwambieni atoe dalili ya kuthibiti hayo kwa wema wetu waliotangulia kama wameyafanya hayo

    • @Nasskhef
      @Nasskhef 2 дні тому

      ​@@AL_GHURABAA_Ukwahiyo tuache hao wema waliotangulia, tuseme hujaridhika na aliyoyasema sheikh, wacha nikuulize wewe tu hapo, mkeo huwa unamfanyaje fanyaje?

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 роки тому +1

    Shukrani sana sheikh

  • @athmanbakari5932
    @athmanbakari5932 6 років тому +63

    Shukran shekhe,nampenda mke wangu sana ..😘

  • @deejaywhite3381
    @deejaywhite3381 3 роки тому

    nashukuru kwa erimu yenu nzuuri

  • @paulludovick1286
    @paulludovick1286 6 років тому +3

    Mungu akubaliki ktk maisha yako ya ndoa

  • @ShabaniMcharo
    @ShabaniMcharo Місяць тому

    Omba mungu na usujudu vizuri

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 роки тому +3

    Jamani Shekh nashukuru maana nilikua namkatalia kunilamba nahofia tutamuuzi mungu japo mumewangu anajua sana qur an ila nitampa sasa maana nilikua sijui

    • @thomaphiri8821
      @thomaphiri8821 4 роки тому +1

      Mdomo huohuo uombee dua ,huohuo unyonyee !!! Mmmmmhh ok.

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w Місяць тому

      Sasa mpe arambeeee!!!!! Usiogope!!!! Ila naona unaitwa moh'd , imekuaje apo??????!!!!!!. Au ndio kumekucha!!!!!!????Hatari tupu!!!!!!!...

    • @wilbertmombo9834
      @wilbertmombo9834 Місяць тому

      Labda anatumia simu ya mumewe😂​@@KhamisAli-r1w

    • @AliHemed-tk8fw
      @AliHemed-tk8fw 6 днів тому

      ​@@KhamisAli-r1w❤

  • @assaasharif963
    @assaasharif963 Рік тому

    Munguatakupa mume mwenye kheir nawe

  • @khairatabbas8523
    @khairatabbas8523 3 роки тому +3

    Maashaallah ALLAH ATUPE WAUME WEMA INSHAALLAH

  • @ashabaracka4053
    @ashabaracka4053 4 роки тому

    Jamani mungu anijaalie na mm nimpate mume wakujua mapenzi

  • @aminakasimu8490
    @aminakasimu8490 5 років тому +3

    Allah Nijaalie mume mwema .....natamn sana t

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 роки тому

    Shukran Allah akulipe kwa kutufunza

  • @allyzungu4955
    @allyzungu4955 6 років тому +3

    Kweli elimu nikubwa dunian shekh hongera kwa mawaidha hayo ya mutashaabihaat

  • @sheikhaboumahir3744
    @sheikhaboumahir3744 4 роки тому

    Shukran..Sheikh salim barahiyani...tumestafiidi Allah akulipe

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 7 років тому +10

    اللهم إني أسألك أن تجعلها من المقبولين

  • @abdallamohammedomar3281
    @abdallamohammedomar3281 6 років тому

    shukran sheikh kwa darsa yako hio ils pia niwaombe n'a niwahimize tu waislam wote popote walipo kwamba wasome

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 6 років тому +10

    Watanzania waislam wengi hawajasoma kabisa ni ubishi wakakuambia tu kuwa tumeambiwa.... Sheikh unaongeaje Mada ambayo yataka wenye elimu kubwa, hapa wengi hata juzuu moja ya Quran waambie wakutafsirie au hata hadith saba tu hawajui utakuwta ubishi tena ukimdai aya au hadith Hana anakuambia "tumeambiwa kuosha utupu kwa mkono WA kushoto" Muulize tu "Umepata katika hadith ipi na kapokea nani na hiyo hadith inHusiana nini nini na Mada hii" hawezi kujibu. Kama sehemu hizo ni rahisi Muulize " kwanini sasa ukaswali na najisi na sehemu hizo ukasema ni najisi" au najisi ni nini? Hajui kabisa. Basi Hayo ni matatizo yanayosababisha na ukosefu WA elimu hususan watanzania tumezidi. Kusoma hatutaki ila mipira simba na Yanga na ubishi WA kwenye Kahawa mwingi na kupenda kufutu tusiyoyajua na ubishi pale wajuzi wanapotuelewesha tukawa kwa kuwa ni ukweli tusioupenda basi kibri kikatuzuia tusione haki na shetani akachukia nafasi yake kutokana na kibri cha kutotaka kumfuata haki na uvivu wa kutotaka kusoma,

    • @sabrikhvuai2327
      @sabrikhvuai2327 4 роки тому +1

      Sadakta imepita iyooo

    • @RaimamomedSaidi-wz1yu
      @RaimamomedSaidi-wz1yu Місяць тому

      Uje utusomeshe,unajua vihadithi 2 ukaona wa Tanzania hatujui kusoma umetembelea majumban au miskitini au madrasa za Tanzania zote?usiropokwe tu ktk mambo ya dini

  • @alawiseif8285
    @alawiseif8285 3 роки тому

    Asante hisan FM muko saw

  • @zulphaswaleh7634
    @zulphaswaleh7634 5 років тому +20

    As-salaam aleykum warahmatullah wabarak..... ya Allah nijalie mume mwenye subra inshaAllah.

  • @AbdulMrondo
    @AbdulMrondo 17 днів тому

    Utapat inshaallah chamsing jitahdi kufung nakujitahd kufannya amali mbalmbali

  • @amijhassaninakubalikakauna6670
    @amijhassaninakubalikakauna6670 6 років тому +3

    Allah akuifhathi sheikh wetu

  • @GraceLaizer-dv7hj
    @GraceLaizer-dv7hj Місяць тому

    Sheikh naomba uniombee dua niweze kufunga ndoa na mchumba wangu

  • @jumasalumu5825
    @jumasalumu5825 4 роки тому +21

    mm napenda Sana kumyonya mkewangu kipenzi

    • @drroble.gurhan3594
      @drroble.gurhan3594 3 роки тому +1

      Kuwa naheshima shekh usitangaze. Dini ni tabia ya waislamu

  • @MariamEdison
    @MariamEdison Місяць тому

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh vipi hali yako waendeleaje mimi sina mume nilifiliwa ni mujane nifuraha yangu nikipata sitara.❤

    • @Rashidhamidu-y5w
      @Rashidhamidu-y5w Місяць тому

      Mimi nipo tyr kukustir ila uwe kweli nania ya dhati kwa ajili ya Allah

  • @khabyibrah3723
    @khabyibrah3723 4 роки тому +3

    Inshallah Allah nipatie mume bora

    • @jkitebo9859
      @jkitebo9859 3 роки тому +1

      usiwaze njo fb

    • @jkitebo9859
      @jkitebo9859 3 роки тому

      juma kitebo

    • @sudidoto9759
      @sudidoto9759 3 роки тому

      Khaby Ibrahim naitwa Malik sultan 0743714028. nitafte ucjar

  • @starbizyousuf8370
    @starbizyousuf8370 6 років тому

    asalam Allah ikum warahmatulahi wabarakatu sheikh mimi nakubaliana nawewe umejibu vyema inavyo stahili ila wasio kua na elimu na uwelewa bado hawajakuelewa kwa sababu hawana elimu pia na hawana uelewa kwasababu walitafsiriwa hawakuelewa

    • @hasinamohammed6469
      @hasinamohammed6469 5 років тому

      Mhhhh raha kama nn kunyonyana kama ni mke au mmeo rahaàa

  • @halimaally2333
    @halimaally2333 6 років тому +5

    Asante shekhe

  • @Abuu_Maher
    @Abuu_Maher 6 років тому +2

    Kwajuhud zako shkh Allah atakulipa cc kwetu n kupitia vitabu ulvyo sema na dalil zako safi

  • @digitalprinters5646
    @digitalprinters5646 7 років тому +51

    We semeni ni uchafu....wakimkamata mkeo wakamramba hadi akachanganyikiwa.....akija kwako anaona kama unamchezea tu....shauri zenu. msiseme sijawaonya.

  • @halimamwakucha2637
    @halimamwakucha2637 4 роки тому +1

    Kila shekhe anaxema kivyake wengine wanaxema hai wengine wanaxema yafaa.. Mungu ndo mjuz zaid

    • @maryamali7791
      @maryamali7791 4 роки тому

      Halima Mwakucha ila kutaft elimu n muhim

  • @babaajnaty8629
    @babaajnaty8629 4 роки тому +10

    Jamn eleween hap kuramb sio sehem yot y uuke bal kun baaz y sehem tu ten kwny #clitoris kw lengo l kuki stimulate ili mwana mama n yeye ahis laza y tendo #Ahsant

  • @shaabanmusa5127
    @shaabanmusa5127 6 років тому +2

    Shukran tumekuelewaa Shkh wng

  • @salimkitabu5087
    @salimkitabu5087 5 років тому +8

    Hapa kunyonya mbele msielewe kutia ulimi katika tundu ila ni kunyonya ama kulamba kisimi jaman msielewe makosa

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 5 років тому +1

    Mimi sio mwislamu Ila nawapenda sana waislam

    • @shamilamct5442
      @shamilamct5442 5 років тому

      Heche Chacha mashalla mashallah 😃 m.mungu inshalla akuongoze uweze kuingia ktk dini yetu ya kiislam. Amin 🌹

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 3 роки тому

      Brother na wewe unaunga mkono ujinga huu, ile sehemu Mungu aliitoa kwa makusudi yake si ya kulambwa ile utapata kansa ya koo bure, ile Ina mwenzke si chakula ndugu yangu.

    • @bakarilawena581
      @bakarilawena581 8 днів тому

      Vizur toka uko sasa kama unatupenda jaman

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 років тому +58

    Na Muomba sana Allah anipe mwenye herii shukran kwa Dua zenu

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 років тому +2

    Shukrani shekhe

  • @msambaawize3818
    @msambaawize3818 4 роки тому +4

    Masha Allah

  • @mohammedspater7064
    @mohammedspater7064 3 роки тому

    Mutafakuna allehy

  • @maase2023
    @maase2023 6 років тому +5

    Pole sana msafiri mungu akuhidi na fatwa za kunyonya

  • @bintmhammad9557
    @bintmhammad9557 6 років тому +21

    Mashekhe wamekhitilafiana yafaa wakae woote wakubaliene juu ya hili jambo waache kutuchanganya,

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 років тому +1

      Halymah Mwozar mi jambo hili siwezi kulifanya hata kama inafaa

    • @salehkhamis9978
      @salehkhamis9978 6 років тому +3

      Halymah Mwozar we VP unesema mashehe wakubaliane kwani hii dini ya mashehe wanatakiwa wasome zaidi ili wafikishe waelimishe waislam zaid

    • @mwasitiomtima1896
      @mwasitiomtima1896 6 років тому +3

      Halymah Mwozar haha katika dini ikhtilafu haziez epukikaa ila we usome na utumie akili yako katika kufanya jambo lisilokudhuru nafs yako,nawao kukaa pamoja itachukua mudaa aisee

    • @nyaminobakari3378
      @nyaminobakari3378 6 років тому +1

      Nahis imishafika dhama ya kila mtu asimamie msimamo wake

    • @nyaminobakari3378
      @nyaminobakari3378 6 років тому

      Kwa hili bila shaka mambo yamishaanza kuwa mengi

  • @halimaibrahim4156
    @halimaibrahim4156 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @abdulrahimbakar7865
    @abdulrahimbakar7865 5 років тому +3

    A/alyqum kisheria kuangalia utupu haifai ht km wako au mke wako sasa na ukiramba utarambaje bila ya kuuangalia

  • @hamedali2176
    @hamedali2176 4 роки тому

    Thank you sheikh for explanation
    Allah barik

  • @mohamedsulemanmakame6044
    @mohamedsulemanmakame6044 3 роки тому +3

    Ya allah nijaalie mke mwema.

  • @IddMussa-j6f
    @IddMussa-j6f Місяць тому

    Aslam alykum apo studio samahani maarimu mimi naitaji tafasiliyandoto ninazoweza kuota

  • @abuuyusra3920
    @abuuyusra3920 7 років тому +5

    Barakallahu fiik wajazaakumullah khayra yaa sheikh

  • @ahmedmndolwa6562
    @ahmedmndolwa6562 4 роки тому +1

    Shukran! Mashaallah ..!! Mafundisho ya Kiislam, kuwa mke ni konde la mume! Hivyo alikatue apendavyo, na wakati wote ahitajiapo! Ili mradi tu kwa maeneo ya tupu halali!

  • @exaverymziga4668
    @exaverymziga4668 5 років тому +16

    eee mungu nipe mke mwema

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 років тому +2

    Shukran wajazaka llahu heri kutafuta ilimu ni lazima japo kwa miji ya China ni wajibu kila mmoja kutafuta ilimu inshaallah mungu atuongoze inshaallah

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 років тому +4

    Vitu vingine vimewekwa siri ili kupunguza makali ya vijana wa kileo wasio na khofu ya mungu wala kuwa na hamu ya kukutana na Allah siku ya hesabu,

  • @ShauriDangote
    @ShauriDangote Місяць тому

    Isha allwa

  • @abdurazaqsururu3919
    @abdurazaqsururu3919 6 років тому +10

    Mwenyez mung nijarie njia iliyonjem yeny kukupendez mung wang

  • @mariamswaleh7869
    @mariamswaleh7869 3 роки тому

    Alihamdulillah kwa mume wangu

  • @amirikachenga4553
    @amirikachenga4553 6 років тому +3

    umeongea vizuri sana

  • @violetvayo8358
    @violetvayo8358 5 років тому

    Mimi ni mkristo nimefatilia sana hili funzo ninzuri sana endelea namwezi mungu akubariki

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 5 років тому +6

    yahitaji kuwa utundu na ubunifu Wa hali ya juu

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Shukran jazakallahu khayra